MAGONJWA YA KUTENGENEZA part 1 - Bishop Gwajima

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @catherineilunda3988
    @catherineilunda3988 4 роки тому +3

    Mmi nakuamni na nazidi kukupenda na siwezi kukusema.MUNGU AZIDI KUKUINUA SANAAAA👏👏

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 3 роки тому +1

    Bishop wewe ni true man of , sema usiogope , unahubiri kwelo

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому +4

    Ee Mungu Naamini kupitia shuhuda hizi, ni zamu yangu kufunguliwa, kuponywa, kuumbiwa moyo safi, maarifa na Hekima zako 👏👏👏💪

  • @sallysalamakenga6329
    @sallysalamakenga6329 2 роки тому

    Karibu KENYA baba nimokoka chini ya madhabahu hiii mtandaoni na ninamuona MUNGU katika maisha yangu akinitendea makuu . Ibarikiwe sana mtumishi wa MUNGU ameeeen hallelujah

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 11 днів тому

    Yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuunakupenda uwiiiiiiiiiiiiiiiii aYesu anatisha Kwa matendo yk makubwa mazuri

  • @justinaninga135
    @justinaninga135 4 роки тому +1

    Mungu anatupenda tunaishi kwa neema tunalindwa na mungu Pekee

  • @shadrackbendeyeko9229
    @shadrackbendeyeko9229 2 роки тому

    Nabalikiwa Sana na mafundisho yako Apostel...Wa BWANA MUNGU ANAYEISHI....MBINGUNI NA DUNIANI.....

  • @boniphacemaziku2890
    @boniphacemaziku2890 9 років тому +4

    Mafundisho ya kweli na kina na yanafungua kumwaibisha shetani na kumwinua Mungu. Mungu akulinde na kulinda huduma yako milele

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 роки тому

    Njooni ufufuo na uzima, muone ambavyo Mungu anafanya kazi.tunakupenda sana Baba

  • @jefwakalama4336
    @jefwakalama4336 6 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya

  • @saidibakari1479
    @saidibakari1479 6 років тому +2

    jamaani mwenyezi mungu tuepushe na maisha ya kishetani tupe nguvu katka iman yetu ya kikristo ili tuuridhi ufalme wako wa mbinguni

  • @binmungiadinininasahachane5888
    @binmungiadinininasahachane5888 6 років тому +3

    Gwajima ww na mungu ndio mnajua unachokifanya. Mungu atakulipa kwa hilo unalolifanya. Starehe na wadhifa wa dunia ni wakupita tu. Kazi ipo huko tuendapo.

  • @edwardkenga6764
    @edwardkenga6764 7 років тому +4

    pastor,am really blessed with your word, God bless you pastor.

  • @janenguma730
    @janenguma730 4 роки тому +2

    God bless you! I love your teaching

  • @mukamutsinzimarygorette5108
    @mukamutsinzimarygorette5108 2 роки тому

    Wachawi wapigwee ktk jina la Yesu Kristy🔥🔥🔥

  • @rithersospeterkati7957
    @rithersospeterkati7957 2 роки тому

    Amen Amen Baba.

  • @drazzadrazza4165
    @drazzadrazza4165 5 років тому +1

    Dah kweli ndugu zetu mbele giza nyuma kiza.

  • @jackypottrick1pottrick641
    @jackypottrick1pottrick641 6 років тому +3

    Ubarikiwe pastor
    karibu Kenya

  • @janetrixmukade8557
    @janetrixmukade8557 8 років тому +3

    Shetan n.a. mambo yake ameshindwa kwa Jina la Yesu Amina

  • @mukamutsinzimarygorette5108
    @mukamutsinzimarygorette5108 2 роки тому

    Ubarikiwe Sana Mutumishi wa Mungu🙏🙏🙏

  • @richmanbeatpro2691
    @richmanbeatpro2691 6 років тому +5

    Yesu kristo ni bwana na mokozi

  • @enockkiluswa4606
    @enockkiluswa4606 7 років тому +2

    mungu akubaliki gwajima akupe uzima

  • @neyhmrs7704
    @neyhmrs7704 2 роки тому

    Ee Mungu naomba ulinzi mimi na Family yangu

  • @MHRMGROUP
    @MHRMGROUP 9 років тому +14

    Na Ishara hizi zitaambatana nao waaminio,kama hauna imani huwezi kuamini kitu chochote ambacho Mungu anakifanya.

  • @pstemmanuelofficial1323
    @pstemmanuelofficial1323 4 роки тому

    Wewe ni bishop mukubwa na Ku amini sana tena yesu kristu iko nakutumiya kikweli kabisa

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 7 місяців тому

    Bishop naomba hiyo huduma ya ufufuo na uzima iwepo na huku Kenya

  • @Janet_xd-rj5ec
    @Janet_xd-rj5ec 7 років тому +7

    pastor welcome kenya

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому +1

    Kweli Bishop tusaidie tumechoshwa na mashertani, miungu, mizimu na majoka +magonjwa ya kutengenezwa

  • @tinamtewa3462
    @tinamtewa3462 10 років тому +5

    Bshop, Mungu akubariki mno! yaani niliipenda sana huduma ambayo uliifanya hapa moro, ila tunakuhitaji sana mazimbu morogoro tunakiu sana na huduma hii kwani ulipokuja mjini kati kunabaadh ya watu walikosa kuhudhulia kwasababu hakuweza kufika kwaajili ya usafiri nakipato ni duni sana tunakuomba uje tena!

    • @umarfardoos6540
      @umarfardoos6540 7 років тому

      bishop mungu akuweke siku mingi uokoe maisha ya watu wengi ningekuomba ukuje kenya

    • @jastinjoram4068
      @jastinjoram4068 7 років тому

      Na mm nayapenda sana haya mahubili maana natiwa nguvu za kiroho pia na kujua kuzitegua mitego za kishetani.
      Kweli shetani apigwe

    • @gisubizothedy9954
      @gisubizothedy9954 6 років тому

      wapigweeeeeee sana

    • @gisubizothedy9954
      @gisubizothedy9954 6 років тому

      Baba karibu Rwanda kigali nasi tunakuitagi

  • @jimmisonndolele5480
    @jimmisonndolele5480 8 років тому +4

    tunaomba uduma hii tuleteeni hata kagera tunawapenda sana

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому +1

    Amina

  • @sallysalamakenga6329
    @sallysalamakenga6329 2 роки тому

    MAJESHI MAJESHI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rashidsaid4369
    @rashidsaid4369 3 роки тому +1

    Haha hahahaaa msanii imaendeleza usaniii.vipi coronaaaa

  • @petermpanduka8069
    @petermpanduka8069 4 роки тому +1

    Kumbe waslam ni wachaw sanaee

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 7 років тому +7

    Apigwe shetani, na kazi zake zote.

  • @juliawanjiku2322
    @juliawanjiku2322 3 роки тому +1

    Wapigweeeeeeeee

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 років тому +3

    yaani makafiri hawataisha kudanganywa

  • @agnessally7234
    @agnessally7234 6 років тому +1

    mungu Ni muweza

  • @joshuallesasi5099
    @joshuallesasi5099 5 років тому +1

    haaaaaaaahaaaaaaa wapigweeeeee

  • @khatibumwalumbunga5824
    @khatibumwalumbunga5824 5 років тому +4

    Macho ya rohon na masikio ya rohon yafanye kaz

  • @maishatzmartin5468
    @maishatzmartin5468 5 років тому +1

    kweli mtumish

  • @AdamMdolo-cm6qi
    @AdamMdolo-cm6qi Рік тому

    Ameee🎉

  • @zedekiazakayo156
    @zedekiazakayo156 6 років тому +1

    pastor karibu tabora

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 років тому +1

    Changa la macho kweupe, waende wakaponye wagonjwa hospitali kama wanaweza

  • @felixsanga
    @felixsanga 8 місяців тому

    It is true,Covid,Malaria,Asthma &others.Nimepigwa Corona mara kumi nikashinda,Nikaibiwa 1,000,000/=usiku saa 7,akakamatwa amebaki na laki 6,lakini Hakimu,mapolisi walimsaidia kwa kuwa ni mshirika wao na mshirikina wakamwachia huru!

  • @kiangejoseph3439
    @kiangejoseph3439 6 років тому +1

    njoo kenya mchungaji

  • @kakajaymoe8713
    @kakajaymoe8713 2 роки тому

    Fire!fire! 🔥 🔥 🔥🙏🙏🙏

  • @mukamutsinzimarygorette5108
    @mukamutsinzimarygorette5108 2 роки тому

    Amen🙏🙏🙏

  • @lucyasmath6395
    @lucyasmath6395 8 років тому +2

    Maombi mazuri ila ya Sunday husikiki vizuri.

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 8 років тому +1

    nikweli Baba sema Amen!!

  • @josuesindihebura3625
    @josuesindihebura3625 6 років тому +1

    Amen

  • @MyShau
    @MyShau 10 років тому +3

    nafurahi kwa kupata elimu

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 8 років тому +1

    wapigawa Bab. Amen.

  • @vundimuli6478
    @vundimuli6478 6 років тому +3

    PASTOR WE NEED YOU KENYA SANA

  • @franciscalazaro4971
    @franciscalazaro4971 7 років тому

    pastor karibu karatu

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 2 роки тому

    Mungu akubariki Sana mtumishi,naomba namba yako

  • @placidelutanda3150
    @placidelutanda3150 8 років тому +1

    God. you

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 7 років тому

    amen mtusi ya mungu

  • @samirizomboko5005
    @samirizomboko5005 5 років тому +1

    Eti Fatuma

  • @annastaziakibole5603
    @annastaziakibole5603 7 років тому +1

    mmmmmh mpk naogapa yan apigweeee

  • @edinaubarikiwemtumishijohn4320
    @edinaubarikiwemtumishijohn4320 7 років тому

    mungu ni mwema

    • @joycemwaipaja4618
      @joycemwaipaja4618 7 років тому

      ubarikiwe Mtumishi

    • @rashidsaid4369
      @rashidsaid4369 3 роки тому

      Mmmmmh siku si nyingi ukweli utajidhihirisha.wamesahau ukisema unafufua wafu.

  • @mordally
    @mordally 6 років тому +2

    Sinema live

  • @MyShau
    @MyShau 10 років тому +6

    huyu mama ni mmasai. na hizo alama alikwambieni mwenyewe vipi. mchezo wa kuingiza huu

    • @lainesimsigala1069
      @lainesimsigala1069 9 років тому

      Jamani mungu atusaidie

    • @gerymwakiembesimuewigery1118
      @gerymwakiembesimuewigery1118 7 років тому +7

      haya ni mambo ya mungu wanaojua ni wana wa mungu wana wa shetani hawawezi kujua na huwa hawapendi kusikia habari za yesu kuwa anaponya haijasnza Leo toka enzi za mfarume herode vizazi vya sheteni haviwezi kuisha had Ieo yana wapinga kristo mungu awabariki watumishi tunaeamini yesu anaweza sema amina

    • @paulmadeba8432
      @paulmadeba8432 5 років тому +3

      Nivigum kuyajua mambo ya rohoni ukiwa mtu wa mwilini

    • @yovithasanga5990
      @yovithasanga5990 5 років тому

      nakwako

    • @designdesign4426
      @designdesign4426 5 років тому

      Usanii mtupu yatupasa kusoma maandiko akuna Usanii utakaofanyika usiujue

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 років тому +1

    Wapigwee tu!!

  • @danielilubango4226
    @danielilubango4226 6 років тому +1

    Dah mavi achukue kwa mdomo uchaw kazi hahahahahahaaaaaaa nimecheka saan

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 3 роки тому

    Tunaomba microphone ziwe nyingi kurahisisha kazi ya mtumishi.

  • @richmanbeatpro2691
    @richmanbeatpro2691 6 років тому +3

    dini ya ukweli ni dini ambaye imepiga mapepo

  • @paschaldamian4540
    @paschaldamian4540 7 років тому

    apigweeeee!!!

  • @estherwaga2015
    @estherwaga2015 5 років тому +1

    Makubwa haya

  • @latifachilala2015
    @latifachilala2015 4 роки тому +1

    Kuna familia wanakufa na ukimwi Kama walivyo zaliwa Yani anaanza kufa aliye anza kuzaliwa

  • @ramadhaniomarishauri9905
    @ramadhaniomarishauri9905 6 років тому +1

    Kama akiuwa watu makinda kamata mshughulikie.

  • @julianlaurent2107
    @julianlaurent2107 5 років тому +1

    Kila siku mapepo tu hayaishi?

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 8 років тому +5

    wtu wamesha pangwa biashara inaendelea wateja karibun

    • @lazaromnjeja4572
      @lazaromnjeja4572 5 років тому +1

      Akina herode mpo hata leo hamtaamini mpaka kifo kiwakute

    • @rashidsaid4369
      @rashidsaid4369 3 роки тому

      Jamani fungueni macho na akili zenu.huyu atawafanya Kama kibwetere wa Uganda jamani

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 8 років тому +1

    Wachawi wote wana majina ya dini fulani

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 років тому +1

    Nonsense

  • @MyShau
    @MyShau 10 років тому +1

    huku ulaya kuna masanam mengi na wanayaabu.
    lakini ubaribikiwe kusema ukiristo umetoka ulaya.
    mie kusikiliza haya mafundisho yako. ili kujua matayo 5.37
    najifunza mengi na kuchagachia mengi ili kuona lililo kweli na lililo uongo.
    hakika elimu ni hekima. na uongo ni upumavu

  • @nancyosumba9060
    @nancyosumba9060 8 років тому +1

    mafuzo mazuri na yanafundisha sana

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 роки тому +1

    Hukupotea wewe hapo ulipoanvukia huyo fisi aliwaona wenzie wapo kanisani akawafuata wenziwe tu Gwajima msanii yaani unajua kukusanya hela za wajinga hadi zikutoshe

  • @mwadawasaidi723
    @mwadawasaidi723 7 років тому +4

    Nyie wote mashetani mmbwa nyie mtachomwa moto sibirieni

    • @lazaromnjeja4572
      @lazaromnjeja4572 5 років тому +2

      Jina lenyewe mwadawa hakuna wa kukulaumu maana siyo wewe ni madawa yanafanyakazi

    • @rashidawanga
      @rashidawanga 5 років тому

      We binti koma kama hakuhusu c upite

  • @jackypottrick1pottrick641
    @jackypottrick1pottrick641 6 років тому +3

    Ubarikiwe pastor
    karibu Kenya

  • @dianajepkorir3821
    @dianajepkorir3821 6 років тому +2

    Amen

  • @aminaasman7778
    @aminaasman7778 5 років тому +1

    Amen

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 5 років тому +1

    Amen

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому +1

    Amen