KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU AKIAMUA UGOMVI WA WATU WENGINE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 224

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 4 місяці тому +60

    Ukiwasha Data Tu taarifa za mauaji daaaah...
    Mungu Mwenyezi Tujalie Waja Wako... Amina. 🙏

    • @ElinahStephano
      @ElinahStephano 4 місяці тому +3

      Kwa kwel 😢

    • @aliciamwalimu582
      @aliciamwalimu582 4 місяці тому +1

      Yaan acha kbs

    • @lightwilliam4443
      @lightwilliam4443 4 місяці тому +1

      Yaani

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 4 місяці тому +3

      Mpk unachoka ndan ya wiki hii vijana wa3 wamekufa Kwa kuchomwa visu Bado visa vyengine tuliombee taifa letu

    • @njuka3515
      @njuka3515 4 місяці тому +2

      Yaani sijui kwanini

  • @MwanahZubery
    @MwanahZubery 4 місяці тому +7

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amiin daima ntakukumbuka rafki angu abasi hakika umekufa kifo kigumu sana ya allah mfutie madhambi yake na umpunguzie adhabu ya kaburi

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 4 місяці тому +1

    Innalillah wainnaillah ranjiun poleni ndugu zangu wa familia ya mama angu mkubwa Allah awape subra na alietangulia Mwenyezi Mungu alitie Nuru kaburi lake

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 4 місяці тому +2

    Dah subhanallah.. vifo vimekuwa vingi vya watu kuuwawa bila ya hatia.. dunia imefikia ukingoni..😢

  • @HoseinBakari-up6jo
    @HoseinBakari-up6jo 4 місяці тому +3

    😭😭😭poleni sana wazee wamtoto aliepoteza maisha inauma sana

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p 4 місяці тому +35

    Ivi hii PF3 ni kitu gani huu ni upuuzi kipande cha karatasi tu mtu asitipiwe huu ujinga

    • @WinfridaMarco
      @WinfridaMarco 4 місяці тому +5

      Kusema kwel hata mimi inaniuzi sana mtu Yuko serious wanashindwa kumhudumia mgonjwa et mpk pf3,unaweza kufa unajiona aisee😢

    • @abdullahwaziri5499
      @abdullahwaziri5499 4 місяці тому +4

      Sahihi kabisa yani mtu anakufa sababu ya PF3 kwa nini wasiruhusu atibiwe baadae mtu afuate daah
      Innalillah wainaillah rajiuun

    • @arsenalic23
      @arsenalic23 4 місяці тому +1

      Katika mambo ya kiusalama na kisheria, unapomtibu mtu umeondoa ushahidi maana kama alipata jeraha kwenye uhalifu ukamshona umeondoa ushahidi ndo maana pf3 muhimu

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 4 місяці тому

      ​@@arsenalic23Asante Sana kwa elim hii

    • @swabialli8542
      @swabialli8542 4 місяці тому +2

      ​@@arsenalic23 naomba unifahamishe kwani ukienda kuchukua pf3 wanafanya uchunguzi katika majeraha au unapewa tuu karatasi

  • @MohamediNgomoi
    @MohamediNgomoi 4 місяці тому +7

    PF3 nichanga moto sana tuna omba selekali jambo hili muliangalie kwa kina huwezi kufuata PF3 na uka okoa mgonjwa tuna omba selekali jambo hili mulianga lie kwa kina

  • @divinemusicafrica4201
    @divinemusicafrica4201 4 місяці тому +11

    INAUMA SANA MAUMAJI YANAZID KUONGEZEKA EE MUNGU TUSAIDIE

  • @MuniraGambere
    @MuniraGambere 3 місяці тому +1

    Vijana badilikeni hii sio tabia nzuri kabisa

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 місяці тому +2

    Serikali amukeni maan tanzania panaelekea pa baya ata arusha wezi wa pikipiki wapo wengi tu na wanae visu wanaiba kwa😂kutumia pikipiki

  • @nadyanassor3902
    @nadyanassor3902 4 місяці тому +10

    Hii PF3 imekua changamoto watu wanakosa huduma kwa wakati inauma sana!!SERIKALI ILIANGALIE HILI KWA UMAKINI.

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 4 місяці тому +1

      Mimi naona mgonjwa awahishwe hospital na wengine washughlike na pf3

  • @YasminKhamis-rw7hx
    @YasminKhamis-rw7hx 4 місяці тому

    Inauma sana kwakwel Allah amrehem , huyo kafa shaahid kusuluhisha watu Allah amuweke mahali pema peponi , aamin

  • @JoyceHosea-m9r
    @JoyceHosea-m9r 4 місяці тому +4

    Ndguzangu ukiona mtu ameshika silaha katika hali ya ugomvi epukana nae shetani yupo kazini hasa kwavijana wetu wadogo hawa 2000 wamekuwa na roho ngumu cjui wamepatw n nini

  • @MuniraHemedi
    @MuniraHemedi 4 місяці тому +2

    Allah ampe kauli thabit shemej angu ila watalipa kwa hili damu yako haitamwagika bule

  • @AminakengaKenga
    @AminakengaKenga 4 місяці тому +32

    Akimfiki kifo mja ila kwa Amri ya Allah innallh wainna illh rajiun 😢

    • @samludo5435
      @samludo5435 4 місяці тому +1

      Usijdnganye Mungu hapangagi kifo cha kuuwawa kwa mja wake

    • @AminakengaKenga
      @AminakengaKenga 4 місяці тому

      @@samludo5435 bc swa icho cha kuuwawa wakipanga ww

    • @ummycheedy2809
      @ummycheedy2809 4 місяці тому

      @@samludo5435kila mtu anakifo alichopangiwa namungu

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 4 місяці тому +19

    Innalilay Wainahi Rajiun, Allahu Akbaru Yni Mkpa Nimechoka Kuingia UA-cam kila Ukiingia UA-cam habari kwanza Utakazo Kutanazo Niza Mauwaji😢😢😢😢

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 місяці тому +1

      SubhanaAllah Allah atujaalie kher kwa ndugu zetu nchin maana Sasa Kunatsha sana tz yetu,mauaji utekaji,ubakaji kila kukicha vinazidi jaman 😢😢

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 4 місяці тому +1

      Kuna mengine ata hayatangazwi ndugu zangu juzi tu hko kwetu sehem za kondoa pia kumetokea mauaji yakchomana visu yaan ni kila mkoa Tz yetu imekua namauaji innalillah wainna ilayhi rajioun😭😭😭 kuna tisha Allah atujaalie mwisho mwema

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 4 місяці тому +1

    Hakimfiki Kifo Mja Ila Kwa Izin Ya M Mungu.Innalilaah Wainnailaih Rajioon.

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 4 місяці тому +8

    Tuombee kaka zetu watoto wetu polen familia 😢

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 4 місяці тому +1

    😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen wazazi pamoja na jamaa zake

  • @YonahShao
    @YonahShao 4 місяці тому +3

    Hili swala la pF3, naona liondolewe kabisa,tujali utu kwanza. Hata hao madactari wajitasmini,huwezi ona mtu anavuja damu, unasema huwezi mtibu mpaka pf3,inaumizasana

  • @zaynabmwanjovu8277
    @zaynabmwanjovu8277 4 місяці тому +1

    R.I.P Abass,umekufa kifo kigum sana bro...😢😢😢

  • @ElinahStephano
    @ElinahStephano 4 місяці тому +6

    Huo mtindo wa kufuata kwanz pf3 wakati mtu anavuja damu😢😢😢

    • @MwanahZubery
      @MwanahZubery 4 місяці тому +1

      Me sioni Kama ni sahihi sababu kama mtu alikua ana uwezekano wa kupona anakufa coz mda unakua umeenda me Naona Bora wajali kwanza maisha ya mtu then mengine yanafata ..ata kama ni mwizi nae anahaki ya kuishiiii

  • @MaryNdondole
    @MaryNdondole 4 місяці тому +1

    Kila siku mauwqji...ee mungu tuokoe na vizazi vywetu

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 3 місяці тому

    Polen ndugu zangu watanga

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 4 місяці тому +1

    Nimeamini Kuna watu ni majini siku hizi wanaishi na watu.Kuna muhubiri mmoja anasema. Kuna shetani wengi sana mitaani wanaoonekana kama watu.

  • @hopeofthenations3535
    @hopeofthenations3535 4 місяці тому +1

    Hawa ndio watu wanaouwawa tunapata taarifa kwenye Media Tv *Je, wanaokufa hatuoni kwenye media TV😢😢

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 4 місяці тому +3

    Duuh mtaani kwangu kabisa yani aisee poleni sana😢😢

  • @FredyChristopher-m7z
    @FredyChristopher-m7z 4 місяці тому

    Aisee poleni, lakini mimi Mungu aniepushe dam ya nduguyang aiendi chini bure razima alipe muraa😢😢

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 4 місяці тому +1

    Haya mambo ayawez kuisha kwa sababu police hawatoi adhabu yoyote kwa. Watuhumiwa yan mtuhumiwa akipelekwa police anatolewa dhamana alafu anafanya kesi huku akiwa nje mwisho wa siku kesi inapeperuka

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 4 місяці тому +7

    Kafa shahid, Allah amraham

  • @DjkrafaKrafa
    @DjkrafaKrafa 4 місяці тому +1

    Pole wapendwa

  • @popod177
    @popod177 4 місяці тому +2

    Waafrica bado tupo nyuma sana..halafu vidaktari vyenyewe yani maringo hadi kwenye mambo serious,.nikama hawapatwi na matatizo...poleni hili ni janga la Africa nzima..pesa mbele mauti nyuma..

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 місяці тому +3

    Rest in Peace JPM tutakukumbuka ulikuwa una neema sana Baba washenzi ndo walikosa utu juu yako

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 4 місяці тому +17

    Sa hv ukiingia you tube unakutana na msiba kma fasheni yan

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 4 місяці тому +5

    Imeandikwa, Usiingilie Ugomvi Usiokuhusu

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 4 місяці тому +3

      Akili yako ni ndogo sana

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 4 місяці тому +1

      Akili yako imejaa mavi

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 4 місяці тому +3

      Hata ukikuta mama ako ukikuta anapigwa utatulia tu Huna akili kbs looh

  • @sein.208
    @sein.208 4 місяці тому

    Innah lillah Wainnah iley Rajioon
    Allah amjaalie makaazi mema na wote WALIOTUTANGULIA 🤲

  • @EmilianJoseph-u5b
    @EmilianJoseph-u5b 4 місяці тому +1

    Tukio la dharura hawamtibu mpk uende kituoni🙆🙆

  • @haikahassan1578
    @haikahassan1578 4 місяці тому +2

    Mungu atulindie vizazi vyetu 😢😢😢

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 4 місяці тому +5

    Haya mengine ni bakora ya mungu turudi kwake

    • @njuka3515
      @njuka3515 4 місяці тому

      Kabisa yaani sioni kabisa Mungu akitwajwa siku hizi

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 місяці тому +1

    Daah nyakati za mwisho ngumu mno ee Mungu tufundishe kukujua ww

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 4 місяці тому +1

    Mungu aturehemu🙏🙏 tunapoelekea pabaya zaidi😭😭poleni sana

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 4 місяці тому

      Unaomba tuelekee pabaya zaidi!!? Au unatakiwa uombe Mungu atuepushe na haya mabalaa

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 4 місяці тому +7

    Huyo jamaa aliemchoma inabidi akamatwe anyongwe tu!! Au hatojulikana

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 місяці тому +1

      Wakati wanawajua eanamisengo waingie mtaani tu nao wawapige mpaka kufa

    • @MwanahZubery
      @MwanahZubery 4 місяці тому

      ​@@FatimaAli-of4ghme Naona Bora iwe Ivooo adhabu ya kuuwa nawe uuwawe hakuna haja ya kwenda kukaa gerezanii huko kupoteza mda ata akifingwa kifungo Cha maisha Bado anaishii kwaiyoo uwae kwa upanga nae afe kwa upanga namna hiyo watajirekebisha kuwa ukiua nawe lazima ufe

    • @aziziiddi
      @aziziiddi 4 місяці тому +1

      Huwez amin ameharibu mtaa mzima tuna mtafuta vibaya mno bodaboda mpk rain wa kawaida ama zake ama zetu

  • @JosephineJoseph-o9v
    @JosephineJoseph-o9v 4 місяці тому +3

    Yan naishiwa had pumz,haya mambo yamefika nyumban kabisa.eeee Mungu tulindie vijana wetu.

  • @DevotaKatumba
    @DevotaKatumba 4 місяці тому

    Sijui hii serikali niwekeje hili jambo mtu kaja mgonjwa mnasema afate pf3 jmn😢

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 4 місяці тому +13

    Duuh Mungu tupe mwisho mwema

  • @jumaadotto3669
    @jumaadotto3669 4 місяці тому

    Innalilah wainailah rajiun mwenyez mungu akupe kauli thabit shemeji yngu

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 4 місяці тому +3

    hao ma doctor hawatibu mpk PF3 huu ni upuuzi

  • @MariamuSalimu-q4z
    @MariamuSalimu-q4z 4 місяці тому +4

    Twaomba serikali sheria ifate mkondo wake

  • @navioma4882
    @navioma4882 4 місяці тому

    Hiii nchiii🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭watu waingie kwenye maombi😭😭😭😭😭😭

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 місяці тому +1

    Safari hiii mungu tutakwisha mungu tusaidie

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 4 місяці тому +3

    Xaxa kama walijua amefarik kwann wamwambie mzaz akalipie Tena madactar na wenyewe Wana mauz!

    • @MwanahZubery
      @MwanahZubery 4 місяці тому

      Na mimi ndo nashangaa sasa unamwambia mtu alipie then unamwambia mtu ashafariki sasa alilipia Ili apate taarifa za msiba au mtu atibiwe

  • @MariaLucas-i8l
    @MariaLucas-i8l 4 місяці тому

    Mimi ndomana watu wakiwa wanapigana siwezi kuamua ata nione wanauana yani siwezi make siku zote anaekufa huwa ni muamua ugomvi... Japo maskini huruma zake zimemponza alikua anamsaidia mwenzie... Mungu tujalie mwisho mwema

  • @noahgondwe4779
    @noahgondwe4779 4 місяці тому

    Kufika Bombo wa kwanza analalamika, wa pili anatoa pongezi kwa madaktari.
    Poleni sana ndugu zangu

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 4 місяці тому

      Mzee wa kwanza anaonekana hajaelewa namna madaktari wanavyohangaika yeye aliona kama wanapoteza mda,huyo wa pili kaka mtu ndo ameona wanafanya jitihada

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine 4 місяці тому +1

    Kaaaah kwani binadam tumeingiwa na jinamizi gani mboka watu wanachukuliwa kawaida kuua kuua tuuu. Eeeeih Mungu tuepushe na hili jinamizi

  • @RamsonIdriss
    @RamsonIdriss 4 місяці тому

    Asa pf3 na uhai wa mtu nn bora allah atupe 2 mwisho mwema🙏

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 4 місяці тому +2

    Mmhh!!! Verry so sad😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @nicholausmahenge8247
    @nicholausmahenge8247 4 місяці тому +3

    Ukiingia UA-cam tu taarifa ya mauaji shindwa pepo la mauaji TANZANIA SHINDWA KWA JINA LA YESU

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 4 місяці тому +1

    Mi😢😢 naona hat hizi movies zina7bisha

  • @AminahassanSaidi
    @AminahassanSaidi 4 місяці тому +1

    Hao wote tisa wanatakiwa kufa ili kulinda heshima na watu wengine wasije wakathubutu

  • @rahema1992
    @rahema1992 4 місяці тому +2

    Inalillah wainailayihi rajiun allah ampe kauli thabit

  • @mariamSanane-f1r
    @mariamSanane-f1r 4 місяці тому

    Poreni sana mugu amupu mzishe kwa amani kaka yetu mbere yake nyuma yetu emungu tuepushie na vifo vya ajabu

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 4 місяці тому

    Tutaongea mengi sana ila tusome maandiko tutajua wapi tumejikwaa tutubu ili Mungu aiponye nchi, maana kila kukicha ni matukio ya umwagaji damu za watu tu.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 місяці тому

    Kwakweli ujasli huu sijui unatupeleka wapi serikali wangekuwa macho haya hayangetokea au ni watu wamekuwa wengi sana kama serikali.ingekuwa makin wangesuia hayo yote polisi wanaua wananchi wanauana sasa ni nani asaidie mwingine hapa Mungu ahasike mwenyewe Mungu wangu Mungu wangu tuokee na hili janga la mauaji mabaya na utekaji huu uishe kabisa maana haufai kabisa.

    • @MwanahZubery
      @MwanahZubery 4 місяці тому

      Serikali ingekua makini me nadhani haya yasingetokeaa lkn hakuna lolote mauwajii yanaendelea kilaa kukichaaaa..watu wanauwa watoto wao mara hivi mfano Dodoma kule mauwajii ndo usisemee lkn serikali ipo tuu cjui hata tunaelekea wap mungu atunusuru kwa kweliii

  • @LeticiaKibayasi
    @LeticiaKibayasi 4 місяці тому +1

    Huu mpango wa PF 3 pelekeni mtu hospitali punde mtu akifikishwa apate huduma haraka au atibiwe kwanza ndio ifate PF 3 aokolewe maisha

    • @mwanas2
      @mwanas2 4 місяці тому

      Mi nachukia san pf3 ushuzi

  • @PiusIsack
    @PiusIsack 4 місяці тому +2

    Jaman hizi pf3 ziwekwe mahospitalini kila hospital iwe na chumba cha polisi anaetoa pf3 ilikuokowa binadamu wenzetu jaman

  • @patriciaPatrick-t4q
    @patriciaPatrick-t4q 4 місяці тому +2

    Dah abas ata siamin😢

  • @ConsciousBNB
    @ConsciousBNB 4 місяці тому

    Cha kwanza poleni sana family 😢 ila huduma za afya ni mbovu sana huku kwetu hivi hakuna njia ya kuweka office ya polisi hospital? Mtu kaumia kufuatilia pf3 ni kuchelewesha matibabu bila sababu ya msingi 😔

  • @AntonyAlvin-p3m
    @AntonyAlvin-p3m 4 місяці тому

    Hivi Tanzania mbona kama Congo hivi ,,mungu tusimamieh 🙏🙏

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 місяці тому +1

    Huyo msichana ataisaidia police kumpata huyo kijana na timu yake

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou 4 місяці тому

    Allah awajaalie Subra

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 4 місяці тому

    Jamani pole yetu sote huku UA-cam manake msiba no msiba tu unama Kwa yeyote. Ila huku nahama nitarudi 2026 kunaumiza sana

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 4 місяці тому

    Hii Tanzania imezidi sasa😢😢😢😢😢😢

  • @KuluthumuHassan-y8y
    @KuluthumuHassan-y8y 4 місяці тому +1

    mungu amrehemu abas katuacha

  • @PapaaVesso
    @PapaaVesso 4 місяці тому

    Dah abasi pumzika kaka nakumbuka 2lipokua 2kizngua shuel daah😔😔😔

  • @JumaHamidu-x7c
    @JumaHamidu-x7c 4 місяці тому +1

    Poleni Sana ndogu wafiwa

  • @FatmaHassan-p9z
    @FatmaHassan-p9z 4 місяці тому

    Allah ampe kauli thabit😭😭

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 4 місяці тому +2

    R.I.P poleni sana wafiwa

  • @agnestemu8382
    @agnestemu8382 4 місяці тому

    Wauji wasifungwe wauwe na wao msiba wao pia wazz wao wahojiwe

  • @FatumaKilongozi
    @FatumaKilongozi 4 місяці тому

    Ila Tanzania ipo nyuma Yani mtu kaja vibaya mnatuambia tufate Mf3 mie nachoka kabisaa😭

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 4 місяці тому +1

    Sasa km kuwa kunaonekana ni jambo la kawaida serkali inabidi ionyeshi juhuudi kuziia

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 4 місяці тому

    mungu kaamua safar hii duu

  • @abdunasiriathumani9011
    @abdunasiriathumani9011 4 місяці тому +4

    Du!! mbona saizi mauwaji haya ni hatari!!!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 місяці тому

      Vijana hawana kazi wanaamka na kvant bangi asubuhi siku nzima vichwa vimeharibika yaani ilimradi balaa tu

  • @leylam2121
    @leylam2121 4 місяці тому

    ingekua nimuizi angefukuzwa adi akàpatikana nakuuliwa lkn uyu ilikuaje watu wapo wanaona tukio kama ili nawalimuachia adi akaweza kuwakimbia ichi inamambo yaovyo kuanzia serekali adi wananchi wao

  • @DaudMusoma
    @DaudMusoma 4 місяці тому

    Hili sio tatizo la kuilaum serkali hili ni tatizo la maadili ya jamii yamepolomoka. Serkali iwajibike kuwakamata hao sheria Iwahukumu

  • @ibrahim_427
    @ibrahim_427 4 місяці тому

    Hili swala pf3 Serikali yetu Hapo huwa imebugi sana

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 4 місяці тому +1

    Aise ni balaaa sana kila kona taabu tu

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 4 місяці тому

    Selikali ya damu hii sibule walah 😢

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 4 місяці тому

    Astghafirullah SubhanaAllah Amekufa jihad alikuwaAnatendaWema Allah Ampe kauli thaabit

  • @MariamuOmar
    @MariamuOmar 4 місяці тому

    Warogeni tuuh ilo ndo la muhim waganga tunawajua na tunao rogen muangamize watuhumiwa ad familia zao kuma mamazao

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 4 місяці тому

    Ukiwasha data tu taarifa za mauaji Tanzania TUNAENDA wapi tumefikia apa mungu atupe nguvu

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 4 місяці тому

    Unapataje ujasir wakuongea hali kwamba umefiwa aloo hii tz 😢

  • @NeemaNjera-ho6ln
    @NeemaNjera-ho6ln 4 місяці тому +1

    Kuma.mbona.ziko.nyingi

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 4 місяці тому +2

    Pole ni san

  • @MohammedBakari-pn9yg
    @MohammedBakari-pn9yg 2 місяці тому

    Huo utaratibu ni mbovu sana tena wakipuuzi....yan mtu anahali mbaya eti upewi huduma mpka ipatikane pf3...upuuzi

  • @carlosmizambwa8790
    @carlosmizambwa8790 4 місяці тому +3

    Uzuri kila mtu atakufa

  • @VictoriaCharles-f7x
    @VictoriaCharles-f7x 4 місяці тому

    Eeeh mungu tusaidie saiv matukio meng jmn daah

  • @OmaryLupange-yd3cw
    @OmaryLupange-yd3cw 4 місяці тому +1

    😢😭 uwiii

  • @shamsaadam6965
    @shamsaadam6965 4 місяці тому

    Inna lillah waunailahy rajjiun Allah ampe kauli thabit

  • @MsakaNote
    @MsakaNote 4 місяці тому

    Mm najiuliza kwa nn kusiwe na polisi wakutowa pf 3 hospitali ayayote yasinge tokeya watu wanakufa San

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 4 місяці тому +1

    Daaah