NYUMBANI KWA MC GARA B, UTAJIRI WAKE, MILIONI ANAZOINGIZA "NIMEPITIA MATESO KUFIKIA NILIPO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2021
  • Godfrey Deogratias Rugarabam (MC Gara B) utakua umemuona sana kwenye harusi nyingi akisherehesha kama MC nchini Tanzania, vilevile ni mmoja wa Vijana wa Tanzania pia waliotumia mitandao ya kijamii vizuri kutengeneza majina yao (kuji-brand) na kuonesha kazi zao, leo ameongea na AyoTV na kutueleza mengi tusiyoyafahamu kuhusu yeye ikiwemo kazi ya ualimu kwenye shule ya Sekondari ya Kata.

КОМЕНТАРІ • 569

  • @witneywilly
    @witneywilly 2 роки тому +22

    Aisee. Huyu mtangazaji nmempenda sana.... amejijua kua hatutak kumsikiliza yeye ila anayemhoji... ana maneno machache mpaka raha.... maswal hayaelezei sanaaa aisee ❣❣❣❣.... mb za mawazo sikuhz hatuna muda na maneno mengi ya watangazaji.... sijapeleka mbele hata kidogo... na MC gara b pia hachoshi kumsikiliza... maswal yametulia❣❣❣

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 2 роки тому +112

    Haya Ndio maisha tunayoyataka kwa wasanii wetu muishi maisha Really sio ya kuigiza kwenye majumba ya wenzenu hongera sana gala b,kwa umri uliokuwa nao umepambana na dua zangu unazo kk

    • @olivamarunda8318
      @olivamarunda8318 2 роки тому

      Ukiwa masikini ni wanasemaje ukiwa tajiri wanasemaje Je lipi jema

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 2 роки тому +1

      N shemeji jmn ana pambana sanaaaa.mnoooooo jmni ANAPAMBANA! SANAAA.

    • @sarachaura4996
      @sarachaura4996 Рік тому

      Hongera sana gala

  • @naahnaah2403
    @naahnaah2403 2 роки тому +24

    Yaani wew ni best Mc kwangu napenda sana unavyo host. Keep it up.
    Mungu akujalie mema zaidi.

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 2 роки тому +12

    Hongera sana so Ukimuona mtu na maisha yake-- muache hujui alikoanzia

  • @UnpopularDiscussion
    @UnpopularDiscussion 2 роки тому +54

    This is a what we call hardwork. Kumbe haya hayajaja kwa bahati. Umeendelea kutufunza kwamba hakuna mafanikio yanakuja kirahisi.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +29

    Wallah mb zangu Leo zimeenda kihalali. Sana coz umenifunza vitu vingi mno... Mc wangu WA Dunia mwaaaaa nikija bongo Nina jambo langu lazima uhusike katik khafla yangu aise shukran Sana kwa kunipanua akili yangu

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 2 роки тому +12

    Huyu Mwamba yupo njema sana kimaisha 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @victoriaishengoma5634
    @victoriaishengoma5634 2 роки тому +6

    Nimejifunza Sana kwa MC Garab. Asante Millard kwa kucover hii .

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 роки тому +29

    Asiekukubali basi akapate chanjo haki wewe ni mfano mzuri wa kuigwa kwa vijana tuliowengi umepambana na matunda yanaonekana alafu uko peace sana ya mwana. Hongera Garab

  • @sukariyao6537
    @sukariyao6537 2 роки тому +9

    Nakukubari sana mkuuu huko vizuri sana ilove you so much gara B. 😘🥰🥰🥰💃💃

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 2 роки тому +25

    Hamna raha kama kuwa na mwanaume anajipenda inamrahisishia sana mke. Ur wife is indeed lucky wallahi. Mc wa harusi yangu mwakani. Yn hata ukiwa booked ntapeleka mbele mpk siku ukiwa friiiiiii🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 2 роки тому

      Namm naomba niwepo🤣👌

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 2 роки тому

      Tishaa sanaaa dear 🤝

    • @user-ok9xb1mi7b
      @user-ok9xb1mi7b Рік тому

      Acheni tu jamani yani asiejipenda ata huoni raha ya pesa zake it's very board by the way very board bora ata kua single

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому +54

    Nyumba mzuri mashaa Allah wallah ukijituma mungu anakufungulia mpaka ww mwenyewe utashangaa

  • @dreusebiusjmikongoti248
    @dreusebiusjmikongoti248 2 роки тому +6

    All the way from Kasita Seminary, Mahenge. Nakukumbuka sana mzee G-smile wa TYCS Easter conference. Hongera sana broo

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 2 роки тому +36

    I really love listening to this guy aki mc kwa Harusi.....he is hilarious n smart sana

  • @japhetfesto2021
    @japhetfesto2021 2 роки тому +10

    Mwalimu wang wa english Pendamoyo GODFREY RUGALABAMU

  • @apoloniamdendemi2091
    @apoloniamdendemi2091 2 роки тому +11

    You are the best example ever....keep it up.

  • @annashaoo-cs3wg
    @annashaoo-cs3wg Рік тому +2

    NI MHAYA aliefanikiwa sana
    Lakini no masifa nampenda sana na MUNGU azidi kumwinua kila iitwapo leo

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 2 роки тому +36

    Nilitaka ku-comment nimekosa hata la kusema stori yako kwa kweli ni mpango wa Mungu.Wasanii wajifunze kutoka kwako waache show off waishi kwenye uhalisia big up bonge la interview.

  • @evelynvedastus9764
    @evelynvedastus9764 2 роки тому +1

    Brother Mwija, I know you very well i remember tulishafanya kaz pamoja Vodacom na wakat huo wewe ni mwalimu, Ur very true and big fighter, keep it up Kaka angu, Mungu akuinue zaid ya hapo ulipo.

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +46

    So cute and he so humble! Hana majivuno

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 2 роки тому +73

    mimi nimependatu Alipo sema ::Alhamdulillah:: ikiwa yeye ni Dini nyingne Mashallah

    • @bmbright5393
      @bmbright5393 2 роки тому +22

      Jaman alhamdulilah ni lugha ya kiarabu Sio dini

    • @benabdoul8762
      @benabdoul8762 2 роки тому

      Hhh eti lugha ya kiyarabu

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому +4

      @@bmbright5393 apana kaka nikumshukuru mungu kwa kira jambo

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 2 роки тому

      Kipi cha ajabu apo

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 роки тому +16

      Chaajabu nn,sisi hatunaga ubaguzi ujue.maana kutamka neno ladini nyingine siyokubadiri dini km mnavyofikiriaga nyinyi.kwenu mtu akitamka yakwetu tu uwiiiiii watu watakavyotukana

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 2 роки тому +68

    I live in the USA. Sipendi harusi. But I always watch this great man. He dressses to impress. He loves what he does and he is talented. Future spokesperson wa serikali. Mark my words. Kuna siku atanikumbuka kwa hili....

    • @kennedjohn5785
      @kennedjohn5785 2 роки тому

      Naungana na wewe japo sio kwa cheo hicho ulichokitaja but nimeona uongozi wa kiserikali ndani yake.

    • @winnersstore9161
      @winnersstore9161 2 роки тому +2

      Sawa Sheikh Yahya

    • @mgm412
      @mgm412 2 роки тому +5

      Kuna umuhim gan kusema unaishi USA...acha ushamba

    • @irenel1494
      @irenel1494 2 роки тому

      @@mgm412 😂😂😂😂🙌🏼

    • @irenel1494
      @irenel1494 2 роки тому

      @@winnersstore9161 😂😂😂😂

  • @vannesamgasha7030
    @vannesamgasha7030 2 роки тому +4

    Nakupenda sanaaaa Kaka mungu akujarie maisha marefu na yenye baraka

  • @joank7929
    @joank7929 2 роки тому +4

    Wow. GaraB may God almighty continue to lift u. More blessings bro from home.

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 2 роки тому +7

    Ur a genius itoshe kusema hivyo tu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @seifhamood8993
    @seifhamood8993 2 роки тому +11

    Mlio sikia alhamdulillah like zenu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 роки тому +19

    Unawakilisha...
    éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @innocentmushi2721
    @innocentmushi2721 2 роки тому +10

    God Bless You Ayo Tv For Such innovation from Gara B keep it up

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому +16

    Honger sn kaka unamaisha mashaallah uko vizur 👌

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 2 роки тому +5

    Mashallah hongera mc wang nakukubali sna wallah

  • @suzanrichard3648
    @suzanrichard3648 2 роки тому +22

    My best Mc
    Yesu akutunze ww na familia yko
    Unajua sn kazi ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 роки тому +12

    Mashallah uko vizuri ktk kupambana na maisha ..may God stand with you.

  • @felistarmwakapalila6801
    @felistarmwakapalila6801 2 роки тому +6

    Ndio maana Anahekima sana kwa shughur zake....data pia zinakupngoza👌👌👌

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +5

    Mc wa KIMATAIFAAA....🤗🤗🤗hongera zake kwa family na mafanikio yke kwa jumlaa.mungu awatunze tuseme INSHALLAH 🤗

  • @khamisally7550
    @khamisally7550 2 роки тому +24

    This is a very good promotional interview .

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 2 роки тому +28

    Hongera the fighting is real bro ,halaf kuna comment mtu anasema freemason roho za kimaskin zitatuisha lin cjui🤣🤣🙌🏽

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 2 роки тому

      Uko halipo kuna watu wanamajumba zaidi ya hii Na sio free m nikufanya kazi tu kwa bidii

    • @olivamarunda8318
      @olivamarunda8318 2 роки тому

      Beth usijusumbuea Na Hao wapogo tuu hawataki kazi

    • @rachelmbeyu4385
      @rachelmbeyu4385 2 роки тому

      Yaani ukifanikiwa kidogo tu unaitwa freemason

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому

      @@allthingdranabeauty kweli

    • @johnmmbaga3903
      @johnmmbaga3903 2 роки тому +1

      Roho za umaskini wamezibeba 😆😆

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 2 роки тому +1

    Da nimempenda bure ukisikia mchapakazi na mtafutaji basi ndiyo huyu sasa Mungu akubariki sana kazi ya mikono yako amen

  • @dafrosadeus5203
    @dafrosadeus5203 2 роки тому +1

    Hongera Sana kk, umejenga mjengo wa uhakika, ni mzuri mno aisee!

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 2 роки тому +6

    In Very professional way ......

  • @enockisraelnashon5382
    @enockisraelnashon5382 2 роки тому +1

    Thanks much brother gara B for inspiration

  • @tutakusaidiakupatagari8831
    @tutakusaidiakupatagari8831 2 роки тому +5

    BIG UP, nmependa kwenye ushauri wako, kwamba mtu asiwe na ndoto yakuja kuwa kama fulani, ni ajipange yeye kama yeye

  • @ummymwalimu3965
    @ummymwalimu3965 2 роки тому +9

    Tufanye kazi tuache zana mbaya pia Mambo mazuri hataki harakaa chimba kwaza mifereji alafu uone Kama huto pata ,,,,kiukweli watanzania tulo wengi ,,wavivu wakufikiriiii ,nakufanya

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 2 роки тому +15

    Hadi rahaaa hongera kwakeee anatuhamasisha tutafute pesa

  • @fadhiliignusy3790
    @fadhiliignusy3790 2 роки тому +13

    hongera sana ila badae msije tuambia muuza unga au kamtoa mtu kafara

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +14

    Uyu mkaka ni mzuri mashaa allah na yuaongea kwa point😘hapo kwenye upandri pamoto kka yaani uwache kuoa uwache kuwa na watoto uwache kuwa na mke ahaaa ukorophi huo😃

  • @vailethmagwisha4071
    @vailethmagwisha4071 2 роки тому +1

    Mwenye nacho ataongezewa na asiye kuwa nacho atanyang,'anywa na alicho nacho,,big up bro, MUNGU akutunze na akubariki Zaid na zaidi,,na katk mambo yako yote mkumbuke MUNGU wako maana ndo kila kitu🖖🖖🖖♥️♥️

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +6

    Mashallah, hongera sana *MC Gara B*

  • @ummimohamed2148
    @ummimohamed2148 2 роки тому +3

    Alhamdulilah mungu azidi kukubariki na familia yko ameen

  • @nchambimaduhu997
    @nchambimaduhu997 11 місяців тому

    Safi sana kaka nakupendaga Bure Mungu aendelee kukubariki pamoja na familia yako

  • @jenestermerchades9111
    @jenestermerchades9111 2 роки тому +3

    Big up
    This is A haya I know
    Kagera yangu.

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 2 роки тому +8

    nyumba nzuri eeeeh😍😍😍

  • @shamilanamkubarisanasultan1018
    @shamilanamkubarisanasultan1018 2 роки тому +13

    wahaya tunamajivuno ila tumejariwa kutafuta ongera sana kaka chomaaa💪💪💪

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +3

    Maashaallaah mungu akuzidishie inshaallah

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 2 роки тому +15

    Hongera Sana Mc Gara B.

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 роки тому +3

    Hongera kaka Mungu ni mukubwa

  • @NGALEMA
    @NGALEMA 2 роки тому +3

    Nakukumbuka sir rugalabam allah akuongezee zaid na zaid

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 2 роки тому +19

    Kama wewe ni mhuya gonga like

    • @pimpam9220
      @pimpam9220 6 місяців тому +1

      Ukabila wa nini sasa?

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 2 роки тому +2

    Hongera Sana MC Mungu akubariki

  • @mckingmojojo363
    @mckingmojojo363 Рік тому +1

    Nimekuelewa sana Shemeji yangu Mc Gara b, na nimejifunza kitu kikubwa sana hapa.

  • @bryannacheli1760
    @bryannacheli1760 2 роки тому +2

    Great inspiration 🙏

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 2 роки тому +4

    Hongera upo vizur mwaya

  • @ahuriladaniel9849
    @ahuriladaniel9849 2 роки тому +8

    Aisee uko professional sana🙌🙌🙌🙌

  • @gracepatric4371
    @gracepatric4371 2 роки тому

    Wooooow kumbe hii nyumba wanaigiziaga ni yake nzuri mnooo hongera kwakee

  • @madamtemu4167
    @madamtemu4167 2 роки тому

    interested,much love

  • @asiaasiajey5551
    @asiaasiajey5551 2 роки тому +4

    Wow MashaAllah

  • @michaeldotto3859
    @michaeldotto3859 2 роки тому +3

    Hongera Sana kaka tumekaa ofisi moja 2015

  • @servantofalmightygoddranth2511
    @servantofalmightygoddranth2511 2 роки тому +18

    There is the gap between hard working and succession so there is the one who can close this gap, his name is ALMIGHTY GOD, kuna gepu kati ya uchapakazi na mafanikio kwa wacha MUNGU, MUNGU huliondoa gepu ilo na watumishi wake hufanikiwa, na kwa wale wengine humwendea mwivi shetani anawafanikisha kwa mafanikio makubwa kwa tiketi ya kutoa kafara " mafanikio yeyote duniani yana njia mbili ya MUNGU na ya shetani, na kwaiyo huyu jamaa (mc) anaehojiwa hapa anajua siri ya mafanikio yake".

  • @sebastianbernard-kb2ip
    @sebastianbernard-kb2ip Рік тому

    Bro uko vizuri sana nakukubali mno na hata huku jua kali kweli ww ni noma

  • @bjchamba6452
    @bjchamba6452 2 роки тому +1

    Uko vizuri mdogo wangu❤️❤️❤️

  • @vivianvincent4303
    @vivianvincent4303 2 роки тому +16

    I love it,, well done Brother

  • @vj8313
    @vj8313 2 роки тому +1

    Nice sana, afu mcheshi sana,peace unaonyesha huna roho ya kwanini hadi raha yani

  • @rehemaomary3267
    @rehemaomary3267 2 роки тому +1

    Hongera sana Gara B kazi nzuri mnooo, hi Pascal

  • @georgebundala1915
    @georgebundala1915 2 роки тому

    Mahojiano mazuri sana.We kichwa Gala B. Mseminari upo vizuri.

  • @monicaregina7792
    @monicaregina7792 2 роки тому

    Asante bro umenifundisha mengi.

  • @zakayomaginga6649
    @zakayomaginga6649 Рік тому

    One love from kasita seminary 🔥🔥🔥enter to learn leave to serve🔥🔥

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 роки тому +1

    Very smart,I like him

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 роки тому +4

    Nakukubali sana mc gara b Mungu atukutanishe siku moja inshaalah...

  • @joetemba6376
    @joetemba6376 2 роки тому +5

    Kaka Mungu akuinue viwango vingn zaidi nimejifunza kitu km kijana mwenzako sintokata tamaa kabisa acha nisonge mbele na Mungu wangu kwa jinsi ninavyopambana iko sk nitaziishi ndoto zangu

  • @brianmnsumy6945
    @brianmnsumy6945 2 роки тому

    Umenifundisha kitu kikubwa mno be blessed a man of God

  • @musanjopeka837
    @musanjopeka837 2 роки тому +3

    Bora umeongea ukwel kua mzee alikua yuko vzr... Ila ingekua wengne ungeckia tumekua kweny shida sana

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h 6 місяців тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 роки тому +12

    Mashaallah Allah akupe maisha marefu

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 2 роки тому +4

    Big up sana broooo nakuelewa sana

  • @stellahsamson4621
    @stellahsamson4621 2 роки тому +7

    Ww n MC wa harusi yangu🙏inshaalah 🙏yan napenda the way you host🙌🙌

  • @highnessyohaness4260
    @highnessyohaness4260 2 роки тому +22

    Daah hii interview inaushawishi sanaaa vijana tupambane

    • @obenitejailos7007
      @obenitejailos7007 2 роки тому

      Wewe si unasubiri kuolewa na kijana mchapakazi 😁

    • @highnessyohaness4260
      @highnessyohaness4260 2 роки тому

      @@obenitejailos7007 mm mwenyewe mchapa kazi, siwezi msubiria mtu,
      Nashukuru Mungu kanijalia

  • @zaitunimrisho6377
    @zaitunimrisho6377 2 роки тому +2

    Waoooh!hongera sana mcgarab

  • @patientlazaro6930
    @patientlazaro6930 2 роки тому

    Very nice family 👪 bro hongera sana @Garab

  • @khadijakiba3587
    @khadijakiba3587 2 роки тому +9

    Mc wangu huy siku moja Insh'aAllah bado bwana harusi😍😍🤲

    • @tinnahmosha5177
      @tinnahmosha5177 2 роки тому

      😄😄😄😄 @khadijakiba wew ni mm kabisa MC nishampata Garab bado bwana harusi 😃

    • @ummymwalimu3965
      @ummymwalimu3965 2 роки тому

      Mm bwanaharusi tayari mc ndio huyo hapo badotu malipo yake maana sisi ni mwenzangu na mm

    • @annamosha968
      @annamosha968 Рік тому

      Yeuwiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 роки тому +2

    Hongera sana kk manshallah maisha mazur

  • @lucyvictor3278
    @lucyvictor3278 2 роки тому +19

    Big up milad ayo,napendaaaa xnaaaa sauti yauyu kaka jaman🤗🙉

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 роки тому +2

    dream come true hongera Gara B

  • @jestinakanji8168
    @jestinakanji8168 2 роки тому +8

    Duuu. Kweli akili kumtwe. jmn kuna kitu cha kujifunza kwa wasanii

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 2 роки тому

    Uko better mno...Ma Sha Allah...

  • @editatairo9667
    @editatairo9667 2 роки тому +11

    Keep it up. Kuchapa kazi ndio msingi na self discipline

  • @jaligawesa
    @jaligawesa 2 роки тому

    Very hard working person!!

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 2 роки тому +2

    Hongera Sana kwa kutokukata tamaa

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 роки тому +2

    Mamaee kiskia bonge la bangaloo ndo ili sasa mamaee ongela sana baba na mm nta chukua dizain yko ya nyumba iyo duuuu big upsana baba

  • @avelinakwezi2013
    @avelinakwezi2013 2 роки тому +8

    Keep it up my brother 😘🌷💚

  • @maymlay8198
    @maymlay8198 2 роки тому +1

    Big up brother the fighter

  • @richardmussa9075
    @richardmussa9075 2 роки тому

    This is so impressive keep it up bro