Simulizi za Ikulu - Marais Wastaafu Mwinyi na Kikwete wasimulia mazito kuhusu jumba hilo namba moja
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Fuatilia simulizi za Watumishi na Viongozi mbalimbali waliowahi kuhudumu Ikulu kwa nyakati mbalimbali. Hizi ni Simulizi za Ikulu.
Asante Zuhura Yunis kwa kuandaa kipindi hiki. Kuna mengi nimejifunza.
asante
Mashalah
Kwanini historia yetu inafichwa mficha historia ni mtumwa ukweli huu hausemwi kabisa
Hio bandari yenyewe imejengwa na sultani wa zanzibar leo kelele bandari yetu bandari yetu umeinunua wp 😊😂 hostoria ya Tanzania imefichwa kwa maksudi tunadanganywa damganywa ila ukweli unajulikana