Yanga SC 2-1 Red Arrows | Highlights | Mwananchi Day 04/08/2024
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- YANGA DAY | Red Arrows wametangulia kupata bao dakika ya 6 kupitia kwa Ricky Banda lakini Yanga wakasawazisha dakika ya 64 kupita kwa Mudathir Yahya kabla ya penati ya dakika ya 90 iliyofungwa na Stephane Aziz Ki.
Yanga wanapata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mabingwa wa Zambia, Red Arrows katika Sherehe za Siku ya Mwananchi ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Huyu dube namuona kabisa anakamba 2 tarehe 8. Mark my words.
Mudathir our zanzibar finest❤🎉
Man of the match...Refa wetu kasaidia Sana kama pesa imeenda kialali
Man of the match ni kipa sio refa
Pacoume is back on his fitness 💪
Mudathir ndo man of the match 👏 🙌👊💪💛💚
Huyu Golikipa ni next level😮🤩🤩 nomaa sana
Ase yanga hongera, kipa wa red arrows hongera
Hii yanga itatikisa Africa kila mtu atakuja kuona 💚💛🙌
pacoume kawaka sana jana💥ila kuna wachezaji wapo kwenye viwango bora sana na wanashawishi kila kukicha..boka,duke abuya,mzize,pacome,maxi,musonda anazidi kuongeza kitu ila ajitahidi kuwekeza akili zaidi katika eneo la kumalizia..AZIZI katulia sana
Kipa wa red arrows apewe hongera yake maana kajituma sana yupo vizuri
Tukiacha ushabiki wa kijinga yanga wangeshinda nyingi Ni kipa tu wa red mzuri pia bahati haukuwa upande wao
Ulitaka wacheze bila kipa?
@@andrewIzdory-sk4cu elewa comment ndo ujibu usiwe una comment hujanywa chai Sawa mkuu
😂😂😂 Unaandika comment ukiwa wapi? 😂
Ww umenena bwana
Hakuna nyiny kilicho wasaidia ni upungufu wao tu
Aiseee kipa wa Red arrows 🔥🔥🔥🔥
Hii Saka Saka mwizi ya Yanga ni hatari sana, naogopa.
Kuna mwehu alisema penati tumepewa wehu hawawezi kuisha😅😅😅💚💚💚💚
Wamshukuru kipa wao yupo good wangekula nyingi sana
Kwani kazi yake kipa ni kudanga au kuzuia magoli? Mmeshindwa hata 3 nyingi mngetoa wapi?
@@emmadora7848 mje na kipa bora
Mchumba umebebwa 😂😂😂 diara anaongz kutolew bikra 😅😅😅😅
Hii yanga ya kubebwa na refa hadi mechi ya kirafiki penalty laini sana
Ona huyu naye wamshukuru nini sasa,kwani alikuwa pale kwa jukumu gani
Nimeridhika na usajiri inatakuwa concentration tu kwa attacking midlfield na strukers.
Kalumba wa man of Match. Safi sana.
Kipa wa red arrows man of the match daaah ilikuaw ni kaziaaaag😢😢
Man of the match kipa
Pacome akishika mpira ningumu kumpokonya alf ana force kubwa kufika mbele na akifika ni shoot kubwa so naongea km mwana simba tareh 8 aangaliwe sana sana alf kipa wetu ayubu au ali salum yanga wana mashut ya mbali hatar hasa pacome chama na aziz ki pamoj na mudthir mznzibar mwenzngu
Huyu kipa wa Red Arrows Mungu amfungulie milango apate timu itakayoweza kumlipa zaidi anavyolipwa sasa.Sincerely speaking,he is the best goalkeeper.
Unaweza ukawa mzuka wa mechi moja tu 😀😀
Man of the match inaenda kwa kipa wa Red 🫡 ila kwa 🟡🟢⚫️ wamejipata 🙌👏
Huyu kipa ni mzuri sanaaa
Yanga ya Huu Msimo itakua Kali sana Simba Mjiandae😂😂😂🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kocha Gamond anaakili saana huez kupanga kikosi no.1 ili Hawa mbuuz makolo wakijue huku ukijua tar 8 mpo nao safi kochaa
Ila Pacome🔥🔥🔥
daima mbelee yanga💛💛💛💛💛💛💛💛
Makolo roho Zina umaa yanga oyeeeee💚💛🖤☠️🇰🇪
Oyeeeh
@@jumakassim8718 yes mtu asiguse comment yangu
PACOME mtu hatari sana
Wanasimb wenzang tumuangalienisana huyu pacommme ..nishida
Jana angekua kipa wa simba angekula nyingi sana 7
PACOME yupo juu SANA ki-soka.
hawa jamaa wana Bonge moja la Nyanda .... Good Goalkeeper
marverous saves
Pakome ni kisanga na nusu 🔥
Zaid ya san pacome ninomaa
PACOME 🙌🙌🙌
Maskini kipa wa watu alipata tabu sana 😂😂 ⭐⭐⭐🖐🏼
😂😂😂😂
mwaka huu makipa watapata shid sana. Abuya anapiga miwa, Aziz anamabomu, Muda anang'oa minara ya simu, Dube yeye popote nje ndani anakujuka, Pakome ndo ukigoma anakulazimisha mpaka chumbani kwako yaani tuburere.... kipa haelewi nani atatoa pasi au nani atapiga, simba mchukueni kabisa huyu kipa wa Red Arrows awaokoe na ninyi tarehe nani. Sisi tunajua Deborah tu akikamatwa basi!
Goal ako vizuri 🙌🙌
My beautiful team
Pacome +max+Duke 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yanga ni balaa sijui iyo tarehe 8 mwezi wa 8 watu watalia😢😂 nyie
Jamani ushabiki naweka mbali uyo kipa so pouwa angekuwa nikupa wa simba angekula 7
Ww ndio shabiki
Ila.mudathir ana kitu kinaitwa bahati nzuri
Anajua sana sema hapewi heshima yake. Angekua sio Mtanzania angepewa heshima sana
Kipa wiki hii haamki Kwa kuokoa mekwaju mingi
Yanga kama yanga 💛🔰💚
Kosa kubwa la red arrows ni kuvaa nyekundu tu
Yanga 🎉
Uyu kipa wa red atari sana la si ivyo zilikuwa nyingi sana leo
Mimi nimkenya lkn napenda yanga kinoma juh wako na game nzuri than any team in Eastern Afrika.
Wamshukuru gor kipa arikuwa vizur
Ila hii yanga hii atakufa mtu siku mashaallah ❤
Nyoko
@@boxdad unakufa ukiwa wapi
Shikamoo pacome
Marahaba 🎉
Yanga bingwa mpk wanatrendiiii😂
Wananchi ikitokea pacome anataka kuondoka sababu ni mshahara kubalini hata kuchanga mashabiki asiondoke hii ni tunu
Yanga sio pacome tu 😏
Wew unatimo pole
Wew maiwetu njoo telehe 8
Vp kwa chama tuta changa??
Yanga kikosi kipana kipo😂😂
Mmudathir +aziz ki+ pakome+ dube+ musonda. Chama atasubiri sana
Yanga noma sana
huyu pacome achunguzwe 😂😂
Kuna watu wajinga sana duniani, yan mnaona kabisa yanga walivyomiliki mpira mwanzo mwisho mnaona kabisa idadi ya magoli waliyokosa yanafika zaidi 20. Halaf anajitokeza mjinga mmoja unakenua mdomo ukisema yanga imebebwa. Wana simba hovyo sana. Subiri kipigo chenu tar 8.
Toka hapa umebebwa mlionewa huruma tu kasherehe kenu kasihalibike 😂😂watu pungufu vile unahangaiiiika😂😂😂
Mmebebwa bhn ingekuwa aibu
Washenz nyie ata albu amuoni watoto walefa nyie
@@gerkombo6512 kidogo supu liingie mchanga🤣🤣🤣🤣🤣
Ila huyu kipa ni mnoma ❤🔥
Viva Yanga Viva Wananchiiiiii PACOME Hatare Saaana
Jamani nyinyi huyu Pacome mnamuonaje lakini?
Pacome proffesor wa vyuo vyote africa vya mpira😂😂😂
Zambia kipa mnae @ anajua Kaz yake
Red arrows wangeshinda hii gem tatizo walipobadili jezi nyekundi yanga ikaaza kuwaona kama adui wengine
Kwani hiyo nyeupe walipowatia moja bila haina utamu wa mnyama🦁
HAWA YANGA NYINYI,TIMU IKIJA HOVYO INAWEZA KUCHEZEA NYINGI SANA!
Yanga inaweza kucheza mechi mbili siku moja
KWA KULA VIDONGE VISIVO RUHUSIWA
Kipa wao yupo vzr sana😂
Timu ya pili ya yanga inajaribu kupiga shoti sana kuliko ya kipindi cha mwanzo
Washukuru kipa
Yanga baba lao tunasubilia hiyo tarehe nane
Imebidi apewe mtu RED CARD ili Vitenge FC waweze kushinda, ikashindikana ikabidi wapewe penati 😂😂😂😂
Tatizo hujui sheria ya football, huyo mchezaji kajitakia mwenyewe hiyo card . Alikuwa tayari kashatoka nje , kisheria ukiwa nje huruhusiwi kuingia tena mpaka matibabu yamalizike ndo maana hata wenzao walimshangaa, anakuwa kama cyo mchezaji bwana . Hata kocha wao aliongea kuwa kadi nyekundu tulijitakia wenyewe.
W kolo chakavu em uje uifunge yanga tar 8 @@user-bl1tx8fc9v
Usiwe unaongea tu yanga wanapiga ball
Shikamoo golikipa wa red arrows
Mungu mukubwa
Mimi kma shbik wa Simba nasema hv nitawashauri viongz tusiplke timu ytu uwanjani😂 Yanga wapo full magazine
Safi 🎉🎉🎉🎉
love yanga
Hivi yanga mbona on 🔥🔥🔥🔥🔥
Hili goli la mudathir linatosha kukumalizia MB bila kuangalia chengine
Kwa mpira huu waliocheza Young Africans, tarehe nane Simba wajiandae kisaikolojia,nakiona kipigo kizito zidi yao,nilitizama mechi Ya Simba,hawakutengeneza hata nafasi moja ya goli,lkn Young Africans wametengeneza nafasi za magoli zaidi ya 10
Inamana bira cad nyekundu yanga shghur ilikuwepo
KWELI BRO
Inaonekana umeumia Sana @@magesakhamis4808
Hujui mpira,
Uwezo wayanga nimkubwa sasa waonyesha viwango
yanga iko vizuri
Beware of pacome pengne ana madhara kulko Azizi ki
Ndio maana ya team akikosekana mmoja n mbaya😊
Nyie komaeni na matokeo ..lkn jifanyeni hamuoni form ya pacome na zengeli ambao ndio chanzo cha zile 5G .😂
Red mumepiga sana mpira lakini kilichokuponzeni ni hii jezi, imekaa kimnyama mnyama, na Yanga akiona hii kitu lazima aifanye kitu mbaya!
Kitu mbaya ipi wakati alibebwa
@@iamdivineimage Imekojoa mgongoni
@@hajihassan5433 Hamna kitu utopolo mtupu
Wakat wamebebwa 😅😅😅na mlishabebwa sana kwn hatujui
Ndugu zangu wanasimba ambao tumeona kama haya matokeo wameyapata kwa bahati tuache kuongea mengi hawa watu tunakutana nao tarehe 8 tu hapa tusije maliza maneno wakaja kutubamiza
😂😂😂😂😂😂😂kifo kiko pale pale ndugu yangu
What a goal
🍎yani goal kipper ndio aliwaokowa
Chadrack Boka hatari sana🔥🔥
Kawa hawa wavaa vitenge mutale na kamara wanawatosha
🔥🔥🔥🔥🔥
SIMBA mnamchezaji kama PACOME zouzou
Wamtoe wapi ndengelesi bini kandia makolo
@@user-ip3qr4mj8unyie vibwengo Jana mmebebwa kwenye bonanza lenu alafu mnaongea ongea utumbo ndengelesi
@@luluray2115Kabisa yn wanamdomo sana subiri tuwakande tarehe 8
Atapangua defence Yao na Mo atakimbilia DUBAI
@@user-ce3tx7mr8v😅😅😅😅
Mimi siku zote Pacome ni bora kuliko Aziz Ki. Na kama msimu uliopita hakupata injari Yanga ingebeba ubingww wa shirikisho
Yan hapo umeongea ukweli… Pacome ni bora kuliko Aziz Ki.
Uchezaji wao ni tofauti sana. Achana na Ki nyie 😅😅
Tunaishukuru Kadi nyekundu iliyotupa ahuweni na kiukweli April ina kiwango bora kuliko Red Arrow
Kwan red arrows si walicheza na Apr kwenye cecafa.. unajizima data.. subir tareh 8.. Simba wangecheza na Red arrows wangeliwa 3 bila
Sio kweli kaka
Njooni na kipa wenu mbovu keshokutwa mpigwe nane nane kama siku yenyewe😅😅
PACOME ni moto
Aisee, jamaa ni balaa
Hatari sana anajua sana 💚💚💛💛
🎉Thus why katambulishwa wa mwisho mwisho huko ❤❤❤
Pacome ni shida sema Aziz kii ana offer mechi nyingi bila injury yani msimu mzima anakuwa anacheza game nyingi
Pacomeeeee
Huyu kipa noma
Ila kipa wanae!
Wamebebwa ilikua aibu leo
TAREHE 8 Muwekeni Mo awe refa,, Akubebeni na 3 kwenda mbele lazima mchezee,,, ndio maana master gamondi ka mix vikosi msijue wanamme wapi Watakushugulikieni next week
Master Gamond is really a master nakwambia
@@joycemmassi5046NIPE ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE UONE 😂😂😂😂 SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA
Hatujawahi tarajia jema Toka kwenu
Aibu kubwa ilikua iwakute maana sijaona sababu ya kupewa red mchezaji wa red arrows