MKE WA JIRANI PART { 6 }
Вставка
- Опубліковано 3 лип 2024
- #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mr Mambwende A.K.A Mr English! From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪. Naipenda sana filamu.
Tuwekee sehemu ya 7 maigizo wazuri kweli natazama nikiwa nairobi kenya
imenonga Atari gozi nakukubali kaka😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤
Yani gozi tunakukubari sana kazi nzuri sana❤❤❤
Mambwende 😂😂😂😂wallah nampenda sana😍👏👏🙌
Gozii umeuaaa sio kwa ndongaa hiyoo😂😂
❤❤ bigurb ak gozi kazi unaijua wallah so ep 7 iwe na mda mzuri kama huu yan 20 something dakika huwa unanikosha vizur sana karibu kenya bro ubarikiwe kwa kaz yko nzuri🎉🎉🎉🎉
Oya gozi apo umetisha kweli ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤hii imenoga sana
Najiunga nawe Gozi,omgera kazi nzuri.
Kaz nzuri sana mdogo wngu keep going bro from Kenya 🌷❤
Sabbas uriko urakora amateka sana! Songa mbele
Kazi kubwa sana gozi, nakuelew sana
Gozi movie zako zuri Asante
Kazi kazi 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻
mpunguze kuw kam wahind kufkilia sana gozii
NICE STORY UMETISHA SANA GOZI,
Napenda gozi ukitaba sam❤😊
Aise Gozi kanifurahisha hapendi zalawu mno💯💫
Kazi kazi
❤❤❤❤
Gozi ur so brave I ❤ your job from 🇰🇪 plz take my 🌹🌹🌹
Huyu mama mambwende nae umalaya tu kumuheshimu mumewe aaaah😂😂
Twende nyuma tumamalizane basi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nice kazi ngozi mzee wa majangaaa❤❤❤❤❤
Gozi aki hapo pigo piga naumwabie awase kupiga bibi
Gozi msichelew bas kutuleteya iyo inayo fata
🤣🤣🤣Jiran kama jiran
Shukran sana #Bwana gozi 🥰
Wakwanza kama wa kwanza ❤❤❤kazi nzur sana gozi😊😊😊😊
❤❤❤❤
@@hidayaabdallahnilhaam7235 mambo ni moto mke wa jirani ana ya bananga
@@hidayaabdallahnilhaam7235 heka heka za mke wa jirani mambo kaya bananga
❤❤❤
@@user-cs4vr7vt3y ❤❤❤❤
Weka 3zingine tuendereze brudani.😂😂😂😂
Unganisha movie mwanagu maana iko flesh mwanagu gozi iko vipande vipande unanisha movie wanao tupate kufuraihi.moz
Mmmh nzuri sana ❤🇹🇿
Thx gozi kwa kujituma na kazi nzuri ❤❤❤
Kazi nzuri sana GOZI
Nakukubalisana broh
Narudia tena😂😂😂 gozi kazi imenyooka🎉🎉🎉
Mimi niko Kenya Nairobi Kweli napenda kufwatilia sana
Kazi nzuri😊
Wee ngozi njoo tuowane uku kenya😂
Ghosi Ukona Bahati Mbaya Ebukaoge Maji ya Bahari
Kafumania na apigwe jamani ju uwonevu jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gozi uko vzr❤❤❤
Kazi nzuri
Kumbe wanawake nao wakifumania Mume Roho zinawaumaga Mbona hawasemi
😂😂😂 mbavu zangu miesasa wewe unakandwa alafu panga unalo mkononi😂😂😂 ukome ilapole
Kazi nzuri bro gozi rahma na wengine wote 🎉
Mpo vzur 😅😅😅❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Dah imeishia kwenye utamu pale pale
Kazi safi Sana hongereni next plz 🎉🎉❤
Gozi naona umeamua kumsomea Kodi safi sana atulie sasa😂😂
Hyu bibi ya jiran misidiria mikubwa yuava zaonekana
Gozi pigo zako nazipendaga ww❤❤
Hongera gozi kwa kazi safi❤❤ from 🇰🇪🥰🇰🇪 kenya
Nipo apa
KAZI nzuri Sana GOZI, you can brother
Nimefika japo nimechelewa🤣🤣🤣
Yani mm nipo katika inchi burundi yani hapa Gozi namkubali sana kwel kwel
Filamu zako uzuli sana sema uganishanicha siwe za masaha flani mimi niko mozambique sema napenda sana movie zako mwanagu gozi.
Napenda sana muv Sako gozi
Gozi apo safi
Yan gozi ajapelekwa Korea wameenda wakina eliudi stivu Nyerere😁😁😁😁😁
Tunao ishi ulaya tujuane gonga Like ✅✅✅✅✅
😂😂 ngozi anauwa
Oya unatisha mzee napanga lake nakupigwa kapigwa duh
Safiiii aka mm sijawahi mkata mtu panga😂😂😂😂😂
Good job 👍🤛🤛
😂😂😂😂..mabwende kapatikanaa kalipwa na gozi 😂😂
Nilijua😂😂😂
Ashakiaribia ndoa yako ,nimalaya sana
Oya nimekubal code iyo gozi
Safi blood
Broo gozi kazi nzur 😂😂🎉
Endelea kujenga maarifa Gozi, kazi nzuri sanaa Gozi
Following 🎉🎉
Gozi na leo utajieleza vip neta
Bwana gozi hii ya leo nimekubali bwana mkubwa, 😂❤❤❤ nmependa saana
Daa kumbe Mme wake ana sheriya mke wake ana Toka njee ya ndowa duuu hatari
Kaz nzur Gozi ongera xna ❤❤Much love from 🇰🇪🇰🇪
Gozi
Goz huu usajil haujapigwa kbx
Waiting for the next episode, semaje mwanetu, unyama mwingi
Bwana gozi🎉🎉❤
Ulipokifanya apo ulitegemea. N
Msicheleweshe tafasali ,, jaribieni kupost kila siku
Unyama san🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉😂🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤huyu jamaa mwamba sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Tunaomba Namba 7 iwah jamn
Wakwanza Leo naombeni like jaman ❤❤❤❤❤
Kumbe mke wa jirani mwenyew jinga 🤣🤣🤣
Ndomo la mamba 🐊 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Full kufumaniana 😅😂😂
Kumbe shuu nae ana mpenzi mwengine😮
kazi zuri sana ❤❤
Naqbar dam yangu❤❤❤❤❤❤
Nimewai Léo🇲🇿🇲🇿
Tupo pamoja, mimi nipo Nampula,wewe uko wapi??
Jamaa yuk sliaz kama camera haiko kando,,Gozi unajuaa sanaaa mnooooo
🎉🎉🎉🎉🎉salute
Tupo sana tu 😮😮
Engineer gozi😮
Big up brother
Pamoja sana
Nakukubali Sana bravo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🔥🔥
kama unamkubali gozi tujuane kwa koment nzuri kuhusu hii kazi kiukweli mm nimeikubali sana