DIAMOND ALINIOMBA KOLABO | BABU TALE AKANIPIGIA | NILIKATAA
Вставка
- Опубліковано 11 вер 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Namkubali sana ngosha the don huyu nimiongoni mwa wasanii waliofanya nikubali hiphop
*Kama Fid Q amekubali ni Diamond platnumz ni msanii namba moja nchini pia hata kwenye mafanikio wewe nani upinge?*
😂
Atakayekataa ni mchawi 😆
I love Farid ngosha na chemistry yake na vanny na Mondi ilikuwa poa san@ hope for new colabo
Fid Q hatari saana naqubare mkuuuu 🔥🔥🔥🙌🙌👏👏👏💪💪💪 Chibu dangote ni 🌏
Mhh Fid Q mtu na nusu aisee noma sana aisee
nakukubali sana fq sana tu hua unasema kweli
Nice sana
I told you that My boy FID Q 🔥🔥🔥🔥..... just listen his interview 🐐🐐🔥💯
Daah gud sana
Mnaona Wasanii Wakubwa wenye uwezo wa Madini katika Bongoflava Bongo Hip Hop Sio Wasanii wenu wenye uwezo piliton, Kiki skendo nyingi
Wanaforce tu muziki
Fiq kumbe ni comedian mzuri,
Wasafi wako juu
Rayvanny 😀
Moaka ninerudia kiangalia nyimbo yenyewe😄😄😄😄😄
🔥🔥
🦁💥💎💥 simba
Hii show ni wapi na kiingilio ni bei gn
Makumbusho
@@mosesmahinya9654 kiingilio sh ngp
@@irenejoas2956 kiingilio Ni denda
@@rossetemlay7263 khaaa🤣🤣🤣
@@rossetemlay7263 denda tunakupiga wewe?🤓
Mwanzo ray vany alidai hakuwepo walimpigia duuh
Namba one
Hilo liko wazi kuwa Lyon ni No1 kwa kila k2
Aaaah😳😳😳
Yani huyu akatae huyu achachacha !!!! Ebu toka hapa
❤
Ndio diamond ni number moja tz
Ukiona haki inakiukwa ujue ndo saa yamabadiliko FID Q
💥💥💥🦁🦁★🦁
Yupo wapi msanii namba moja
Vanny bwayy🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeipenda hiyo sina fagio haha haaa
🐐
Bro fid q
Fid q
Xn tu
Huyu jamaa anaongea saf san
Mzee muongo muongo sana huyu.
Rayvanny ni steamer kuliko diamond tatizo lake tu hajiamini
Fd
Eeeee
fid nakumbali
Nimependa amejiimbisha😂😂😂😂
Kubl SN fdq
Fidi hatar sana wewe kiumbe
Gosha ww mtu mzma hapo uko wasafi hauko clauds tv wajichora hapo hio interview yatakikana diamond awepo akuchora
Fid ni mnafiki
Toa sababu
Aje bruh?
huyu jamaa, majisifu mingi mno
Kwenye mafanikio sawa hayo nimajaliwa lkn kwenye muimbaji number moja Hilo mmhh no no au nani kafanya hio competition alafu kashinda hilo taji lilikua lini mwaka gani siku gani na wapi wacheni propaganda kwenye music.
Ndo namba moja ss
Juma jay unateseka ukiwa wapi?
Haya wew ndo namba moja tuone utapata nn
Basi chagua ww ulizike maana kasema fundi ngosha.
We utakua una mapepo si bure fanya umuone gwajima mana cku si nyingi utaanza kuvua nguo na kukimbia barabarani alokuroga kafaaa
Ivyo nyinyi waxafi amuwezi kunzungumzia mxanii mliemuita kazi daimond tu
Sasa na wewe fungua kituo chako uwaulize wasanii unachotaka
Twende
ua-cam.com/video/IvxL4Jxzfd4/v-deo.html
Zuchu kapata ajali tumuombeeua-cam.com/video/jdISDiWGE7g/v-deo.html