MPISHI WA IKULU ASIMULIA CHAKULA ALICHOKUWA ANAKIPENDA RAIS MAGUFULI, JK, MKAPA, MWINYI, NYERERE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 61

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 Рік тому +6

    🤪♥️🤝🏽🙏 chakula cha asili kimeshika 💯🔥
    Kuna Mbabe mmoja hapo nimemuelewa kama nilivyomdhania😂😂😂

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 Рік тому +1

    Mwinyi anapenda vyakula vya kizanzibar lakini Mwinyi sio Mzinjibar Mkataa kwao mtumwa Mwinyi yeye na Wanawe wote na Watanganyika sawa.thanks

  • @TusanieIKONYOLE-f2h
    @TusanieIKONYOLE-f2h 7 місяців тому +3

    Mwamba wangu JPM pengo lako. Halita. Zibika kamwe

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 5 місяців тому +2

    Huyu jina lake kwan nan

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 6 місяців тому +2

    Hongera Kwa utumishi mwema Kwa Taifa letu la Tanzania 🇹🇿

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    Hongera kwa kutendeni kazi kwa uaminifu hadi viongozi wetu.wakatimiza awamu zao vizuri. Mungu akupeni heri. Wachache hukumbuka fadhila kwa watu kama nyie.

  • @salimshamis7580
    @salimshamis7580 9 місяців тому +5

    Yaani kumbe wao nyama pori wanapenda sana na Wana kula..ila yule mama maskini ya Mungu wanataka kumpiga miaka kadhaa jela dahhh

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 7 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @AalyahNassor
      @AalyahNassor 6 місяців тому

      😂😂😂😂😅😅😅😅
      Yule Mama Aliye Kutwa Na Nyama Ya Swara Kwenye Ndoo

    • @AalyahNassor
      @AalyahNassor 6 місяців тому

      Lakini Aliachiwa Yupo Uraian sasa i

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 7 місяців тому +2

    Chakula muhimu sana kwa Afya, wapenzi wa mazoezi njoo hapa uone mazoezi ya kupunguza uzito na kujenga mwili

  • @annamakomele339
    @annamakomele339 Рік тому +6

    Ndo maana mkapa alikuwa bonge

  • @MnapwajrAlly
    @MnapwajrAlly Місяць тому

    Nimependa wewe nimtalam sana ongera

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому +4

    Chezea mlenda wewe safi sana

  • @gracejohn3445
    @gracejohn3445 Рік тому +4

    My papa ♥️ hongera kwa utumishi mwema ❤❤

  • @J4UPro
    @J4UPro Рік тому +6

    Mwamba Magufuli miss sana

  • @gideons5265
    @gideons5265 Рік тому +3

    Nifatilie kupata nyimbo za kumsifu Mungu

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies Рік тому +2

    Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie

  • @nurabdiyare8025
    @nurabdiyare8025 6 місяців тому

    Janabi anakuambia usile biriani Mzee Mwinyi kaupiga vizuri na kagonga 99 chupuchupu agonge karne

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Рік тому +3

    Mwinyi katuangusha yani sisi tuko bara yeye anakula vya zanzibar 😂😂

    • @binshaaban8737
      @binshaaban8737 Рік тому +1

      Du! Kuna watu hawaipendi Zanzibar. Yaani wakisikia tu imetajwa Zanzibar tayari wanaumwa@!

    • @binshaaban8737
      @binshaaban8737 Рік тому

      Kwani yy alikuwa Rais wa Bara?

  • @nestor384
    @nestor384 Рік тому +5

    Food ya Mwl Nyerere na Dr Magufuli aminia iko kiume zaidi

  • @ANDREWMTONGA-s7m
    @ANDREWMTONGA-s7m Рік тому +3

    Kwa nn unatowa Siri za viongozi vyakula wanavyokula cyo vizuri

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 7 місяців тому +3

    Rais watz ni nyerere na magufuli tu

  • @ANDREWMTONGA-s7m
    @ANDREWMTONGA-s7m Рік тому +2

    Unamsimuria nani mzee uwemsiri mzee

    • @amanamazanda1028
      @amanamazanda1028 Рік тому +1

      Ameulizwa asiseme? Kwani hawali? Si binadamu kama binadamu wengine tu

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 7 місяців тому

      Chakula nacho ni siri?

  • @ahmedelalawy639
    @ahmedelalawy639 Рік тому +2

    Wanachi wakiishia kukaa na njaa . Viongozi wanakula wanavotaka

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Рік тому +2

      Hii ndio Dunia hatuwezi kuwa sawa, Njaa zipo hadi Marekani,UK, Australia,Canada na Viongozi wao wanakula wanachotaka, kwanza vyakula wanavyokula vingi Mtanzania wa Kawaida tu anakula,

    • @ahmedelalawy639
      @ahmedelalawy639 Рік тому +1

      Ushawahi kufika huko unakosema au unahitaji maelezo kuhusu hizo sehemu ? Mm sikuambii kitu mahali sijafika. Naanza na marekani kuna homeless ni wengi ila wale unaowaona hawalali na njaa . Homeless wa 🇺🇸 ni mlo wa mtu tajiri tanzania 🇹🇿. Chengine United States ushindwe ww tu kufanya kazi . Room unaweza kukodi na mwenzako na maisha yakaenda fresh. Kuhusu ulaya ulioitaja Homeless wote ni wateja walioshindikana. Sasa usizungumze pumba.

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 Рік тому +1

      @@ahmedelalawy639 kwenye maisha atuwezi kuwa sawa mzee ata iweje ata apo kwnye ukoo wenu ww unaweza kuwa unamiliki milion 50 mwezio ata laki ana ayo ndio maisha

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 Рік тому

      Kwahyo unamaoni gani😂

    • @johnsosy3128
      @johnsosy3128 Рік тому

      Kwaiyo ulitaka raisi ashinde njaa? Jamani!!!

  • @ANDREWMTONGA-s7m
    @ANDREWMTONGA-s7m Рік тому +1

    Utakuwa upewi nafac zakazi acha ayoo

    • @amanamazanda1028
      @amanamazanda1028 Рік тому

      Alishastaafu Kwa heshima,ameitwa Kwa ajili ya uzinduzi

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 Рік тому +1

    Ndo maana mzee mwinyi kadumu mda mrefuuuu

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 7 місяців тому +1

      Tunaishi kwa neema za Mungu haijalishi unakula nini

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 6 місяців тому

      @@elimbotoraphael3940 Kabisa yaani!

  • @yustinalyandala8600
    @yustinalyandala8600 Рік тому +7

    Baba yetu huyo Ntoroma, Mungu akupe maisha marefu.

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Рік тому +2

    AWAMU YA SITA KATIMULIWA SIO😂

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому

    Sasa Rais wa nchi tofautia na kipoloko

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 Рік тому +3

    Tukijaa baba yetu...🤩 MAGUFURI 💯♥️🤝🏽🤝🏽🙏😭😭

  • @damianminsno1317
    @damianminsno1317 7 місяців тому

    Baba nimeikubali hiyo apa nishaanza kusikia njaa

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 Рік тому

    Kuna daktari wake wa moyo wa magufuli pia tumjue

    • @joezeno8
      @joezeno8 Рік тому

      Acha kufukuwa Makaburi 😂

  • @tariquexplore
    @tariquexplore 8 місяців тому

    Wao wanakula wananchi huku watu wanasumbuka