SUPRISE! YANGA WALIVYOMTEMBELEA MTOTO ALLY ANAYEUMWA, WAMPELEKEA MAYELE, MAMA AMWAGA MACHOZI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 434

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 2 роки тому +45

    Mungu akuponye haraka mtt mzr,,big up sana viongozi wa yanga mungu awazidishie upendo na utiifu kwa mashabiki wenye uitaji wa kuwaona wachezaji kwa krb

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 роки тому +3

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @neemabadi1531
      @neemabadi1531 2 роки тому +3

      @@Zaburi- shukran kwa marekebisho😃

    • @margaretmwandila2086
      @margaretmwandila2086 2 роки тому

      Maria Gondwin: our prayers

    • @williamsaulos8769
      @williamsaulos8769 2 роки тому +5

      Mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema amsaidie mtoto Ally Apone maradhi yake ili ashiriki katika kuishangilia Dar Young African akiwa mwenye afya njema.🙏

    • @mkobellahkipindurah1198
      @mkobellahkipindurah1198 2 роки тому

      Maa shaa Allah

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 2 роки тому +55

    Tunakila sababu ya kumushukuru , huyu mtoto anapitia wakati mungumu Sana pole Sana mtoto mzuri mungu akuponye🙏🙏🙏

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 роки тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 2 роки тому

      @@Zaburi- ☝️🤷

    • @ummimohamed2148
      @ummimohamed2148 2 роки тому

      Machozi yananitoka. Allah ampjaalie apone na awe sawa arud km kawaida amjaalie awe mtto. Mwema ameen

  • @selemanmoses1310
    @selemanmoses1310 2 роки тому +18

    Duuh Mungu awabariki sana kwa hili tukio maana nimeshindwa kumalizia machozi yamenitoka sana....😭

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 2 роки тому +13

    Daa wananchiiii love you yanga

  • @moyonelson5343
    @moyonelson5343 2 роки тому +23

    Inshallah Allah awe nawe mtoto mzuri

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 2 роки тому +10

    Mamae hii YANGA peponi ✍️💪💪

  • @happinessmzee8964
    @happinessmzee8964 2 роки тому +32

    Mungu mbariki mtoto na family yake aweze kupona na kunyanyuka kitandani mungu ibariki yanga.

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 роки тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @healthcomoditysikika9545
    @healthcomoditysikika9545 2 роки тому +25

    Mimi ni shabiki sana wa Simba Ila kwa hili mlilolifanya Wana Yanga nawapongeza sana Ila tu msichoke kumtembelea Mtoto Ally. Mungu akujaalie Shufaa Ally🥰

  • @michaelminja
    @michaelminja 2 роки тому +16

    Ee mwenyezi Mungu tenda miujiza yako mponye mtoto huyu Ally pamoja na wagonjwa wengine wote wenye matatizo kama haya , Amina.

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 роки тому +9

    Pole sana Ally! YaAllah muonekanie huyu mtt na wenzake kama yeye muinuwe kitandani afurahie maisha InshaAllah! 💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @mariamjason8319
    @mariamjason8319 2 роки тому +15

    Mungu awazidishie 💚💚💚💚💚

  • @naomifesto8616
    @naomifesto8616 2 роки тому +6

    Mungu akuponye mwanangu

  • @privatusrwehumbiza6628
    @privatusrwehumbiza6628 2 роки тому +8

    Mwenyezi Mungu ampe wepes apone mtoto mzr

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 2 роки тому +3

    Kwa kweli Hersi salim ni mtu mzur sana hana majigambo na wala kujisifu Mashallah 💚💚💚💚💚💚na manara ameongea vizur sana leo

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 роки тому +4

    Ooh waoh nimejisikia furaha mmefanya jambo zuri sana Mungu akuponye mtt mzr

  • @MaimooMariyam
    @MaimooMariyam 2 роки тому +2

    Mie naipenda yanga nishalewa, Allah akupe shifaa mtoto ALYII inshaallah

  • @peterassenga6169
    @peterassenga6169 2 роки тому +11

    Aiseee hiii kubwa Sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 роки тому +15

    Yani duhhh nimefurahi mpaka natokwa machozi ya furaha sana sana.mungu mbaliki ally yanga mayele.jamani jamani tupeni mwelekeo tuanze kuchanga leo leo.

  • @soghosojoel9165
    @soghosojoel9165 2 роки тому +6

    This is love...pole sana mwanainchi

  • @najmanassoro308
    @najmanassoro308 2 роки тому +1

    Mashallah kaka manara

  • @sokisigrace6836
    @sokisigrace6836 2 роки тому +7

    Pole sana

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 роки тому +8

    Mwenyezi Mungu akuafu mtoto Ally Inshallah 🙏

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 роки тому +5

    Pole Sana dogo

  • @neemabadi1531
    @neemabadi1531 2 роки тому +35

    Maa asha allah Yanga mmetimiza ndoto ya Ally wallah. Tunakuomba ya allah iwe ni shifaa kwa watoto wote

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 роки тому +7

    Mungu amsaidie mtoto

  • @mariamjason8319
    @mariamjason8319 2 роки тому +24

    Mungu atamponya Mtoto mzuri

  • @veronicadaudi7565
    @veronicadaudi7565 2 роки тому +9

    Mungu amponye mtoto jmn dah

  • @omarchuo2178
    @omarchuo2178 2 роки тому +20

    Yanga ni timu ya wananchi, kitu kizuri sana wanakifanya 💛

  • @tabithaemmanuel639
    @tabithaemmanuel639 2 роки тому +5

    Mmefanya jambo jema sana viongozi wetu wa yanga hongereni na muendelee kufanya mengi mazuri.

  • @erickbiharagu894
    @erickbiharagu894 2 роки тому +8

    Salute kwa wananchi

  • @ruwaidahafidh1500
    @ruwaidahafidh1500 2 роки тому +2

    Wallah machozi yamenitoka 😥more then love ❤Get well soon bby ally❤

  • @elastomasalago6953
    @elastomasalago6953 2 роки тому +4

    Mungu akupe wepesi ally mwananchi mwenzangu

  • @salmaramadhan5386
    @salmaramadhan5386 2 роки тому +10

    mungu akuponye mtt mzuri

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 роки тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @abuuzainab1489
    @abuuzainab1489 2 роки тому +11

    Allah ampe shifaa mtoto ally na wengineo wote In Shaa Allah

  • @chummaulid7115
    @chummaulid7115 2 роки тому

    I see new yanga
    I see the real love from mashabiki
    I see the trustness
    Hongera sana viongoz wa yanga

  • @suzanampanda6242
    @suzanampanda6242 2 роки тому +6

    Jamani nimeumia lakini nimepata faraja pia kumuona mtoto mzuri akiwa na furaha. Mungu ampe shifaa baby boy 🙏🙏🙏

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 роки тому +8

    Mimi ni Simba Ila hili jambo limenitoa machozi Wallah Yanga mmenifurahisha sana sana🙏

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 роки тому +9

    Allah atamuaf ishaAllah atakuwa mzima yaraby

  • @josephshila3491
    @josephshila3491 2 роки тому +4

    Mungu mjalie kijana wetu Ally apone

  • @frankmwalongo2369
    @frankmwalongo2369 2 роки тому

    Mwenyezi Mungu Akamponye mtoto Ally aweze Kuamka Siku Moja,Mungu ni Mwema naimani Itawezekana,pole sana kwa familia.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +9

    Pole sana Ally, Allah akupe shifaa, Kwani uyu mtoto anatatizo gani?

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому

    Mashaalla manara sheke mungu akupe mwesho mwema mashaalla uslaam ni nema kubwa

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 2 роки тому +3

    Daaah huruma saaana may God heal him

  • @mamuumamuu7743
    @mamuumamuu7743 2 роки тому +7

    MASHALLAH MOLA AMPE AFUENI

  • @costantinemahela9911
    @costantinemahela9911 2 роки тому +5

    Good!

  • @elroyaladyzu349
    @elroyaladyzu349 2 роки тому +1

    Inshaaallah Allah amjalie shifaa Ameen I support yanga to from Kenya♥️♥️♥️

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 роки тому +1

    Mwenyezimungu ampe shifaa mtoto Ally!

  • @crepinakatundu1831
    @crepinakatundu1831 2 роки тому

    Mwenyezi Mungu awabariki.Mmetenda kitu chema.Amina.

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому +2

    Ameen yarrab big up haji manara

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 роки тому +1

    Shukran Haji Manara Kwaduwa Mashaallah

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 2 роки тому +4

    Nimefurahi kinoma,MashaAllah

  • @gladysrodrick3228
    @gladysrodrick3228 2 роки тому +5

    Jamani pole sana ally ila jamani kwa anae jua uyu mtoto anaumwa nn

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +3

    MASHAALLAH, MAANA HALISI YA TEAM YA WANANCHI 👏👏👏👏

  • @kulthumhaji6928
    @kulthumhaji6928 2 роки тому +1

    Mungu akupe afya njema mtoto Alliy. AMEEN .

  • @salehmohd5231
    @salehmohd5231 2 роки тому

    Mashallah uongozi wa yanga allah awalipe kher kwa mapenzi yenu muliomuonesha huyu mtoto

  • @lovespatrick9736
    @lovespatrick9736 2 роки тому

    Waooooo! Nimependa sana sanaaaa

  • @aisha2277
    @aisha2277 2 роки тому

    Pole San ndugu yangu mungu akupe wepesi uweze kupona, Wana yanga wanakupenda sana🙏🙏🙏 mungu akubaliki

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 2 роки тому +5

    Safii Sana Sana 💚💚💚💚💚

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 2 роки тому +3

    Mungu amuponye

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +2

    Polesana mtoto unapitia wakati mgumu Allah akuponye she lnshaallah🤲❤️Ally❤️

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 2 роки тому +13

    Embu yanga chezeni mechi ya kurise pesa huyo mtoto aende hospital uko India akatibiwe

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 2 роки тому +12

    Inshallah utapona mtoto mzuri

  • @abela173
    @abela173 2 роки тому

    Pole sana all mwenyez mungu atakuponya

  • @hamidmiki5506
    @hamidmiki5506 2 роки тому

    Mungu akujalie mtoto mzur at a na mie nimeumiya mwana yanga mwenzangu pole

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 2 роки тому +12

    Mungu ni mwema atakupa uponyaji wa haraka.

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 2 роки тому +1

    Ally shanga....we love you.....broda🙏🙏🙏...
    Hinuka utembeee mdogo we

  • @dr.peterofficial6390
    @dr.peterofficial6390 2 роки тому

    I loved this hongereni Manala na team yanga

  • @wardahamsini9497
    @wardahamsini9497 2 роки тому

    Inshaallh mungu atamnyayuwa

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 2 роки тому +1

    Mashaallah baba yangu Ally Mungu akupe kheri uweze kuinuka na usimame kama kawaida na uweze kutembea yarab pokea Dua zetu🙏🙏

  • @scolakayanda7171
    @scolakayanda7171 2 роки тому

    Huwiiii Yani nimejikuta nalia mweeeee Mungu amponye mtoto, pia Mungu awabariki wananchi

  • @faridaamiri9264
    @faridaamiri9264 2 роки тому

    Eee mungu mponye uyu mtoto 🙏 YANGA WANAUPENDO WALLAH MASHALLAH

  • @masudinangololo3672
    @masudinangololo3672 2 роки тому +1

    Mungu atakuponya mtoto daima mbele nyuma mwiko 🔥 🔥

  • @ZaZa-ck9sf
    @ZaZa-ck9sf 2 роки тому

    Manshaallaah manara ahsante kwa dua umenichekesha akaah ally dual zotehajacheka hiii kucheka upo vizuri na hongera Sanaa kwa kumfatiji mtt

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 роки тому +1

    Mungu amlinde

  • @rebeccasechuma4746
    @rebeccasechuma4746 2 роки тому +4

    Mungu ni mwema tunamuombea mtoto wetu ipo siku atasimama

  • @prosperkiluwa8184
    @prosperkiluwa8184 2 роки тому

    Daaah. Very touchable. Hadi machozi

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 2 роки тому +4

    Too much charity. More blessings 🙌

  • @chamgiwadu
    @chamgiwadu 2 роки тому +26

    Maa Shaa Allah this is so beautiful. Yanga has done something very great to this boy.
    May Allah give him shifaa
    Aameen
    Say hi to Mayele

  • @lidyamangowi1340
    @lidyamangowi1340 2 роки тому

    Mungu awabariki hata mimi ni mebarikiwa jamn

  • @neemabadi1531
    @neemabadi1531 2 роки тому +18

    Allah aendeler kuwatia nguvu wazazi wa Ally in shaa allah

  • @mowl247
    @mowl247 2 роки тому +1

    God bless the entire YANGA management this what we call sportsmanship 🙏🙏🙏🙏Qr Ally

  • @elizabethkesi6043
    @elizabethkesi6043 2 роки тому

    Gud boy, may God grant u blessings abundantly..

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 2 роки тому

    Mwenyezmunngu akufanyie wepesi habibi uamke kwa salamaa yaarb🤲🤲🤲

  • @timibakat7345
    @timibakat7345 2 роки тому +8

    Jamani huyumtoto anaumwa nanini

  • @elizabethfaustine5299
    @elizabethfaustine5299 2 роки тому

    Mwenyezi Mungu akuponye mtoto mzuri Ali

  • @adelinamushi2892
    @adelinamushi2892 2 роки тому +1

    Mungu mponye mtoto wetu mungu sikia maombi

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 роки тому

    Mashaaallah Allah Awabarik wana Yanga

  • @amreallizy9518
    @amreallizy9518 2 роки тому

    Maskin Ali had nmetoa machoz mungu yu pamoja naw baby boy❤❤❤

  • @furahakawogo9660
    @furahakawogo9660 2 роки тому +2

    MUNGU atamponya mtoto mzuri. MUNGU wetu tunakuomba umponye mtoto huyu kwa upendo wako.Amina.

  • @sokisigrace6836
    @sokisigrace6836 2 роки тому +5

    Mungu atakuponya

  • @kwizerazainabu7979
    @kwizerazainabu7979 2 роки тому +1

    Mashallah, Tabarakallah, Allah ampe shifaa abone nimelia kwafuraha 😭😭😭

  • @hildegundembilinyi9042
    @hildegundembilinyi9042 2 роки тому +2

    Mungu amponye

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 2 роки тому +2

    Pole sana mdogo wangu MUNGU akuponye jmn

  • @maqcngosha2119
    @maqcngosha2119 2 роки тому +7

    Mungu mponye mtoto huu 💚💚💚💚

  • @atukuzwelameck4324
    @atukuzwelameck4324 2 роки тому +6

    OMG🥺❤️🙌

  • @mwasitishabani7014
    @mwasitishabani7014 2 роки тому +1

    Amiin yarabi allahamin alihamndulilah Allah twakuomba waponye watoto ote wanaosumbuliwa na maradhi mbali mbali

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 роки тому +1

    Mashallah yanga naipenda sana mungu amponye Ally

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 роки тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @tatumakwega6170
    @tatumakwega6170 2 роки тому

    Masha'Allah,, Allah ampe Shufaa,, Insha'Allah

  • @bolemboalenge2325
    @bolemboalenge2325 2 роки тому +4

    Mungu akuponye mapema Ally

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 2 роки тому +5

    Mungu amponye jmn