Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nakupenda sanatu mzee unajuwa kuchekesha mno
One of the best teachers in Tanzania Allah barik Sanaa Tena Sanaa n mwalimu wa umma wote much ❤
Hongera sana mchungaji mungu akujalie wingi wa siku
Nabarikiwa sana nikimsikiliza huyu mchungaji.mungu akulinde uendelee kutupa neno
Nabarikiwa mno na mahubiri ya mchungaji Hananja. Naomba atutenbelee Waumuni wa Kilutheri Kenya.
Amen nabarikiwa sana na mchungaji Mungu umlinde na huduma yake
Hongera mchungaji
Barikiwa sana mtumishi hananja tunakupenda kwa wewe ni mchungaji mkweli usie na unafiki wa kudangaja waumini Keep it up
Namkubar sana
We love you 💘 mchungaji. Mungu akujalie maisha marefu.
Mungu akutunze akupe.maisha marefu mchungaji wetu❤
Mungu akupe kibali mala mia mtumishi
The best of all..ubarikiwe zaidi mchungaji
Barkiwa mchungaji
Aminaaaa neno linajenga mioyo yetu ya kujitambua...Mchungaji wewe ni zaidi ya daktari
Unafanya kama wale watabiri wa nyota za watu
Amina mchungaji naomba namba yako
Naku kubali sanaa siwezi kalala bila kukusikiliza mungu akupe maisha marefu
Nakupenda san mchungaji mungu azid kukuwek kwa ajili yetyuu❤❤❤❤
Unagusa maisha halisi ya watu,hongera Sana mchungaji
Ubarikiwe Hananja
Mchungaji Mungu akubariki sana
Baba barikiwa * 100.nabarikiwa sana na maneno Yako ya upako nakinabii.
Hongera mchungaji na barikiwa mnoo
Nabarikiw sana na mafundisho yako mchg,,mungu akubariki'
Mungu akupe maisha marefu
Nakubal cna mungu akulinde cn pastor
So impressive!!!
Mungu akujalie uendeelee kutia neno kila kona
Amen mchungaji kwa mafundisho mazur
Amen 🙏🙏🙏 unanibariki mchungaji Niko kenya
Mtumishi MUNGU AKUBARIKI Sana kwa mafindi yako
Mchungaji mungu akupe maisha marefu wewe ni teacher waukweli mm silale bila kuku sikiliza ugali jero mboga............... Nakuelewa sana
Mungu akubariki mtumishi natamani uje kanisani kwetu utufundishe nitakupataje
Nabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor, Mungu akubariki sana! na akujalie maisha marefu yenye neema na baraka tele
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
😂l like your teaching servant of God from Kenya 🇰🇪 na barikiwa Sana
nabarikiwa sanamchungaji. Kwamahubiriyako mazuri🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🏥🙏
Ubarikiwe San mtumish wa bwan
HAKIKA HAKUNA mkaa safi sema mkaa BORA. MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA NJEMA mchungaji hananja
Kwakweli mchungaji uko vzr.
Uko vizuri waeleweshe
Ubarikiwe sana
Asante kwa somo lako
Nabarikiwa sana namahubiri ya huyu Mchungaji
Barikiwa sana mchungaji,mafundisho yako yananibariki sana
Mungu akubariki sana mtumishi
🎉🎉🎉
Yan mchngj mungu akuweke sana mana unatan siku ifike chap uwai
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako
Mahubiri yako murua sana,Ubarikiwe
Safi sana pastor hananja tunakupata vema
mimi na mke wangu tunakupenda sana mchungaji
Safi sana
Mungu akubariki mchungaji
Baba uko vizuri
Wewe baba wew umenibaliki na nafrah San kukusikiliz ubarikiwe
Nabalikiwaa sana
Asante kwa kutumegea vipande vitamu vya kiroho barikiwa mchungaji:
Very p
Kiukwel wew ndio mchungaji wangu bora
Ubarikiwe
balikiwa sana BABA. mchungaji
Mungu akutunze baba
Hongera sana hananja
Hakika MUNGU azidi kukuweka mchungaji🙏🙏
Babu nakupenda ga sanaa
Mungu azid kukubalik
Ubarikiwe saaana mchungaji!
Nimebalikia San mafundiche
Ubariki San
VP
Mamb anit
Maimua alie🔥🔥🔥🔥 kubar sana
Mungu akutie nguvu mpendwa
Kali sana hii
Ameen 🎉🎉🎉
Aminaaa
Nimependa
Nabarikiwa sana mchungaji naomba namba pia nimuhimu
Ulisha pata namba za mchungaji hananja
Hanaje naitwa Mheshimiwa Natepe Napenda kukusikiliza mpaka nashindwa kufanya kazi ofsini
Napenda sana
Dar es salam
❤mungu mwema
Amen baba
❤️❤️❤️❤️
Ukombozi wa fikira
❤
Ulimi safi ni mti wa uzima bali ukorofi wa ulimi ni kuvunja moyo.
Amen
👍👍👍
❤❤
Mafundisho mazuri sana
Nakubalii
Eh ukomboz wa fikra wa @denis mpagaze
Uhakika
MZEE ANAWACHANA MAKAVU❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Zaburi 119:37, Amen
Hahahaha baba hananja barikiwa sana
Nipatie namba yako
Eti tunafurahia mafundixho ya vituko kweli kuna kulijuwa neno hapo tuwe makini watu wa Mungu ili tupate vokovu tuangalie makanisa ya Mungu kwa kusoma mandishi ili tujuwe kanixa la kweli ni lipi na wachungaji wa kweli
Ameniii mchungajii
Ubarikiwe baba naomba namba yako
😆😆😆😆😆😆 ubarikiwe sana mchungaji
Pastor nitumie namba yako
Mmmh
Naongea kama nimekunywa supu ya ulimi wa mbuzi hananja bna
Amen 🙏 🙏
😀😀😀👍
Huyu majuto bhna
napenda kukusikilizaaa
Mzee anazungumza
Nakupenda sanatu mzee unajuwa kuchekesha mno
One of the best teachers in Tanzania Allah barik Sanaa Tena Sanaa n mwalimu wa umma wote much ❤
Hongera sana mchungaji mungu akujalie wingi wa siku
Nabarikiwa sana nikimsikiliza huyu mchungaji.mungu akulinde uendelee kutupa neno
Nabarikiwa mno na mahubiri ya mchungaji Hananja. Naomba atutenbelee Waumuni wa Kilutheri Kenya.
Amen nabarikiwa sana na mchungaji Mungu umlinde na huduma yake
Hongera mchungaji
Barikiwa sana mtumishi hananja tunakupenda kwa wewe ni mchungaji mkweli usie na unafiki wa kudangaja waumini
Keep it up