Azam FC 2-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 25/12/2022
Вставка
- Опубліковано 30 лис 2024
- DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague
Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.