Uwe unaongea kwa kutulia. Ikiwezekana andika orodha ya utaratibu halafu usome taratibu. Mfano 1. Pata tiketi ya kusafiri. 2.kama ni safari ya ndani uwe na kitambulisho chenye picha. 4..… Tumia maneno ya heshima. Usitumie 'atakupiga biti kali'
Unatakiwa uwe na hata ya kusafiria ya mda mrefu au mfupi( pasport) pia naul ya ndege au busi ukifika mpakan watagonga muhuli kwenye pasipot na kukujuza siku za kuka tz km jirani
@@fatmahkhamis9510 sijaelewa? km una naul na pasport. Tz na kenya kuna ujiran mwema hivyo visa/ ruhusa ya kuingia tz unapewa mpakan sasa nenda kituo cha basi au online au kw wakala wa ndege then kata tiket kwenda Tz. unatakiwa uwe na tiket na pasport utakapofika mpakani( cheki pia masharti ya covid km yapo)
Inawezekana km ndege ipo au zipo pia kuwepo na nafasi ila mara nyingi siyo za nje ya nchi pia bei inakuwa kubwa kwa tiket ya siku hiyo hiyo na mda mfup tu safari
Hahahahahah ahsante bro kwa mwongozo wako mzr
🙏🙏🙏🙏
Kaka nimetumiwa mizigo wangu kutoa London umefika Zanzibar naupataje
Safi sana
Karibu
Asante kwa maelekezo mazuri
Safi
Hi Chriss,asante kwa tips.ubarikiwe
Karibu, Like, Share na wengine wapata, pia Subscribe
Uko vizur
Safi sana ndugu kwa kutuelekeza
Asante
Uwe unaongea kwa kutulia.
Ikiwezekana andika orodha ya utaratibu halafu usome taratibu.
Mfano
1. Pata tiketi ya kusafiri.
2.kama ni safari ya ndani uwe na kitambulisho chenye picha.
4..…
Tumia maneno ya heshima. Usitumie 'atakupiga biti kali'
Mimi kunamzingo nimetumua sas natuma pesa wanambia et pesa y tanzania ni ndog kwa kenya nifanye nini ili kupata mzingo wangu kaak😢
Sio wale matapeli wew 😂😂
Samahani kaka naomba kuhuzulia je ukiangiza mzingo kukufikiavinabidi ulipie shingapi
Mzigo kutoka wap had wapi? Kwa njia gani? Wachek DHL,
Mmmh
Karibu
Asante
Karibu
Thanks bro
👍👍Share na Subscribe plz
@@MazulaAbund where is party 11 and 12
Ticket ya ndege wakesha kutumia unaenda kuitoa copy?
Ndiyo
Jee unaweza kubeba perfume kwenye begi la chini
Unaweza
Unabeba
Airport watu huwa wanatupa Sana vitu Asa oman 😂😂😂😂😂 MI ndomaana natumaga cargo afu naondoka na mzigo wa kilo zinazotakiwa
Kwaiyo auruhusiwi kusafiri na parefum ya aina yoyote
Ndiyo
Unaruhusiwa ina unaweka kwenye begi linaloingia sehem ya mizigo, kwenye sehem ya abiria kuna shart la ujazo ambao ni ndogo sana
Kaka naomba no yako
Naandaa namba afu ntaweka hapo kwa ajir ya watu wote watakao hitaji
Kwa mfano kama uko kenya unataka kwenda Tanzania utafanya nn help me plz🙏🙏
Unatakiwa uwe na hata ya kusafiria ya mda mrefu au mfupi( pasport) pia naul ya ndege au busi ukifika mpakan watagonga muhuli kwenye pasipot na kukujuza siku za kuka tz km jirani
Passport niko nayo nauli pia lakin hii hata inapatikana kama wap??
@@fatmahkhamis9510 sijaelewa? km una naul na pasport. Tz na kenya kuna ujiran mwema hivyo visa/ ruhusa ya kuingia tz unapewa mpakan sasa nenda kituo cha basi au online au kw wakala wa ndege then kata tiket kwenda Tz. unatakiwa uwe na tiket na pasport utakapofika mpakani( cheki pia masharti ya covid km yapo)
@@MazulaAbund Asante sana kwa kunieleweshua vizur 🙏🙏
@@fatmahkhamis9510 Karibu, Subscribe, share hizo video na wengine wafaham zaid nk
Maybe fire ya kwenda Tanzania ni kama ngap ni kiwa kenya
check online ila siyo ghali sana
@@MazulaAbund Asante kakangu 🙏🙏
@@Glorie711 Karibu, Subscribe, Like and Share na wengine wapate kujua na kuona
Kaka je unaweza pata ticketi hapo hapo airport ile siku ya safar?
Inawezekana km ndege ipo au zipo pia kuwepo na nafasi ila mara nyingi siyo za nje ya nchi pia bei inakuwa kubwa kwa tiket ya siku hiyo hiyo na mda mfup tu safari
Nisaidie nataak kusafiri kwa ndege na sina kitambulisho chochote mpenziii 😢😢😢
Tafuta kitambulisho kwanza
@@MazulaAbund nakitambulisho Cha mpiga kura tyu jomni na natakiwa niende kesho kutwa ntafanyaj na naenda dar natokea dom
Kuna watu wanao kuelekeza if you need support ukiwa upo airport na haujui utaratibu
kuna wafanyakaza mara nying wamevaa unifom unaweza wauliza, au kuna sehem( dawati) la maulizo nk
@@MazulaAbund but kuna ugumu kupata pass ya kusafiria na precess zipoje na ghArama kwa ujumla
@@LyonWalker_ ua-cam.com/video/vwiYJtXHqZY/v-deo.html
Me niliuliza palepale wakat nakaguliwa mabegi
hahah Kama mm wakat naenda Denmark kha nyie hapana🤣🤣
Mmmh nimeogopa nyie hakuna kusemeshana tunafka tumenuniana tu
Usiogope ni tahadhari za kiusalama tu
Ivi nauli ya kwenda Nigeria Sasa ivi nishingapi
Km dola mia tatu hiv ila ulizia kwenye hizo wakala wa safar z ndege au chek online kupitia ethiopian airways