Mungu atamuafi inshaallah mashallah Aly mzuri Sana na mama anajiamini Sana mashallah mama Aly mungu akuzidishie subra inshaallah Mungu awawekee wepesi palipo na uzito dada yangu amini Aly atainuka inshaallah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Allah atampa shifaa Insha Allah, MUNGU awape Moyo wa kumsaidia Mtoto kidini na kidunia, MUNGU awape subra katika kumuuguza kiumbe Wake, Yote hutokea kwa mipango yake,
Allah amjalie heri Ally angalau anasoma huku nje ya Tz Ally angekua mtoto muhimu kila ki2 angekipata yaani Tz mitihani Inshallah atatimiza ndoto zake Ameen
Pole sana Ally Mungu ni mwema kwa kila mja.. Irene hapo ungejitia kimtandio cha kishkaji ungenibamba mbaya mtu wako.... Au nichek inbox tafadhali 😁😁 Nyuma ya camera tupaone kidogo jamani... $
@@mwanaimaabdallah7825 . Huwezi kusema dini haina nafasi kwa kuwa mtu apenda kitu chengine . hatukukatazwa kufanya mambo yetu mengine almuradi tusimuasi Mungu . wale wanatoka siku au masiku kuhangaikia rizki pia utawasema ? maana hawana muda wakufanya ibada .
Maasha Allah uyu mama yuko vzr..mungu atamuafu Ally inshaa Allah
Amin
Mungu atamuafi inshaallah mashallah Aly mzuri Sana na mama anajiamini Sana mashallah mama Aly mungu akuzidishie subra inshaallah Mungu awawekee wepesi palipo na uzito dada yangu amini Aly atainuka inshaallah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Maa shaa allah,, Allah amfnyie shifaa daah inauma kwel mtot mdog anapitia chngamoto kubwaa sanaa
Mashaa Allah mtoto Ally pole sana Allah akupe shifaa upone upes
Mashaa Allah. Allah atamfanyia wepec Ally. Na wazazi wake Allah awajaalie Afya na Siha na Nguvu wazidi kumudu kumuangalia mtt wao.
Nampenda sana ally mm pia ant yake yanga Allah ampe shifaaa inshallah
Assalam Aleykum ndugu mwislam❤naenda kufaham istory ya ally shabiki wa yanga ❤Cha allah
Mashallah frome kenya 🇰🇪🇰🇪
Mashaallah allah azidi kumpa nguvu mdgo vng ally utainuka kwa uwezo wa allah lnshaallah
Amiin
Pole kwa mtihani mama ally insha allah m'mungu atampa afya njema
Yaani nakuelewa mama mazingira unayopitia kdg tunalingana
Allah atamjaalia atapoa kwa mungu hakuna kubwa na Allah awafanyie wepesi na awazidishie subra na shukran ameen
Inshallah mwenyezi mungu atamponya ❤❤❤
Pole mwanayanga,Mungu yupo na imani atakushindia yote
Pole sana Mumy Mungu atamsaidia mwanao atapona.
Stay positive and get better, inshaallah you will rise one day :!
Pole. San. Dada mungu. Atamsaidia. Ally atapon. Wanayanga. Twamuombea
Allah atampa shifaa Insha Allah,
MUNGU awape Moyo wa kumsaidia Mtoto kidini na kidunia,
MUNGU awape subra katika kumuuguza kiumbe Wake,
Yote hutokea kwa mipango yake,
Allah atampa shifaa amin. Wazazi poleni kwa mtihani.
Mungu nakuomba tafadhar msimamie vyema mtoto Ally
Mwenyezi Mungu akusaidie Ally
Mashallah Allah atamfanyie wepisi
ALLAH amuafu ampe uzima afya na umri afurahike kama wengina.Ameen
Mashallah mungu atamuhafu🙏🙏🙏🙏
Amin
Mungu amjalie Ally aweze kupona in shaa allah
Mashallah, Mama Ally Mrembo Mashallah 😘 Allah ampe shifaa Ally apone 🙏
ALLAH ampe shifaa ndugu yetu kipenzi
Mackin alliy allah atakuafu💚💛💚💛
I love this woman
Oh sherry pole sana habibtu inshallah this year nakuja bongo i will come to visiting u inshallah my hug and kiss to Ali❤❤
Naomba uje unitembelee na mie In Shaa Allah
@@binhussain3445 hahaha sikujuwi weye
@@samsunggalax8258 ukitutembelea ndio utatujua kipenz
Inshallah habibty i will nanitafurahi ssna🤩
@@samsunggalax8258 inshaaAllah kher
Ally jamn 💕💕😍
Ally yanga mwenzangu mungu atakuponya sisi ni wana nchi tupo pamoja sana na mwaka huu yanga bingwa kuwa na furaha mwanangu
Mashallah Allah atamuaf.amuondolee maradhi
Allah akuhifdhi mwanagu
Pole mtoto ally ila inshaallah mungu ata kuafu amin
MashaAllah
Mungu ampe haueni
ALLah Akbar ,
Allah amjalie apone kijana uyu
Amin
Allah amjalie heri Ally angalau anasoma huku nje ya Tz Ally angekua mtoto muhimu kila ki2 angekipata yaani Tz mitihani Inshallah atatimiza ndoto zake Ameen
unafananiza tembo na kiroboto
Pole sana Ally
Yanga mwenzanguuu
Mashallah
Pole sana Ally
Mungu ni mwema kwa kila mja..
Irene hapo ungejitia kimtandio cha kishkaji ungenibamba mbaya mtu wako....
Au nichek inbox tafadhali 😁😁
Nyuma ya camera tupaone kidogo jamani... $
Mungu ampe uzima daaah😢
Amin
Allaah amuaf Ally 🙏🙏😘
Ally tunakuombea Mungu azidi kukusaidia upone haraka
Mmmh mtihanii
@@mwanaimaabdallah7825 ulimuona akiabudu mpira?
@@mwanaimaabdallah7825 . Huwezi kusema dini haina nafasi kwa kuwa mtu apenda kitu chengine . hatukukatazwa kufanya mambo yetu mengine almuradi tusimuasi Mungu . wale wanatoka siku au masiku kuhangaikia rizki pia utawasema ? maana hawana muda wakufanya ibada .
Duuuuu mm wangu hawez chochote nawaza kuhusu mwangu kwel jinsi ya kumsaidia kumb wanasaidika tu
Pole sana Merry kwa mungu kila kitu kinawezekana usikate tamaa mungu atampa wepesi, kila kitu kinachotutokea duniani mungu akipanga kiwe hivyo mamy.
Allah atamuafu na ww akupe subra na nguvu
Pole sanaa Mary ALLAH atamsaidia mtoto wako apate afya njema
Heeee😳makubwa.
Mama Ali Ni UTOPOLO pure!!!!!!
wivu wa kikuma
Kwa nini unamwambia dada wa watu utopolo.
Ai...🤔🤔