KILIMO BORA CHA MAHINDI tumia mbegu za DK kutok Agricpays Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 сер 2022
  • KILIMO BORA CHA MAHINDI uanze na uchaguzi sahihi wa mbegu bora za mahindi
    DK777 (SABA SABA)
    (Mbegu ya Ukanda wa Kati Na Juu (Mvua za wastani na mvua nyingi)
    SIFA
    -Hukomaa kati ya siku 130-150
    -Inakupa gunia 40-44 kwa ekari (tani 8-10/ekari)
    -Huzaa mbili mbili (mapacha) -Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa mahindi
    -Ina punje ngumu hivyo hufaa kukoboa
    -Mimea Imara, haianguki ovyo shambani
    -hukomaa kwa pamoja
    mbegu ya mahindi dk 9089
    mbegu za mahindi aina ya dk 8031
    mbegu ya mahindi aina ya dk 777
    mbegu ya mahindi aina ya pioneer
    heka moja ya mahindi inatoa gunia ngapi
    Agricpays Tanzania - DK777 (SABA SABA)
    DK 777. Kampuni ya Mbegu ya Bayer. Life Science Tanzania Ltd. Mpunga. Arize 6444 Gold. Aina hizo mpya za mbegu zitaanza kuzalishwa na makampuni ...
    Kampuni ya Uzalishaji wa Mbegu ya Monsanto imezindua mbegu mpya aina ya DK 777 ,ambayo ina uwezo mkubwa wa kustahimili ugonjwa wa Mnyauko wa Mahindi uliowasumbua wakulima wengi hususan katika kanda ya Kaskazini na kusababisha wakulima kukosa mazao .
    KILIMO CHA MAHINDI.MBEGU BORA ZA AINA ZA MAHINDI (CP 201,SEEDCO 513 NA DK 8031)
    #mkulimasmart
    #shambadarasa
    FAHAMU AINA 5 ZA MBEGU CHOTARA ZA MAHINDI
    Hatua 12 za kuzingatia ili kupata mbegu bora ya mahindi
    MBEGU ZA DK
    Ni mbegu gani za mahindi zinafanya vizuri katika mkoa wako?

КОМЕНТАРІ • 18