MKE WA JIRANI PART { 2 }
Вставка
- Опубліковано 18 чер 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
😂😂😂khalis na mambwende.. connection nzuri sana
Uyu bwana anapenda sana kudabangula 😂😂😂 hatari iyo😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Frigi lisilo gandishi 😂😂😂 naona limegandisha karisti we noma sana shida yako kudabangula tu hahaha imekula kwauyo dada
Wanaofatilia kipindi hiki kutoka South Africa tujuanee Kwa like zetuu hapa
Ongera Gozi ❤Much love from 🇰🇪🇰🇪💗
Karisti huna lolote 😂😂 acha ubea kaka 😂😂
Kazi safi sana leo nimefikia wow congrats❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mbeya kaacha yake yakweli kumbe yeye ndio mla wake zawa tu hhhhhhhhh eti analisema hhhhhhh
😂😂😂😂😂kimemramba frij balığa dishi
😂😂😂😂😂karist unachekesha wewe
Mwanamke katumia akili nzuri sana asa mtu unasingiziwa umefanya asa si her ufanye tu ieleweke moja😅😅😅
Kazi nzur uko vizur ndg yang❤❤ nimekupenda bur
Gozi mbn unakata utam mapema aise duu sema Kazi nzuri sana
Amazing Movie ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉
Sasa kwa nn huyo dada asitoke nje na palikua hakuna mtu yoyote
Gozi bip up sana from burundi 🇧🇮
Zambian here ❤❤❤😂
kazi nzur mr gozi
Gozi
Khalist,ati asiweke sana loud speaker wala asi zoom😂😂😂 🙌...Gozi mpo vizuri na team yako🎉🎉🎉
Gozi bwana utatuua na kutusukumia vitu vikali
Khalitiiiiii wow jifudze kukaba
Kama kawa ferom Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good job 👍👍
Umalaya tu 😢ukimbie kwa mume wako ukavamie jirani na uone ndio mwanaume kwako ,,je wajuaje kama ana mwanamke wake
Friji bovu haligandishi jaman hata like 5 tu
Gozi hapo changamkia Hilo zigo bana maana hautoaminika ata ujieleze kw Capital letter
Kazi nzr sana
Ewaaaa kuliko kusingiziwa 😋
Gozi ukosawa kaka zidi kutia bidii nakuombea kilalaheri
Kazi nzuri ngozi ,moyo wa chuma kuna next episode
Kali tu sanaaa
Impossible 😂😂😂😂ni mwendo wa kudabangulana tuu kuishia aaah 😅😅😅
Wakwanza from kenya🇰🇪
😂😂😂
Kumbe bwanake amemchapa na haki
Wakwanza leo ebu mnipe likes zenu natazama kutoka Qatar
Kaka gozi mbuz kafia kwa muuza supuuu 😂😂😂
Burudani 🥰
Unyama Sana
Mh we dada wewe umekusudia
Dawa ya moto ni moto 😂😂😂😂😂
Good job Gozi❤❤
Mambo lati
@@albertkadyanji9722 poa nambie
pamoja sana kaka kazi zako nzuri sana ila umefanya lamaana kumuweka me midabangulo ila nilikua naomba kama hata nyau angekuepo hata scene moja ingekua poa sana from Tz shabiki ako hapa namba moja asante
Dah ni issue kukutana na friji bovu
Wa 4 leo
Huyu jamaa anayesem kudabangula akiacha hilo neno tuu atakuwa mzuri sana maana hii movie wanaangalia rika tofauti tofauti. Ni mawazo yangu tuu😊😊😊😊😊😊
Unataka atumie neno gani kwa mfano
Mr mi dambangulo yuko powa sana 😅😅😅😅 love from Buja Bujumbura Burundi
Ooooh Moto Moto 😂😂
na ww kalibu tanzania
Good good 👍🏾
Kazi kabisa naipenda ❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤
Gozi kula chuma hich😂
Nakubali blo kalibu Kenya
Loud speaker
Kazi tamu
❤❤❤
Nko nyuma yenu kama mkia napenda hii movie kutoka+254
Hahaha kimeumana
Asanteeeee😂😂😂😂😂😂
Kumekucha
Love from 🇰🇪
Wenye fridge ipo sawa pita na like tujuane
Tuacheni umbea jamani yule mwanamke hanakosa tu
Aliona mbali huko
Wambeya kama khalist jameni
😂😂😂😂😂ataliii xna❤❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Bro gozi kazi nzuri sana
Kwani vyupi biashara 😂😂
Khalist Wacha umbea
Wapili naombeni like ❤❤❤❤
Atari endelea
Good❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤😢😢😢😢
😅😅😅😅
Midabangulo bwana hana kaba
Leo kaya timba😂😂😂 kalsti
Kubababake 🤣🤣🤣🤣
🎉🎉🎉🎉
😂😂😂
Uko Cute
Hello Gozi
Ukiona mkenya yeyote anaomba like jua yeye ni failure, Hana maisha kabisa
🎉🎉🎉❤
19 like zenu
Jamani wanawake tuko ma ibilisi safi sana kaka unamsimamo mzuri sana usikubali asikisha wishi uyo mke wawatu sumu kweli
❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Friji bovu
😂😂😂❤❤❤
Kula chum
🙏🙏❤️❤️🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 midambagulo
Midambangulo 😂😂 umeyatimba
Nathamini kazi zako gozi, uko saw kwenye acting, script writing, na story pia,,mngu abariki kazi yako ya mikon
Mambo ni faya kazi nzur sn
Tunarajia part 3
She m
Broo goz natamani siku moja uje kilimanjaro udirect kazi yangu ht moja 🙏
Kula chuma icho
😂😂😂
Gozi bwana utatuua na kutusukumia vitu vikali