My name is Rahim djuma from Burundi Tanzanian i can tell you that we like him too much I think guy is first comedy in easter Africa community i tell you 😂😂😂😂i have a heavy action 🌍🌍🌍🌍🙈
Today is my 6th time watching this movie 😂 but I still laugh as if it was my first time seeing it 😹😹😹 Mr Joti keep on pushing we love you from Congo 🇨🇩 Goma
Love from Kenya ,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪......my first time to comment wabongo ,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tusalimiane kwa like I salute you guys
Pamoja sana ... mimi hapo kenya dj shiti ananifurahisha sana aseee
Yes
Hatariii sanaa
Thanks your are welcomed 🇰🇪
😀😀 ila huyu joti kichaa Nipo getto mwenyew lkn nimecheka kama tupo wengi like zakutosha kwa joti wanangu
Km unaamin joti ndy namba one comedian 😂😂gonga like hapa
Hi
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
@@ismailonline5496 hi 2
@@halimarajabu8919 Halima mzima weyee
@@halimarajabu8919 namazungumz nawe ya faragha kidog kama hutojal
Wa kwanza jmn naombeni like za joti kutoka USA hapa
Ume ona gisi ya ku funguwa kiwanda afrika 👉🏽ua-cam.com/video/P3cyQzCC1jw/v-deo.html
Aliependa mkwala wanishai gonga like hpa😆😂🤣
Mambo
The best comedian in Tanzania 🇹🇿 👏🏼🤝
Wallahi huyu bro ni mkali😂😂kila siku lazma nimtazame aise, kazi nzuri, nani anacheka nami🤣🤣
😂😂😂😂😂... Waaapooloowaapoolooo... Joti kweli wee mkali. You're one of the best Comedians in Africa 👊👊
😂😂😂 wahuniii
I really like you Nishai and whatever condition I can't miss your product!!
From Burundi 🇧🇮💓
Hahahahaha katika siku ambayo nimecheka ni leo hii kali mzee
Baba gib up du hatari👍🏾👌🏿😀😀😀😃😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakupenda sanaa joti
Hahahahaaaaaa😂😂😂, aise nimecheka sana hii...Joti akitoka humo ndani hatokubali kurudishwa tena.🙌
Yaleo kali sana broo umetishaaa…..hii ya mwaka 😂😂💥
Joti leo umenusurika, unajifanya kuua watu kumbe umeiba broila 🤣🤣
Mikazo 😄
Hahahahah
🤣🤣🤣eti umeiba broila 😂😂😂
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
🤣🤣🤣🤣
Wewe ni mwehuuu yani uwaga unanifuraisha sana
My name is Rahim djuma from Burundi Tanzanian i can tell you that we like him too much
I think guy is first comedy in easter Africa community i tell you 😂😂😂😂i have a heavy action 🌍🌍🌍🌍🙈
It's East Africa ...sorry ,my bad for rectifying you
Ongea kiswahili tu jmni unaangusha nchi yetu😅
Joti Kama nakuona unavyo shangiriwa 🥰🥰🥰🥰🥰
😂😂🤣🤣🤣 joti umeuaaa🤣 nimecheka sana ulivowakazia hao jamaa umo ndani😂😂😂
😀😀😀😀😀😀😀😀 dah
2070 IF YOUR SEEING THIS : jueni tulichekeshwa sana enzi za uhai wetu na uyu JOTI hakuna mchekeshaji aliyetuchekesha kama huyu
Fr💯
Makini sana unaongea na generation ya wataokua vitukuu wangu...
Saivi je umekufa 😁😁😁
Legend🙌🙌🙌
Nazidi kufurahia kazi zako your the best.🔥🔥
Hahahahahaaaaaa sina neno hapooooooooo zaidi ya kucheka tuu hahahahahahaaaaa
kazi nzuri kaka🔥🔥
Ndio
Nakukubali sana comedy wangu wa muda wotee
Mikazo mtombangile nishai 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 bro hujawahi niangusha kazi nzuri.
Acrobatic😝
ua-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
Nishai .wanimaliza ww ,😅😅😅 like from Burundi
Hahahahahaha, daaah kaka legendary miaka 100 😆 😆 😆 😆
Acrobatic😝
ua-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
I love your videos Joti Tv.....I appreciate your good work 🇰🇪🇰🇪♥♥♥♥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ety kila nkienda kuku ananifata
Anaaleji na kuku
@@thadeimlowe786 😂😂😂
Mikazo 🤣😂🤣😂inje unawasalimiaga tu kwako nihuko ndani 😂🤣😂😂
Kuku shobo😁😁 Kuku shobo tu🤣🤣
Huyu ndio anaitwa NISHAI MTOMBANGILE KITWAGO
Kaz nzur mwz wakuku 😆😆 wenoma kaka
Daaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Joti Bonge la Comedian Sana
Afande nimemkubali kinoma yupo vizuri anajua kuigiza kiuhalisia
'WAPOLOOOO WAPOOOLOOOOO" HAHAHAAHAH
Daaah 🤣🤣🤣🤣 nishai nyoko 🤣🤣🤣🤣
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
mkulungwa nakuona mbavu ao dawa yao kiwembe tuu kaka akina bamsa
Katisha nishai Daii 😂😂😂
broo unazinguwa
Nishai hahah kaz nzur broo👏👏👏
Wapolooo wapolooo🤣🤣🙌🏼
Joti huna akili
Acrobatic😝
ua-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
Wapolooo wapoloooo...eti ebhana yeehhh...wapoloooo wapolooo...
Watu wamemkaushia kimya alaf makofi yakamgeukia yey🤣😆..pumbavvvv huyuuuu
Kuku shobo tu kuku shoboo🤣🤣🤣🤣🤣
Joti ni fwalaaaa thanaaaaaaa
Kanithekeshaaa munooo😀😀😀😀😀😀
Kkk weww ni boraa miaka yoteeee
Nakubari joti👏👏👏
Kuku nina areji nao wenyewe wananifata😂😂
🤣🤣🤣🤣ila wana nyie mtachukulia masihara ila ndo mbinu hizo mtu ukiwekwa lock up
Sana mwamba
Acrobatic😝
ua-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣kuku
Nishai mtombangile mikazo😂😂😂, joti you made my night 😅😅
😄😄😄😄 joti mwehu sana
🤣🤣🤣🤣
Mikazo😅
Wapolooo wapoloooo😂🤣😂🤣😂🤣😂😂jot mungu anakuona jaman kutuvunja mbavu wenzio
Nishai mtombangire kitwango jina lakoo et mikazo😄😄😄😄😄
Dah jot utaniua mbavu zang mbwa wew 😂😂😂😂😂😂😂😂
Good contents you have made my day in this morning 🤣🤣🤣
Sijawah kuona Kaz ya king joti afu ikawa mbaya
King comedian in Tz
The best comedian in Tanzania
Hua napenda san mkwala wake yan n noma sana 🤣🤣🤣🤣
Joti king of comedy😀😀😀👏👏
🤣🤣🤣asante sana yaan mm napita na mambo yangu yaan unaifata asante sana kuku kwa kuntia ubaya
Nishai mtombangile kitwango 🤣🤣🤣🤣 2:40
Bongo hakuna kama joti we Noma mzee Baba,,,
Joti wewe 🔥🔥karibuni uone gisi ya ku funguwa kiwanda 🇹🇿🇨🇩🇧🇮cha ku totolecha vi faranga🐥🐥 kwa bei chini sana
Hapo kwenye jina la baba mbona umekaza sana!!! Mtombangile!! Dah!! umetisha baba
dah, this has made my day aise!
Dah wangekuharibu man 😆😆🤪🤪
Hahahhhahahaaaa.......Best Comedian
noma sana🔥🔥
🤣🤣🤣🤣Hahahaaa... Nishai Umeua, Kumuona Mama🏃🏃🏃 Unamkimbilia Na Mikeleele Kama Yote... 😁😁😁
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
Hhhh 🤣 Yani Leo amenaswaa jot
Kwakweli Leo nimejua kucheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuku ananipenda mimii!!
🤣🤣🤣🤣
Joti kaiba ndegeee😂😂😂
Nimecheka hapo mwisho😂afande afande
afande uchebe😄😄kasahau kumwambia mtuhumiwa avue mkanda
Alivyo ingia2 sero nimecheka Sana dah😂😂😂
😁😂🤣🤣🤣 Mi chafuuuu. eeh mwenyez mungu nisaidie😂😂🤣🤣
I’m from Planet Mars and Joti is a legend
Mjinga et mars
Mama kasikasi ..😢R.i.p mwanangu Nishai mtombangile wakitwango mikazo'' owa me mwana huu mwangu nje nasalimia tu.. nimeua. 😂😂😅. Number kweli wew. 😂
ila Joti una ubunifu wa hali ya juu😂😂😂😂😂😂👌🏾
Hayo majina jot.. nishai,mtombangile mtwango..dah..
Nishaiiiiiii Wana umewaweza noumaaaaa saaaana ebaneeeee
asante sana kuku ,,joti ban
Leo nimecheka sana big up joti 😂😂😂😂😂😂
Mwizi hugo jotiiiiiiiiii😄😄#joti kitombwangile#
joti today and everyday👑🔥🔥🔥🔥🙌🙏😄😄😄
😁😁😁😁😁😄😆😅😅😂🤣wanangu uyu NAMBA
😂😂😂😂😂😂 Joti wewe ni mwehu Sana, ulijua wanataka kukutatua 😂😂😂😂😂
Hahahha
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
Today is my 6th time watching this movie 😂 but I still laugh as if it was my first time seeing it 😹😹😹 Mr Joti keep on pushing we love you from Congo 🇨🇩 Goma
Joti unazngua 😂😂 sero gan hyo unaingia na cape na mkanda af mayeno labda ya kikongo
C mwizi wa kuku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣joti utaniuwa mbavu nimecheka mpaka machoz
Hahahahaaaa eti kuku Wanampenda na ana aleji nao
Oya wanangu me namba 😂😂😂😫😫😫
😂😂😂😂😂😂😂Joti Genius😂😂😂
Nishai mtombangile mikazo😂😂😂😂😂
Kuku wnampenda wenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
Nasanza ceka nasijamaliza kutizanama uyu joti niwakwangu kabisa 😂😂😂😂
I’m from Planet Mars and Joti is a legend 😂🤣
😁😄 funny
ua-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
😂😂😂😂
😂😂😂
😁😂dah eti anakaa Mburahat
Mwizi wa kuku nani hapa? Joti kauliza 🤣🤣🤣🤣
Akasimama akuliza "Mna kesi ya kuku?" 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 unajifanya jangili kumbe mwizi wa kuku
Nisubscribie
😂😂😂😂😂😂 Mwizi wa kuku
Acrobatic😝
ua-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
Jot nomah sana 😂😂😂
Nimecheka 😂😂😂🤣🤣🤣