MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA KWA KUCHOMWA KISU BWENINI, CHANZO, KUGOMA KUZIMA TAA, HAWA WATOTO NI NDUGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 146

  • @SalomeRenatusi
    @SalomeRenatusi 7 місяців тому +17

    Mungu uturehemu sisi wakosefu pia wanafunzi wote ulimwenguni damu ya Yesu iwafunike na roho ya mauaji naikataa kwa jina la YESU. Amina

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 місяців тому +4

    Mungu ampumzishe kwa amani Mtoto wetu ewe mwenyezi Mungu tunaomba uturehemu

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 7 місяців тому +18

    Mwanafunzi yuwaingiaje shule na silaa😢😢😢usimazi washule umezemzea

    • @HadijaZabroni-pu1lt
      @HadijaZabroni-pu1lt 7 місяців тому +1

      Sindoapo Mimi mwanangu ata pasi awaruhusu yaani jamani nashangaa kwanini walimuruhusi kuingia na kisu

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 7 місяців тому +7

    Innalilah wainailah rajuuni
    Jon muuwaji afunywe maisha iwefundisho kwawengine

  • @YohanaMalecka-kl8kz
    @YohanaMalecka-kl8kz 7 місяців тому

    Pole sana ndugu yangu, kifo cha Idd ni kama cha Yohana. Pole sana kibibi mungu akutie nguvu kipenzi.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 7 місяців тому +4

    Kisu bwenin uzembe wa viongoz wa shule. Pole sana Mama

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 7 місяців тому

      Siyo rahis kudhibiti kwa kiasi hicho, hata sisi tulikuwa haturuhusiwi na Kuna watu walimiliki... Shule simu haziruhusiwi ila zinatumika

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 7 місяців тому

      Hata wengine wazazi wao ndio.waliowanunulie lkn wanafanya siri na watoto wao.akili za watoto wetu wanazijua wenyewe ni kuomba kwa Mola atulindie lkn kumtawala mtoto ni ngumu sna​@@betyjoseph6812

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 7 місяців тому +1

    Hii ni yangu kabsaa😢ni vile cjauawa yaan bibi na ndugu wakikupenda sana wale ndugu unaokua nao katika rika lako au kkzidi kdogo wanachukia ety😢😢mi pia huwa nachukiwa bila 7bu😢😢😢pole familia 😭😭

    • @faithkaganda-k3s
      @faithkaganda-k3s 7 місяців тому +1

      Ndo maan ndugu yake kamuua😢😢anahasra zake mda😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 місяців тому +7

    Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun......mtihani kwenye familia ..hukunahuku sijuiwataamuaje. Allah awapesubra kwakweli iliwasikosane familia. Amyn

  • @Said13Mashakaog
    @Said13Mashakaog 7 місяців тому

    Pole sana dada umuachie mungu hiyo na yeye ndio ilikuwa safari yake innalillah wainaillah lajuiyn

  • @nowamateyo3318
    @nowamateyo3318 7 місяців тому +2

    Mwanafuzi Gani ana kisu darasani au Wana funga sime kama Masai mungu amlase roho mahala pema peponi

    • @SalimuSaid-kj7gu
      @SalimuSaid-kj7gu 7 місяців тому

      R56888iukkkkmbbmbbbbnmmlllknpljjjjlihjpjllljckukhjjjjkgghggcccckhhkkjjhhjjgghhhhhhojkhgfdspoiueqlwmnnçcbvjhgghkbvv xmmnmnnbbcxnnnn. Bbbɓbbbmv, cbb b. B v. Nm bvbbbbbljkknvbnbbbnnnnnnnbnnnnnnnnnnnnñnbɓ nb bbbbɓɓbbbbbbnkkbvnbbjjnnklkjbbbɓbɓbbbbɓɓbbbnnnbbbbbbbmv cjĵvkjjnnk

  • @visentdismas7433
    @visentdismas7433 7 місяців тому

    Pole mzazi wetu

  • @Catherine-u6g
    @Catherine-u6g 7 місяців тому +1

    Hata mazingara ya shule sio mazur kbsa mungu amrehem

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 7 місяців тому +1

    Poleni sana ndugu zetu wakorogwe poleni yaani sisi wenye watoto walioko bwenu nimungu tu😭😭😭😭

  • @merumount5988
    @merumount5988 7 місяців тому

    Ndugu zangu watanzania, matukio mengi ya aina hii ya kudhuriana na kuuwana chanzo ni malezi mabaya, lakini pili ni uraibu wa uvutaji bangi ķwa vijana..kama kuna kitu ambacho jeshi la polisi na serikali walipaswa kukitokomeza ibaki historia ni kuondoa kabisa ulimaji na usafirishaji wa bangi, lkn pia kupiga marufuku ushirikina..hivi ndivyo vyanzo vikuu vya uhalifu unaotokea kwenye jamii yetu!
    Pole nyingi kwa wazazi wa mtoto!

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 7 місяців тому

      Kabisaa yaani

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      Yani wew hiv umezaa kweri unavo sema malezi mabaya mtot unamlea vizuri akiwa mdogo lakin akiwa mkubwa anafanya anavo taka yeye

    • @merumount5988
      @merumount5988 7 місяців тому

      @user-sv6zy3hc8o fikiri kabla ya kusema neno..kwanza malezi yana umri? Kuna umri mtu akifika hawezi kuonywa au kukaripiwa na mzazi wake anapofanya vibaya? Tukio tunaongelea ni la vijana wako shuleni, je hao wnajitegemea..hapo shuleni wako chini ya nani badala ya wazazi? Omba Mungu akujalie kufahamu wajibu wa mzazi kwa mtoto! Hata waswahili husema MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO..maana yake ukimlea vibaya atafanya vibaya ukimlea vizuri atafanya vizuri..malezi si chakula na mavazi..zaid sana ni tabia na mwenendo wa wazazi kwa maisha ya kila siku..mzazi hajui kwenda msikitini au kanisani halafu unatarajia mtoto amjue Mungu na kuchukia dhambi, inawezekana?

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 7 місяців тому

    Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya mbele yake yuma yetu mwenyezi mungu akusamehe makosa yak

  • @pendo8082
    @pendo8082 7 місяців тому

    Mungu 😢

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 7 місяців тому

    Du nyumbani kwetu hapo mungu ampe pepo

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 7 місяців тому +1

    Inna lillah wanna ilayh rajiuun..😢😢poleni wandugu MNGU awatie nguvu ktk kipindi hichi cha HUZUNI...

  • @samiradotto
    @samiradotto 7 місяців тому

    Innalillah wainalillah najuni mwenyezimungu amulze mahali pema

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 7 місяців тому

    dunia simama , kuna machungu yaliyopitiliza humu mungu tusamehe

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 7 місяців тому

    Dunia ina siri kubwa kwakweli apo kuna kitu nyuma ya pazia.😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @MyasaAbdullah
    @MyasaAbdullah 7 місяців тому

    Nimejikuya nalia Kwa kweli du yarabi wahifadhi watoto wwtu uarabi

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 7 місяців тому

    Uyo mchomaji wa kisu afungwe kifungo Cha maisha ili kukomesha huo ukatili .uyo kadhamiria

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 7 місяців тому +1

    Inalilah wainalilah rajighun polen wazazi yaan hata kama ndugu take achukuliwe hatua tena Kali asijekurudia kwa wengine 😢😢😢😢

  • @JosiaMoto
    @JosiaMoto 7 місяців тому

    pole wanafamilia

  • @JosephKifisha-ml7ju
    @JosephKifisha-ml7ju 7 місяців тому +4

    Pole mama

  • @tatumahimbo5282
    @tatumahimbo5282 7 місяців тому

    Ilalilahi wainalilahi lajuni lajuni 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 7 місяців тому +2

    Innalilah waiynna ilay rajoon 😭😭😭

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 7 місяців тому +13

    Afungwe maisha tu huyo muuaji. Hapaswi kukaa kwenye jamii ya wastaarabu.

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 7 місяців тому +3

      Mi nahisi afukiwe akiwa bado yuhai. Kifo chake nayeye kiwe hicho. Ama apigwe risasi kwenye shimo kisha afukiwe bas.

  • @ashamfunga7875
    @ashamfunga7875 7 місяців тому

    😂😂 hiii shule inatambulika kiserikali Samia anaitambua kweli sijawahi sikina mwanafunzi anaingia na kisu shlen yeye ni mpishi naomba Mimi ni mzazi huyo kijana achukuliwe hatua haraka iwezekanavyo wafiwa nawapa pole namuwe na subra

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 7 місяців тому

    DUH HTR XNA JAMN😢😢😢

  • @SudyMpanda
    @SudyMpanda 7 місяців тому

    Pole sana mama

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 7 місяців тому +2

    Inakuaje mtoto ana rohooo mbaya kuchoma mwnzw kisu,hii n x y pil korogwe,tena,au n wchaw,,roho mbaya,

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 7 місяців тому +2

    Yaani hapo wanaweza wakafanya uchunguzi wa kina wanaweza wakakuta sababu kubwa ni demu daaah! Inasikitisha sana hawa vijana

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 7 місяців тому

    Huu sasa ni ugomvi wa familia😭 sijui hata inakuaje

  • @VictoriaMlay-oi3ip
    @VictoriaMlay-oi3ip 7 місяців тому

    mungu awe faraja kwenu familia

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 7 місяців тому

    washaigawa familia hawa watoto jamani😭

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 місяців тому

    Haaaaa jamani kuna nini wstoto wamekuwa hawana hofu ya Mungu shetani gani huyu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 7 місяців тому +3

    Ndio mana Dunia haipendi sheria za Kiislam , piga picha tukio hilo lingefanyika Saudi Arabia Ijumaa tunamtoa mwali mkoleni, lakini Muuaji anajua kesi yake ni kuua bila kukusudia na kwa huruma ya hakimu anaweza fungwa miaka 15 au 25 . Kuna Mkenya ameua Saudi Arabia bila kukusudia yaani Taifa zima liko kwenye maombi bahati familia ya marehem imekubali kulipwa sasa mchango unaendelea , dawa ni Panga tu mana vifo vingine vimezoeleka

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 7 місяців тому

      Yule mkenya alikuwa anajihami coz huyo aliyekufa yeye ndo alianza mshambulia mwenzie bila kosa , mkenya hakutakiwa kuhukumiwa kabisa sema ndo hivyo

    • @SalamaAli-cv6uj
      @SalamaAli-cv6uj 7 місяців тому

      Yani uyo kama ni sheria ya ki islam ambayo ndio inafatwa saudia naye angehukumiwa kifo tu.
      kwa hcho hcho kisu alicho tumia kumuua mwenzie
      Allah atuepushe na kama hyo yaaraby ni machungu kwakweli

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 7 місяців тому

      @@SalamaAli-cv6uj wewe ukiambiwa ndo umuchinje Sasa huyo alomuua mwenzie unaweza kufanya hivyo?

    • @SalamaAli-cv6uj
      @SalamaAli-cv6uj 7 місяців тому

      Hukumu hizo zina watu maalum. special.
      Mimi sina moyo hta wa kuhimili kuchinja kuku ntachinja mtu kweli?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 7 місяців тому

      @@SalamaAli-cv6uj umeona sasa ,kama wewe huwezi ndivyo ambavyo na watawala wetu wanaona ni ngumu sana

  • @zaymsema8713
    @zaymsema8713 7 місяців тому

    Inallillah waina illayh lajiuun pole sana jmn

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 7 місяців тому +3

    Hii kuzima taa kama ulishaipitia utaelewa ni jinsi gani inaudhi kweli kweli, mm nilikua nagombana na mume wangu kila siku kisa kuzima taa 😂 tena nlikua nachukia kutoka rohoni kabisa 😡 afu ye ndo alikua ananifanyia makusudi nyie utoto kazii 😊
    Poleni wafiwa jmn mmepoteza tegemeo 😢

    • @HusnaMtitiko-yt4ru
      @HusnaMtitiko-yt4ru 7 місяців тому

      Hata mm nilikuwa nagombana ivo ivo mm napenda kuzima taa halafu nilale lakin mwenzangu hataki taa izimwe anataka tulale na taa

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 7 місяців тому

      @@HusnaMtitiko-yt4ru jmn yaani utoto huu 😃😃 sasa sisi tulikua tukilala tunagombana kwenda kuzima taa kila mtu anamwambia nenda wewe nenda wewe na unakuta ye ndo wamwisho kupanda kitandani na kaacha taa wazi jmn 😅 saaizi tukikumbuka twasem ivi ilikua ni sisi kweli 😃

  • @Said13Mashakaog
    @Said13Mashakaog 7 місяців тому

    Ila hawa watoto wetu wanaathiriwa na uvutaji wa bangi maana mmmh! Hata maelezo ya waliohojiwa yanaonyesha huyo kijana ni mvuta bangi

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 7 місяців тому

    Pole sana Mama

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 7 місяців тому

    Na lenyewe walitafute waliue limeisha kuwa paka shume haliwezi kuishi kabisa na jamii litaua wengi.

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 7 місяців тому +1

    Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭

  • @jamilally3916
    @jamilally3916 7 місяців тому

    pole sana mama kwakweli inauma xn 😭😭😭😭

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 7 місяців тому +1

    wivu na migogoro ya famili.

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 7 місяців тому +1

    Daaa kisu kwenye bweni

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому

    12:27 12:27 12:27 12:27 12:27

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 7 місяців тому

    Anaingiaje bwenini na silaha😢😢 jmn mhh

  • @jacklinewanyikwa6701
    @jacklinewanyikwa6701 7 місяців тому

    😢😢

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli 7 місяців тому

    Mungu simama

  • @STAN_MACOMPUTER
    @STAN_MACOMPUTER 7 місяців тому +8

    Duniani ipo mwisho jaman

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 7 місяців тому

    Kwahiyo Wanafunzi wanaruhusiwa kukaa na siraha

  • @YunisiLukasi
    @YunisiLukasi 7 місяців тому

    Pole

  • @CLOUDEARJADEN-p7y
    @CLOUDEARJADEN-p7y 3 дні тому

    Uwongozi washule mnatakiwa mjibie ili kwann watoto wanaingia na silaa ingali walezi mpo na mnatakiwa muwakague wanafunzi

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 7 місяців тому +1

    Huyu kijana alikuwa mtata Sasa na yeye aende akafie jela huyo

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 місяців тому +4

    Waalim wapuuzi wakubwa mnatakiwa washitakiwe walim kwasababu kila bwenu lazima alale mwalim moja ili kuepusha watoto kufanya matukio ilichochote kikitokea msimamizi anakuwapo kwa sababu watoto wanaweza kupigana mpaka kuuwana ndo kama hayo

    • @babalao910
      @babalao910 7 місяців тому +1

      Zero brain

    • @princesschii4090
      @princesschii4090 7 місяців тому +2

      Mh.....na kazi za patron na matron ni zipi?????walimu wafundishe bado walale na wanafunzi kivipi...mnawalipa mshahara w overtime?hao matron na mapatron wenyewe wana sehemu zao za kulala.....kabla hujacomment jielimishe kwanza

    • @MariamAthuman-i8p
      @MariamAthuman-i8p 7 місяців тому +1

      Kama mwalimu ni mpuuzi na wewe ni mpuuzi maana ndio alikufuta ujinga kichwani mbuzi wewe

    • @linnamkenda873
      @linnamkenda873 7 місяців тому +1

      umewahi kusoma bording wewe? yan mwalimu alale na wanafunzi? we nyumbani unalala na watoto wako.? hata matron na patron wanafunz wakishalala nao wana vyumba vyao hawalali na wanafunzi .

  • @ImanKandonga
    @ImanKandonga 7 місяців тому

    Poleni sana

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 7 місяців тому +2

    Changamoto la kimalezi, baadhi ya vijana wamepoteza malezi na makuzi!

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 7 місяців тому

    Yaani Hawa watoto wameshaleta mtafaruku mkubwa wa familia na mana Hawa ni ndugu jamani itakuwaje Sasa ha!

  • @HalimaMohamed-m7x
    @HalimaMohamed-m7x 7 місяців тому +1

    Poleni

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 7 місяців тому

    Dah huzuni sana tulienda kwenye mwenge😭😭😭

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 7 місяців тому

    Polen sana wafiwa 😢

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 7 місяців тому

    Poleni sana wafiwa.So sad😢

  • @SofiiShazir-wm3st
    @SofiiShazir-wm3st 7 місяців тому

    Duuh jamani inauma saan

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 7 місяців тому +1

    Hii halmashauri haijui kupiga rangi majengo ya serikali.

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 7 місяців тому

    Dunia iko mwishoni😢😢😢😢😢😢

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 місяців тому +7

    Wanifunzi ilikuaje alingiaje na kisu bwenenu wanafunzi wakingia shule wanasachiwa wakitoka na wakiingia lazima wasachiwe mpaka mabei wakirudi mabwenini hata wakitoka nje ya shule wakirudi wasachiqe ndo wezenu shule za kenya na za wazungu wanakaguliwa kila mara sasa ilikuaje aka ingia na kisu

    • @SalamaAli-cv6uj
      @SalamaAli-cv6uj 7 місяців тому

      Ilo ndo sawli la kuwauliza wasimamizi wa iyo shule mana ni mtiani mkubwa tu, allah awape subra wafiwa

    • @ASHAJuma-yi4cy
      @ASHAJuma-yi4cy 7 місяців тому

      Shule haina uzio na wanafunzi wanauhuru wa kurud nymbn mchana baada ya masomo ila ikifika jion wote mnatakiwa muwe ndan ya shule so nirahis wanafunzi kuingia na chochote pia walimu hawakai karib sana na apo na pia toka ifunguliwe 2006 hakujwah kutokea chochote kibaya ila ni hatma tu imefika tuwaombee sana watoto wetu waepukane na nafsi chafu mungu aibarik mnyz sec

  • @berthachinkulwe152
    @berthachinkulwe152 7 місяців тому

    Roho imeniuma sana

  • @happynessngereza569
    @happynessngereza569 7 місяців тому

    😩😭😭😭

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id 7 місяців тому

    Kisu kapata wapi jmniiii

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 7 місяців тому

    😢😢😢😢

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 7 місяців тому

    Mhh haya maisha mm huyashangaa sana watu mnauwana hta hamna huruma kila sku duuu

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb 7 місяців тому

      @Rizikialiamechannel763 duh! Dunia imekwisha😢

  • @saay4273
    @saay4273 7 місяців тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 місяців тому

    Walimu Wa Shule Wawajibishwe

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 7 місяців тому

    Polenisana wafiwa nahii shule haina uwongozi nini mpaka mtu anaingia nakisu bwenini poleni sana wadungu zangu mungu awafiee mbuzi mweichi kipindi kigumu

  • @GodilivaSanyawitimu
    @GodilivaSanyawitimu 7 місяців тому

    Jmn ukwen kwangu polen ndg zangu

  • @minaelpaul9219
    @minaelpaul9219 7 місяців тому

    Bwenini kisu kilifikaje jmn wanapika

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj 7 місяців тому

    Polen ndugu zangu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 7 місяців тому

    Uzembe mkubwa wa uongozi mzima wa shule iweje wanafunzi wawe na silaha shuleni. Watoto wetu hata wakiwa mashuleni hawapo salama mbona hatari. Mungu tulindie watoto wetu vizazi vyetu 😭

    • @ElizabethShem
      @ElizabethShem 7 місяців тому

      Kumbuka malezi ya watoto ni jukumu la wazazi. Unapotupia lawama uongozi wa shule, kumbika jukumu lao la msingi ni kufundisha, na siyo malezi. Shule nyingi, hazina hata walimu wa kutosha kufundisha hayo masomo, sembuse kufuatilia kwa kina kila mtoto, kaingia na nini, katoka na nini. Mwenyezi Mungu amrehemu marehemu, hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 місяців тому

      @@ElizabethShem Unaongea nini?Jela yenyewe wafungwa ukaguliwa sembuse mzazi anapopeleka mtoto wake shule ya boding anakabidhi hewa ?.Shule gani isiyokuwa na ukaguzi kwa wanafunzi?acha kuongea unavyoona wewe ni rahisi shule iwajibike fool stop

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому +1

    Ni jambaxi lixoefu,likanyongwe tu.

    • @oscarcharles9624
      @oscarcharles9624 7 місяців тому

      lijambazi muuwaji mkubwa lilikuwa linakaa shule na kisu

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 7 місяців тому

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 7 місяців тому

    R.I.P poleni sana wafiwa 😭

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 7 місяців тому

    Jamani uchawi tuache kwa Nini musukumizie kifo cha kuchomwa kisu 😢😢😢😢😢😢😢sasa kijana Hana ugomvi ewe shetani na uchawi mlaaniweee kwa jina la yesu 😢😢😢😢sasa mtu na mdogo wake Mungu anawaona wachawi wote

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk 7 місяців тому

    R.i.p

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 7 місяців тому

    Hii shule ananijua Samia kweli

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 7 місяців тому

    🙆‍♀️

  • @nancyatandi-s6y
    @nancyatandi-s6y 7 місяців тому +1

    Nishule yawapi jamani watoto wanasoma mabwenini wasome darasani wakifika bwenini nikulala pia sheria kali zashuke usadia sana inauma sana 😢😢

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj 7 місяців тому

    Najiuliza alietoa hayo maelezo ya kuzim taa ni nan

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 місяців тому

    Kijana Aliingiwa Na Wachawi Uyo Sio Akili Yake Waganga Wenye Reseni Fanyeni Kazi Yenu Fichueni Ukweli Kama Amtaki Ludisheni Reseni Izo Kwa Serikali

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 місяців тому +1

    Kikubwa waalilim washitakiwe na mkuu wa shule pia hajui jukumu kwa mkuu wa shule kuwa kama makufuli unaweendea sasa saba za usiku au saa nane utatuzama je waalim wanachunga vipi wanafunzi je wanalala na wafunzi karibu au laa

    • @babalao910
      @babalao910 7 місяців тому +2

      Uza hiyo cm, unacomment ujinga

    • @user13375
      @user13375 7 місяців тому +2

      Mwalim alale na wanafunzi ,ivi we umesoma au ndo wale hamjasoma😢😢😢,

    • @BeatriceMunuo-ti7pv
      @BeatriceMunuo-ti7pv 7 місяців тому +1

      ​@@babalao910😂😂😂

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому

    Nalo liuwawe,kwa nini hawakuliuwa?

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 7 місяців тому

    Mbona maelezo mgongano

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial 7 місяців тому +1

    dah

  • @JosephKifisha-ml7ju
    @JosephKifisha-ml7ju 7 місяців тому +1

    Mkuu wa shule tia ndani silaa shuleni dah

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 місяців тому

      Uzembe wa shule iweje wanafunzi wawe na silaha shuleni?

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 7 місяців тому

    Na hicho kitu amekitoa wapi Huyo mtoto mbona shetani mbaya hivi

  • @LatifaTwaha-nm3tg
    @LatifaTwaha-nm3tg 7 місяців тому

    Dah polen jamn kisu mbwenin.jamn inakuaj

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 7 місяців тому +1

    Inamaana wanafunzi wanaruhusiwa, kwenda na visu au silaha shulen?!! ni shule gani hiyo? Kuna uzembe hapo.

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 місяців тому

    Lazima mabwenu lazima kila bwenu anakuwa mwalim mmoja mimi naona wazazi wanawakabidhi watoto kumbe hawako kwenye usalama utakuta watoto wadogo wako mabwenu wezao wanawabaka na walim hawajui sasa huogopi inakuaje mwanafunzi qezanke wanambaka kila siku mwalim hajui na utakuta mtoto huyo ni miaka 7 mpaka 10 kwa sababu bweni Halifax mwalimu kuwalinda mimi n8navyojua k8la bwenu lazima matrons mmoja au waawili wanalala na wanafuzi ili kuepusha hatari leo walim mnalipwa halafu ikifika usiku mnaj8pa raha zenu mnakoroma mnalala katk vyimba vyenu sasa setekali tunaomba iwe funny kwa walim wakatwe wafungwe na adhabu kali kwani hii ajali mpaka kutokea watu mpaka wanahombana muda wote mpo wapi mpaka kuchuku kisu