Hii ndio sababu ya RAPCHA kuwachana BABUTALE, YOUNG LUNYA na DIZASTA VINA kwenye STORY NYINGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 328

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 2 роки тому +37

    Kwa Wanao Mfahamu DIZASTA VINA Wataelewa Kuwa Huyo Jamaa Ni NOMA SANA🔥✊🏾

    • @saidcoutinhophillipe1845
      @saidcoutinhophillipe1845 Рік тому +3

      huyo mwamba NI Zaid ya Moto WA shaba yaaani Noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @Arapmisemo
      @Arapmisemo Рік тому +1

      Hana mfano

  • @molenialex4825
    @molenialex4825 2 роки тому +9

    🗣🗣Kwa dizast vina ametukosea sana na ameyakanyaga kwa dizast vina ni next level kabs sio level zake hata kidogo

  • @abrazo2639
    @abrazo2639 2 роки тому +30

    Rapcha kwa dizastaa umepuyanga mzee humuwezi kabisa that guy is a genius

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 роки тому +42

    Dizasta hatotokea tz, one among the best stor teller in the world

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 2 роки тому +4

    Rapcha namueshim kwa kazi zake kari rakini kumdisi DIZASTA hawezi zile levo noma asikie no body safe

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 роки тому +20

    Huu uchambuzi umeenda shule kweli kweli! Bro Sky huna mpinzani aisee

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 2 роки тому +26

    Rapcha naomba uombe pooo tu kwa Dizasta vinna uyu Alitaka kuwa nabii sema ana wema wakutosha 😂😂

    • @byronbornventure3957
      @byronbornventure3957 2 роки тому +1

      Nkubar..

    • @saidcoutinhophillipe1845
      @saidcoutinhophillipe1845 Рік тому

      hapo kazingua sana rapcha Bora angetulia au kuwadiss hao wengine2 ila co DIZASTAVINA hapo kakoleza Moto WA mkaa WA nawe kisha kuweka chumvi ya madonge

  • @reeckstar931
    @reeckstar931 2 роки тому +38

    My top ten hip-hop artists
    1.dizasta vina
    2.dizasta vina
    3.dizasta vina
    5.dizasta vina
    6.dizasta vina
    7.dizasta vina
    8.dizasta vina
    9.dizasta vina
    10.dizasta vina

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 2 роки тому +15

    Fans wa rap rapcha sugu from usa 🇺🇸 Portland Oregon

  • @aissaleekimondoboy
    @aissaleekimondoboy 2 роки тому +10

    Sio kwa dizasta vina ile ni future ya dogo rapcha dizasta ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mudybugu7908
    @mudybugu7908 2 роки тому +11

    Kaka Sky kwanza fanya mpango ufanye interview na Dizasta maana Dizasta ni wasanii sio msanii.

  • @eastlule2081
    @eastlule2081 2 роки тому +16

    Am fucking dizasta fan for life

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 2 роки тому +8

    Dizaxta Akir nying czan kama ana muda huo🔥🔥🔥

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 2 роки тому +18

    Bongo kwa showbizz mnaziweza kweli, apo tunajua wote walishakaa mezani ili wainue mziki wa Rap, ila best of rapper bongo ni mmoja tu DIZASTA VINA

  • @callmelwizz553
    @callmelwizz553 2 роки тому +20

    Nobody is safe 4 Style yangu ime inspire the culture ime inspire the nengos, the shoulins, the nachas, the boshos, the killer, the maarifa, the rapchas nimeacha DNA hata nikidanja sina deni tena

    • @yascoguidezanzibar5925
      @yascoguidezanzibar5925 2 роки тому +2

      Hii ipo kw dizasta?

    • @callmelwizz553
      @callmelwizz553 2 роки тому +1

      @@yascoguidezanzibar5925 yeah man iyo unaipata ndan ya nobody is safe 4 ya dizasta

    • @ibrahimusuphian454
      @ibrahimusuphian454 2 роки тому +2

      Masta na sumu Ka Kobra Simba wa wateranga na nguvu zaidi ya drogba salute

    • @alfredsoso9070
      @alfredsoso9070 Рік тому +1

      kaka inatosha utauaaa

    • @ibrahimusuphian454
      @ibrahimusuphian454 Рік тому +2

      Eyo kutoka panorama nasukuma ringi kisomi mana wakufanya hivi simuoni na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni Kwa mistari mingi kushinda ata nzi sokoni

  • @sevystaronedancer1785
    @sevystaronedancer1785 2 роки тому +27

    Ila rapcha yupo sahihi ,ila hii ya kumudiss Dizasta vina hapa kapotea njia ,mana dizasta ni mkali na ngoma zake ni kal sana

    • @geefire8826
      @geefire8826 2 роки тому +1

      apo atuzungumzii ukali ingekuwa m2 akikuzinguwa bx umuache2 kisa nimkalii Eshima isingekuwepo nakilam2 angekuwa anakaa naki2 moyoni alfu ukumbuke apo hajadiss m2 apo kasema ukweli unao mkela😏

    • @gembesimba
      @gembesimba Рік тому

      Dizasta Ni Bora Ila ameyumba Ktk Watu wanaomdis rapcha yeye Kasapot ndomana kamchana hip-hop haina Unafki

  • @godwinananias5358
    @godwinananias5358 2 роки тому +16

    Kwa Dizasta Vina amejichangny sanaaaaaaa 😅😅

  • @xuperansu
    @xuperansu 2 роки тому +19

    The best media for me SNS forever 🔥🙌🙌🙌🙌

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 2 роки тому +6

    Sky✌wewe ni teacher

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 2 роки тому +16

    Rapcha nomaaa much respect to WANAGU 99 #RAPCHA

  • @cosbytz2370
    @cosbytz2370 2 роки тому +24

    Rapcha kachokoza mzinga kwa Dizasta

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 2 роки тому +7

    Katika Dunia hii hakuna Emceee kama Dizasta Vina. Hao akina Rapcha wote IQ zao hazimfikii Dizasta. Dizasta ni another level

  • @strong8534
    @strong8534 2 роки тому +6

    Brother Sky, mbona kama unachochea kwa mbaaaaali 😂😂😂 (hapo kwa Dizasta)😂

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 2 роки тому +6

    bro unajua kuchambua.. salute sana

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 2 роки тому +30

    *Rapcha kachokoza pabaya Dizasta vina sio wa nchi hii ategemee diss track back*

  • @magnificententertainment9328
    @magnificententertainment9328 2 роки тому +2

    Promising na upcoming ni vitu 2 tofauti. Huyu ni Promising....na Promising sio chipukizi....upcoming ndo chipukizi...

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 2 роки тому +3

    Asante Sana brother sky... Angalau nimelewa nilikua najiuliza maswal mengi bada ya kuskiliza huu wimbo

  • @mudybugu7908
    @mudybugu7908 2 роки тому +6

    Album 3 za Rapcha ni Sawa na Ngoma moja ya Dizasta Vina

  • @duweetherapytalk4656
    @duweetherapytalk4656 2 роки тому +6

    KWANI BABUTALE YE NANI ATOE LIST

  • @iam_INGWEE
    @iam_INGWEE 2 роки тому +2

    Eti Dizasta Vina, ni kama kujipeleka kichinjio mwenyewe

  • @tommytyga4417
    @tommytyga4417 2 роки тому +7

    Sema huyu chalii kama kachokoza nyuki hamjui Vina vzr

  • @MrLionVictor
    @MrLionVictor Рік тому

    dah uchambuzi umenyooka! media bora sana

  • @etiennezango9180
    @etiennezango9180 2 роки тому +10

    Sky, for real Nipo 🇺🇸 na SNS na Millard Ayo ndio sehem mbili nina enjoy kusikiliza, big up bro.

  • @starford
    @starford 2 роки тому +25

    I like how you break down these lyrics Sky. You really dig Bongo Hip-Hop

  • @salashbooben5563
    @salashbooben5563 2 роки тому +4

    Shukran sana bro sky
    Yani nmeskia hii track ila skua nimeelewa kitu hata kimoja
    Ivi naelewa mwanzo mwisho🙏🙏

  • @kelvinkomba2938
    @kelvinkomba2938 Рік тому +1

    Dizasta is the next level to rapcha so heshima kwakeeee,,,eventhaugh tunaheshm uwezo wa rapcha,,,

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 2 роки тому +3

    Me Hata Sijaelewa Shida Ya Young Lunya Iko Wapi Hapo ...Huyo Itakuwa Ana Personal Beef

  • @motrathefuture
    @motrathefuture 2 роки тому +3

    😂😂😂 chapcha bhana

    • @adinankojulianko219
      @adinankojulianko219 2 роки тому +1

      Show Respect Mzee, Chapcha ndo nn Kakuzidi Parefu sana huyo Jamaa 164K subscriber's. Una 20.9K Still Bado unazngua

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 2 роки тому +2

    Belle 9,song WATU, wacheni mambo mengi

  • @GamechangerTz
    @GamechangerTz 2 роки тому +2

    Umetafsiri Izi bars vizuri sana Anko Sky ata km vingine hujaviaddress vile Rapcha May be alikuwa ametarget viwe ila kwa karibia asilimia 90 au zaidi kilichoimbwa mule ndo kitu ulichokitafasili 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @barakastephan9425
    @barakastephan9425 2 роки тому +15

    Hapa kwa Dizasta, rapcha kaingia chaka😀😀😃

  • @m___ck799
    @m___ck799 2 роки тому +4

    I like this guy..I only follow him and Mwana FA katika rappers Tz 🔥

  • @maulidubaya
    @maulidubaya 2 роки тому +4

    Rapcha kauwa banaa kasema ukwel wake sio msanii chipukizi kwasas apewe heshima yake ila wabongo atuangalii ilo tunaona kama katafuta kiki lakin kwa upande wangu namtu ambae anamwelewa Rapcha na mziki wake nisahihi Aaaah mm sina shaka nawew Mwanangu 99

  • @elibarikilukasimakala5534
    @elibarikilukasimakala5534 2 роки тому +1

    Prof Tungo sio level zako kk

  • @guccij6236
    @guccij6236 2 роки тому +17

    Napenda Sanaa mziki wa Diss

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 2 роки тому +9

    Hakuna maana ya hip-hop hapo tatizo ni utoto tu,lakini disaster ni bonge la mtu

  • @musicworldwide2625
    @musicworldwide2625 2 роки тому +3

    DIZASTA NI MOTO MWINGINE BONGO

  • @kalziidazamba2862
    @kalziidazamba2862 2 роки тому +16

    Uyu babu tale nae kakosea kwa uwezo wa rapcha sio wakuwekwa kwenye hii list..uku kwetu mozambique🇲🇿 mbona tunakubali uwezo wa rapcha hasa katika ile ngoma yake ya lissa.. daah..🔥🔥

  • @lutegochangarawe412
    @lutegochangarawe412 2 роки тому +1

    Ahsante kwa uffanuzi brother sky umebadilisha ulimwengu wa Giza kuwa Nuru🙏🙏🙏

  • @roybazigu765
    @roybazigu765 2 роки тому

    Acha Kumfananisha Dizasta Vina na watoto wasiojua Kuchana na kuandika…. 🎤✍️

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 2 роки тому +4

    Swa swa niliuskia wimbo ila siku Uelewa vizuri Asante #Sns

  • @_maky26
    @_maky26 2 роки тому +1

    Mzee yani huyu dogo umejichanganya dizasta siyo level zake kabisa mzee

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 2 роки тому +3

    Heshima sana SKY... Respect!

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 2 роки тому +2

    Ukovr

  • @Damiantuby
    @Damiantuby 2 роки тому +9

    Rapcha kajitahidi, ila Kwa mtu kama Black maradona hata ikitokea kajibu diss Rapcha anaweza asielewe kama kajibiwa🚶🏿‍♂️

  • @kayjuma2629
    @kayjuma2629 2 роки тому +5

    Sky umeelezea poa kama ulitunga nae vile 🔥🔥🔥

  • @Kingsagey_
    @Kingsagey_ 2 роки тому +6

    Sky fire kaka niuchambuzi flani mkali

  • @decotz3947
    @decotz3947 2 роки тому +11

    Kumchama Dizasta ni kushushia heshima mistari

  • @amnailmtulya1533
    @amnailmtulya1533 2 роки тому

    seriously 😃😃😃😃 wanakusikiliza kama President...hii ni uongo bhana

  • @zombiiUpdates
    @zombiiUpdates 2 роки тому +6

    Rapcha katoka kwa story teller songs alafu anataka ku mdiss baba ake story king

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 роки тому +73

    Dizasta Vina hana mfano kwa hapa Bongo na east africa nzima. Ni jiniaz yule jamaa

  • @shavaivagefrata7113
    @shavaivagefrata7113 2 роки тому +2

    kuna vitu vya msingi vya kuimba ila hapa umekosa vya kuimba uwezo wako tunaukubali sana kingine Lunya ni level za juu saan mdogo wetu

  • @darkrhymes2927
    @darkrhymes2927 Рік тому +1

    Rapcha bado Sana kwa Dizasta! Dizasta is our culture!!

  • @goramatz9488
    @goramatz9488 2 роки тому +1

    @dizastavina 😂😂😂 uyu jamaa atengwe🙌🏿

  • @pst.AngeMwande
    @pst.AngeMwande Рік тому

    Daaah umeuchambua utamuuu Sana congrats big

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 2 роки тому +3

    I love it aaaaaah

  • @aloyceroscher7892
    @aloyceroscher7892 2 роки тому

    Dizasta vina asiongelewe ovyo plz😎

  • @nizobeatz90
    @nizobeatz90 2 роки тому +2

    we jamaa unajua sana kuelezea ngomA

  • @alllymadulago7200
    @alllymadulago7200 2 роки тому +2

    dizasta vina ndio future yako....dogo kuwa na heshima

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 2 роки тому +3

    sasa huo kinyago hajulikani mimi mwenyewe namuona hapa sikukua namujua jamani akajambe huko sasa anajua nini jamani kubali kwani sarafina njo nani

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому

    DIZASTA VINA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @calvinmalik
    @calvinmalik Рік тому

    Hakuna rappa wakumfananisha na dizasta vina. Nashangaa huyu dg rapcha mtoto mzuri anajaribu kutunisha misuli ya chipsi mayai

  • @mzenjikichaa8695
    @mzenjikichaa8695 2 роки тому +2

    Nakubali sana rapcha

  • @calvinmathiace9512
    @calvinmathiace9512 Рік тому

    Dizasta ameshaijibu hiyo kweny #BEST FRIEND

  • @yayabruce7161
    @yayabruce7161 2 роки тому +3

    Nakubali kwaufafanuzi🙏🏿🙏🏿

  • @fredymushy9674
    @fredymushy9674 2 роки тому

    Upo vizur Fred big up broo endelea ivi tupo pamoja....99

  • @mzirairebeca9996
    @mzirairebeca9996 2 роки тому +16

    Brother sky hivi hata hao wanaojiita wameishi chicago wanashindwa tafasiri promising? Of course promising inaweza maanisha chipukizi ila hili neno linawafiti hao madogo hata marioo na ukali wake bado ni promising sababu ni talent kubwa zinazoonyesha ukubwa mbeleni.
    NB: Waambie waache jishauwa na lugha za watu ka terminologies ndogo ndogo za washinda wawe tu waswazi ka sie na huo umarekani wao.

  • @micochazi9153
    @micochazi9153 2 роки тому +5

    Ebu kwanza acheni kumtaja dizasta kwa vitu vya kikuma

  • @jaymonsterbeat6919
    @jaymonsterbeat6919 Рік тому

    Oya dizast ni rap machine

  • @kelvinissah3108
    @kelvinissah3108 Рік тому

    Daah oi rapcha .we mkali illa......dizasta is like earthquake,Tsunami,flood.&etc. D vina.sio mbaya we vunga tu

  • @queenkanyange5616
    @queenkanyange5616 2 роки тому

    Uchambuzi umekwenda shule Buda respect

  • @darhustler
    @darhustler 2 роки тому

    Unatembea vizuri sana kwenye kuchambua mashairi ya kufoka (rap).

  • @conciousclement2
    @conciousclement2 2 роки тому +1

    SnS Forever 🙌🙌🙌

  • @Hashdough
    @Hashdough 2 роки тому +4

    PROMISING NA UPCOMING SIO KITU KIMOJA THO!!!

  • @saveyourgenerationtv9928
    @saveyourgenerationtv9928 Рік тому

    Ukichukua hiyo list ya babu tale ukijumlisha uwezo wao bado hawamfikii Dizasta vina

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 роки тому +3

    Hip hop ya bongo inakua sana madogo wanarap kaama wakina jay z kanyewest maasta wa marekani kawaida diisss that’s is hip hop no gun shot

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 роки тому +2

    Mm ndio maana mm nasema ao ziongozi wanafanya mambo yakitoto

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 2 роки тому +2

    Mmmh rapcha naye ni nani 🤔 honestly nimemjua leo,

  • @listerlugisho52
    @listerlugisho52 Рік тому

    Ulijua Sana kuzungumzia ishu ya dizasta... Dizasta Ni hatar xana

  • @mosembamakindi8723
    @mosembamakindi8723 Рік тому

    Dizasta🔥🔥🔥

  • @hitmanhunter9557
    @hitmanhunter9557 Рік тому

    Pia hyo i kip it 99 alisema kua no can be 100 % percent ndomaana anatumiaga 99 aki acknowledge kua kuna 1% wote tunaweza teleza.

  • @mullahkaposo6663
    @mullahkaposo6663 2 роки тому

    Thankyu sky🔥

  • @ommyfitness
    @ommyfitness 2 роки тому +3

    Rapcha na Dizasta wote Wanangu wasiengage Tena

  • @valentinekigahe9707
    @valentinekigahe9707 2 роки тому +1

    Kaandika sana rapcha humu

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 2 роки тому +1

    Tale kafara aliyo itoa ili apate ubunge sasa yaanza,kumpeleka resi.Bungeni hua achangii mada,ila anakuja Insta kuwadiss watu.Mtu mzima unapo shindwa kuonyesha heshima kwa ulio wazidi umri,basi yabidi uvumilie utakapo anza kutukanwa.

  • @talibthetruth8709
    @talibthetruth8709 Рік тому

    Dizasta ndio rapa mwenye Puch kali kuliko woooote

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 роки тому +4

    Huyo dogo ata sauti yake bado sana hatoshi kwa young lunya and Conboi

  • @asad_9253
    @asad_9253 2 роки тому +32

    Kukubali maoni ya watu haimaanishi ndo uhalisia uko hivyo. Huwezi kukuta Tajiri anaforce aitwe Tajiri. Ila kazi zake zenyewe zinaongea.
    Kama kaifanya hii ngoma kwa userious basi atakuwa yupo kwenye msongo wa mawazo na anaweza jikuta ana haribu mahusiano na watu wengi amabo yupo nao industry moja.
    Lkn kama kaifanya kwa target ya watu kurudi kumzungumzia na ku endelea kukaa kwenye vinywa vya watu na kuzidi kufanya kazi basi hapa naona atafanikiwa kwa hilo.
    Asante haya ni maoni yang t

    • @t3probeatz
      @t3probeatz 2 роки тому +3

      Mtazamo wako ni mzuri,, lakini Kwenye hiphop, Majigambo na distracks ni kawaida.. hii yote ni sanaa tu

    • @Mrp_manguluwe
      @Mrp_manguluwe 2 роки тому +1

      Sahihi boss

    • @saidcoutinhophillipe1845
      @saidcoutinhophillipe1845 Рік тому +1

      ila huko alikokugusa kwa huyo mwamba DIZASTAVINA kaenda kubaya sana

    • @ernestnyoni9912
      @ernestnyoni9912 Рік тому

      Umepita mule mule

  • @THEO_CULTURE
    @THEO_CULTURE Рік тому

    Sasa rapcha kapata dongo uko la dk 8 😁😁😁🙌🙌🙌🙌

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 роки тому +2

    Bora Angemueka Lavalava.