Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
HOUSE GIRL FANS WHATSAPPchat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl
Wow
From 🇰🇪
From JED
Safi sana kazi nzuri
🔥🔥🔥🔥🔥
Wanao ona maman kendy na bibi niwatu muhimu sana kwenye team zuu gongeni like hapa
Alipata Long time ago already
Mm wa kwanza hapa🎉🎉🎉🎉🎉
Nilikuwa naingoja imagine hadi sai😅🎉🎉mnipee like hata moja sijai omba😅
Ulisema lazima uone wa kwaza
@@user-pt6nl5vt2g kabisaa 😂😘😍
Team strong number one mnipe like
Mambo
Sisi ndo tuko usijali❤❤❤😊
@@zainabzwena3156 mamb upo Omani mi nipo Iraqi
Kama unahiman babake kai ata msamehe mwanae gonga like zakutosha,,,😂😂😂❤❤❤😂😂😂l
😂
😂😂🎉🎉
@@mohamedlopa8410❤❤❤❤❤
@@mohamedlopa8410❤❤❤
❤❤❤❤ I like😍😍
Ila busatiiii umenipa moyo wa subira ila busatiiii nitashindwa vumilia 😢 # busati tv mpo vizuri 🎉🎉🎉🎉 👍
Asante sana
🎉🎉🎉🎉
Kweli macho yngu daaa nyie ctaki kusikia mm wa mwanzo weken like za kutosha kma uko macho 😂😂😂 from Oman 🇴🇲
Wana omani oyeeeeee me npo
Jamani naomba watoe haraka movie hii haraka wanatukosha??????😢🤗🤔
Ila sania kama kaamua kubadilika abadilishe na mavazi kidog ❤❤❤
😊jamani mimi Sipend ihi movie Ihishe mapema nani mwengin anakubaliana na mimi❤❤👍
Kwani umelazimishwa kuangalia kwenda zako
Ulitumwa kuangalia
@@user-ky7jn3xq9gvp uko poa umeipenda hiyo❤❤😍😍😘
Me nakubaliana na wew🤝🤝👍
@@JanethMasima kwani ulitumwa
Wakwanza Leo Ni peni like nzangu from USA Leo ❤❤❤❤
Leo wa kwanza toka Africa kisini nipeni basi hata likes 10 tuu
Zimeisha
kumbe ni afrika kisini 😂😂mm nikajua ni afrika kusini😂😂😂
Wengine zam yenu ni kesho mungu akipenda tulio kubali kuwa macho ndio tumewai
Mi WA kwanza jomon like Zang mhimu sana
Nipeni like hebu sije nikapiga teke mfuko kama zuu halafu nikimbie Kwa kai 😊
Inamaaana kosa la kubakwa nila mama au mbakaji jaman kina mama tunaonea kama naww unaungana namm gonga like
Wakwanza jamani nahomba like zangu namimi
Leo mnipe like jameni hâta 10 Tunafika mwisho wa lala salama weeeeeh
Eeeee
❤❤ jamaa Yuko vizuri mpen like zenu.
Candy candy candy 😢😢😢 kuwanahofu yamungu hata kidogo tu hatakama nimaigizo ila daaa sikwahalihiyo 😢😢
Candy nadhani ni katabia a ako na dharau anazo
Jamani ni Mimi tu nayimwa like ama tupo wengi😢
waaaah hyu ss anambia mzazi hivo ghaiii!!!! hayo yasinikute Mungu wangu anyway nipe likes msisahau ep 40 mapema please ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnao ona Cendy atapata laana za Mama like apa
Yaan mpk hapo ni anazo
Huyu ashapata laana, na sio eti atapata
Tyr anazo za kutosha
😂😂@@AdamZainab-mb7qj
@fl😂😂😂😂😂😂oramacheva5855
Nimekaa kwanz Leo naomba like
Big Up Mother Kendi Wewe Unabaya Na Mtu Ongera Kwa Ushujaa Wako... Shania Ongera Sanna Achatu Subiri Arusi Zenu Na Mimi Nataka Zichanganywe Pamoja Liwe Bongela Arusi ❤❤❤❤❤❤
Kwanza jamani like zenu sije mkipita
Watatu leo jomn like kwangu
Jaman dunia ina mengi kwl kumb kuna watoto wanao fany wazazi wao ivo
Watu Qmllali kwelki Busati tv Mnajuwa kutufurahisha kweli sisi mafansi. Wenu Asanteni sana mim nishaabikieenu kutokea swiden Nawapeenda saan❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🥰🥰🥰
❤❤❤🎉🎉🎉
Candy candy candy nimekuita mara ngapi mama ni mama hata iwe nn utakuja jiuta maishani huu ni mwanzo team Zuu twangoja harusi 😍😍💪💪💪💪
Wamwicho naomba like 🎉❤🇧🇮
Wa2 a2lali jmn gonga like 2naoangalia movie kwa wakat 🎉🎉🎉
Nyie uyu candy nina wasiwasi nae ndo tabia ake kweli 😅😅 naombeni like zangu 😂😂
Kabisa hatakama nimaigizo lakini mmmmh
Yaan ukiach kaz hii tabia anayoo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂kweli bhn siyo bure
Asant nimekuw na subir San
Pole mama umetoa cri nzito mayoni wako .ndosabani kendi akaamua kukukataa jeiungeitoa mbimba hugeyapitia Haya polle sn❤❤❤❤❤❤❤ kend analana ataidhia kutafuna manyasi 😭😭😭😭😭
Kai move yenu tamu sana na ina mafunzo na naipenda sana sitaki nipite mutafika mbali wapenzi 🎉🎉🎉
Lete next tafadhar 40
Mapema sana kweli wa kwanza kweli jaman🎉❤❤
Mapema ndio best❤️
@@ZamzamMusa-ve5tcyeah❤
Nimeipenda sana sizoni namba 39 tafadhali naomba namba 40
Wa kwanza mie nipen like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana kbs amchelew umpo vizur 🎉🎉🎉🎉
Sasa kuna ulazima gani wa kwenda Kwa mama kendi mnaacha kwenda kumchukua zuu ndoa ipite
Acha halaka nawe chuzi bado halijakolea viungo
Yani nimeangalia Peke angu hadi mwisho😂😂😂😂😂 mumeniachia movie ekeangu guys❤❤🎉🎉🎉
🤣🤣
Sijachelewa sana hau vipi wenzangu😊😊😊😊
Nawapend nyote ❤❤❤
😢😢😢😢 ohoooo pole sana mama ake candy hiyo ndo mitihani ya Dunia ❤❤kazi nzuri sana zuu kakolea kwa Kai
😭😭
Dah! Sema haka katamthilia kazur hadi raha nipeni like basi tuendelee kuifuatilia pamoja.
🙏🙏
❤❤❤❤❤mnawahi kweli nawakubali kinoma 🎉❤🎉❤🎉🎉🎉nawafwatlia kutoka lamu kenya 🇰🇪 ♥ ❤ 👌
Wakwanza leo ❤❤
Haya wale wa kula viporo kesho mkija mnipe likes zang nimewahi😂😂😂
Mimi naona nimeletwa dunian kwaajili ya kai ❤wapi zuuu weweee apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asanten sana sasa siunaona mambo mazuri ndio hayo part mbili kwampigo kaz nzuri sana Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉
Duuuh nimeidaka kwa juu Sio poa Hay twende nalo ❤❤❤🎉🎉😅
Maashaa Allah 🥰
Kila mtu anaomba like like haaaa badal mtoe support kwa busati mnaomba like tuu au mnatak kuzinywea chai au izo like
Pôle mama kendy alakini na hawo marafiki hawafayi hâta kumshauri awe na adabu mbele ya mamake,kayi pole
🎉
😅😅😅😅😅nyie mko vizur nawapenda ❤❤❤❤❤ raha jaman
Hongeren San Kwa Kaz nzur🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wako wap wale wanga waliozea kuwanga najua mshapita nayo hii 😂😂😂❤❤❤
❤😂woow thank you so much,nmengoja kwa hamu❤❤❤
Am the first ❤ & appreciate U guys big up Something to note We need moooo
Kazi nzuri Sana but pole Sana mama candy
Jamani nawapenda sana munatuburudisha haraka iwezekanavyo nawapenda sana
Jamani ata mimi pia yaniliza vile mama analia
Yaani watu awalali😂😂😂😂anyway hii movie ni tamu pia sijalala 😂😂🎉❤❤
🎉🎉
Hii movie mbon naipenda jamani
Alloooo i 🇧🇮 ♥️ ❤️ 💖 😍 🇹🇿
Wa kwaza nipeeni zangu❤❤❤❤
Kai kimbia nyumbani zuu anakutafuta huko ❤❤❤❤❤😂na amekimbia mbio nyingi nawakubali sana nyie watu
Mashallah mama.mzuri
Cjachelewa sana jaman
❤❤❤❤hii yaleo naiona kama tela picha lenyewe ni part 40 🎉🎉😂😂😂😂kai zuu kakimbilia kwako
Jaman nimwewahi leo like zangu please
Saa nane kamili ,mlijua tumelala alooooo
Asanten snaa n vyenye nlikua na jua mpka kesho but subra n njema,,hii movie n kma ndo kwanza mkoko walika maua,,,kazi nzur snaa
Aise kaka kai weee na zuuuu nawakubari sana move nzuri mwaaa😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Nime mskia kocha aki elekeza. Sijapenda. 😅😅 na. kendi. Ni mtoto wawa baba wa 6. 😂😂😂😂😂
Leo nimeangukia wa kwanza much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇸🇦 tunawapenda sana 😊😊
Kichwani bibi cheupe akuna ata nywele nyeusi 😂😂😂
Sijachelewa sana naomba like 🎉🎉❤
Jmn nmechelew kdg nlienda kununua vochaaaa
Oyaa kujeni kitu tayari😂😂❤❤
Ivi hii move nyiee mnailewa Kwan jaman 😢wanatuwekea matukio Yanajirudia kila mala dah😢😢
Tunasubiria 40 fanyeni haraka basi ❤
Aliye sikia four for lilo😂
Nawapenda sana timu zuu nipen like hata tano tu.
Kazi nzuri endeleeni ivo ivo house girl on top 🔝🔥🔥🔥
Candy anaonyesh tu nimtu wa dharau mbali n ugizaji 😢😢 team kai tujuan ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jamani busati tv nawaombeni muwe munatoa vipindi viwili Kwa siku kazi nzuri❤❤❤
Hongera Mama WW nimama Bora hakika mungu akupee maisha mema Na marefu hata kama nimuvi ila umefany vizr San
Oya weeeee jichengeeeee😂😂😂😂😂😂. Mnipe like bhasiiiii
Kaz kuomba like tuu mijitu cjh ikoje
Kama munahamini wamsumbiji wapo pamoja najiji weka like yako apo.🇲🇿🇲🇿🇲🇿
🙏🙏🙏
Kipindi kitamu Sana ,nimekipenda Sana qweli ❤️❤️❣️❣️
Sasa movie imenoga mpaka imenoga tena ❤❤❤❤
Dah malaika mzuri jaman🎉
Leo nimechelewa jaman ila hivyo hivyo sio mbaya ila jaman mwanamke kama huyu cand tumueke kund gani mama azalilishw jmn
Bibi zuuuu nakupenda mnoo bibi yangu ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Next please
Kazi nzur team kai pamoja san
HOUSE GIRL FANS WHATSAPP
chat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl
Wow
From 🇰🇪
From JED
Safi sana kazi nzuri
🔥🔥🔥🔥🔥
Wanao ona maman kendy na bibi niwatu muhimu sana kwenye team zuu gongeni like hapa
Alipata Long time ago already
Mm wa kwanza hapa🎉🎉🎉🎉🎉
Nilikuwa naingoja imagine hadi sai😅🎉🎉mnipee like hata moja sijai omba😅
Ulisema lazima uone wa kwaza
@@user-pt6nl5vt2g kabisaa 😂😘😍
Team strong number one mnipe like
Mambo
Sisi ndo tuko usijali❤❤❤😊
@@zainabzwena3156 mamb upo Omani mi nipo Iraqi
Kama unahiman babake kai ata msamehe mwanae gonga like zakutosha,,,
😂😂😂❤❤❤😂😂😂l
😂
😂😂🎉🎉
@@mohamedlopa8410❤❤❤❤❤
@@mohamedlopa8410❤❤❤
❤❤❤❤ I like😍😍
Ila busatiiii umenipa moyo wa subira ila busatiiii nitashindwa vumilia 😢 # busati tv mpo vizuri 🎉🎉🎉🎉 👍
Asante sana
🎉🎉🎉🎉
Kweli macho yngu daaa nyie ctaki kusikia mm wa mwanzo weken like za kutosha kma uko macho 😂😂😂 from Oman 🇴🇲
Wana omani oyeeeeee me npo
Jamani naomba watoe haraka movie hii haraka wanatukosha??????😢🤗🤔
Ila sania kama kaamua kubadilika abadilishe na mavazi kidog ❤❤❤
😊jamani mimi Sipend ihi movie
Ihishe mapema nani mwengin anakubaliana na mimi❤❤👍
Kwani umelazimishwa kuangalia kwenda zako
Ulitumwa kuangalia
@@user-ky7jn3xq9gvp uko poa umeipenda hiyo❤❤😍😍😘
Me nakubaliana na wew🤝🤝👍
@@JanethMasima kwani ulitumwa
Wakwanza Leo Ni peni like nzangu from USA Leo ❤❤❤❤
Leo wa kwanza toka Africa kisini nipeni basi hata likes 10 tuu
Zimeisha
kumbe ni afrika kisini 😂😂mm nikajua ni afrika kusini😂😂😂
Wengine zam yenu ni kesho mungu akipenda tulio kubali kuwa macho ndio tumewai
Mi WA kwanza jomon like Zang mhimu sana
Nipeni like hebu sije nikapiga teke mfuko kama zuu halafu nikimbie Kwa kai 😊
Inamaaana kosa la kubakwa nila mama au mbakaji jaman kina mama tunaonea kama naww unaungana namm gonga like
Wakwanza jamani nahomba like zangu namimi
Leo mnipe like jameni hâta 10
Tunafika mwisho wa lala salama weeeeeh
Eeeee
❤❤ jamaa Yuko vizuri mpen like zenu.
Candy candy candy 😢😢😢 kuwanahofu yamungu hata kidogo tu hatakama nimaigizo ila daaa sikwahalihiyo 😢😢
Candy nadhani ni katabia a ako na dharau anazo
Jamani ni Mimi tu nayimwa like ama tupo wengi😢
waaaah hyu ss anambia mzazi hivo ghaiii!!!! hayo yasinikute Mungu wangu anyway nipe likes msisahau ep 40 mapema please ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnao ona Cendy atapata laana za Mama like apa
Yaan mpk hapo ni anazo
Huyu ashapata laana, na sio eti atapata
Tyr anazo za kutosha
😂😂@@AdamZainab-mb7qj
@fl😂😂😂😂😂😂oramacheva5855
Nimekaa kwanz Leo naomba like
Big Up Mother Kendi Wewe Unabaya Na Mtu Ongera Kwa Ushujaa Wako... Shania Ongera Sanna Achatu Subiri Arusi Zenu Na Mimi Nataka Zichanganywe Pamoja Liwe Bongela Arusi ❤❤❤❤❤❤
Kwanza jamani like zenu sije mkipita
Watatu leo jomn like kwangu
Jaman dunia ina mengi kwl kumb kuna watoto wanao fany wazazi wao ivo
Watu Qmllali kwelki Busati tv Mnajuwa kutufurahisha kweli sisi mafansi. Wenu Asanteni sana mim nishaabikieenu kutokea swiden Nawapeenda saan❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🥰🥰🥰
❤❤❤🎉🎉🎉
Candy candy candy nimekuita mara ngapi mama ni mama hata iwe nn utakuja jiuta maishani huu ni mwanzo team Zuu twangoja harusi 😍😍💪💪💪💪
Wamwicho naomba like 🎉❤🇧🇮
Wa2 a2lali jmn gonga like 2naoangalia movie kwa wakat 🎉🎉🎉
Nyie uyu candy nina wasiwasi nae ndo tabia ake kweli 😅😅 naombeni like zangu 😂😂
Kabisa hatakama nimaigizo lakini mmmmh
Yaan ukiach kaz hii tabia anayoo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂kweli bhn siyo bure
Asant nimekuw na subir San
Pole mama umetoa cri nzito mayoni wako .ndosabani kendi akaamua kukukataa jeiungeitoa mbimba hugeyapitia Haya polle sn❤❤❤❤❤❤❤ kend analana ataidhia kutafuna manyasi 😭😭😭😭😭
Kai move yenu tamu sana na ina mafunzo na naipenda sana sitaki nipite mutafika mbali wapenzi 🎉🎉🎉
Lete next tafadhar 40
Mapema sana kweli wa kwanza kweli jaman🎉❤❤
Mapema ndio best❤️
@@ZamzamMusa-ve5tcyeah❤
Nimeipenda sana sizoni namba 39 tafadhali naomba namba 40
Wa kwanza mie nipen like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana kbs amchelew umpo vizur 🎉🎉🎉🎉
Sasa kuna ulazima gani wa kwenda Kwa mama kendi mnaacha kwenda kumchukua zuu ndoa ipite
Acha halaka nawe chuzi bado halijakolea viungo
Yani nimeangalia Peke angu hadi mwisho😂😂😂😂😂 mumeniachia movie ekeangu guys❤❤🎉🎉🎉
🤣🤣
😂😂🎉🎉
Sijachelewa sana hau vipi wenzangu😊😊😊😊
Nawapend nyote ❤❤❤
😢😢😢😢 ohoooo pole sana mama ake candy hiyo ndo mitihani ya Dunia ❤❤kazi nzuri sana zuu kakolea kwa Kai
😭😭
Dah! Sema haka katamthilia kazur hadi raha nipeni like basi tuendelee kuifuatilia pamoja.
🙏🙏
❤❤❤❤❤mnawahi kweli nawakubali kinoma 🎉❤🎉❤🎉🎉🎉nawafwatlia kutoka lamu kenya 🇰🇪 ♥ ❤ 👌
Wakwanza leo ❤❤
Haya wale wa kula viporo kesho mkija mnipe likes zang nimewahi😂😂😂
Mimi naona nimeletwa dunian kwaajili ya kai ❤wapi zuuu weweee apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asanten sana sasa siunaona mambo mazuri ndio hayo part mbili kwampigo kaz nzuri sana Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉
Duuuh nimeidaka kwa juu Sio poa Hay twende nalo ❤❤❤🎉🎉😅
Maashaa Allah 🥰
Kila mtu anaomba like like haaaa badal mtoe support kwa busati mnaomba like tuu au mnatak kuzinywea chai au izo like
Pôle mama kendy alakini na hawo marafiki hawafayi hâta kumshauri awe na adabu mbele ya mamake,kayi pole
🎉
😅😅😅😅😅nyie mko vizur nawapenda ❤❤❤❤❤ raha jaman
Hongeren San Kwa Kaz nzur🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wako wap wale wanga waliozea kuwanga najua mshapita nayo hii 😂😂😂❤❤❤
❤😂woow thank you so much,nmengoja kwa hamu❤❤❤
Am the first ❤ & appreciate U guys big up
Something to note We need moooo