LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 121

  • @chirwaellace1093
    @chirwaellace1093 Рік тому +13

    Nimefanya maamuzi yakuacha kazi mda wowote, watu wananiuliza kwanini unaacha kazi kabla haujapata ingine. Kiukweri hii kazi Sina amani nao

  • @ImmaMusic-b9v
    @ImmaMusic-b9v 23 години тому

    Mimi ninani hadi nipingane na ukweli huu
    Doctor umeongea kitu sambamba namitazamo yangu yakila siku"na kuanzia sasa ugonjwa wangu umepona " God bless u🎉

  • @AmaniRamadhani-rw8jp
    @AmaniRamadhani-rw8jp 5 місяців тому +6

    Balikiwa sana kaka ww nimtu muhim sana kwenye maisha ya watu wengi ishi myaka ming

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому +4

    Joel Joel saa 12; kamili ndo naamka nakutana na hii click🙏Jana nimepata cop ya Cheri changu Cha ndoa,Cheti kilipotea,Mme wangu alinikimbia na watot wetu wawili akawatelekeza,ameoa na amezaa na mwanamk kamuwek kwenye nyumba niliyojenga nae,nataka anipe tarak lakini Nina Hofu Sana Asante Sana,

  • @meggy5268
    @meggy5268 Рік тому +4

    Mungu anisaidie nipone na nitoke kwenye mambo ya hofu na nijipe mouo

  • @frankjoshua6869
    @frankjoshua6869 Рік тому +10

    Mungu akubariki sana, kwa maana unatusaidia vijana wengi sana kwa masomo yako japo hatujitokezi na kushukuru, binafsi umenisaidia sana katika swala la kujiali, kitabu chako cha Timiza malengo yako kimenisaidia sana nakumbuka mwaka 2017 nilikua natamani kufanya kitu changu mwenyewe lakini nilikua nimenasa kwenye office za watu na nilikua sielewi natokaje, baada tu yakusoma Timiza malengo yako hakika nilipata ujasili na atimaye mwak 2019 nikaanza kujitegemea na kufanya kazi yangu mwenyewe aiseee Mungu akutunze sana kaka yangu.

  • @meryjohn7215
    @meryjohn7215 Рік тому +4

    Hofu nyngine inatokana na maisha waliyoishi kuanzia walipokuwa watot inatesa sana

  • @RosecharlesMollel
    @RosecharlesMollel Рік тому +6

    ❤❤ umenitoa mbali sana Mungu akubariki

  • @ElineemaElibariki-vq4si
    @ElineemaElibariki-vq4si 25 днів тому

    Amen kaka🙏🙏hakika mafundisho yako yanatuimarisha na kutusaidia Mungu akubariki

  • @neemacurthbert
    @neemacurthbert Рік тому +3

    Kaka kwakweli umekua mwalim mzuli na umekua sehem yabalaka kwawengi masomo yako yamesaidia wengi balikiwa sana kaka

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 Рік тому +2

    Amen, Mwalimu Dr Joel nanauka ubarikiwe sana nakufuatilia upo vizuri sn

  • @SadikiKiriti
    @SadikiKiriti Місяць тому +1

    Mungu akuongoze na afya njema

  • @Zefaniamwambagi
    @Zefaniamwambagi Місяць тому

    Mungu akupe maisha marefu umenibalisha sana

  • @ramadhanalmashamza3458
    @ramadhanalmashamza3458 Рік тому +3

    Kaka ubarikiwe sana wewe ni life kocha wangu kila siku unanimotivate kusonga mbele

  • @saidside2838
    @saidside2838 Рік тому +1

    Badoo najifunza mwnyezi mungu akuwekee tuzd kupata elim kaka

  • @sharifasuleiman8297
    @sharifasuleiman8297 Рік тому +2

    Wewe ni daktar tosha mungu akubariki🙏

  • @yahyasirlim4928
    @yahyasirlim4928 Рік тому +5

    sijutiiii mbs zangu zikiisha kwa kujifunza kwa kutizama video zako life coach

  • @JudithNakajumo
    @JudithNakajumo Рік тому +3

    Kaka mungu akubariki Sana...kuna mengi nimefanya Kwa mafunzo yako na nimekaa sawa sasa kaka

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 Рік тому +2

    Petro alizama kwasababu ya hofu Asante kwa ujumbe mzuri siku haipiti bila kusikia ujumbe wako

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 Рік тому +2

    Ukweli mtupu hofu ni mbaya , 🎙️

  • @StevenMwarabu-r2b
    @StevenMwarabu-r2b 4 дні тому

    Asante sana mwalim wangu

  • @kelvinarnold
    @kelvinarnold Рік тому +2

    🎉ni kwel kuishi kwa kuhofia watu ni hatari sana kwenye maisha ya kila cku,barkiwa sana mtumishi

  • @annamallya8756
    @annamallya8756 Рік тому +1

    Ahsante sana kaka,nimejifunza mengi na naendelea kujifunza Mwenyezi Mungu azid kukubariki

  • @mussalrugegwa6147
    @mussalrugegwa6147 Рік тому +5

    Asante sana kaka yangu kwa kuniokoa maan na hofu ya kuanza upya kwasababu nimejiestablish kwenye eneo moja mda mrefu

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 4 місяці тому +2

    Amen 🙏

  • @dulesame1193
    @dulesame1193 Рік тому +1

    Kwa sasa naishi kwenye furaha baada ya Kujua kusudi langu hapa duniani ahsante sana na nabii *+ Joel nanauka

  • @julianafaustine6178
    @julianafaustine6178 6 місяців тому

    Amen ubarikiwe mnoo mtu WA Mungu, hakika Mungu anakutumia kubadili maisha ya watu

  • @ButingaMasunga
    @ButingaMasunga 9 місяців тому

    Hongela Sana kaka Make nine elewa vitu vingi kwako na nimejitambua palefu sana hatali

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Рік тому +1

    BARIKIWA Joel, MUNGU Akulinde na Kukutunza uzidi kutuelimisha.

  • @zuberymasalu1452
    @zuberymasalu1452 Рік тому +1

    Hofu ndio inatufanya tushindwe hata kutimiza malengo yetu ila hongera sana Mr kwa somo Zur endelea kubalikiwa

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm Рік тому +2

    Kabisaa kaka unaongea vitu muhimu sana kwenye maisha

  • @kikometecnology9963
    @kikometecnology9963 Рік тому

    Mungubazidi kukutumia zaid juu ya watu wake mungu akulinde sana kaka wengi bado tunakuitaji

  • @yokimrossie3536
    @yokimrossie3536 Рік тому

    Aise Leo umeniamsha kwenye usingz mzito Mungu akubariki akupe afya njema uzidi kutufungua

  • @issakatety3535
    @issakatety3535 Рік тому

    Kaka nakushukuru sana niliweza kuzishinda hofu za kuanza muda mrefu sana nilivoanza kukufatilia

  • @WapekeeMwashua-oo9fv
    @WapekeeMwashua-oo9fv Рік тому +1

    Asante Kaka mungu akupe maalifazaidi usikate tamaa unatuelimisha

  • @BernardMango-wr4hb
    @BernardMango-wr4hb 7 місяців тому

    Asante kaka joel Umenitibuleo kaka

  • @mpokimwakisimba692
    @mpokimwakisimba692 5 місяців тому

    You are the best JN 🎉🎉🎉

  • @ramadhaninyuki
    @ramadhaninyuki 2 місяці тому +1

    Upo vzr kaka

  • @directorpatron6995
    @directorpatron6995 6 місяців тому +1

    ubarikiwe kaka mimi uwa nina hofu yakuanzisha jambo

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 Рік тому

    Hofu ilinikuta lkn alhamdulillah nipo out of my contry na life linasonga mwanzo nilipata shida mungu akubariki

  • @niyongabogady1100
    @niyongabogady1100 Рік тому

    Huu ni Mwalimu wangu pia tangu naanza kufuata mafundisho yake yamenijenga sana .

  • @kuruthumukondo7149
    @kuruthumukondo7149 11 місяців тому

    You're correct my brother, don't compare with another person ❤❤

  • @mohamedkudura8114
    @mohamedkudura8114 Рік тому

    Allah AKULIPE KHERI,darsa tamu

  • @euphraziandalahwa-dv4qw
    @euphraziandalahwa-dv4qw 5 місяців тому

    Asante sana nimefungua duka nilihofu kabisa kama nitapata wateja

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 Рік тому +3

    Hofu ni kikwazo katika kuanza jambo nisahihi kabisa mungu nitie ujasili kwajuhudi ninazozifanya kuondondokana na tatizo hili naweza🇹🇿🙏.

  • @deboralaiton-ge8mf
    @deboralaiton-ge8mf Рік тому +1

    Amina mungu akutie nguvu ya kutusaidia

  • @PASKALILUANDA
    @PASKALILUANDA Рік тому +1

    Hiyo nzuri San

  • @Mamoshbizekampuni-qt1fg
    @Mamoshbizekampuni-qt1fg Рік тому +2

    Mwaka Jana nilinunua vifaranga wa kuku wa mayai 300 nimepambana kuwakuza kwa gharama kubwa mwisho nimekuza kuku 50 tu ninao sasa, na hao pia had I sasa hawajtaga, nikikumbuks pesa nyingi sana nimepotezs kuku niliopata ni wachache sana pia hata hao had sasa hawajataga naendelra kuealisha tu, nataka niwauze nianzishe biashara mpya

  • @RamadhanMtaki-sw1gx
    @RamadhanMtaki-sw1gx Рік тому

    Shukrani mkubwa mungu hawe nawe

  • @nduhe_victor
    @nduhe_victor Рік тому +3

  • @RehemaHaji-pc2nh
    @RehemaHaji-pc2nh Рік тому +1

    Shukrani sana, ubarikiwe

  • @wemaRichard-rb1hj
    @wemaRichard-rb1hj Рік тому

    Umensaidia Sana kwasababu ninamtaji lakini naogopa kuanza

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 Рік тому +1

    Barikiwa sana kaka najifunz vingi kupitia Chanel yako 🙏🙏katika safari ya kila mmoja anakaratasi yake ya mtihani

  • @JamesKaminde-ig1xr
    @JamesKaminde-ig1xr 9 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 Рік тому

    Hii imenigusa sana kaka barikiwa

  • @samwelmpenda8573
    @samwelmpenda8573 Рік тому +1

    Nakubal Sana akaka

  • @EliasGwaya
    @EliasGwaya 3 місяці тому

    Asante coach

  • @JoyceHaule-v7t
    @JoyceHaule-v7t Рік тому

    Sawa kabisa Joel

  • @NellyGraduation
    @NellyGraduation Рік тому

    ❤ umeelewek doctor

  • @macksemuyango6108
    @macksemuyango6108 Рік тому

    Ewe Mwenyezi Mungu naomba unitie nguvu katika nyakati hizi ninazopitia ili nyakati hizo ninazopitia nizishinde!!!

  • @noelinasaru1496
    @noelinasaru1496 6 місяців тому

    Absolutely yes

  • @Hawaramadhani-g1i
    @Hawaramadhani-g1i Рік тому +1

    Asantee🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Mamoshbizekampuni-qt1fg
    @Mamoshbizekampuni-qt1fg Рік тому

    Hapa nimepambana nimepata pesa kias fulan sasa nswaza ninunue chakula cha kuku kutagisha kama watu wanavyonishauli au nianzishe biashara mpya, nashindwa kuamua niendee su nibadili muelekeo maana niliishi hali ngumu sana so hii hela niliyopa naogopa isije ikapotea kama mwanzo

  • @HappinessHarman-nt6zc
    @HappinessHarman-nt6zc Рік тому

    Kweli hofu ni ugonjwa unaonisumbua mungu nisaidie

  • @pleasethank2962
    @pleasethank2962 Рік тому

    18,40,60. Kbl y kuielewa kanuni hii ilikuwa ni changamoto kwangu lkn kuna siku nlikuskia ukielezea nikawa responsible nayo na Leo umeirudia tn nazidi kuwa imara..KWA KWELI UBARIKIWE sana MR. JOEL NANAUKA.

  • @hassanomary7353
    @hassanomary7353 Рік тому

    Shukran tunakuelewa

  • @EnosMark-jk6xf
    @EnosMark-jk6xf Рік тому

    Shukulan sana

  • @FrolaJoram-eg1ng
    @FrolaJoram-eg1ng Рік тому

    Asante kaka Joel

  • @brendamunuo6844
    @brendamunuo6844 Рік тому

    Nashukuru kaka❤❤

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Рік тому

    UBARIKIWE

  • @shukuranirebecca4877
    @shukuranirebecca4877 Рік тому

    Thank you kwa mafunzo mazuri

  • @gracelaizerkisyoki7279
    @gracelaizerkisyoki7279 Рік тому

    Barikiwa kaka

  • @SelemaniChaku
    @SelemaniChaku Рік тому

    Asante kaka nanauka

  • @BunaiyaHussein
    @BunaiyaHussein Рік тому

    Joel nanauka!!? Tafadhar naomba tuwasiliane

  • @deborasimon422
    @deborasimon422 Рік тому

    Amen

  • @MohammediAziziAthumani
    @MohammediAziziAthumani 10 місяців тому

    Good advice

  • @gerraldgready8051
    @gerraldgready8051 Рік тому

    Nateseka na hofu ya kupoteza kila mara

  • @ManenoHuka
    @ManenoHuka Рік тому

    Hifu inatutesa wengii kaka...

  • @amazingnecla
    @amazingnecla Рік тому

    Blessed with a great

  • @SaraNjitangu
    @SaraNjitangu 27 днів тому

    Kaka nimekuelewa sana nilikua napita kwenye kipindi kigumu nimetoka sehem Moja kwenda nyingine napita kwenye hofu nyingi kwamba itakuaje

  • @asiamsemo6172
    @asiamsemo6172 Рік тому

    Mmm hta mimi naogopa sana bt nashkuru kusikiliza hii i am doin it want i want to do now .

  • @almightymapp
    @almightymapp Рік тому

    My name is UShinde I am from america

  • @mashikudeus-hh2jv
    @mashikudeus-hh2jv Рік тому

    Exactly 💯

  • @JosephJohn-w3r
    @JosephJohn-w3r Рік тому

    Nice speech

  • @reganimushi8062
    @reganimushi8062 Рік тому

    Amen 🙏

  • @CharlesMabula-lg1fl
    @CharlesMabula-lg1fl Рік тому +1

    Nawezaje kujua kama mungu amesema namimi katika jambo flan?

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +1

    Asante sana

  • @vadolcedefao323
    @vadolcedefao323 6 місяців тому

    Asnt san

  • @shadrickmukumba9562
    @shadrickmukumba9562 Рік тому

    HOFU NI KIKWAZO KIKUBWA SANA. NA HATA WATU WENGINE UNAPO WAELEZA MPANGO WAKO WANAKUTIA HOFU TU

  • @ZulfaIsike
    @ZulfaIsike Рік тому

    Tukikuhtaji tunakupataje

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Рік тому

    Nimejifinza kopoteza ilinipighe hatuwa nanifanikiwe

  • @ChristianMkea-mb1cr
    @ChristianMkea-mb1cr Рік тому

    0 please

  • @farijanibakari9018
    @farijanibakari9018 Рік тому

    Nahitaji kitabu kaka

  • @MtesiwasospeterMasige
    @MtesiwasospeterMasige 3 місяці тому

    Mtumishi naomba msada wako ili nifike mbali zaid

  • @directorpatron6995
    @directorpatron6995 6 місяців тому

    kaka natamani hofu initoke namimi nijipate

  • @ZulfaIsike
    @ZulfaIsike Рік тому

    Ninashida ya wewe nafanyaje

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🔥❤️🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    📝🙌🏿

  • @salumally0601
    @salumally0601 Рік тому

    Hakika hofu ni tatizo kubwa sana

  • @jonasebuela8975
    @jonasebuela8975 Рік тому +1

    Sasa kaka tutajuwa je kama Mungu anasena tuhanze kitu kipya?