KILIMO CHA NYANYA: DONDOO MUHIMU | MBEGU BORA | MBOLEA YA KUPANDIA | MASOKO YA NYANYA | VIWATILIFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 тра 2022
  • Fahamu kuhusu Kilimo cha Nyanya kutoka Katika Shamba Darasa lililoandaliwa na Rikolto kupitia Mradi Wa AGRI-CONNECT; Shamba Darasa la Ndugu Victor Kasebele lililopo kata ya IYELA Mbeya Vijijini.
    Kufahamu zaidi sikiliza Taarifa hii au tufuate kupitia @shambahubtz Instagram, Facebook na Twitter.
    #Horticulture #shambadarasa #Nyanya #Tanzania

КОМЕНТАРІ • 22