MKE WA JIRANI PART { 4 }
Вставка
- Опубліковано 25 чер 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Wale tunapenda kuona hizii vipidi. 🎉❤ Onesha Upendo kWa Gozi.
Niongeze Kwa list
Mambwende kwenye kanga umeweka nini😂😂😂😂😂😂hapo ndio Mambwende namuelewa bhana sio yule mlevi🤣🤣👏😍
Wanawake wengine wapuuzi sana umepewa msaada na kaka angu halafu leo unarudi tena ona sasa umemsababishia matatizo😢 pole Gozi wangu
Nakutak
Aq
Wanaume n wakali ukiwapa 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅red handed
Huyu jamaa ana bibi mzuri Sana...lakini ulevi wake utakuja vunja ndoa Yao milele
Gozi kama Goziiiii❤❤❤❤😅😅balaaaa Ngoma nzitooo
Aisee Gozi unajua kukatiza pabaya kweli😂
Napenda sana kazi Yako Gozi much ❤❤ from Kenya 🇰🇪❤️
Kaka unatisha sana hongera
Much love from Kenya guys like back tujuane kwa like api chini 👇😂❤
Kazi mzur xana gozi nakubali kaka endlea nakazi mzur zngne zaidi
Gozi uko sawa❤
Mume wa jirani ni fala sana eti ndani ya kanga umeweka nn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
@@hidayaabdallahnilhaam7235ana vituko sana😂😂😂
Akili za pombe😂
ameweka mawe na nyudo sasa
@@EdouardKashindi sana tu 😂 😂 😂
mgeni kwenye hii chanel naombeni mnikaribishe kwa like 👍
Jirani noma sana unajua kuigiza ❤❤❤❤❤
Kazi nzuli San ❤❤❤ nawapenda san
Moto utawaka walah 😢
Vai kaonja asali anataka amiliki kabsa mzinga
Mimi shabiki wa Gozi kutoka Kenya🇰🇪Nimekipenda Kipindi nilipomuona Rahma❤
Kazi juu ya kazi
Maoni, huyu mwenye mke kabugi sehem moja,
Ilivyo anza ,kaanza amelewa chakari, na kawaida watu hulewa bida ya jioni, kaja mdogo wake than yeye mwenyewe kwa gozi, halafu kwichikwichi, baadae kaja mpenzi wake gozi,,
Amebugi wapi sasa,,
Hapa alipo kuja kwa shem wake na kusema kuwa wamezozana na mkewe asunuhi, halafu kaja huku hana hata dalili ya kulewa,,
Sasa hayoyote yalio pita yalitokea kwa masaa mangapi????
Ni maoni tu ,samahanini, from Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nakukukubali gozi
Good job Kaka gozi ila hawq wanaume wenzangu ambao badal ya kutoa main kuusu kz ya ndg yeti gozi wao wanaomba like yn mwanaume lijal kbs unakazana kuomba like???🤫🤫🤫🤫
Very very nice movie, watching from Mombasa, Kenya
Good work better my brother gozi😮😮 🇲🇿🇲🇿 Mzbque boma ya Macomia.
daaa embwana goz you ko vzur
Rahma tulikumiss saana❤
Mkewajiran amepigwa..akaend tuliza mapigo kwajirani😂..anyway sio movie tu bali in really life asilimia kubwa ya wanawake wakoivi..japo sio wote
Uyu jamaa sauti yake kama ya clam vevo 😂
mwamba nakubali xana
Kaz nzur sana ❤❤❤
Filam nzuri sana hongera sana wahusika nyote
Movie kali sanaaaa ni 🔥 🔥
dadeq leo nimewahiii weka like zangu hapaaaaa
Kazi nzuri
Gozi wewe noma sana❤
😂😂😂shemeji 😂😂abee mbavu zangu
Kanzi jema kaka gozi
Nakubali kaka❤
Jiran yako ameshajua kuwa una mdabangula mkewe.
Ngoja akakunywee ndio utajua shombo za mlevi
Oyoooooooo tunaisubiria next episode director gozi fanya uachie mapema tena dadeq
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Rahma ndani ya mjengo namkubali sana
😢😢😢gozi wema umekuponza
Kazi nzuri sanaa gozii,, can't wait for the next episode
Mtu kama gozi💪🏻💪🏻🙏🙏👋
Nimewah n me like Zang jaman 😘😘
good movie
Mkenya nakutazama nikiwa😂 Doha Qatar
Good story
Wow ni nzuri sana congrats much love from kenya❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Thnks alots
Mnachelewa sana mpaka tunasahau ......lakn kazi nzuri sana ndugu zangu
Kazi nzuri mungu awabariki afadhali kidogo dakika umetuongezea japo twategemea ipande hadi angalau 28 to 30
Bye the way 🔥🔥🔥🔥
Mnajuwa kunifuraisha
Rahma nilikumic jmn hatimae umeigiza tena
😮😮😮😮 iko matata kabisa sasa mwenye bana musaidiya asha pama bwana batu majaribu kabisa
Kazi nzur sana kaka gozi niliomba namba zako japo nikutumie lambilambi hukujali kabisaa sisi ni familia moja
Namba ipo UA-cam hapo juu ukiangalia utaiyona
Ongera Gozi much love from 🇰🇪🇰🇪❤❤Ila tuongezee mda kaka😢
Daaa gozi ume fumwaaaaa😢😢😢na mlevii hapo pata chimbikaaa😭😭😭😭😭
waiting for episode 5
Mambwende the great! Gozi tallman! Shuu na wengine wote nakupendeni
Ila mambwende eti kanga yenyewe naona aiumizi mpaka nifunge fundo 😂😂😂
eti ameweka mawe na nyudo ndo fibo yakumchapiya mkeo
Kazi nzuri sana 🎉
Gozi achaaa utoto😂😂😂 tumia fursa bhnaaaaa
Gosi mmepiga kwenyewe kabsa big up
Gozi nimepend maneno yako kak ni yakiume sana
😂😂😂 hapo kwenye kukuta kanga moja tu nimepaelewa zaidi
❤❤❤❤❤❤
Gozi kayakanyaga
Gud
✌broh umekuja nakubar life style yako ya kwenye movie aise respect
Gozi ni director mzuri yuko imara.
Gozi hakika unafanya Vizuri sana ongera sana
Kali 😂sana watching from Kenya
Kaz nzri Masha Allah can't wait ❤
Had situation
Mnachelewesha sana jitahidini kuwahisha
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Mama p
Yaaan huy dad anajilizaaa tyuuu hamna lolotee
Gozi sasa wewe ndo tegemeo now that Problems iko mwisho
kaz nzur🎉🎉🎉
Ķaboma leo umecheza serious😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
Tuliommis rahma like Kwa wingi
🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Gozi the super director much love from🇰🇪
#Reject finance bill
Ni. Hatari ogoopaaaaa
ila yota najuwa
🎉🎉🎉
Mambo ni moto❤❤
Good work better my brother gozi
Gozi unafanya vizuri
Goz mpole hata kwenye uhalisia wa maisha yake
Uko vuzuri Mr Gozi❤
Gozi I ❤ u bro hongera Kwa kazi nzuri
😂😂❤
❤
Hatua nyingine tafazari, naisubiria sana hapa mwenzenu. Wakenya hoyeeeee❤🎉🎉