SAUTI ya ZUCHU UWANJA wa UHURU YAWAINUA WAOMBOLEZAJI, Wamkumbuka JPM ALIVYOCHEZA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025
  • SAUTI ya ZUCHU UWANJA wa UHURU YAWAINUA WAOMBOLEZAJI, Wamkumbuka JPM ALIVYOCHEZA...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 136

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +44

    Uyu mama mpiga vegergere nampenda bure 😍😍🙏😭

    • @swagger7053
      @swagger7053 3 роки тому +1

      Amenitoa kweny huzuni

    • @aminayahya8446
      @aminayahya8446 3 роки тому

      Nimecheka katikàti ya kilio😅 ahhh mtihan kwel

    • @doreenjessy3399
      @doreenjessy3399 3 роки тому +2

      Aki mimi amefanya nikacheka uzuni ukaisha

    • @yusramkamiamaji7565
      @yusramkamiamaji7565 3 роки тому +1

      Nimejikuta nimecheka kwa saut maana sio kwa vigelegele hvy

    • @felistamwashibanda7764
      @felistamwashibanda7764 2 роки тому +4

      Alfu hicho sio kigeregere tulichokizoea Bali ni moyo uliovunjika

  • @josephkioko980
    @josephkioko980 3 роки тому +9

    Outer massive from Qatar mimi ni mkenya nalia Sana,

  • @NaomiBlackysFamilyLifestyle
    @NaomiBlackysFamilyLifestyle 3 роки тому +16

    Natazama kutoka Ujerumani🇩🇪 pole zangu kwa wapendwa ndugu na dada zangu kutoka Tanzania😢😢😢. Mungu amuweke daktari, mheshimiwa marehemu Magufuli mahali pema peponi 🥀🥀🥀🙏🙏🕊️🕊️

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 3 роки тому +1

      Thanx naomi for your love and thanx for being one of the people among us who got hearted of this loss of our hero we still love him??and we will always miss him?but he will remain in our hearts

    • @agnesgervas8070
      @agnesgervas8070 3 роки тому +1

      Ww mjeruman ila unajua kuandka swahili

    • @alexmgimwa6876
      @alexmgimwa6876 3 роки тому +1

      @@agnesgervas8070 amekwambia anatazama kutoka Ujerumani sio mjerumani

    • @agnesgervas8070
      @agnesgervas8070 3 роки тому

      @@alexmgimwa6876 ahaaa ckulewa bac

    • @hijahsaidy1562
      @hijahsaidy1562 3 роки тому

      Ameen

  • @merinajuma1236
    @merinajuma1236 3 роки тому +18

    Aiseeee hpo ndio napo jiuliza mimi nani kwa mungu mpka niwe hai mpka.leo niwe mzma hakika inauma snaaaaa baba etu mungu mkuu wawote kakupnda baba athnteee kwkli kitu jpo maumivu binadam tumeumbiwa baba tunakuombea timelia sna tumekufru baba lkin yote kwa yote athnte baba wambinguni

  • @salahfitnessfamily6820
    @salahfitnessfamily6820 3 роки тому +4

    Lala salama baba Magufuli 😭😭 poleni kwa msiba mulioipata Tanzania 🇹🇿🇸🇴🇹🇿🇸🇴

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 3 роки тому +1

    Magufuli HIGH! HIGH! HIGH! HIGH! HIGH! HIGH! HIGH! HIGH! HIGH!!!! With love from Kenya. Mama Suluhu simama!!! Njia umeonyeshwa!!!!!!!!

  • @remigiuswilla881
    @remigiuswilla881 3 роки тому +5

    Thank you Global tv

  • @rehobothgospelteamtanzania603
    @rehobothgospelteamtanzania603 3 роки тому +10

    Wazungu roho zinawauma pamoja tundu wao. Watu wamekusanyika kumwaga hawajali wala nini wanamwamini Mungu wa siyo wazungu wenye nia mbaya nanchi yetu.

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 3 роки тому +10

    Can't stop crying 😭😭😭😭

  • @baltazarymagata1146
    @baltazarymagata1146 3 роки тому +3

    uhai ni Zawadi toka kwa mungu lkn kifo ni lazima Y Anko magu chuma kilichowashinda mabeberu mafisadi kwann umeondoka bora ungetuaga Jpm watanzania tunalia tunhuzunika😓

  • @trumpprosper3872
    @trumpprosper3872 3 роки тому +1

    Poleni sana uyu mama analia amekosa Imani msaidieni na Mungu bariki

  • @wickienaste5095
    @wickienaste5095 3 роки тому +1

    Shine⭐✨ on your way legend 😭😭😭😭😭 ningekuwa na uwezo ningefika chato nikupigie kwaheri baba 😴😴

  • @whoceinwaawe1429
    @whoceinwaawe1429 3 роки тому +8

    Katika rehema za Allah 99 ni moja kashusha ardhini na hiyo ndio binadamu na wanyama wanahurumiana. Kumbukeni kwamba mungu yupo alie hai wa milele.tumtegeme Allah sio binadam.raisi wetu mungu amlaze mahali anapostahili.kila nafsi itaonja umauti.

  • @zuberiismail2972
    @zuberiismail2972 3 роки тому +6

    Singida wamachinga wamepewa siku 14 kubomoa biashara zao tangu alipofariki mtetezi wa wanyonge na hawana sehem yakwenda naomba mama samia waangalie wajasiriamali wa Singida wamepewa siku 14 tu kuondoka pembezoni mwa barabara na kuacha barabara wazi eneo la jineri

    • @feristamussa4181
      @feristamussa4181 3 роки тому

      Mala hi hata Hatjazika jaman

    • @zuberiismail2972
      @zuberiismail2972 3 роки тому

      Yaan atar sana watu hawana amani ani na nchi yetu saiv mtetezi wa wanyonge ndo ivotena mambo yameanza kubadlika

  • @bravinpeace6431
    @bravinpeace6431 3 роки тому +3

    Kenyan in Boston. We have lost a true African man leader dad and an eye opener to many of african leaders. Cant stop crying

  • @florahleonard6410
    @florahleonard6410 3 роки тому +2

    Kila nikiangakia hiz clip nahis kulia tuuu,magufuli wetu jaman why umetuacha sisi wanao? fumbua macho ata Mara moja utuone wanao tunavyolia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Lala salama BABA 😭😭😭😭😭

  • @zuwaydasalum4468
    @zuwaydasalum4468 3 роки тому +1

    Tupo mbar na nchi yetu lakin tupo na nduguzetu kumboleza baba ye jpm tutamkumbuka daima nenda salama shujaa wetu

  • @stylebysaumu5540
    @stylebysaumu5540 3 роки тому +1

    Music heals everything 💔💔

  • @adriandouglas9758
    @adriandouglas9758 3 роки тому +8

    R.I.P Legend 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nottslimjammiemusiq2057
    @nottslimjammiemusiq2057 3 роки тому +2

    kiongozi wa kweli. on my tears

  • @tatungole412
    @tatungole412 3 роки тому +10

    Yan nikisikia hii nyimbo nazid kulia jaman roho inaniuma..

  • @eriajulius2738
    @eriajulius2738 3 роки тому +19

    Usimpenda magu jaman rabda mchawi 😭😭😭😭😭

    • @gersonmsoffe5817
      @gersonmsoffe5817 3 роки тому

      Kwel kbs

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 роки тому

      Tena mchawi anae jifunza uchawi anatamani kuuwa kila wakati kisa amejifunza uchaw kila muda anatamani kuuwa

    • @roseurio2349
      @roseurio2349 3 роки тому

      Mshenz wew

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 роки тому

      @@roseurio2349 yametoka wapi hayo ya ushenzi?asiye mpenda Magu atakywa kamuuwa yeye

  • @mamaboizpure842
    @mamaboizpure842 Рік тому

    Niko hapa nalia nikama Magufuli kata leo jamani 😢😢 continue resting

  • @marymamntine1909
    @marymamntine1909 3 роки тому +2

    Inabidi ifike wakati tumshukuru Mungu

  • @luludisniper2436
    @luludisniper2436 3 роки тому +5

    Nalia nanyi pia 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @carolgatere1013
    @carolgatere1013 3 роки тому +3

    Shine ur way soldier

  • @fx-farm6888
    @fx-farm6888 3 роки тому

    Nenda kapumzike kwa amani legendary 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @mwinyiabdallah1817
    @mwinyiabdallah1817 3 роки тому +2

    Dah acha tu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @platadeluna
    @platadeluna 3 роки тому

    Condolences from Germany. A true hero.

  • @estherzacharia9045
    @estherzacharia9045 3 роки тому +6

    Magufuli kwakweli umeniliza sinabudi kukuombea uendako nisalama kwamambo ulotufanyia mema tutakukumbuka daima

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 3 роки тому +9

    Mama katoka mbeya kuja kupga vigelegele Dsm.

    • @swagger7053
      @swagger7053 3 роки тому

      Nmechkaaa mpk huzuni imeisha

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 3 роки тому

      Ni vigele gele vya uchungu na kumshukuru Magu kwa aliyotuachia Tz

    • @maureenmashayo7401
      @maureenmashayo7401 3 роки тому

      😭😭😭😭kweli nivigelegele za huzuni

  • @vitreenandeth3457
    @vitreenandeth3457 3 роки тому +6

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭rest in peace JJPM mkombozi wa wanyonge siamini kwa kweli ila twashukuru MUNGU kwa kila kitu

  • @happymwalupembe2562
    @happymwalupembe2562 3 роки тому +2

    Chumaaaaaa jamani kaaa loo inauma sana jmn watanzania

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 роки тому +4

    Na hatarudi tena... 😭😭😭

  • @lomnyackmollel5914
    @lomnyackmollel5914 3 роки тому

    Kwa kweli im speachless

  • @bravinpeace6431
    @bravinpeace6431 3 роки тому +1

    Magufuli was a young rock, and real to any kind of leader to learn from

  • @akasayarealtalk8620
    @akasayarealtalk8620 3 роки тому

    Nmemwaga machozi Magufuli pumzika baba😭😭😭...from Kenya💔

  • @adnaadne5013
    @adnaadne5013 3 роки тому +1

    Wooiii, inaumiza.

  • @phillipowino979
    @phillipowino979 3 роки тому

    The Messiah of Africa!!! May his soul rest in eternal peace.

  • @mwanakhamis1274
    @mwanakhamis1274 3 роки тому +1

    Uyu mama mpiga vigelegele kweli kafiliwa

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 3 роки тому +1

    Inaumaa mweee!!.

  • @aminasalim8467
    @aminasalim8467 3 роки тому +2

    Jaman inauma

  • @JACKIELVSGOD
    @JACKIELVSGOD 3 роки тому +1

    Sorry to hear, God Bless 🙏🏾

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

    Innah Lillahy Wa Innah Illayhi Rajioun, 😭😭😭😭😭.Poleni

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 3 роки тому +4

    The Son of the soil has truly gone.

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 3 роки тому

    Umejua kutuliza magufuli shujaa wa africa kazi ya mungu haina makosa

  • @gaspardkitoko1910
    @gaspardkitoko1910 2 роки тому

    Rest in peace JPM 🇹🇿😥😥😥😥

  • @margarettami2877
    @margarettami2877 3 роки тому +2

    May his soul Rest In Peace 😭😭

  • @FatiMa-dt6jc
    @FatiMa-dt6jc 3 роки тому

    Rest in peace papa JOHN POMBE MAGUFULI 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @rebeccafeaquee6655
    @rebeccafeaquee6655 3 роки тому +1

    My condolences to my Tanzanian brothers and sisters rest in peace Dr John Pombe Magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @aishamussa6852
    @aishamussa6852 3 роки тому +2

    tutakukumbuka sana bye

  • @hadijajamal704
    @hadijajamal704 3 роки тому

    😭😭😭lala salama baba duuuuh

  • @anifajumajuma2681
    @anifajumajuma2681 3 роки тому +1

    Duh ndio byby😭😭😭😭

  • @shushu8105
    @shushu8105 3 роки тому

    Pumzika kwahamani baba sipia tuko nyuma yako😭😭😭😭

  • @nurumshindo8669
    @nurumshindo8669 3 роки тому +3

    Yaan mm mwnyw cmuelew cjui machungu ndo yamemzid mpk apiga vigereger moja kwa moja

    • @lucyhaule5779
      @lucyhaule5779 3 роки тому

      Ni uchungu huo kila mtu ananjia yake ya kutoa maumivu

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 2 роки тому

    R.I.P MAGU

  • @aminatahsalim4650
    @aminatahsalim4650 3 роки тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢 I can't hold my tears

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 3 роки тому

    Inauma

  • @restrest473
    @restrest473 3 роки тому

    God 😭😭😭🇺🇬💔💔🇺🇬🇺🇬

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 3 роки тому

    Huyo mama wa shangwe nimempenda bure.

  • @salwasalwa1987
    @salwasalwa1987 3 роки тому +1

    Allaah amrehemu kipenzi chetu, allaah ampe kauli thabiti.

    • @binsultan3155
      @binsultan3155 3 роки тому

      Kama upo Na shehe karibu muulize inafaaa

  • @juliansjuicebarmalindi1156
    @juliansjuicebarmalindi1156 3 роки тому

    Siwezi jizuiya japo mkenya ila magufuli sikumuonea mfano Africa

  • @saidichelsea331
    @saidichelsea331 3 роки тому

    Tazaniaya sasa haina ma ya magufi mama babu babu

  • @nurumshindo8669
    @nurumshindo8669 3 роки тому +2

    😭😭😭😭🤔

  • @willyjulius3304
    @willyjulius3304 3 роки тому

    Good

  • @GoonersAnalysis
    @GoonersAnalysis 3 роки тому

    Mr Bulldozer RIP

  • @vicentrevocatus9353
    @vicentrevocatus9353 3 роки тому +1

    Nawatakie fb maombolezo mema,

  • @agnessaumukea5480
    @agnessaumukea5480 3 роки тому

    May his soul rest in peace

  • @pandupandu1500
    @pandupandu1500 3 роки тому +1

    Maisha yaendelee

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @kabenganicaise4342
    @kabenganicaise4342 3 роки тому

    MUNGU baba mpoke raisi wa Africa nzima kwa mikono mbili baba

  • @Ruth-lk9nt
    @Ruth-lk9nt 3 роки тому

    Rest in peace

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 3 роки тому

    Atokee mwanaume mmoja aeke mdomo km huyo mama kosha apike hio kigelegele kamaarawaza natoa bandle

  • @ezeledamakin4491
    @ezeledamakin4491 3 роки тому

    Kama ndoto du camin

  • @bintizack5182
    @bintizack5182 3 роки тому

    Rip

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 роки тому

    Huyu mama simuelewi vigelegele vya nini jamani😭😭😭😭😭

    • @feristamussa4181
      @feristamussa4181 3 роки тому

      Yaweza kuwa mhaya kila kambila wananamna yakulia usishagae

    • @allylameck6165
      @allylameck6165 3 роки тому

      Kaishinda vita ndovigeregere

  • @habilumussa2599
    @habilumussa2599 3 роки тому

    Tutakukumbuka Sana jpm jembe letu

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 роки тому

    Hakika ina uma sana hatuta kusahau kamwe mterezi wetu

    • @dotojohn9316
      @dotojohn9316 2 роки тому

      Dah machoz😤😤mpka ss yana nitoka nikiagalia na hii ajalii ya ndge

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @gaspardkitoko1910
    @gaspardkitoko1910 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿😥😥😥😥😥😥😥😥

  • @najmakhamis8052
    @najmakhamis8052 3 роки тому

    Muimbieni to kama ndo msada wake

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому

    😭😭😭😭

  • @frankmbonde909
    @frankmbonde909 3 роки тому +2

    Mwamba

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +2

    Msiwai mpigia tudu lissu.mtafteni mtu mwign kama hamtaki mama samia.polen sanaaaaaaaa.n uchugu kwa kweli

  • @wazarendotv7966
    @wazarendotv7966 3 роки тому +2

    Mama mbona ckuelewi sio kwa vigeregere hivyo afu umetoka mkoa uje kufurahia 😃😃😤😤

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 3 роки тому

      Sidhan km anapiga vigele gele vya furaha ila anamshukuru Magu kwa aliotuachia

    • @naymaamiry7911
      @naymaamiry7911 3 роки тому

      Ni kweli jamni sio kama anafurahi nimajonzi tyuuuuu jamni 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭✝️✝️✝️✝️✝️

  • @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 3 роки тому

    Astaghafrullah

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 роки тому

    Huyu mama kazidi.

  • @Beibemercy1961
    @Beibemercy1961 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @ezeledamakin4491
    @ezeledamakin4491 3 роки тому

    Kama ndoto du camin

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 роки тому

    😭😭😭😭😭

  • @nurdinisalumu5435
    @nurdinisalumu5435 3 роки тому

    😭😭😭😭

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 3 роки тому

    😭😭😭😭

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 роки тому

    😭😭😭😭😭