MUME WA DIVA AJIBU TETESI ZA MKE WAKE KUTEMBEA NA OSCAR OSCAR / TULIGOMBANA SANA / TULIACHANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 10 місяців тому +19

    Huyu mganga ajawahi kuwa mzima ni kichaa

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 10 місяців тому +10

    Duh yaan Diva maskn alikosea sn kuolewa na huyu mganga tapeli😢😢

  • @ManirakizaHashim
    @ManirakizaHashim 10 місяців тому +5

    ABDOULL MTOTO WA MJINI SANA
    DIVA UME PATA MUME MZIMA SANA USIMUACHE HUYO ANA KULIWAZA

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 10 місяців тому +5

    Sio ugonjwa wa mouo hiyo ni stress,hiyo ni palpitation punguza stress na angalia damu yako inaweza kuwa nzito

  • @HameedaHh-y5y
    @HameedaHh-y5y 10 місяців тому +9

    Divaaa anamoyoo wahurumaaa sanaaa

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 9 місяців тому +1

    Mhm hapa kazi ipoooooo
    Shemeji tunae😂😂😂😂😂
    Asante divaaaa
    Kufyonza nanasi, kugonga nyundo, kupanua miguu😮😂😂

  • @Naju645
    @Naju645 10 місяців тому +5

    Diva kichaa kumbe nabwana nae wamekutana kopo namfuniko

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 10 місяців тому +1

    Nawapenda sana jamani ❤

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 10 місяців тому +8

    Diva ulikosea kuchagua

  • @Floribert5
    @Floribert5 9 місяців тому +1

    Abduri huwezi mtunza Diva maana ana penda pesa kuliko wewe na wewe anasema ni yeye ana payed kila kitu inaonekana wewe mume bwege huna pesa acha akuchiti maana huna pesa tafuta wale masikini wenzako hutoweza kumkidi Diva maana maisha yake huto yaweza lazima awe na wenye pesa 😂😂😂😂😂😂

  • @asiaswedi8945
    @asiaswedi8945 10 місяців тому +9

    Eti anajiona handsome mwenyewe, mbona sio kiviile. Kawaida sana tu. Kwanza ajue tu wanawake wengi hawapendi wanaume weupe. Mwanaume wa kujisifia eti yeye ni mzuri sio kabisa . Kwanza hata haipendezi kwa mwanaume kujisifia.

    • @giztony2009
      @giztony2009 9 місяців тому +3

      Wakawaida sana

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 9 місяців тому

      😂😂😂

    • @RAHMACHANDE-j5q
      @RAHMACHANDE-j5q 9 місяців тому +1

      We mzuri bwana

    • @gracekiondo2541
      @gracekiondo2541 9 місяців тому

      Hata sijaona huo u handsome wake!. na wanawake hatupendi wanaume weupe kabisa

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 9 місяців тому

      Kabila na kabila weeee kabila lang na wananume au mwanamke mweupe ni dam dam,,,mi mwenyew mwanamme mweusi apana kabisa😅

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 10 місяців тому +6

    Dawa za abdul zimeisha nguvun sbb yy ni mdangaji ndio maana anasikia wivu amesahau yakwake toa upwiru mwaya

  • @sherryx.7897
    @sherryx.7897 10 місяців тому +1

    Abdull ana ANXIETY..KWASABABU YA STRESS..NDIO MAANA ANAONA MOYO UNAPIGA..

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 10 місяців тому +2

    😂😂😂Nacheka huku sijui nacheka nn😂😂😂

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 10 місяців тому

    Iyo ya nyundo mwenzangu qweli usigonge nyundo yani juu juu tu 😂😂qm hutaqi vile maamaaa mwanamqe mwenyewe anaisogelea😂😂😂

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂abduly nomaaa kujisifia😅

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 10 місяців тому

    Duuh pole sna

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 10 місяців тому +1

    Interviewer anahitaji zaidi training, amekaa ki ujiweni zaidi 🥱

  • @shabanmakata7329
    @shabanmakata7329 9 місяців тому +1

    Hamna mtangazaji hapa

  • @vumiliakilosa4548
    @vumiliakilosa4548 9 місяців тому +1

    Acheni kuingilia ndoa za watu

  • @PrincessZAmlima-qh1uq
    @PrincessZAmlima-qh1uq 9 місяців тому +1

    Sheikh unakubari kuhojiwa huku wito wa Azana unaita....Nenda kafanye ibada uje uendelee na mahojiano

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 10 місяців тому +4

    Mbona kama mtangazaji anaskia arufu ya mdomo wa guest wake?😂😂 lol

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 9 місяців тому

    Panua tena miguu umrudishe Diva,😂😂

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 10 місяців тому +1

    Hyu nae mume wa mtu😂😂😂😂😂

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 10 місяців тому

    Hapo sanatembeana wenyewe siungo wanatembea

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 10 місяців тому +2

    Wameshakuloga wanawake wa watu umewachuna hela umewaacha

  • @ZubedaHussein-it7nf
    @ZubedaHussein-it7nf 10 місяців тому

    Mtangazaji yuko hoi n mume waladiva dangote😅😂😂😂😂

  • @shijalunemhya6546
    @shijalunemhya6546 9 місяців тому

    Kwanza mgonjwa mgonjwa pole

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 9 місяців тому +2

    Wamekutana pipa na mfuniko. Wote matapeli watupu

  • @tumarey3894
    @tumarey3894 9 місяців тому

    Mh abdul mbn unaongop miaka mi3 tang uoane na diva mbn unao gopa😂

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 10 місяців тому +6

    Eti moyo unafanyaje😂😂😅

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 10 місяців тому +1

    Mange alikuonea huruma tu😊

  • @shanishani6371
    @shanishani6371 9 місяців тому

    Hamna kitu hapo eti mume wa mtu inasikitisha sana

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 10 місяців тому +1

    Kweli Oscar anamtomba vipi Oscar mwenyewe kileja

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 6 місяців тому

      Weeeeeeee😂😂😂😂😂

  • @neemamsongo2006
    @neemamsongo2006 10 місяців тому +2

    Hiyo ya kawaida sana watu wanatembea na presha 200.nini 180.

  • @CatheriniThabiti
    @CatheriniThabiti 10 місяців тому +3

    Kuna dawa ya moyo ya miti shamba imeniponya mimi ijaribu

  • @SabraSaidi-w7x
    @SabraSaidi-w7x 10 місяців тому

    😊

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 10 місяців тому

    muongo huyu jmn kaaaaaaaaa eti kaenda south africa

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 10 місяців тому

    Qupanua miguu

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 8 місяців тому

    Kwani hamuoni huyu ni laghai

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 10 місяців тому

    Shenzi na mambo zako za mate

  • @ms_teeonly
    @ms_teeonly 10 місяців тому

    Mange anasema ukweli usitudanganye

  • @tshibangumunyenza7383
    @tshibangumunyenza7383 9 місяців тому

    Dida ulimupata wapi uyu 10 old boy ?

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 10 місяців тому

    Hta utuaminishe vep tupo na mange mbk ufe😂😂😂😂😂tunamwamin mange

  • @shijalunemhya6546
    @shijalunemhya6546 9 місяців тому

    Meno yake 😂😅

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 10 місяців тому +1

    Mtihani mtupu kwani ilukisema huna utakufa?

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 8 місяців тому

    umemloga mtoto wawatu ww muganga wachenyeji ,

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 10 місяців тому

    Mme muongo huyo mtu mpk mmke anakusimanga

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 10 місяців тому

    Mm najua alichoumwa huyu kaka ..Khs moyo ni Muongo...mwambieni apime live istagram HIV..

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 10 місяців тому +1

    Dah jamaa muongo huyo

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 місяців тому +1

    mimi namwamini mange sana kuriko nyiee wote mlipo apo bigup mange k

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 10 місяців тому

    😂😂Sheikh WA mchongo muongo wewe yani wewe tu NDIO Una preasure ?muongo wewe.mchawi ,Mganga kila siku mgonjwa😂😂mshamba huyu jamaa aisee,Maskini diva pole Sana yani huyu anakutomba?😂😂😂😂😂Diva umeniangusha dada

  • @vero57
    @vero57 10 місяців тому

    Huna jipya wewe !!!!!