MKE WA JIRANI PART { 3 }
Вставка
- Опубліковано 21 чер 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Leo wakwanza naombeni like jaman kumi zinanitosha
Kwenda mwanakwenda
@@Kabeya410 sawa mwanakaribu
Mambo VP Lilian pande za wapi mtoto mzuri @@LilianLilian-bx1ec
Yote saw ila Mr midabanguro anatishaaaaa
Team jelani leo nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu ♥️♥️🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Saf sa gozi unawahisha kazi vyema. Mungu akutangulie
Gozi wa kukaya , ujatup mxem wak koz up kweny matatiz na mke wa mt 🎉🎉🎉🎉
Mmmmmmh gozii usjizme data bhn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Kazi nzuri bro gozi Big up sana
Anu baba ungendelea kua kwa chunvi ungekua na sini ya uganga tu dadeq zako😂😂😂😂
Wa kwnza kutoka kenya ✌️🇰🇪nipen like hta km n mbl❤❤😢
Kweri ukifumaniwa ujasiri unakupoteA unakuwa mjinga😅😅😅😅😅😅
Gozi naona uso kwa macho mzigo huu hapaa aa😂😂😂😂😂
Wow kazi nzuri sana guys nawapenda sana much love congrats❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Much love from Kenya guys like back😂❤
Piga up sana mzee kwa kazi bora sanaa🙋
😂😂😂😂 sema unyama good job bro
Kaka Gozzi ebujaribu kuongenza muda unatupunja ujuwe lakini kazini nzuri
Manina zako goziii umetishaaa adi unakela mbwa wew hujawai kosea kaka full respect blood ❤❤❤❤
Big up gozzzzi huna kazi mbovu❤❤
Daa sijui haya itakuaje Yani hii bala kweli mwanamke wake kaja mh mtihani
😂😂😂Gozi kimekuramba
Mwamba kwenye Kuwahisha kazi hauna baya Sema jaribu kuongeza mda kidogo wa Movie ushauri wangu ndio huo tuu kazi ziko bomba na unaziwahisha fresh tuuh sema Dakika tusogezee kidogo Haina kukata kona hiyo
Ivi nyie wanaume kabisa lijal unaomba like kwel au ndo,,,,,,
Sema kmeumana...hahaha
gozi umeyatimba😂Asante kwa kazi nzuri tuko pamoja kutoka saudi arabia👍🏼
Yaani gozi Wewe 😂😂😂😂😂
😂😂mbuzi kafia kwa muuza supu😢
😂😂😂hii nii kali sanaaaa
Cozi 😢😢umekosea sana jilani nindugu
Angalia filamu hii nikiwa kakamega. Can't chimoi ni pee like ❤
Ngoja nikae vizuri niangalie nitarudi nicomment baadae 🤣🤣🤣
Nipo mpaka mwisho nipeni basi ata like 👍🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤
Kazi nzuri
Nime jikuta na taba Sam eti nta hakikisha na ipata tena 😂😂 nitamu san
Gozi kaona vitu, ambavyo vina leta kifo na balah kacheka 😂😂 hili adambangule 😂😂😂🇨🇩🇨🇩
Gozi naona mbuzi kafa kwa muuza supu!
Gozi ana anza kula kuku ya watu 😅😅😅😂
Gozi so handsome
Kazi kazi gozi 🙏🙏👏💪🏻👏
Mwanangu mtihani hiyo so good
Ayo meno 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mie hoi cn😂😂😂😂😂😂😂😂
Unajua baba goz upo siliaz yn km kwel ❤❤maua yko
Big up wanangu kazi nzuri👏👏
Nice movie ❤❤
Kudadeq director gozi huu mzigo wenyewe fanya uachie next episode mapema niko hapa naisubiria
Jirani noma 😂😂😂
Mimi sihitaji like, bali nimekuja kuwapongeza kwa kazi nzuri
❤❤❤❤
Uko vizuri director🎉
Sasa
Like zangu toka 🇰🇪 jmn,,pamoja
Hongera
Ila Gozi vee😂😂😂 ati amesema mkewe akija ilhali uko nae apo...maisha haya! Haya twendeni nalo tupo wafuasi
Pameanza kuchangamka😂😂
Love you Gozi❤❤
ngozi much love
Shuu nlikuagizia njiwe akuletee salamu akaliwa njiani hivo basi zipokee .....
Gozi bana nilijua utakua mkatoliki nilitaka kushangaa yn mbuzi kafia kwa muuza supu kazi nzuri sn nice
Mungu awatangulie kwa kazi njema
Saph sana gozi iinimeikubali sana
Nomaa sana
Mm hata sijui niwa ngapi lakin nimefika😊😊😊
😍😍😍
@@hidayaabdallahnilhaam7235 mm zaidi mamake sule
Ila wanaume bana eti siungenipa taarifa Kama ulikuwa unajua uta taka kupewa taarifa kwako ulinipeleka ya nn shwainii sana😂😂
Gozi ❤❤❤❤
Hapo ndio patamu gozi
gozi kazi nzuri
Gozi hafikirii akili yake imeishia hapo na hivi ndo mwanamke wa mtu ameanza kumtoa kwenye reli. Namuonea huruma angemdanganya jamaa wakamtafute
Aisee Mwishoni kimeumana😂😂 Sijui itakuwaje ngoja tuone part 4.
Hii movie ingekuwa ipo ST Swahili StarTimes au Sinema zetu lazima mtu alipie kifurushi kwa wakati aone mwendelezo wake.
Kimeumana
Kazi tamu
❤❤❤🎉🎉🎉
👏👏👏
Hongera Kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉
The supper director #Gozi
Hii ndio wanaita ukimwaga mboga na mwaga Ugali
Goziii baaaalaaa ilooo
Umetisha goz
Good good 👍🏾
Oe gozi kazu nzuri sana but ongezeni mda hizo dakika ni kdgo sana angalau 25 to 30 apo
❤❤❤❤❤❤❤😂
Kula chuma hicho😂😂😂
Hii ni raha kweli
Big one
Vai❤❤❤
Poa kabisa
❤❤❤
😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
❤
❤❤
Good job
Daah
Taam SANA
Mmmmh
Mm sitaki like
Unyama
Gozi
Pombe mbaya
Ulikuwa waniudhi xna gozi kwa kukataa maankuli.
Nachukia wanawake wa rahisi kama hawa
Wapo wengi mnoo hii Kariba
Gozi mambow 🎉
Poa vip ww tu
Poa vip ww tu
Poa
@@Hajinambat fine bro much love ❤️ from Kenya
Ya 4 ikwap
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mh