I'm such a fan of big brother Kanyumba, I have my heart with him, you were inspired by this beautiful song for me, really big thank you, this beautiful song gives me another power to live, at home my great hits the only one you know sung, come in Congo
Hakuna binadamu mwenye kupenda mafanikio yakweli kutoka moyoni mwake kama mama yako mzazi,,, ilaaaaaaaaa zingatia nachokwambia ikitokea ameingia katka dunia yawatu wabaya wa usiku basi anakuwa mtu wa kwanza asopenda maendeleo yako na adui yako namba moja duniani nyoka anasubilia tena black mamba yule 👹👹👹
Saleh is the best presenter anamfanya❤msanii😂Kuwa comfortable he is friendly na anauliza maswali yenye mantiki big up to him
Ukweli usemwe jamni jamaa anapenda familia yke na ukubwa kauvaa vilivyo 😊 Allah ampe umri atimize malengo yake
Aamin
Amiin
Hanishind mm ninavyopenda Familia yangu
@@aminatanzanya7475kwani league😂😂😂
Sanaaa hongera kwake
Kayumba anaishi simpo sana alafu maisha Safi na bado kijana mdogo akili mingi❤❤❤Mungu azidi kukubarik na family yako
Ameen
Yuko humble sana ukipitia UA-cam kwangu nilipost akiwa katupitia kitaaa kusalimia akiwa na mdogo wake na gari yake BMW so yuko poa sana aiseeee
Ila kayumba kajitahidi jamani, kwake pazuri sana❤
Kayumba Wewe Unaakili cn kuwajengea wazazi wako nyumba yn Umefanya akili cn mungu Akubariki cn mashahallah safi cn ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Mungu/MUNGU sio mungu
Aisee jamaa hajioneshi kumbe anaishi maisha mazuri sana Mashallah
Sanaaa na amejengaa
Huyu kaka anapenda mno lebo ya king music na kam unavyojua lebo ile hawana kujionesha ndioman kapata funzo ❤❤❤❤
@@JamilaSaid-we7rkkumbe huy yupo king music
Mungu akuzidishiye uho moyo waipendo kwa familia yako brother kayumba
Angekua makabila mashauz mengiiih kama zuena😂 lakin kijana Hana mambo meng anaga kufake nimependa Sana iih ❤
Cjawaiacha kukupenda kayumba tangu bss haujawainiangusha Allah aendelee kukubless
My favorite singer❤
Pazuri cn kwa kayumba mashahallah nyumba zuri cn❤❤❤❤❤ Umejitaid cn kayumba ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Huyu jamaa nlikua nikimfuatilia xana ,na kumbuka mamake anampenda xana na anaimbaga vizuri ,mwenye hekma na busara
Sema saleh 😂😂😂😂 utoto mwingi sana 😊 napenda alivyo hamble
Upewe mauwa yako mama unaistaiili ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kayumba ni🔥🔥
Kanenepa sana mama Kayumba❤
nakupenda mama kayumba❤
Natamani sana ku pewa moyo na mzazi wangu one day 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kama iviiiiiih!!
I'm such a fan of big brother Kanyumba, I have my heart with him, you were inspired by this beautiful song for me, really big thank you, this beautiful song gives me another power to live, at home my great hits the only one you know sung, come in Congo
Safi snaa kayumba Mwenyeenzi Mungu akuzidishie katka utafutaji wako
Masha Allah upo vzur lakni hilo giza mtakula na mende😅
Mungu aendelee kukupa hitaji la moyo wako.
Host adi kitandani😁😁
Saleh noma sana hiki kipindi amekiweza sana 🔥🔥🔥
Yaan huchoki kumfatilia
@@rehemafeysali4444 kabisa 🔥🔥🔥
Ahsante sanaaaa
Mashaallah Mama kayu😊😊😊😊
Jama nakupenda sana nikirudi nitakutafuta msaniiwangu❤❤❤
Mashaallah kayumba upo vzuri
Kusema ukweli kayumba anakili sana ,msanii anaishi maisha yake simple lkn mazuri❤,good singer
Mashahallah kayumba mungu akuongoze cn ktk kz zako safi cn kwa kuipenda familia yk mungu Akubariki cn kayumba
Mungu/MUNGU sio mungu
Nampenda sanaaa salehe
Mbona kama usiku pole Saleh kwa safar ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Prince
Hongera mno kayumba kwako pazuri mno
Nakubal mwamba kayumba
Kayumbaaaa❤❤❤❤
Mtangazaji balaa na mpendaga sana🎉❤
Mtangazaji mungu anakuona😂😂😂
Kanifunzakitu❤
My favorite
Anapenda English colours 👍
Salehe anapenda mambo matamu😂😂😂😂😂😂❤❤❤kayumbaaaa🎉🎉
Kayumba ❤❤❤
Hongera broo kwa hatua hio
Ratifa mdogo wangu fanya Mazoez please mwili mkubwa sana kama kaka yako ama miaka 27 wewe utakuwa na miaka mingapi fanya mazez baby
Hongera sana kayumba nyumba nzuri sana ❤❤
Uyu alitamani sana kuinua familia yake Masha Allan
Kayumba my brother
Mashallah ❤
Mashallah 😍😍
Kayumba kajipata kumbe. Dhaaa
Kipindi nakipenda fanyeni muende na kwa madebe lidai😀
Ata mimi namuomba aende kwa madebe
😂😂😂
Kwa madebe itanoga n dotto magari
😂😂😂😂
Hata mimi nataman waende kwa madebe
Nampenda sana kayumba❤❤❤❤
MashaAllah 🔥💯💥❤🎉
Safi Sana mdogo wangu
Hongera Kayumba
Mashallah mtt w madam rita uyo 😂
Mashallah hongera
Salehe nenda kwa dulla makabila😅😅😅
Soon
@@salehcllassic2325nenda kwa madebe lidai
@@salehcllassic2325nilikua nasubr sana upload jmn nilimiss hiki kpind😊
@@salehcllassic2325😂
Nampenda sana kayumba
Good job
Salehe unapenda sana kula😅😅
Yani swalehe akisikia msosi akili Ina hama😂😂😂
Safi sana
Uende na kwa diamond jaman
Mw/Mungu azidi kukubariki
Kanadeka jaman 🥰
V nice my dia
ILA MZIKI UNALIPA HIZI MB ZETU ZINAFANYA WASANII WAWE NA MAISHA MAZULI
Mama nimama
Salehe unapenda Kula wew
❤
🎉
Jaman nampenda sana kayumba mwenye namba zake tafadhal
Mmh huyo mtoto atakua dume jike
Pazuri
❤❤
nime ipenda
Kayumba uko vizur sana kaka ❤️❤️
Tunaomba uendee kwadebe lidai na doto, bila kumsahau dulla makabila
😅😅😅😅
Aanze kwa madebe kwanza 😂
Camera zetu hazina ukwariti kbisa
Nimependa maisha unayo ishi kayumba
Kayumba kijana mdogo lakini kajipata yaani pazuri kuliko kwa diva mtangazaji wa lavidavi wasafi🤔
😂😂wewe kwako vipi
😂😂😂mmmh
❤❤❤💟
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
salehe anapenda misosi😅😅😅😅
Wowo
Pita ivi
Kayumba mtoto mzur kalelewa kaleleka
kwa dulla makabilA
Hakuna binadamu mwenye kupenda mafanikio yakweli kutoka moyoni mwake kama mama yako mzazi,,, ilaaaaaaaaa zingatia nachokwambia ikitokea ameingia katka dunia yawatu wabaya wa usiku basi anakuwa mtu wa kwanza asopenda maendeleo yako na adui yako namba moja duniani nyoka anasubilia tena black mamba yule 👹👹👹
Salahe anpand mpk vtandan😊😂😂😂
Chumba hakina mambo mengi had rahaa
ivyo vyoo sio vya kuonyesha Katika mitandao da
Sinemaaa
Cjaona mtangazaji wa aina hii
Kayumba mshawishi Mama aingie katika dini yetu ya haki
Huna haya 😏😏et dini ya haki
@@aksa1225 inakuuma nini fala wewe'
Ww ni mkundu
@@chextzggambayo2822 we mkundu huna? ' tena unanuka hahari kaoge ndo uje uguse Coment yangu fala wewe
WANGINDO OYEEEE 😂
Swalehe akienda kwa mtu bila kula anakua mnyonge😂😂😂
Sana😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎂🌹
Ww utaona visivyo ona mpaka chumban
Kanichekesha livyopanda kitandani Saleh jaman ananifanya nipende showbizz
Wakienda kwa madebe wataumbuka na mwenyewe ataumbuka🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 mbona madebe 😊😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Niacheni debe langu😂😂😂😂