PART1:MWENYEKITI WA WACHAWI TZ SHEKHE ALIEOKOKA/NILIUA MKE NA KUISHI NAE TENA/UCHAWI NIMESOMA CHUO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 378

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 3 роки тому +9

    Fundi sheikh Omary Mnyeshani.
    Huyu binadamu ni 🔥🔥🔥 ana elimu kubwa sanaaa

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 3 роки тому +2

    .. Aksanti Davistar ; ushuuda iyi ilini jenga kweli... Mwenyezi MUNGU awapatiye nguvu ya kufanya kazi yake.. Thank you very much cheik Omari kwa ushuuda yako...

  • @erickderick608
    @erickderick608 3 роки тому +17

    Huyu sheikh omary mnyeshani ana bonge la story nilishaisikiliza yote hadi mwisho mwaka 2015 ni story nzuri mno, mtaenjoy

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 3 роки тому

      Amaa Mimi ndio kwanza namuona leo Kwa davista

    • @seasonepisode3328
      @seasonepisode3328 3 роки тому

      Ata mimi. Alienda adi kwa gwajma..kipindi kile alikua mfupi mdogo dogo saiz kanenepa sana

    • @marthamaligo458
      @marthamaligo458 3 роки тому +1

      Hata mm nilisha wahi isikia hii

    • @juliusnandonde7101
      @juliusnandonde7101 3 роки тому +1

      Alishakujaga shuleni namkumbuka vizr sana

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 роки тому +5

    Sasa naona wengi wakusoma kua jamaa ana ponda Iman ya watu wengine lengo hapo sio kuponda mbona ilikuako story ya mchungaj kumbe ana tumia ushirikina kujaza watu kanisani kwake mbona kulikuako na watu wengi tumesikiia story na walikua chini ya vivuli vya dini ..sasa bx ndugu zang akuna anae semwa kwa Imani yake ila hapo story imekuja hapo kila asikiae na ajifunzeee uweza usijifunz story yote ila beba utacho ona sahihi .. asanten

  • @mickeytv3691
    @mickeytv3691 3 роки тому +12

    Kwa mar ya kwanz naingia 10 bora jamn like zang

  • @prosmutonyi0
    @prosmutonyi0 2 роки тому +3

    Hata mwanadam afanye nini mungu anatawala pamoja na Kristi yesu.

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 3 роки тому +6

    Asante bro DM kwa vitu vizuri barikiwa lakini wanafamilia tusisau kusubscribe kumsuport atleast afike 200 atoke kwa 180 tuonyesheni love jamaa

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +4

    Pamoja dav ulipo nami nipo 🙏💪💪🇹🇿

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +2

    Kwanza nawasalim hamjambo wapenxi wa sikiza ji nime wa miss sana nilikua bizz kikazi bt kwa sasa pamoja

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +4

    Mr facts leo 🔥🔥🔥nikimaliza huku narudi tena kwua dogo Alawi 🏃🏃🙏

  • @scholamwasi2782
    @scholamwasi2782 3 роки тому +2

    Uyu shehe mnyeshani Nisha msikiliza kwa promover au jackitani msafiri ni stori nzuri mno

  • @abubakarwadi5773
    @abubakarwadi5773 3 роки тому +2

    More fire dvs umetuletea shekhe mchawi due! Pamoko

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 роки тому +1

    Duuuh.subuhanaalah. umewatia hasira watu .utubu kwelikweli hazabu za mungu zinatisha

  • @godelivamuswahili2988
    @godelivamuswahili2988 3 роки тому +1

    Nakukubali davistar 👍💪🏾❤️

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 роки тому +1

    Nimesikia kabisa vizuri

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +6

    Hizi story zimenifanya nijue mambo yaliyokuwa yakinitatiza sana, mfano mtu unaota jitu la kutisha linakukaba lakini kila unapojaribu kupiga kelele sauti haitoki. Wachawi si watu wazuri aisee!

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +2

      Kabisaaa

    • @ireneassey753
      @ireneassey753 3 роки тому +1

      Kweli kabisa

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 роки тому +1

      @@ikabako2454 Hivi ni vitu ambavyo Science huwa inakisia kisia tu.Ukweli ndo huo. Science haiwezi thibitisha uchawi.

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 3 роки тому

      Jmn mm nina jini mahaba naenda kweny maombi lkn naota nafanya mapenzi mpk na mchungaji

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 3 роки тому

      @@ikabako2454 hayajakukuta funga mudomo broo

  • @tracyirene8917
    @tracyirene8917 3 роки тому +3

    Asubuhi nawakilisha!!👍 Huyu Namfahamu Omar stori zake Hatari kishenzi Aisee 🤣🔥🔥

    • @msalimsali6989
      @msalimsali6989 3 роки тому +1

      Kumbe kweli

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +1

      Mmh wacha uongo nawew mkorofi

    • @tracyirene8917
      @tracyirene8917 3 роки тому +2

      @@credo7837 Vipi 🤩 Bwana Mkorofi wewe huyu Nilishamskia stori zake humu UA-cam kabla hajafika kwa Davistar 👍 Stori yake
      🔥🔥

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +2

      @@tracyirene8917 wapi mbn hatuambizani mkorofi mwenzangu😘

    • @tracyirene8917
      @tracyirene8917 3 роки тому

      @@credo7837 kabisa Mkorofi Mwenzangu !!👍

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому

    Aisee mnatusaidia sana kujua uonevu Wa shetani kwetu mana tumeteswa sana

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 роки тому

    Story nzuri kabisa nisikilize

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому +2

    Sisi tuko hapo tuna follow Mr everything karibu Kaka katika Yesu ndio utufunze kuacha dhambi na kuishia kwa Yesu

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +7

    Blessed. Aysha. Aiyam. Kawthar. Khulood. Kalssam. Zuu. Fatma. Somoe. Laila. Neema. Hamad. Kevarist. Credo upo?. Sapna. Na wengine njooni. 🎈🎈🎈🎈🎈🎉🎉🎊🎊🎊🎉🎈🎈🎈🎉🎊🎊🤣🎈🎈🎈🎈

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 роки тому

      🤣🤣🤣wamelala hao ngoja wapitwee

    • @pili3750
      @pili3750 3 роки тому +1

      Yaan mimi hunikumbuki kabisa unawaita wengine tu daah nakupeleka kwa lwanda magere upigwe mikwaju ya kimkakati

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 роки тому

      Thanks

    • @kisurangusa554
      @kisurangusa554 3 роки тому

      @@pili3750 kweli apigwe bakora xa mikakati,

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 3 роки тому

      Hujaniita 😏

  • @innocentmahende2113
    @innocentmahende2113 3 роки тому +1

    Gud...gud....

  • @emanuelmurumbi6946
    @emanuelmurumbi6946 2 роки тому

    Hivi ni kweli au mnatunga

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 3 роки тому +1

    keep on with the good content mr everything i will contact you 1day to say thanks

  • @pili3750
    @pili3750 3 роки тому +3

    Aisee huyu nae ni moto 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @vicentsandess1115
    @vicentsandess1115 3 роки тому +3

    Shehee omari

  • @abdulswai869
    @abdulswai869 3 роки тому +2

    Divasta yule mzee uko naye kwenye kipindi raiya wa Liberia anaongea ukweli kuna sehemu anazitaja napafahamu Mimi nipo Liberia nafanya kazi huku

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 роки тому

      Kwan kujua sehem ndio kusema ukweli 😂 usinune lkn

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 3 роки тому

    Nakupenda sana bwana DM,

  • @florachuwa301
    @florachuwa301 3 роки тому +2

    Aseeeh uyu kaka anaehojiwa namfahamu..yani stori yake ni baabu kubwa yan ...kwanza anajua kuongea mtapenda....

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Itakuwa ndefu eee?. Alikuwa mwislamu alafu kaingia ukristo au?

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 3 роки тому

    Napenda kumsikiliza zaidi uyu

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 роки тому +1

    Twende kazi

  • @zulfajohnkilongozi4943
    @zulfajohnkilongozi4943 3 роки тому

    Dav,unaniokoa Sana na hii elimu dunia

  • @mudulorukuyana3722
    @mudulorukuyana3722 3 роки тому +1

    Daah hii kali kama zabloni

  • @evasaimon9011
    @evasaimon9011 Рік тому

    Tunapata elimu kupitia kipindi Iki asante

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 роки тому

    Nice story

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому +1

    Acha kukushufu dini. Mana hakuna majirani yenye kumjuwa mungu na kufata amri za mungu . Halafu wakakubali kumtesa binadam mana anajuwa kama atakuja kuazibiwa na mungu. Mana wapo majini wabaya na wazuri ambao ni mashetani mana mungu ameumba binadam na majini ili wamuabudu mungu ila majini walioasi ndio wale wafuasi wa ibilisi au dajal. Au lusifa. Amb ni mashetani. Na wapo waganga wanajita mashehe ambao ni washirikina au wanga . Kama vile mapadri wengi neo . Na kama majini wema ambao wanamuabudu mungu na kumuogopa katu hawawez kumtesa binadam mana wanajuwa watakuja kuazibiwa na moto .wewe mpumbav na stori zako za kuchafuwa dini . Mwehu kweli wewe

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 Рік тому +1

    Dm naomba ukue unaanza na maombi na kufunga na maombi remember the evil one is watching,I speak psalms 23 over this whole testimony in the name of Jesus Christ.Ameen.

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 3 роки тому

    Wow mwengine

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 роки тому +2

    Ata kuokoka sio kwamaba ndio umepona kwani ata kwenye huo ulokole pia wapo mapasta wa uongo muhimu ungeacha mazingaombo ukadili namjngu tu .

  • @subiramohd1895
    @subiramohd1895 3 роки тому

    Jamani masikini maiti wanapata tabuu kwa washirikinaa hawana raha jamani hee munawatoa mukiwakata vichwaa ee hee haya

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +4

    Huyu na wenzie walikuwa washirikina waliojivisha kivuli cha usheikh utawakuta hawatoki msikitini kila cku ataka aswalishe yeye kumbe anataka kujitakasa kwa watu aonekaniwe ni mwema kumbe ni bonge la mchawi hakuna dini iliyohalalisha uchawi broo

    • @abdulhalimhumud1917
      @abdulhalimhumud1917 3 роки тому +2

      Kumbe Umeona Hana lolote anataka kuaminisha Kuwa dini ya uislam ni majini muongo mtupu uyu Hana Cha ushekhe Wala nn

    • @seasonepisode3328
      @seasonepisode3328 3 роки тому

      @@abdulhalimhumud1917 shauri yko wezio wanabarikiwa na ukweli wanasema...

    • @abdulhalimhumud1917
      @abdulhalimhumud1917 3 роки тому

      @@seasonepisode3328 aaa hamna kaka uyu amelezea vby tofauti mana apa anaingiza udini

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@abdulhalimhumud1917 sasa kawa mkristo?

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 роки тому

      @@abdulhalimhumud1917 ametumwa

  • @stevenrichard189
    @stevenrichard189 3 роки тому

    Aiseee......

  • @doyohuqa9467
    @doyohuqa9467 3 роки тому

    Tumemiss sana

  • @ochuboysosman8376
    @ochuboysosman8376 3 роки тому +1

    Mkisikiliza vizuri mta fahamu kitu km yeye alikua mchawi sasa mtu akiwa kiongozi wa dini kumbe kavaa tu ili afanye yake vizuti atakuavipi kiongozi hakuwahi kua muislam kwanza ila alikua muislam jina tu mana uislam unapinga ushirikina na pia yoyote anae mshirikisha mungu makazi yake moton

    • @ireneassey753
      @ireneassey753 3 роки тому

      Mbona wako wachungaj pia wachaw kaio kila seem yapo aya mambo sema ndo ushikilie Imani wako ndo tunacho jifunza

    • @ireneassey753
      @ireneassey753 3 роки тому

      Maana kila mtu anafany yake kwa kivuli cha din

  • @jumakhalidimussa9704
    @jumakhalidimussa9704 3 роки тому

    Mbona skuizi sauti haiko poa kaka rekebisha, ili tu-enjoy vizuri kaka

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому

    P1 Mr .Dm

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Majirani Mungu awaone

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 роки тому

    Namjua sana kupitia simulizi za media mbalimbali.

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 роки тому

    🔥🔥👂Pamoja sana

  • @kevinlembela2455
    @kevinlembela2455 3 роки тому

    Good story

  • @oscarkibate1913
    @oscarkibate1913 3 роки тому +1

    Davista hapo sasa mwambie KUNA mafunzo aliyokuwa anafundisha huku kenya hakumalizia naomba aendeleze KWA channel yake

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +4

    Wa kwanzaaa🎉🎊🎊🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎊🎊🎊🎈🎈🎈🎈🎉🎉🎉🎈🎈🎉

  • @annasilayo1405
    @annasilayo1405 3 роки тому

    Nilisha isikiliza redio safinaa

    • @judiehance1736
      @judiehance1736 3 роки тому

      Hivi ata mi nahisi niliisikiza radio safina,,mhhh kumbe huyo ndo mhusika 🙄🙄🙄

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 2 роки тому

    Tuma namba ya mzee huyu shehe pastor

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 роки тому

    sauti bana au ni mimi siskii?

  • @peninahmwangi5098
    @peninahmwangi5098 3 роки тому +2

    Hapo Sasa Davi hoji kabisa atoe siri

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 3 роки тому

    Dah

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Yy alikuwa nauchawi ndomana hiyo nyama alionjaa yy nahaikuwa nasumu lkn paka akafa mwanga kweli ...sasa anakutesaa na hiyo lulu jamani mwili wauma sio mchezo

  • @messimessi7255
    @messimessi7255 3 роки тому

    Omar mnyeshani
    Fundi flani hv

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 3 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤝

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 роки тому +2

    Usisahau kutuwekea babu wa vitani

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 3 роки тому

    Hivi kwa nini Mashekhe wengi ni wachawi?

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому

    Vipi shekh halafu mkristo vitu viwili tofauti hivo wacha kutuzingua tutazinguana

    • @ireneassey753
      @ireneassey753 3 роки тому

      Apo Kuna before and After

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 роки тому

      @@ireneassey753 km kuna before na after kwanini anatumia jina la before ajiite askofu sasa
      Mbona kina mazinge walkjuwa ma askofu walislimu hawaendelei na jina la kanisani yy kwann anauchafua uislam
      Hii channel ni ya kiki tu lkn tushawashtukia.

  • @boluumohammed7310
    @boluumohammed7310 3 роки тому

    Mmmh anatokea kwetu 🙄

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 роки тому +3

    Asalam Aleykum😴😴🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Wa alaykum msalaam wa rahmatullahi wabarakatu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Hujambo Aysha

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 Alhamdulillah wngu

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 za kwako😘😘😘😘

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 😘😘😘😘😘😘😘

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому

    MASHEKHE nao duuuh

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 роки тому

    Mambo vp mm Ni Mr muta Mr kilakitu ..... Niliwahi kumskza promovertv huyu Ni nouma

  • @alibashir210
    @alibashir210 3 роки тому

    Ningeweza kusaidia sheikh kutoa pesa ya kununua ile shamba ili izifanyiwe ibaada ya kichawi,ajenge kanisa ,mimi niko kenya, number za sheikh zenye amepatiana haziingii...tutawasiliana aje pls???

    • @alibashir210
      @alibashir210 3 роки тому

      Nitampata aje?

    • @alibashir210
      @alibashir210 3 роки тому

      Nitatuma pesa kwa number gani kwa shekh omary,juu yenye ulipatiana haingii, Mimi niko kenya,naomba tuongee na shekh omary ndio nijuwe venye ni tatuma pesa kwa account yake pesa ya kujenga kanisa.

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 2 роки тому

    Hakuna anaeweza kuokoka hapa duniani... Uongo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Chessa mxee wamikakati na Omar zabron yani str zao zuri hata ukikosa mbs anaumwaa ghaflaa

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому

    CHUO🙏💪💪🇹🇿

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Kiarabu kilivyo kigumu wewe ulikuwa sharp kumbe lulu anaongea nawezake 😥😥😥

  • @kevinlembela2455
    @kevinlembela2455 3 роки тому

    Pmoja kaka davis

  • @yasminnanyondo9106
    @yasminnanyondo9106 3 роки тому

    Please Davi work on ur sound the background music is too loud

  • @abdulswai869
    @abdulswai869 3 роки тому +1

    Kama anaitaji Mimi kumsaidia kuulizia familia yake anaweza kunicheck wewe una number yangu ya what's up

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 роки тому +1

    😧😧😧🇰🇪

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 роки тому

    Niko kwa hewaaa

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 роки тому +1

    Davistar unatisha yani unapiga ndege wawili kwa jiwe moja haise wewe ni hatari, wakati tunasubiri ya mwanajeshi muhasi umeibuka na hii haise,

  • @sophiasalim4552
    @sophiasalim4552 3 роки тому

    Davister wasinzia

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 3 роки тому

    Duuuu watu tunatoka mbali sana

  • @shantoshkhalifa1643
    @shantoshkhalifa1643 3 роки тому

    Mbona hakuna sauti jamani

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

    Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli endelea kutufundisha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 2 роки тому

    Hizi habari nyingi ni uongo ndani yake kama michezo ya kinigeria

  • @isayahjovin4076
    @isayahjovin4076 3 роки тому

    Da unatisha ilimisha kaka

  • @dhayondrama9907
    @dhayondrama9907 3 роки тому

    Huyu Jamaa ni Muongo kupita kiasi

  • @Mazoea
    @Mazoea 3 роки тому

    Nilishawahi msikia wakati yupo na Gwajima na anakanisa lake Omary mnyeshani

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 роки тому

    Watatuu

  • @richchristopher137
    @richchristopher137 3 роки тому +1

    Tunataka muendeoezo wa muasi,usitulazmishe kufutilia hathi zote,bando bei zmepanda sna mzee,

    • @mariamripiti2137
      @mariamripiti2137 3 роки тому

      Dear una teseka ukiwa maeneo gani unalia na bando pole sana 😅😅😅😅

    • @fahadjinni5845
      @fahadjinni5845 3 роки тому

      Utajua mwenyew ...😲😲

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@mariamripiti2137 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @matridalule6477
      @matridalule6477 3 роки тому

      We wawap jmn mbona bando zimelejeshwa zilivo kuwa hahaaa

    • @mariamripiti2137
      @mariamripiti2137 3 роки тому

      @@pilimusa7770 😋😋😋

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому +1

    Nahicho kitambi ulikuw unapaa je sijui🤣

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 роки тому

      Hicho kimekuja baada ys kula sana nyama

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@aishaally8811 🤣🤣🤣Kumbe

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu uwiiiiiiii

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Loo lulu shetani kabisa imeingia mwilini jamani maumivu hayo aisee nahikusemaa ama alikuxuia

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 роки тому

    Khaa leo tena davistar babu wapi

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 3 роки тому +1

    KUNA PICHA FLANI NAIPATA KUHUSU YULE MTOTO WA MOROGORO ANAYEJIBU MASWALI YA HESABU MAKUBWA

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 3 роки тому

    Ili nalo ni bonge searz amini kwamba....

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 роки тому +2

    Nyingne weweweweeeeeeee

  • @just_this_way
    @just_this_way 3 роки тому +1

    Davistar umeshaanza mastori ya UONGO KAMA GWAJIMA. 😏
    hii channel nlikuwa naikubali lakini sasa. No.

    • @venantmshema1000
      @venantmshema1000 3 роки тому +1

      Ukapimwe mkojo

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Kwa nini huipendi tena?

    • @sharifahamisi9812
      @sharifahamisi9812 3 роки тому

      @@venantmshema1000 😂😂😂tena akapimwe mpaka na mavi sasa uongo apo uko wapi wanadamu kwanini hatupendani jamani

    • @just_this_way
      @just_this_way 3 роки тому +1

      @pili na @Sharifa hamisi sawa mi nipimwe mavi, ila ipo siku mtanielewa tu. Stori si IMEWANOGEENI hata kutafakari hamtaki. Endeleeni.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      @@just_this_way sijakwambia upime mavi mie

  • @sarahmwangamila4441
    @sarahmwangamila4441 3 роки тому

    Kumekucha

  • @faridaahmed2671
    @faridaahmed2671 3 роки тому

    Halina muislam anaweza fanya ivo ebu tuache sisi waislam usituchafulie jina eti shekh omar

  • @johnassilvester1600
    @johnassilvester1600 3 роки тому

    Haya kumekucha njoo mafans wenzangu

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 роки тому

    Tuko pamoja DM

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 роки тому

    Hivi wazungu wapo kweli wachawi

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      uchawi uko kila coner

    • @venantmshema1000
      @venantmshema1000 3 роки тому

      Tena uko ndo kuna most wizard!!!!

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@moreenmbatha1147 mwambie huyo.

    • @jzeltv.3036
      @jzeltv.3036 3 роки тому

      yaani bwana huku kwetu kuna mtu alikutwa na misukule wa kizungu sijui aliwakuta wapi 🤣🤣🤣

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      @@jzeltv.3036 😂😂😂😂😂😂😂😂