Daaah MashaAllah historia nzur Allah amrehemu said majid kwa kueneza uislamu pia Allah awasamehe watawala wote wa zanzibar kipindi cha sultan wameeneza uislamu sana
*Zuhura, hayo mapinduzi ya kijeshi ya kutaka kumwondoa rais Mwalimu J K Nyerere madarakani hayakutokea mwaka 1968!!!!! Yalitokea mwaka 1964 - mwaka nilioingia Kidato cha 5 Tabora-Wavulana.*

big up sana nipenda hii idea keep it up to give us a good series love mama land Tanzania
Hongera saana dada nimeanza kufuatilia zamani
Asante kwa hio historia.
Good History ❤❤
HONGERA SANA DADA ZUHURA KWA KAZI NZURI
Zuhur saut umepewa
Madam zuhura napenda kuwa na mawasiliano Yako private ya simu by Ibrahim ....nimependa utumishi wako please 🙏🙏 madam naomba no Yako binafsi
P😅
*Zuhura, hayo mapinduzi ya kijeshi ya kutaka kumwondoa rais Mwalimu J K Nyerere madarakani hayakutokea mwaka 1968!!!!! Yalitokea mwaka 1964 - mwaka nilioingia Kidato cha 5 Tabora-Wavulana.*
You must be very old to be this generation with digital system