LEMA AMKATAA MBOWE WAZI WAZI “MUACHIE LISSU ATUONGOZE”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 109

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 7 годин тому +5

    Huyu mwamba nimemkubali sana kuanzia Leo. Siku zote KNOWLEDGE, WISDOM and TRUTH inamfanya mtu awe HURU. Big up Lema.

  • @LameckHolihenda
    @LameckHolihenda 13 годин тому +15

    Hongera Sana Lema kama liwai kukusea basi nisamehe umeongea ukweli usiopingika kila m2 anahaki yakuwa kiongozi Asante sana lengo nikuunganisha wa2 nasio kuwagawa wa2

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 8 годин тому +7

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na watu...bravo bravo rafiki wa kweli....

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 годин тому +12

    Lema umesema ukweli mbele ya Mungu na Wanadamu walioumbwa na Mungu Mbowe must go

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 10 годин тому +5

    Sahihi Sana,kwa heshima mh.Mbowe pumzika

  • @ALLIRAMADHAN-s6y
    @ALLIRAMADHAN-s6y 8 годин тому +4

    😂😂😂 mbowe atajinyonga sasa vigogo wake wote hawamtaki

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 8 годин тому +5

    Mumenifanya nifuatilie chadema sijui hata CCM wanaendeleaje😅

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 8 годин тому +3

    Mwamba Lema daima unaona mbele....

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 9 годин тому +5

    Huyuuu anaakili sana hawa wakishaa paruanaaa,uyu ndooo atakuwa mwenyekiti ajayee,lema atakuwa mwenyekiti ajaye wa chama huyu ngojaa kidogoooooooo 🤭

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 9 годин тому +6

    Miaka 30 mwenyekiti mpaka noma sana

  • @EnockMwambola
    @EnockMwambola 7 годин тому

    Bravo bravo lema umesemwa kweli chukua maua yako 🎉🎉🎉

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 6 годин тому +2

    I THINK MBOWE IS GREAT LEADER BUT TIME HAS TO TAKE IT'S TIME, THIS IS LISU's. TIME

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 11 годин тому +4

    Kumbe ndani ya Chadema kuna tatizo kubwa,,,

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 8 годин тому +2

    Mbowe anasema amalize mitano kwanza kuna majambo yakumalizia sasa anaitaji amalizie inakuwaje now😊

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 12 годин тому +3

    Uneongeya point kubwa sana mheshimiwa lema, mbowe pumzka acha kung'ang'ana na kilicho kushinda

  • @mlewamlewa976
    @mlewamlewa976 8 годин тому +3

    Lema nimekupenda bule point kabisa Mr wewe sio mnafiki kabisa mpaka hapo nimekuelewa

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 12 годин тому +5

    HONGERA SANA MHESHIMIWA LEMA KWA MAAMUZI SAHIHI. Umesimama na maoni ya walio wengi

  • @mwingwa4148
    @mwingwa4148 13 годин тому +3

    👏👏👏👊✌️🤘🤘✌️✌️✌️✌️
    Umenena uzuri kumbe akili unazo ,bado kuamini bodaboda ni kazi kwa vijana 😂.

    • @MicahGhloloj-bs4cy
      @MicahGhloloj-bs4cy 12 годин тому +1

      😂bodaboda sio kazi wewe vile tu watu hawana namna hao wanaosema Ni kazi mbona watoto wao hawafanyi hiyo kazi wanawaita wahuni afu kwenye siasa wanasema Ni kazi 😢😢😢

  • @JohnGadafi-x8j
    @JohnGadafi-x8j 13 годин тому +5

    Lema ana akili sanasana

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 8 годин тому +2

    Mbowe must go

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 години тому

    😢😢😢da mboe pole sana wamekugeuka katafte amani yako usisubiri kuadhirika ni ushauri tu

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 6 годин тому

    Zamu hii mmejitahidi kutengeneza kiki wazee😂😂

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 4 години тому

    Kumbe Godbless Lema ni mkundu kiasi hikoo mmmmmh ama kweli kikulacho ki nguoni mwako

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 10 годин тому +2

    Leman umekosea unasema Lissu kwa vile wote ni wakimbiz wewe na lissu

  • @davidezekiel5632
    @davidezekiel5632 11 годин тому +1

    Lissu on the sport.....1

  • @WilleLonard
    @WilleLonard 11 годин тому +1

    Brother Yuko vzr sana

  • @neemaallybendera1496
    @neemaallybendera1496 9 годин тому +4

    Wameona utekaji hauna tija now wanagombana wenyewe kwa wenyewe😂😂😂😂😂😂😂

  • @JulianaPantony
    @JulianaPantony 5 годин тому

    Safi umesema kweli ,,,na huo ndiyo uzalendo

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 9 годин тому +1

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys. Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

  • @SULEIMAN-j8r
    @SULEIMAN-j8r 4 години тому

    Mm com. Lakini nimekuelewa hongera sana kaka

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 години тому

    Katika vitubambavyo vita I challenge CCM ni decision ambayo CHADEMA kuchagua LISU kuwa Mwenyekiti.

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 8 годин тому

    Lema hoyee safi sana hiyo ndo demokrasia

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 12 годин тому +6

    Amwachie ki vipi,si kura ndio zitaamua,au unataka lisu apite bila kupingwa ?

    • @SMEDIA298
      @SMEDIA298 11 годин тому

      Inajulikana kua hua anapita kwa tulufu ya Nguvu

  • @MbuvaNinga-wq9uv
    @MbuvaNinga-wq9uv 5 годин тому

    Hunaga bay na mtu imani inamsaidia san huyu jamaa nakuamin sna msema kweli wetu

  • @eladymwakanyamale
    @eladymwakanyamale 12 годин тому +6

    Na wewe usigombee ubunge waache wengine

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 11 годин тому +2

    Hata kama mkiharibu chama ila mwenyekiti apumzike

  • @SaidMohamed-j2v
    @SaidMohamed-j2v 10 годин тому +2

    bado siamini .... naona kama set up za kisiasa . wanakipa chama nguvu na uhai tena

  • @juliaslukumay6712
    @juliaslukumay6712 12 годин тому +5

    Mbowe achia madaraka

  • @essaumlele7126
    @essaumlele7126 2 години тому

    Ni kweli apumzike

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 10 годин тому +2

    Ni sahihi kwani Mbowe akifa chama kinakufa?

  • @leomika8473
    @leomika8473 10 годин тому +1

    Lema nimekuelewa mbowe apumzike abaki akiwa mshauri

  • @Baharanimasoud-w5n
    @Baharanimasoud-w5n 10 годин тому +1

    Wahuni wakipanga mipango nq planing zakuvuuruga wananchii

  • @malickabdy8266
    @malickabdy8266 11 годин тому +2

    Hatarii sana

  • @amanijacobkubebeka8192
    @amanijacobkubebeka8192 10 годин тому +1

    Viva Lisu

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 8 годин тому +1

    Mh umependeza nasutiyako

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 12 годин тому +2

    Hatari

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 11 годин тому +2

    Lema mimi yangu macho,msije mkaaribu chama

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 9 годин тому +1

    TUNAITA UCHU WA MADARAKA MBOWE PUMZIKA

  • @davidjoseph1143
    @davidjoseph1143 5 годин тому

    Mbowe kaisha😢😂

  • @lifeabdallah8995
    @lifeabdallah8995 9 годин тому +2

    Mbowe tuache kidogo

  • @lawabidingcitizen3427
    @lawabidingcitizen3427 9 годин тому +1

    Vichwa vya habari vya namna hii ni uchonganishi, je kuna ubaya gani kuandika "LEMA ATOA MSIMAMO WAKE UCHAGUZI WA M/KIT CDM"?

  • @j-lisheonline
    @j-lisheonline 8 годин тому +2

    Chama cha wanafiki na wabaguzi

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 5 годин тому

    Mbowe kaya timba😀😀😀

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 8 годин тому +1

    Mbowe aje ktk comments

  • @jumaradhm3926
    @jumaradhm3926 7 годин тому

    😂😂😂😂madaraka matamu nyie.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 годин тому

    NABII WA CHAMA

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 13 годин тому

    Kuna nini kwenye democracy ya Chama Chako kama Lisu anagombea na Mbowe anagombea? Nadhani hicho ni kipimo cha Uadilifu wa hali ya juu wa Mh. Mbowe kukubali kugombea na Mtu wake wa karibu ili ashinde au ashindwe kuliko huo ushauri wa kusema ujiudhuru

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 годин тому

    Huwezi kuwapa nchi hawa na Mama Samia atapata kura kibao

  • @brightonntare1822
    @brightonntare1822 10 годин тому

    Lissu akipita tu kuwa mwenye kiti lema anakuwa makamo wake

    • @richardkonzo5717
      @richardkonzo5717 10 годин тому

      Kapimwe afya ya akili. Lema Hajagombea hiyo nafasi, anakuwaje makamu?
      Halafu sio makamo ni makamu.

  • @charlesmganga-gv2cs
    @charlesmganga-gv2cs 9 годин тому +2

    UPO VIZURI

  • @AhobokileKiyamba
    @AhobokileKiyamba 11 годин тому

    unaesema ushoga umejueje kama mpaka leo sio shoga

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 11 годин тому +2

    Chama cha kanda 😂😂😂

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 6 годин тому

    BRO ULITAKA LISU APEWE UWENYEKITI KAMA KIJITI?
    WACHA WAJUMBE WAAMUE NANI ANAFAA.

  • @edwingeorge7836
    @edwingeorge7836 6 годин тому

    Kichwa chenye afya

  • @HamzaKibary
    @HamzaKibary 3 години тому

    Pumzka mbowe uta kihalibu chama kwa aibu

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 11 годин тому

    Mchaga nawamacheme machame nalo nikabila ?au nimilango yenu wachaga? au munazalisha yaongezeko wa makabila kilimanjaro?

  • @MasanjaMkama-bd9rc
    @MasanjaMkama-bd9rc 13 годин тому

    Huyu jamaa mbowe n dikteta kwann anang'ang'ania madalaka

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 8 годин тому +1

    Patamu

  • @YusufDuale-eq4kl
    @YusufDuale-eq4kl 9 годин тому +1

    Kweli kbsa lema

  • @WilsonBoaz-c4j
    @WilsonBoaz-c4j 10 годин тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @stateofart1089
    @stateofart1089 11 годин тому +2

    Charms akili kubwa sana, wameona wanapewa changamoto kubwa na CCM kua hawabadirishi mwenyekiti, na Lissu alipigwa risasi. Nchi nyingi zenye wapinzani wanaoteswa kama kisu hua wanachukua Nchi, wametengeneza ili watu waone chadema wanagawanyika lakini washapanga Lissu awe mwenyekiti. Owe ukute ndio ameongoza hiyo plan

    • @ChineseMobclinic
      @ChineseMobclinic 11 годин тому

      Ata mimi mawazo yangu ni hayo hii ni plan ya chadema juu ya serikali na jamii(wananchi) kwa ujumla kuiaminisha kuwa mabadiliko yanaweza tokea katika chadema

  • @Mr.Tingatinga
    @Mr.Tingatinga 12 годин тому

    Nkulizinza must go. Kwa heshma.

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 5 годин тому

    Mashoga yanasgana

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 12 годин тому +1

    Hata wewe pia unatakiwa upumzike

  • @Drsilo-v5k
    @Drsilo-v5k 11 годин тому +3

    Lissu atuletee ushoga na ubaraka wa ubelgiji

    • @richardkonzo5717
      @richardkonzo5717 10 годин тому

      Kenge mmoja wewe

    • @andrewkitema9838
      @andrewkitema9838 9 годин тому

      Suala la mtu kuwa Shoga ni la mtu binafsi. Hata sasa kuna mashoga wengi tu bila Lissu kuwa Mwenyekiti au Rais.

    • @Drsilo-v5k
      @Drsilo-v5k 8 годин тому

      @andrewkitema9838 huyu hawez kuwa kiongoz wetu fatilia speach zake utakuja geuzwa uchoko

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 8 годин тому

      Ishu kubwa si lisu juw mwkt hapana ,ishu ni kwamba lisu ni kibaraka wa wazungu pia haki za binadamu ni kuruhusu ushoga na usagaji? Nakumbuka akiwa ugaibuni aliulizwa hilo kwa wazi kabisa akionyesha anaubariki ushoga ,lema unafaa kuwa mwenyekiti ila sijui unafeli wapi. Basi nipeni mimi niwaongoze ,maana hajiwezi wenyewe.😜😂

  • @LikeMlimakifi
    @LikeMlimakifi 8 годин тому

    Kwanini apumzike

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 годин тому

    Wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe malaya msagaji Sarungi amejiteka ila Kiki haikuenda kimataifa imebakia Kenya 🇰🇪 tu Na BBC 😅😅😅😅😅

  • @DrMoshi-oc9ww
    @DrMoshi-oc9ww 12 годин тому

    Umekula Rushwa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 годин тому

    Very good news Lema

  • @issajuma9043
    @issajuma9043 10 годин тому

    Kumekucha

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 11 годин тому +1

    Naanza kukupenda sikua nitakupenda kweli ni siku uatakayotamka kua Magufuli haukua na sifa mbaya unazompa

  • @PolycapySilayo-g9w
    @PolycapySilayo-g9w 8 годин тому

    Mhh

  • @CosmaTemba
    @CosmaTemba 13 годин тому

    Wewe umelambishwa asali

  • @AtanasJuma
    @AtanasJuma 8 годин тому

    Watu Kama lema kuwa nje ya viongozi wa nchi Ni hasara kwa taifa maana Kuna viongozi tunawaona hawana maono kabisa anapewa uongoz kwasababu tu Ni ccm

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 9 годин тому

    Chadema ni chama chenye afya sana ..Ndio maana wanajikosoa..
    CCM ni mwiko kukosoa

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 8 годин тому

    Mahinyili tyr Lissu njia nyeupeee. Samia na ccm yake wajipange kuishi kwenye upinzani mwakani hakuna cha kumnyima Lissu Uraisi 2025. Lissu akiwa Mwenyekiti Chadema lazima agombee pia Uraisi Mungu kaamua sio mwanadamu. Lissu hana Pesa lkn ni tajiri kuliko ye yote nchi hii. Yule ni Mteule kutoka nchi ya ahadi

  • @BITOCHENGUX
    @BITOCHENGUX 8 годин тому

    Mbowe mtombe Lissu

  • @AthmanKhalfan
    @AthmanKhalfan 13 годин тому

    Lema ni atar ndani ya chadema mbowe ndio mwenykit watakaje ndio Ivo awatak ndio ivo

  • @AthmanKhalfan
    @AthmanKhalfan 13 годин тому

    Lema ni atar ndani ya chadema mbowe ndio mwenykit watakaje ndio Ivo awatak ndio ivo