NGWAIR ALINIFUTISHA MISTARI YANGU | NILIKUA 2 PAC | SIMUWEZI JAMAA
Вставка
- Опубліковано 11 вер 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Wangap tumeskiliza tena ngoma ya cnn baada ya kuangalia interview hii😁😁
Mule mule hata mimi
Mimi aseee
Nahis ni wewe pekeee
Nimo
Straight kwenye search bar baada ya hii..
Daah,nimesikiliza verses mpk nimesisimka mwili rip gwear🔥🔥
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ua-cam.com/video/By9CmvPOy7M/v-deo.html
Nakumbuka 2004 nilikua narap ngoma za fid q daaah teacher alinikamata nikala bakola xana Fareed namkubali xana
CCN ngoma haichuji hii salute
The Regend speaking huwa nikimskiliza Fq najiona kama nipo studio kabisaaaaa live yaani namuona kabisa, RIP Ngwear
Ngwair ni Smart Genius Rapper.
Trueee
Mangwea alikuwa kichwa ✊✊ R I P legend
This why hip hop is our doctrine and was created for intelligent musicians. Rapping is not the purpose, but content/lyrics is what makes you genius.
We have so many rappers who don't sound lyrical at all. Well said mate
Cjawahi kucomment kbs kipindi hiki ila leo mhh hapana huyu jamaa mtu na nusu mnyama chuma like kama zote kwa FDQ
Fid q ni kichwa madini
Kiufupi Fid Q anathibitisha, CNN iliandaliwa studio ndani ya siku moja kwa freestyl na wasanii wenye uwezo wa juu zaidi wakishirikiana na producer bora kabisa kuwahikutokea.
Nipo around Mazeeee..... Unyamaaaa ! All time greatest rapper ever
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ua-cam.com/video/By9CmvPOy7M/v-deo.html
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ua-cam.com/video/By9CmvPOy7M/v-deo.html
Rip legend ngwea ...bado mpaka hakujapatikana pengo lako
Salute sana asee uyu jamaa ni sumu
Ngwea alikuwa na kichwa chepesi sana sio Fid Q tu hata Chid Benz alirudia mistari kwenye spedi 120
Wewe ulkua umekutana na fleg respect the legend farid
FARIDI KUBANDA( FID Q) ulikuwa unampenda sana NGWEA mpaka naona Ulivo na uchungu ndani yako !
Banae kaka,, umeona💯☝️mpka we mwenyewe malaika inasisismka😢
@@Ali-gk5mv ndio ndio kaka
Daaah rest in peace albert mangwear✊🏿
FIDQ is a heavyweight rapper!!! Lakini huyu marehemu Ngweir alikuwa balaa kijana mwepesi kuflow anachana sana
Ngweir kama BobMarley vile haitaji siku,mahali ama sijui nini...yeye mpe beat utaona akiflow.
Ngweir rest in peace mazee.
Ngwair was genius
Hahahahahhaaaaahahahahhaahhaaah... Yani watu wana doh, mpaka sooh, na bado deile wana get moh... We miss you NGWEA
Sijui mara ya mia ngapi nairudia hii interview😀😀
Tz mangwea is the best
Rest in peace ngwea
Ungechana iyo verse ambayo uliifuta tuisikie. Km vp ingependeza sana
Love you broooooooooooooooooooooo ww ni hatarrrrrrrr mnooooo
..ulifuta mistari na bado ukazidiwa😂🤣😂
Roll In Peace Mangwear😭
Umetisha.
Ngwea is big rapper rest and peace
Wana hip hop mungu kawabark kwa kumbukumbu
Hakuna kama ngwear 😰🔥🔥
R.I.P Albert Mangwair mwamba wa H.o.P Tz in Century21 like za kutosha on behalf of Albert Mangwair
NGweya chafu isiyo chafuka wewe😢😢😢
Ka-weezy #Rip Ngwair
KAMA HYO VERSE BADO IPO TUNAOMBA MUIACHIE HIYO NGOMA TUISIKIE.....dah r.I.p Ngwair
Nakubali fid q.
Mzee MBUZI🤭🤘
Kwa Godzilla pia ulikubali💥
Godzilla ilikuwa noma
Always vichwa vnavyotoka Morogoro so conscious
Big respect FID Q
Rip ngwear😭
Mzee Mbuziii
R.I.P Ngwea🙏🏼❤️
Mbona ujasema alivokuwa mzima Ngwea.
Ngwea rip 🙏🙏🙏
Fid wew mnyamwez
Genius rapper. Rest In Peace Cow Obama
Mangwear mtoto wa Dom __R I P
Fid q ni faza wa hiphop
Napendaga kila siku media zote zimuhoji FID Q
Dahhhh
Farid Kubandaaaa
R.I.P KaObama
"kisa hujawahi pigwa boo basi unajiona tupaaaac"
😂😂🤣🤣🤣🤣 Noma sana
Mnyama
Cjui kwann watu kama ngwear kama 2Pac wanaendaga mapema
Ila Bado ulifunikwa tu kaka
Respect sana.
Hip hop huwa ina mafeelings sana basi tu bongo haijapata bahati ya kupendwa kiviiile
Big up sana kubanda
R.I.P Ngwea the Legendary
Rest In paradise
Wanangu wafaida
Fid q pia aliua
Ila bado alikalishwa
@@haroubabuu1144 verse ya fid q ni kali sana, mpe sifa akiwa ahi, usigoje mtu afe ndo useme alikuwa alikuwa
Fid nimekukbal umekua muwaz
Nakubali 💪💪 xan
Usipitwe na hii, Pitia ufundi huu alafu nambie, ua-cam.com/video/By9CmvPOy7M/v-deo.html
Hakuna mtu ataliziba pengo la ngwea
Umelitangaza Jiji la Dodoma
Rip Gwair😭🙏
Rip Mangweir..
Mangwear tutakukumbuka
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
🙆♂️🙆♂️🙆♂️
👏👏👏👏👏👏
Musukuma mjanja Sana huyu dah fdq
Fid
Albert👑
Hiyo verce ya CNN kwa nini aliimba tofauti Na maudhui ya wimbo
Ashachanganyikiwa kafunikwa😂😂😂
Rip gwair
Fid Q simba wami chanooo
Rip ngwea
Rip mangwea
Og
Fid Q
😭😭😭😭😭
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
ngwea chumah kile
Hahaha ® 🇹🇿
🇧🇷🇧🇷🇹🇿🤙
Nani ameona fid p kwenye pensi lake:
ana busha
Zuchu kapata ajali tumuombeeua-cam.com/video/lmpA8RdJJZg/v-deo.html
Fd q
😂😂😂😂
R.I.P Albert Mangwair mwamba wa H.o.P Tz in Century21 like za kutosha on behalf of Albert Mangwair
Ngwea alikuwa kiboko🔥🔥🔥