PART4:SHEKHE OMARY MNYESHENI ALIOKOKA/UKIRISTO SIO DINI/MUUAJI MISUKULE 39/NILIWAUA KWA SABABU HIZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 463

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 3 роки тому +16

    Yesu ni Bwana wa mabwana libarikiwe jina lake milele yote amina

  • @faifidelis3041
    @faifidelis3041 3 роки тому +2

    uko vizuri mnyeshani ongera kwa kujielewa na kumtumikia mungu wa kwel

  • @mrpresedent4159
    @mrpresedent4159 3 роки тому +5

    Huyo Omari alikuwa ni mchawi na Hakuwa muislam kwa sababu muislam hawezi kuwa mchawi bali alikuwa anatumia kivuli tu cha uislam na hana elimu ya uislam kwa sababu mwalimu wake pia alikuwa si muislam
    Anasema Qur-an imebadilishwa alete ushahidi wa maandishi ya tofauti kati ya hiyo anayoijua ni Halisi na hio ilobadilika.
    Asante sana

    • @erickngatunga2359
      @erickngatunga2359 2 роки тому

      Hakuwa muislam kwani wewe unamfahamu?

    • @jeniverstanley5282
      @jeniverstanley5282 6 місяців тому

      Misikiti mingi ni kivuli tu ila ni vituo vya kujifunza uchawi

    • @zolongOne
      @zolongOne 4 місяці тому

      Sio kweli ​@@jeniverstanley5282

  • @dismasstanslaus5985
    @dismasstanslaus5985 Рік тому +4

    Omari anaakili kubwa kuliko kawaida lakini kama umeona anaeuliza maswali hana ubora wakuuliza vizuri kuliko anavyohoji naomba like tafadhali

  • @reubenbushiri1753
    @reubenbushiri1753 3 роки тому +2

    Biblia imeamnza mwanzo yaani uumbaji mpaka Mpaka ufunuo.Well arranged and organized !!!!

  • @nyingos
    @nyingos 2 роки тому +3

    Unakosea sana kuuliza habari za dini nyingine. Wewe mwache atoe ushuhuda wake wa kuwa Mkristo.

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 3 роки тому +17

    Tunavo mpenda huyu mnyeshan leo tu comment 300

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 Рік тому

    Mwenyezi Mungu akutie nguvu mpendwa katika Bwana

  • @jkmath3184
    @jkmath3184 2 роки тому +3

    Huyu jamaa anaeuliza hajui vizuri kuuliza vizurii..

  • @jamesolando2479
    @jamesolando2479 3 роки тому +4

    Mr DM katika maelezo ya bwana mnyeshani nimejifunza kweli ya Mungu Katika Kristo Yesu.Sheikh kakaa na majini akiwa muislamu lakini alivyoshiriki sala ya toba na kuombewa majini yakakimbia kwa JINA LA YESU.

  • @jeniverstanley5282
    @jeniverstanley5282 6 місяців тому +1

    Davistar unalazimisha Mungu wa waislam sio Mungu wa wakristo ndomana kuna utofauti wa maadili na sheria.mtume wao hakukutana na malaika gabriel alikutana na shetani akijifanya kuwa amalaika wa nuru

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +1

    Barikiwa Sana Mtumishi mafundisho yako yafaa yasikiwe na KILA mtu.
    Nabarikiwa na mafundisho yako tangu ukiwa nairobi 2018 .

  • @jeniverstanley5282
    @jeniverstanley5282 6 місяців тому

    This guy is informed more than most Christians ambao wamezaliwa huko

  • @livingwaterchurchmbulukahama
    @livingwaterchurchmbulukahama 3 роки тому +4

    Hamjambo wana wa Mungu,nikajua nami leo mngeningoja niwe wa kwanza,tangu dav aanzishe hii kipindi sijawa kua wa kwanza,mnalala humu!!!!

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 3 роки тому +2

    We shekhe usidanganye wa2 huwezi kukojolea kitabu cha alla mungu akukuacha salama

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 3 роки тому

      Nishawai ichoma

    • @sleymankassim4332
      @sleymankassim4332 3 роки тому

      Kuichoma Quran ni moja ya kuhifadhi kuliko kuiacha ikawa inazagaa mitaani, sasa kojolea

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 3 роки тому

      @@sleymankassim4332 kojoa ulale

    • @asdasd9253
      @asdasd9253 3 роки тому

      @@sleymankassim4332 umeonaee huyu shekhe cjui alikua shekhe waaina gani maana maneno yake hata hayaeleweki

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 роки тому +9

    Devista tafadhali siku zote nakuomba siku ukifanya maojiano naonelea ni vizuri huwe na note book kwa ajili ya kunakili maswali ya kuhuliza baadaye to avoid forgetting for good

    • @Chrishenryson-beats
      @Chrishenryson-beats 3 роки тому

      Me nilishamshauri kitambo maana mambo mengi anasahau alaf anakichwa kigum kuelewa sana... Hahahha ila namkubali tu ivoivo maana hakuna namna

  • @abdullatifu4929
    @abdullatifu4929 3 роки тому +1

    Kazi nzuri Davi ndugu yangu. Nakwomba usimuulize huyu maswali ya dini. Dini zote mbili hana ilimu ilimu yake kubwa ni yauchawi na uganga. Mambo ya dini waalike walosomeya dini Mapaster na Mashekhe.

    • @alexjos7625
      @alexjos7625 3 роки тому

      Huyu pia alisomea

    • @badarambu3817
      @badarambu3817 3 роки тому

      Kabisa... Hana elimu ya dini huyu... Mchawi tu

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +4

    Hio imeandikwa utapenya katikati yao madui zoko mungu apewe sifa

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 3 роки тому +1

    Yesu na issa sio sawa Allah na JEHOVAH sio sawa Allah yesu hakufa JEHOVAH yesu kafaa vipi hapo

  • @gablielsamwely1081
    @gablielsamwely1081 3 роки тому

    Duh mungu awa samehe kwa kweli Napenda dini yangu kwa kweli ya Ukristo ambayo ni njia ya kweli na uzima

  • @JosephKassim-k3p
    @JosephKassim-k3p Рік тому

    Mungu Am barick huyu mwamba

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 3 роки тому

    Jina la bwana Yesu liinuliwe..imani za majini ni ibada ya shetani..

  • @apostlejoshuakuhanda5524
    @apostlejoshuakuhanda5524 2 роки тому +1

    DAVISTAR jitahidi ku stick au kubaki kwenye swali moja na uhakikishe wasikilizaji wamepata jibu la swali lako...
    Una maswali mazuri lakini hungojei hata sheikh akupe jibu la swali...

  • @kelvinluoga5140
    @kelvinluoga5140 3 роки тому +2

    Marafiki zangu wamekuwa wakihoji kwamba katika Hesabu 15:32-36 tunaona mtu akivunja sabato hukumu yake ni kupigwa mawe.
    Sasa inakuwaje watunza sabato wa siku hizi mtu akivunja sabato anaachwa tu?
    Swali kama hili mtu anayeuliza anachangamoto ya uelewa wa Biblia, kwa sababu hukumu kubwa ya agano la kale ilikuwa ni kupiga mawe. Mfano:
    1. Watu wakifumaniwa wanazini ilibidi wapigwe mawe hadi kufa, Kumbu 22:22....Yohana 8:3-11
    #Swali: je amri inayokataza kuzini iliishia msalabani? Na kama bado ipo kwanini siku hizi nyumbani kwenu na Kanisani kwenu wazinzi hawapigwi mawe?
    2. Agano la kale mtu akitaja jina la BWANA ovyo ilibidi auawe kwa kupigwa mawe hadi kufa, Walawi 24:16
    #Swali: je siku hizi amri ya kutolitaja jina la BWANA ovyo iliishia msalabani? Na kama bado ipo na inatubidi tuliheshimu jina la BWANA, kwanini wanaolitaja jina la BWANA ovyo hawapigwi mawe siku hizi?
    3.Agano la kale mtoto akiwadharau wazazi wake, ilibidi apigwe mawe hadi kufa. Kutoka 21:12-13
    # Swali . Je siku hizi amri ya kuwaheshimu wazazi iliishia msalabani? Na kama bado ipo kwanini watoto wakaidi mitaani na makanisani hawapigwi mawe?
    Kwa hiyo kama ni mtu Mwenye akili, na haufuati upepo kama bendera, huwezi ukauliza swali kama hilo kwamba kwanini watu WANAOVUNJA SABATO hawapigwi mawe, wakati Kanisani kwenu kuna wazinzi ambao hujawahi hata kumrushia kokoto.
    Lakini hebu tuongeze uzito kidogo, je unafahamu Wenye mapepo, na wachawi ilibidi apigwe mawe hadi kufa?
    Walawi:20.27
    Tena mtu mume au mtu mke aliye na pepo, au aliye mchawi, hakika atauawa; watawapiga kwa mawe; damu yao itakuwa juu yao.
    Swali: kwanini siku hizi makanisani mnahangaika kukemea mapepo wakati Biblia inasema ilibidi apigwe mawe?
    Kwa hiyo tuelewe kwamba Yesu alitukomboa kutoka kwenye hukumu za Amri(torati) na wala Yesu hakuondoa Amri 10.
    Mfano: Torati ilisema Mtu akizini apigwe mawe hadi kufa, Yesu alipokuja akaondoa hukumu ya kupiga mawe wazinzi, lakini amri inayokataza kuzini bado ipo.
    Torati ilisema Mtu akivunja sabato apigwe mawe hadi kufa, kifo cha Yesu kikaondoa hukumu ya kupiga mawe wavunja sabato, lakini amri inayokataza kuvunja sabato bado ipo.

  • @michelleathumani420
    @michelleathumani420 3 роки тому +5

    Davistar kuhusu mambo ya dini lazima itendeke haki. Kila siku unaleta watu wa kuponda uislam.

    • @hancymachibbula4355
      @hancymachibbula4355 3 роки тому

      Hapondi ila anaelezea vitu vya kawaida hajasema Uislam mbaya.

    • @estermosha1985
      @estermosha1985 3 роки тому

      mbona hata kuna watu walisema kuna manabii wa uongo

    • @evalineawary3604
      @evalineawary3604 3 роки тому

      Michaelle umecoment nyingi acha mtu aelezee lile alichopitia au alichojifunza

    • @michelleathumani420
      @michelleathumani420 3 роки тому

      @@evalineawary3604 nakubali

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому +1

      @@michelleathumani420 kweli kafururiza 🤔

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому +2

    Kuna yule sheikh mwingine alipata taabu kweli mpaka nduguye alitaka kumuua lakini hawakuweza pia Yesu alimutetea

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 3 роки тому

    Mtangazaji ushauri wangu usipeleke haya mahojiano kwenye kuchunguza na kuzungumzia dini. Utaharibu maana kuu ya malengo ya kipindi chako. Jitahidi sana mahojiano yalenge mafunzo yenye kubadilisha. Hii inawezekana pale utakapomwachia mshuhudiaje aende kwa mtiririko wake. Waweza kuingilia tuu pale unapoona anaenda nje ya mjadala.

  • @mzanziforshow9149
    @mzanziforshow9149 3 роки тому +3

    Subhanallah QUR'AN haibadiliki hata siku moja Kaka sema wanao tafsiri ndo wanakosea Wana badilisha tafsiri yake.......kitabo kisicho kuwa Na Shaka..,.. alafu ukiwa Wewe umesoma Qur'an huwezi kusahau haya.....biblia ime andikwa Na watu Kuna Hadi maneno ya paulo....lingine jama ajuwe kutafautisha Aya ya Qur'an na hadith

  • @Deedee88110
    @Deedee88110 3 роки тому +3

    Wakati shekhe Omary ameanza hii story alisemaga hiyo lulu alipewa na bibi jiran ambae alimwambia kuna mtu alimwambia ampatie
    Je huyo mtu aliwahi mjua ambae ndo alimchagua yeye maana yule bibi alikua ni jiran tu alisema aliagizwa

  • @kithia100
    @kithia100 3 роки тому +1

    Lazima kifo ukitoka Islam
    Sahih al-Bukhari 6922
    Imesimuliwa `Ikrima:
    Baadhi ya Zanadiqa (wasioamini Mungu) waliletwa kwa "Ali na aliwateketeza. Habari ya tukio hili ilimfikia Ibn Abbas ambaye alisema, "Kama ningekuwa mahali pake, nisingewachoma moto, kama vile Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alivyokataza, akisema," Usimwadhibu mtu yeyote na adhabu ya Mwenyezi Mungu. ). ' Ningewaua kulingana na kauli ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ), 'Yeyote aliyebadilisha dini yake ya Kiislamu, basi muueni.' "
    Aliyemtaja Abu Numan, Mohammed bin Fadl alituambia Hammad bin Zaid, Ayoub, Akrama, njoo , akasema Ali Mwenyezi Mungu amridhie na kuuawa kwa maneno ya Nabii amani Mungu amshukie , "Yeyote atakayebadilisha dini yake , muue" .

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani Рік тому

    Kumufuata Yesu Kristo kuna faida kubwa mno
    WAGALATIA 3
    26 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo.
    27 Maana nyinyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.
    28 Hapana Myahudi wala Myunani, hapana mtumwa wala huru, hapana mtu mume wala mtu mke, maana nyinyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
    29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahim, na warithi sawasawa na ahadi.
    Amen !!!

  • @michelleathumani420
    @michelleathumani420 3 роки тому +2

    Davistar kuhusu dini jielimishe mwenyewe au mtafute mtu muhusika wa hiyo dini. Huyo si mwislam utamuulizaje mambo ya kiislam. Si haki hata kidogo

  • @kelvinluoga5140
    @kelvinluoga5140 3 роки тому +1

    Agano la kale mtoto akiwadharau wazazi wake , ilibidi apigwe mawe hadi kufa. Kutoka 21:12- 13. Hii inapatikana agano la kale ndio maana wakristo tukaja na agano jipya la kale sheria ngumu

  • @p.matabaro
    @p.matabaro 3 роки тому +7

    Ndio hizi surah zinazo sema wauweni wote watakao zaririsha dini ya Islam
    👇🏾👇🏾
    Surah 3: 151
    Surah 2: 191
    Surah 9: 5

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 3 роки тому +2

      Anaye ua ni mungu tu hakuna mtu awae yote awezae kua

    • @p.matabaro
      @p.matabaro 3 роки тому +3

      @@rosecruiz4348 true, mimi nime weka tu izo haya kwa watu watakao hitaji kuzisoma ila mimi si mwesilamu

    • @damarismbatia2029
      @damarismbatia2029 3 роки тому +2

      thxs nlikua natafta sasa, God have mercy

    • @p.matabaro
      @p.matabaro 3 роки тому +2

      @@damarismbatia2029 no worries

    • @matanobaya7660
      @matanobaya7660 3 роки тому +1

      Mumeleta udini hapa 😕acheni hizzo 😯😯

  • @mzanziforshow9149
    @mzanziforshow9149 3 роки тому +1

    Kuuliza Sura gani ima Aya gani ilio badilishwa. ......apan kwenda jalalani sio kwamba nijalalani ukiwa upo sehem amabayo Hanna chooo ili usiuchafui mji davistar kakosea Sana kasema uwongo Qur'an haibadiliki kamwe......izo hospital zilikua ZA kienyeji

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 3 роки тому

    Utaitwa majina,udhalilishwe ,uambiwe wewe hukuwa muislamu lakini Shekhi Omari simama katika Yesu..

  • @sadamkhamis1956
    @sadamkhamis1956 3 роки тому +4

    Davis shekh omari alisomea uchawi sasa unapomuambia aieleezee koroani sio,,kwa acheni kudisikasi mambo ya uisilamu,,kama mnataka mdahalo basi tumuitie wasomi,,,hapo asiidhalilishe koroani yeye ashikilie tuu alipo shika maovu yake ndy yalimfanya ahame dini

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +1

      Umeona eeeh alisomea uchawi huyu asitie uislam dowa, Davista amuite shekh Mazinge kama hata slim yeye

    • @michelleathumani420
      @michelleathumani420 3 роки тому +1

      Kabisaaa 👏👏👏👏👏👏👏💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🎉🎉🎊🎊🎊🎊🎊🎊🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @michelleathumani420
      @michelleathumani420 3 роки тому +1

      @@shantellemwanakombo3703 kabisaa

    • @HusseinBoarnege
      @HusseinBoarnege 3 роки тому

      Uchawi an kuwa an majini ao kusema hanaye hama didi ahuwawe hina hutofauti gani

  • @mohdinhoblublu948
    @mohdinhoblublu948 3 роки тому +2

    Davita vp tena au tuwaletee wakina Mazinge hapo wawasaidie.Naona mnapotosha Iman za watu

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому +1

    Mpo poa wadau wangu wa nguvu🙏🙏,,,Naomba kuuliza hivi mtu yeyote ambaye ni muislam anaweza kuitwa Shehe?,,,Au shehe ni muislam mwenye sifa zipi🤝

    • @jawadyrasheed6880
      @jawadyrasheed6880 3 роки тому +2

      Hapana si mtu yyote yule sheikh ni yule mwnye vgezo na alyeisoma sna dini na mafundsho yake akayaftisha sio kama hawa wanaojiita wao masheikh alf mwsho wa sku n washrkina

    • @jawadyrasheed6880
      @jawadyrasheed6880 3 роки тому +2

      Kufkia stage ya usheikh kwenye uislam hao unaowaona n waumini tu wa kiislam nasi masheikh.. Waumin namaansha n kma vle kwa wakrsto wanavyooita kondo kma sjkosea

    • @michelleathumani420
      @michelleathumani420 3 роки тому +1

      Swali zuri sana

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 роки тому +1

      @@jawadyrasheed6880 Asante kwa majibu Mazuri🙏🙏

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 роки тому +1

      @@michelleathumani420 Umeona Rsshid katoa majibu mazuri kabisa 🙏🙏

  • @rizikithomas565
    @rizikithomas565 2 роки тому

    Hakuna lisilowezekana kw Mungu

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 роки тому +5

    Waaaakwaaanzaaah wapi likes zote🤣🤣🤣🤣🤣

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 роки тому

    We Omari hata Biblia imebadilika Soma vizuri Agano la kale na jipya vipo tofauti ndugu Hebu kasome Tena...

  • @farajomar2902
    @farajomar2902 3 роки тому +1

    Mwambie akuletee quran mbili ambazo ziko tafauti fala huyo yy ndio abadilika lkn sio quran

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 роки тому +1

    *U have too much shekh* ... ❤️❤️❤️

  • @justerelias6222
    @justerelias6222 3 роки тому +1

    Dav Mambo ya din ivip tena

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 3 роки тому +5

    Natamani cku moja umpate mtu atakae ichallenge dini yangu ya ukristo pia ili nijifunze zaidi

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 роки тому +1

      Ukiristo sio dini, hakuna MTU anaeweza kumchalenge Yesu

    • @chazgunda5823
      @chazgunda5823 3 роки тому

      @@frankmtei3017 unamanisha nn unaposema sio dini

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 роки тому +1

      @@chazgunda5823 sio dini kwasababu Yesu ni Kristo, maana yake "Mpakwa mafuta wa Bwana. Kwahyo MTU anaeamua kumkubali Yesu kua Bwana Mwokozi wa maisha yake anakua mfuasi au wa Yesu ambae ni Neno la Mungu.. Ndio maana maandiko yanasema " wote waliompokea aliwapa uwezo kufanyika wana wa Mungu " Yohana 1:12) kwahyo kinachozaliwa hapo maisha mapya kati ya mwanadamu na Mungu..

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 роки тому +1

      @@chazgunda5823 ili MTU awe wa kristo yaan awe mfuas wa Yesu, ni lazima awe na Roho Mtakatifu ndani yake ( warumi 8:9-10) kama vile mganga au mchawi asivyoweza kua mganga au mchawi asipokua na roho ya unganga au ya uchawi ndani yake...

    • @chazgunda5823
      @chazgunda5823 3 роки тому

      @@frankmtei3017 nimekuelewa
      Ivi mtu akisema mi ni wa dini flani anamanisha nn
      Au kwaufupi dini ni nini?

  • @makame3524
    @makame3524 3 роки тому +2

    Halaf mr dm mwambie mnyeshani atuletee iyo quran ya zaman na ya sasa

  • @furahaedmundi2302
    @furahaedmundi2302 3 роки тому +1

    Mmmh

  • @Bahalia
    @Bahalia 3 роки тому

    Nataka Niongelee kidogo yaliyo semwa na Munyeshani
    1. Sijawahi ona au sikia Aayah inayosema Mritadi auwawe.
    (Ijapokuwa hiyo sheria ipo kwa Hadithi ya mtume) kwahiyo mimi nipo nasubilia Hilo Andiko
    2. Quran Haijabadilishwa kwa maana ile ya Lugha ya ki Arabu bado iko vile vile
    3. Ndugu mtangazaji Nikosa kubwa Kumu ulizia saana mAswala ya dini huyo Mnyeshani kwa sababu Hapa yupo kwa ajili ya kutusimulia habari zilizofichikana Huko ktk uchawini
    NAOMBA Usitupitezee mda kwa maswali ya dini.

  • @selmaselma8452
    @selmaselma8452 3 роки тому +2

    Quruani haijabadilika kabisa tuko imeshushwa na wala haitabadilika

  • @achsahcharles6728
    @achsahcharles6728 3 роки тому +2

    Davista, naona usimbane Omar kuzungumzia dini ya watu sababu wewe si Muislamu na yeye keshatoka so followers wako Waislamu wataona maelezo yenu yako upande mmoja na yanalenga kuonesha kama wao hawako sahihi na hawapo hapo kujitetea! Otherwise kazi nzuri, tunazidi kuomba app ije coz kusubiri kunatesa

  • @michelleathumani420
    @michelleathumani420 3 роки тому +1

    Quran haijabadilishwa na haitabadilishwa

  • @makame3524
    @makame3524 3 роки тому

    Mr dm leo umeniosha sana kwenye maswali

  • @khadijamusa8084
    @khadijamusa8084 3 роки тому

    Din iachen tunao Angalia din tofaut jaman

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 роки тому

    mungu aja ruhusu kuuwa

  • @jeniverstanley5282
    @jeniverstanley5282 6 місяців тому

    Majini ndo yalikuwa yanasababisha hapati msaada siku nzima anahangaika tu.Yesu ni mkubwa kuliko majini

  • @damarismbatia2029
    @damarismbatia2029 3 роки тому

    Thxs to God, Bible ya kale ni original waovu ndo wanakuja na fake, but

  • @damarismbatia2029
    @damarismbatia2029 3 роки тому

    Agano ya kale imebeba historia, hadithi lakini ndo mwanzo wa agano jipya manake yote ni utabiri wa Yesu, Familia yake ya duniani, na agano jipya imetimiza agano la kale

  • @mrpresedent4159
    @mrpresedent4159 3 роки тому +1

    Katika hitoria ya vitabu vya Mungu hakuna kitabu ambacho kinaitwa bibilia , niwaulize hicho kitabu cha bibilia kilishuka kwa mtume gani?

  • @lucasnyamhanga4718
    @lucasnyamhanga4718 3 роки тому

    Maswali yako yanatoka kwenye Mada na kuhusisha imani za watu inaweza kukupelekea kuwagawa wanaokufatilia
    USHAURI
    Acha azungumzie ajuacho usiulize sana kuhusu tafsiri ya imani acha aishie pale alipoamua na sababu anazoelezea.

  • @hussenimussa3012
    @hussenimussa3012 3 роки тому +4

    Mshaanza kuleta udini wakilito bana hamuwe kuongea mpaka mukashifu waisilamu acheni uzamani

    • @shau78
      @shau78 2 роки тому

      kweli. tuweke udini pembeni. Yesu anaokoa watu wote bila kujali dini au asili. Yesu ni mwema kwa wote. na hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. tumtangaze Kristo Yesu bila kutaja dini kwa sababu itawakera wengine

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 3 роки тому

    Quran 9;11-12...sahih al.bukhar 6922 book 88 hadith 5...

  • @liberiasway1923
    @liberiasway1923 3 роки тому

    Jamani mbona sioni pat ya 6

  • @johnwanuma7209
    @johnwanuma7209 3 роки тому +1

    Tunapoteza mwelekeo WA stori

  • @hussenimussa3012
    @hussenimussa3012 3 роки тому +2

    DM akili huna sasa huyo simkilisito mwenzako ulifikili atakuambia nn

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 роки тому +1

    States that recognize it as a crime punishable by death include Iran, Nigeria, Pakistan, Saudi Arabia and Sudan

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Hata kwa wakristo pia Mungu huua usimwache mwanamke mchawi kuishi pia alimua Jezebel

    • @michelleathumani420
      @michelleathumani420 3 роки тому

      Kabisaa. Huyu jamaa hajuwi ukristo wala uwislam. Kwanza alikuwa mganga wa kienyeji na mfuga majini. Mtu wa dini atafanyaje hayo.

    • @kakajoss2464
      @kakajoss2464 3 роки тому

      Hapo Mungu mwenyewe kasema na kwa sababu mhusika ni mchawi

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 3 роки тому

      Jiulizeni kwanini Mungu aliangamiza kizazi kile Cha wakati wakina Nuhu mambo haya mpaka uyataseme kiroho lakini ukiyatazama kimwili huwezi yaelewa

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 роки тому

    Kweli hapo kwenye inzi umeongea ukweli nilisha sikia hivo,mtu mmoja kaniambia hivo,

  • @michelleathumani420
    @michelleathumani420 3 роки тому +2

    Davistar wa kukufunza uislam si huyo

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 3 роки тому

    Hukumbuki Mungu aliruhusu saul's kuua

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +1

    safi shehe

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 3 роки тому +1

    Wewe ni mwislam ao cristien?

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 3 роки тому

    Hata mchawi anaomba mungu na anaua je mungu hajaruhusu ,?

  • @makame3524
    @makame3524 3 роки тому +3

    Sasa mnyeshani ao uliowaona njian ni watu au washetani yako yalikua ndio yalikuchezea, hivi kwa akili ya kawaida unazan anachokieleza ni sahihi kwamba ni watu.....hakuna muislam anaejua uislam akadili na mshirikina ambae amebadili. Waislam walijua ww ni mshirikina sasa watamninganganiaje mshirikina, kama ni watu bac walikua washirikina au wachaw weza

  • @salumhamad4658
    @salumhamad4658 3 роки тому

    Nafikiri uongee misukule ila kuhusu dini hujui hata kidogo

  • @zulfajohnkilongozi4943
    @zulfajohnkilongozi4943 3 роки тому +4

    Tupe stori na mikasa,Mambo ya dini yataigharim channel yako.Maoni tu lkn sijakerwa na chochote

    • @erikimethod6246
      @erikimethod6246 3 роки тому

      Maybe yatakugharim ww, yesu akufumbue macho hapo ulipo

    • @zulfajohnkilongozi4943
      @zulfajohnkilongozi4943 3 роки тому

      @@erikimethod6246 sijasema kwa ubaya,Ila mtoto wa kiume habishanagi hovyo.Unadhani yesu ni Mjomba ako kwamba unamjua zaid kuliko mm.Nimeongelea Chanel yake na namna inavyowaumiza watu wa Imani nyingine.

    • @erikimethod6246
      @erikimethod6246 3 роки тому

      @@zulfajohnkilongozi4943 em nambie we mwana mpotevu yesu unamjua kwanzia wapi hadi wapi??? Na ukiona channel hii inakuumza achana nayo coz sio lazima ue mmoja wawafatiliaji.

    • @charityezekiel3525
      @charityezekiel3525 28 днів тому

      ​@@zulfajohnkilongozi4943sasa hapo inaumiza nini, huo ni ukweli unao zungumzizwa na alie kuwa kiongozi wa dini yako.. hivyo jitahidi tuuu kusikiliza ukishindwa acha

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 3 роки тому +5

    Shekhe utakuwa wewe tutokee hapa

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 роки тому +1

    Watu wangu mkuje tayar mambo💥💥💥

  • @benjaminthomas4372
    @benjaminthomas4372 3 роки тому +1

    Leo wa kwanza kuitazama

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 3 роки тому

      Davista hajui kitu kimoja, Uislamu na ukristo kuna kimoja cha Mungu wa kweli na kingine kimetokana na shetani. Sio vyote nivya mmoja kwani havifanani kabisa na hupingana sanaaa.

  • @erickildefonce461
    @erickildefonce461 3 роки тому +1

    Unaharibu kipindi kujadili mambo ya dini otherwise badili jina kisiitwe MIKASA sidhani kama mijadala ya dini ina afya.

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 3 роки тому

    Kwa upeo wangu navyo kuona Hauna Elimu

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 Рік тому

    Uzuli wa bro anasema wenye maswali mtume kwenye comments au mtumie msg kwenye no yake ili awaulize wahusika..kuliko kwenda moja kwa moja na kumlaumu anakosea kuuliza baadhi ya maswali

  • @michelleathumani420
    @michelleathumani420 3 роки тому +1

    Davistar kuhusu dini unatwkiwa ujielimishe. Amkaaa

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 роки тому +2

    Maamuzi ya kuhama dini ni ya mtu binafsi msimuhukumu sheikh omar me ni musilism ila maamuz ya mtu kuhama dini ni yake mwenyew sote ni wa mungu mmoja tusikosoane tunamwabudu mungu mmoja

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +1

    Dm pamoja🙏🇹🇿

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +2

    Na maliza part 3 nakuja

  • @seqtawa278
    @seqtawa278 3 роки тому +2

    Tapeli uyo

  • @mohdinhoblublu948
    @mohdinhoblublu948 3 роки тому

    Km Yesu alipokataza kwenye nyumba ya ibada tusiweke viti na meza ila makanisani wanaweke viti na meza hapo vipi uliza basi Davista huyo uchebe

  • @mwangazakanganga8110
    @mwangazakanganga8110 3 роки тому

    Hayo maswali sio mazuri, ni very sensitive kwa waumini wa dini hizo mbili. Unawafanya wengine wamchukie msimuliaji bila sababu.

  • @justerelias6222
    @justerelias6222 3 роки тому

    Nipo

  • @fidelbarutwanayo4068
    @fidelbarutwanayo4068 3 роки тому

    Hiyo ni sharia kuuwa mtu mungu haruhusu kuuwa mtu ni elimu Dunia kama mtume Ali fanya jihadi ktk kueneza dini unakubali au ukikataa unauliwa. Ni hitikadi

  • @michelleathumani420
    @michelleathumani420 3 роки тому +1

    Davistar ungemuuliza huyo mtu ambaye alikuwa shekh. Muulize Uislam umesema sehemu gani shekh awe na majini , mchawi na mganga. Maana yeye alikuwa shekh. Je alipokuwa shekhe dini yao iliruhusu hivyo. Yani shekh ni sawa akiwa mganga na mchawi na mwenye majini? Haya atuambie huo ushekh wake. Na shekh gani anakwenda kusomea uchawi. Pia muulize uislam unasemaje kuhusu uchawi
    Davistar ukitaka dini yeyote jielimishe kweli

    • @erickngatunga2359
      @erickngatunga2359 2 роки тому

      kwani si majini yalisikiliza quran yakaamini yakasilimu?au aya hiyo hakuna?

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu3664 3 роки тому +1

    Devi memgine achana nayo. Usipende kuchimba Dini za watu ni hatari.

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому

      Si ame promise ataleta wanajua dini wazungumze, nashangaa kwa nini bado Ana entartain huyu jamaa. Anaharibu Hali hapa wadau Wako buzy ku defend dini zao. Hakuna maendeleo yeyote. Epidsod iliopita nime forward hii mpaka sasa niko kwenye comments tu

    • @jawadyrasheed6880
      @jawadyrasheed6880 3 роки тому

      @@Laila-lz4ij perfect say..

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Nionavyo wale wote walipewa jeuri na Yesu ndio uende kwa huo mkutano ndio uweze kufunguliwa

  • @nkulikandusi5282
    @nkulikandusi5282 2 роки тому

    Nendeni Chama cha Biblia

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 роки тому +1

    Hata kwenye biblia upande wa Agano la kale ukivunja sabato unatakiwa uuliwe

  • @jongoathumani3690
    @jongoathumani3690 3 роки тому +1

    Davista mnyeshani hana point yamsingi ktk uislam Qur-aan haijabadilishwaa

  • @SandiesJourney
    @SandiesJourney 2 роки тому

    Alaa si utulie atoe ushuhuda wake. Maswali ni za wakati mwingine....organize Apologetics session basi.

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 роки тому +1

    No. 2 🤸🤸🤸🤸

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 роки тому

    Wapi mazinge mpe nasaha huyu kiumbe kapotea wapo walotaka kuipindua din ya kiislam lkn walijisalimisha wenyew wakarud kwenye dini yao sasa na ww kama kunakitu umeahidiwa ili upinduwe hakika hautaweza