MISSION IMPOSSIBLE [26] SEASON 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @MisangaNassoro
    @MisangaNassoro 17 днів тому +44

    Anaye amini mpemba atachezea kichapo kwa chado masta 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉tujuane mbona kanakuwa katamu ka movie ❤❤❤❤❤

  • @AhmadAwadhiMuya
    @AhmadAwadhiMuya 18 днів тому +76

    Chado nakubal cna chafu wangu sema me napenda sana penzy lenu kwenye hii movie

  • @NaimaNuhu
    @NaimaNuhu 18 днів тому +189

    Yarabii tulindi tukumbuke ibada kma tunavyokumbuka kuangali mission 🙏🙏🙏

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 17 днів тому +12

    Yarbb Allah tujalie kukumbuk ibaada kama tunavyo kumbka mission sisi waja wako 🤲🤲

  • @FatmaWhite
    @FatmaWhite 18 днів тому +92

    Mungu akujaalie wew unaesoma hapa mwaka 2025 uwe mwaka wa mafanikio kwako na familia yako Amin 🙏🙏

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 18 днів тому +66

    Anaeona chado atalia baada ya kuibiwa kidem jau like kwa wingi hapa😂

    • @FakikhAsmah
      @FakikhAsmah 17 днів тому

      Tujiandae kumbembeleza jamani😢

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 18 днів тому +343

    Wangapi wanalipenda penzi la jojoh na mzee wa misumari

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 18 днів тому +100

    Nawaombea mvuke mwaka salama 🤲❤️❤️❤️ vipenzi vya kidemu jau 😅😅😅

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 18 днів тому +256

    NAJUA HATUJUANI ILA NAMUOMBA MUNGU AJALIE RIZKI ZA HALAL.NA AJALIE MWAKA 2025 UWE MWAKA.WAKO.WA.MAFANIKIO AMEEN🙏

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 18 днів тому +24

    😂😂😂 chado umeanzaa umbea kama cheusi jamani ulitumwa umwambie jojo👌😂😂😂

  • @MiskiAlly
    @MiskiAlly 18 днів тому +175

    Wote watakao soma coment hii mungu awavushe mwaka mpya amen🙏

  • @pahesalmakai6005
    @pahesalmakai6005 18 днів тому +30

    Jmni mwenzenu kiroho kinanienda mbio hivi kijau atamsaliti chado😢😢😢
    Like basi muniliwaze🙈🙈

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 18 днів тому +255

    Na mm nmewah jaman toka season one sijawahi kupata like jaman naomben hata like 100 😢😢😢😢😢😢

    • @qwinjojo3787
      @qwinjojo3787 18 днів тому

      Aya tumelike tulipe sasa😂😂😂

    • @Nounou-h4f
      @Nounou-h4f 16 днів тому

      Ili iwe je. Sasa

  • @SalhaDaudi-g9y
    @SalhaDaudi-g9y 13 днів тому +3

    Ngwengwe mdogo wangu hongera sana nakupenda bure uko creative sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shabanirosette-lr8vr
    @shabanirosette-lr8vr 18 днів тому +93

    Merry Christmas 🎄 for everyone. Wakwanza Leo 🥰 from Rwanda

  • @khdj-x3w
    @khdj-x3w 18 днів тому +101

    yani tok nimeanza ku angaria hii move jaman sijawh ata kupat like ata moja ata nikichangia mad hamn mtu anapenda jamn siy poa kuna raha yake 😢😢😢😢😢😢😢

  • @Story_News-s9v
    @Story_News-s9v 18 днів тому +640

    Mbona tangu nianze watch ihi movie akn ambae uwa ana like comment yng 😢

  • @Sofiajackson_123
    @Sofiajackson_123 18 днів тому +174

    Wangapi hawa pendi ugovi wa kidem jau na chando😢kame wewe upendi weka comment tujuane😂❤❤

    • @happyDarmaIgiraneza
      @happyDarmaIgiraneza 18 днів тому +2

      Yani mimi si upendi kbs balekebishe ili ni fulahi Na mimi

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana 18 днів тому +2

      Yani mm ndo naumia kama mapenzi yangu jaJanani 😢

    • @happyDarmaIgiraneza
      @happyDarmaIgiraneza 18 днів тому +1

      @FinindyFiana Na mimi Pia najikuta
      Kama ni mimi kweli

    • @Kizawilondja-g9i
      @Kizawilondja-g9i 17 днів тому +1

      Mimi apa 😢😢😢

    • @FakikhAsmah
      @FakikhAsmah 17 днів тому +1

      Weachatu Hadi naumwa mm jamani😭

  • @AshfainaSaid-g4h
    @AshfainaSaid-g4h 18 днів тому +122

    jamn leo me nimewai ata laik moj jaman🙏🙏

  • @Faithkamutheu-if5ng
    @Faithkamutheu-if5ng 18 днів тому +12

    Tunakupenda sana chado ❤huwa haucheleweshi kazi ❤

  • @JasiminJasimin-i5l
    @JasiminJasimin-i5l 18 днів тому +35

    Duuu hongera sana chado una mbamba movi tunaagaria kwa wakati

  • @AminaKuyawa
    @AminaKuyawa 18 днів тому +4

    Sijapenda jinsi najma anavomfanyia chado.kama nawe unapenda gonga like apa😢😢😢

  • @MasoudMakanya
    @MasoudMakanya 18 днів тому +36

    Marry christmass wana (mission impossible) mungu atujalie tuuone na mwaka mpya,,,,

  • @Fatmahassan-m9e
    @Fatmahassan-m9e 18 днів тому +79

    jamn sisi wanafamilia wa mission impossible nawatakia heri ya christmas

  • @AsminKache
    @AsminKache 18 днів тому +66

    Mpeni ushauri huyu anajichanganya anaingia anga za chado😂😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 18 днів тому +21

    Jaman mm mbkna kila mnanionea kunipa like leo bas ata like 10 zakulia ubwabwa na crismax 🎃🎄🎃🎄🎆🎆🎄🎄🎆🎆🎄🎅🎅🤶🤶🤶🤶🤶🤶🤶🤶💢💢💢🤶🤶🤶

  • @ChrisPrince-m4l
    @ChrisPrince-m4l 18 днів тому +63

    Kila atakae soma comment iyi mungu ambariki sana na mwaka wa 25 uwe mwaka wamafanyikio kwake nanawatakiya nyinyi nyote chado masta gang merry christmas 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @EshaJimmi
      @EshaJimmi 18 днів тому +1

      Ameen thuma Ameen

  • @EvansLangat-l6h
    @EvansLangat-l6h 18 днів тому +20

    Marry Christmas kwa ma funs wote wa chado master na crew nzima ya chado gang kuanzia camera man director na wote wanao fanikisha mission impossible tunashukuru sana kwa kutupa burudani❤❤❤❤

  • @gseh9277
    @gseh9277 18 днів тому +47

    Hatimae imetoka dah nilikuwa nachungulia UA-cam kila sekunde❤❤❤

  • @JOSEPHATIGITIYANG
    @JOSEPHATIGITIYANG 18 днів тому +15

    Oya mwanangu kitengo huyo kidem jau kama demu wangu kabisa yani haelewi😂

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h 18 днів тому +39

    Kurauka jmn miee 😂😂😂 ....Merry Christmas for all of us here 🌲🌲.....Jirani zetu WATANZANIA tunawapenda sana Mungu atubariki sote ❤❤❤❤

  • @FrankLuhaha-p4l
    @FrankLuhaha-p4l 18 днів тому +10

    Chado ❤❤haoo ndo wanawakee umepambanaa umelipa ❤❤ deniii❤❤alfuu malipo imekuaaa matusii na kukunangaaaa❤❤❤polee sanaa

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana 18 днів тому

      Aaaa frenk,Kila m2 na akili yake na uelewa wake,me mwenzangu nampenda hatar siwez kusahau wema wake

  • @MakonoJr
    @MakonoJr 18 днів тому +10

    Wote ambao mnatizima move hii mungu awabariki muvuke mwaka salama Amen 🙏 🙏

  • @SalhaDaudi-g9y
    @SalhaDaudi-g9y 13 днів тому +1

    Yaani umemkomesha sana baba yako ila mrithi huzidi daah hongera🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Kidem_jau
    @Kidem_jau 18 днів тому +145

    Ahsanteni kwa sapoti yenu

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 18 днів тому +19

    Hapa hadi tufungue mwaka nao ama vimpi❤❤🎉🎉254 mko wampi

  • @YunusRamadhani-m3t
    @YunusRamadhani-m3t 18 днів тому +62

    Jaman leo nimewahi mapem naomben like zenu maan a sijawahi pewa like timu chado stand up🎉🎉🎉🎉

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 18 днів тому +8

    Najima jinsi unavyo mpenda Chado kutoka moyoni mwako huezi achana naye kiurahisi ,unapaswa kupunguza hasira mambo mengine yaendelee

  • @bimkhamis
    @bimkhamis 18 днів тому +41

    Wawo leo wa kwanza mungu awajalie watakao soma coment hii awafungulie milango ya risk na awaondoshee na mikosi

  • @faidhajumer
    @faidhajumer 18 днів тому +20

    Mi narudia tena kusema uyuuu Ankali uyuuuh anatafuta kitu kwa chado ayah mi yngu macho😢❤❤❤

    • @sophiamarko5736
      @sophiamarko5736 18 днів тому

      Litamkuta jambo😂😂😂😂

    • @MariamHamad-bg4ro
      @MariamHamad-bg4ro 18 днів тому

      Nywele za kutililika chado atazimwaga mbon mwache ajichanganye😂

    • @TommyDaddy
      @TommyDaddy 18 днів тому

      Ngumi zinamuusu

    • @HyrathHyrath
      @HyrathHyrath 18 днів тому

      Kwakweli atarudi aliko toka

    • @mwajeyamry
      @mwajeyamry 18 днів тому

      Tusimwambie mpaka kimrambe😂😂😂

  • @PatriciaNicholaus-wx5og
    @PatriciaNicholaus-wx5og 18 днів тому +16

    Leo najma umeniumizia chado wetu. Aisee nimeumia sn😢😢😢

  • @Najmaissah-r7m
    @Najmaissah-r7m 18 днів тому +7

    Najma akili zangu nzijua mwenyee 😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @HappyMandimu
    @HappyMandimu 18 днів тому +25

    Unaleta chap chap hadi raha❤❤❤ leo mimi wakwanza

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 18 днів тому +12

    Huyu najma kama ameshindwa kuelewa chado Kuwa hajamcheat Kuna kitu anakitafuta kwa handsome boy😂atamkula ampe mimba Kisha amtoroke😢 Aya Macho yangu tu😂😂😂😂😂

  • @AbdulMalik-z9v
    @AbdulMalik-z9v 18 днів тому +66

    Ila watu wako fasta ku like ila du nilijiona mm leo ni mwanzo ila sio mbaya😢😢😢😢

  • @OmaryAsuman-s3p
    @OmaryAsuman-s3p 18 днів тому +27

    NgwengwEh°akismiLE anakuwa handsomE ❤❤❤❤❤baadae akijakuwa mkubwa atawasumbua mabinti

  • @JonathanMurithi-w4y
    @JonathanMurithi-w4y 18 днів тому +19

    Werendi wako chado nakuinamia,hayo maelezo nmeyapenda

  • @DhulfikarAbdalla-i7v
    @DhulfikarAbdalla-i7v 18 днів тому +13

    Tunao mkubali chado gonga lake apa ❤❤❤❤❤

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 18 днів тому +10

    Chado muuache najma , masharo wakamchti 😂😂😂😂😂kiukwelikweli ,alafu atakuja kwko kwa magoti😂😂

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu 18 днів тому +5

    Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 chado unatisha sana brow kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤

  • @VitaMouan
    @VitaMouan 18 днів тому +27

    Yn mtuh hawahi ht kuangalia movie kashaingia kwny comment anaomba like jmn wapndwa tutoe maoni ili chado ajue nini atuongezee nn atupunguzie lkn daaah nimaon tuh msinijie juu kama pumz ya soda 😂😊

  • @NadsmaaliAli
    @NadsmaaliAli 18 днів тому +6

    Mjomba huyo mtto mkali wavhana na yeye utapingwa na chado😂😂😂

  • @BhattJuniorJunior
    @BhattJuniorJunior 18 днів тому +37

    Wakwanza kucoment nipeni like zangu toka Kenya 🇰🇪 🇰🇪

  • @MaynashoniMvuyekule
    @MaynashoniMvuyekule 15 днів тому +2

    Nakubali kaka Chado master 🙌 😎 👏

  • @annaki318
    @annaki318 18 днів тому +17

    Merry Christmas mashabiki woteee wa CHADO MASTER ❤❤❤❤❤❤
    Tusherehekeee salama wapendwa

  • @ممتتت-ط8غ
    @ممتتت-ط8غ 18 днів тому +15

    Kwaiyo najma ashakua malaika😂😂😂 atokea ukoo wa sultani😂😂😂😂

  • @NyotaFrancisca
    @NyotaFrancisca 18 днів тому +11

    Tupo tunawakilisha Chado master big up sn ❤❤❤❤

  • @MejooliLoningo-x6z
    @MejooliLoningo-x6z 18 днів тому +4

    Yoow wanangu kazi nzuri respect 🙏

  • @patrickmpangala3098
    @patrickmpangala3098 18 днів тому +38

    Nimeota kidemu jau kamkubali mpemba mwisho wa siku kashika mimba alf Muhuni kasepa ...... Wekeni like ntarudi

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 18 днів тому +11

    😂😂😂😂😂😂😂 chado umekumbia kusutwa eeee rudi kwa jojo ukajibu maswali 😂😂😂😂😂😂😂

  • @JaphetGeorge-u2q
    @JaphetGeorge-u2q 18 днів тому +25

    Merry Christmas familia ya mission impossible like kwa chado Jr Master

  • @pauloernestpanku2327
    @pauloernestpanku2327 18 днів тому +14

    Dooooh Maskin nkajua nko mwenyewe kumbe na chado anapitia kama yangu

  • @SadikiHassani-h6j
    @SadikiHassani-h6j 18 днів тому +84

    Chado ndio anaekata umeme kumbe nikimuona atakula misumari mingi sana kubabake

  • @Mohammedmsham-m3o
    @Mohammedmsham-m3o 17 днів тому +3

    Nakubali team chado master umetisha sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JacklineGodfrey-y8y
    @JacklineGodfrey-y8y 18 днів тому +5

    Mwanzo nilikiwaga namchukia jojo lakan saiv so mwaahhh❤❤❤

  • @ElizabethWanyama-j3g
    @ElizabethWanyama-j3g 18 днів тому +5

    Chada pokea🎉🎉🎉🎉🎉🎉,unanipa Raha hongera sana

  • @Thuwaybaally
    @Thuwaybaally 18 днів тому +33

    najimaaaaaa uyooooo❤❤ asante kwa kuonesha msimamo wako 😊😊

    • @MwanaidiSalehe
      @MwanaidiSalehe 18 днів тому +1

      Msimamo uponza kichwa

    • @Thuwaybaally
      @Thuwaybaally 18 днів тому +1

      @MwanaidiSalehe hiyo ndio I like 👍

    • @DefrozaMatamba
      @DefrozaMatamba 12 днів тому

      Msimamo ujinga atakosa kitu moyo unapenda kisa uwivu wa kijinga

  • @KhadijaMussa-k9y
    @KhadijaMussa-k9y 18 днів тому +8

    😂😂😂nafanya kazi tanesco wananikodi kitengo cha kukata umeme ila chado🙌

  • @ZaynabHamadNondo
    @ZaynabHamadNondo 18 днів тому +8

    Teina😊 mwenzang wee😂😂 🎉🎉🎉

  • @NkambaSone
    @NkambaSone 17 днів тому +2

    Masta chado wahisha picha zako broo tunapenda ss mashabiki zako

  • @HappyMandimu
    @HappyMandimu 18 днів тому +15

    Nakupenda chad

  • @SabrinaBon-pu8st
    @SabrinaBon-pu8st 17 днів тому +5

    Kidemujau unazinguwa sana 😝😝😝

  • @geofreyngino6163
    @geofreyngino6163 18 днів тому +29

    Asant Kwa kutupa zawadi ya Christmas. Pia mungu awabariki wote wanaotazama pamoja nambie movie hii.

  • @yusraligopora
    @yusraligopora 18 днів тому +7

    Eh mungu tuepushe wazanzibari na kipigo cha chado😢😢

    • @FatumaKassim-wf5eu
      @FatumaKassim-wf5eu 18 днів тому

      😂😂😂

    • @mariaflorian9941
      @mariaflorian9941 18 днів тому

      Yaaa nimecheka kwa sauti kwahiyo wazanzibar mnaogopa kipigo cha chado

    • @Recho-s6z
      @Recho-s6z 18 днів тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 17 днів тому

      Mm pia mzanzibari lkn atakachokitafuta atakipata😂

    • @alhamod5597
      @alhamod5597 17 днів тому

      😂😂😂😂😂 amiiin

  • @Izzyboiizzy
    @Izzyboiizzy 18 днів тому +12

    😂😂 una fanya kazi TANESCO 😊

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 17 днів тому +4

    NAJMA Huyo kaka mpemba ww niachie mimi😂😂😂

  • @sabrinahWilliam
    @sabrinahWilliam 18 днів тому +13

    Chado hapo umesema kweli Yani uje Kwenye swala la kutoa Kodi tuu unalipa Kwa awamu miezi Sita unapata zote zinapitiliza ila useme za maendeleo.kuzitafuta tuu uwaga shida mpka Kwenye biashara ukata na kuja nusu nusu😅😅😮

  • @Sashatravis254
    @Sashatravis254 18 днів тому +21

    Kidem jau utadinywa na utiwe mimba uachwe😂😂😂wee mirasta nae nakuonea huruma maana ngumi zakuitaaa😂😂😂

    • @TommyDaddy
      @TommyDaddy 18 днів тому

      Na ngumi za mtaka kwel

    • @Sashatravis254
      @Sashatravis254 18 днів тому

      @TommyDaddy 😂😂😂😂

    • @HyrathHyrath
      @HyrathHyrath 18 днів тому

      😅😅😅😅

    • @MwajumShaban
      @MwajumShaban 18 днів тому

      Nimechek eti nimeumia sana​@@HyrathHyrath

    • @DelvinChepkorir-t1d
      @DelvinChepkorir-t1d 18 днів тому

      Alafu cjui atampa nani iyo mimba,,,,,na vile Chado amemulinda sana😅😅😅

  • @AbdullatifuAboubackhary
    @AbdullatifuAboubackhary 18 днів тому +5

    Sema kisem. Jau miyeyush sanaa

  • @SuzanahMusa
    @SuzanahMusa 18 днів тому +2

    Me naipenda saan hii move Mungu awatangulie katika utfutaj wen❤

  • @MarryCute
    @MarryCute 18 днів тому +24

    Heri ya krismas jaman mashabiki wenzangu

  • @Maimunaathuman-bf8cp
    @Maimunaathuman-bf8cp 16 днів тому +2

    🤣🤣🤣chado umeanza umbea alafu umekimbia dah🤣🤣🤣

  • @PrettyNoura-p5p
    @PrettyNoura-p5p 18 днів тому +16

    Mmmh kukaa kote umu lakini duuh watu wanamagodoro humu😅😅😅 Aya nipeni bas hata like maana kuwa wa 300 so poa😂❤❤

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani 18 днів тому +2

    Anakata tiket taifa dah huyu ndie chado buana😂😂😂🙌💪

  • @HauleSililo-v9h
    @HauleSililo-v9h 18 днів тому +6

    Chado masta unajua san my brother 👊👊👊👊👊👊

  • @Lenah-q4t
    @Lenah-q4t 18 днів тому +3

    Pole sana kijana mgeni 😂😂😂😂kidem jau ukiingia hapo pole mimba paap

  • @irenebenbella
    @irenebenbella 18 днів тому +6

    Jmn uyo kaka mpya mim mwambie mim siwez kuishi bila yeye 😂😂

  • @CatherineJoseph-x5q
    @CatherineJoseph-x5q 18 днів тому +2

    Haya jaman me sijawah hat ku comment yan leo ndio siku ya kwanza naomben like Zenu na mimi

  • @JumahSudy
    @JumahSudy 18 днів тому +5

    Wakwanza from Kenya nawapenda san kitengo masta chado❤

  • @SamouOman
    @SamouOman 18 днів тому +3

    Bonge la kazi chado wangu mungu akuongoze ila nampendaga huy kaka wa vilasta nilimuinaga kwenye move ya melisa

  • @reginahsyombua
    @reginahsyombua 18 днів тому +10

    We zein utapigwa na chado uwe safaricom 😅😅😅

  • @mukrimuabdalla4542
    @mukrimuabdalla4542 18 днів тому +2

    Nkubali sana chodo master utafika mbali sna mzee ❤

  • @SalhaSaidi-q7p
    @SalhaSaidi-q7p 18 днів тому +10

    Wakwanza mimi leo naombeni like apa

  • @JosephineJoneslucas
    @JosephineJoneslucas 16 днів тому +2

    😂😂😂😂😂 Mzee wa misumal akikuoa usibadirike

  • @BigirwafrenkOctavian
    @BigirwafrenkOctavian 18 днів тому +3

    Waaoooo chado masta kitengo umetisha san kaka naomba like zenu jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @NadifhaAbdul-hh6hg
    @NadifhaAbdul-hh6hg 18 днів тому +2

    Ras kitamlamba kwa chado,,, ila chado asante kwa kusikia ombi langu la kumpiga najma😂😂😂

  • @saeedalyahmadi1738
    @saeedalyahmadi1738 18 днів тому +7

    Kitengo toa kauli moja tuu tuone atafika wapi huyo najima,yeye amesahau alienda kujitega uko kwa manyonga anaona alikuwa sawa tuu

  • @FatumaHatwabi-j4h
    @FatumaHatwabi-j4h 2 дні тому +1

    Khee jaman mm mwenyew hamjawahi kunipa like hata moja naomben like zenu🙏🙏

  • @MWANAISHAKIBWANA-j3b
    @MWANAISHAKIBWANA-j3b 18 днів тому +11

    Jamani wakwanza Leo kutoka kenya mnipee like zangu jamani❤🎉🎉

  • @qingsaloz8467
    @qingsaloz8467 18 днів тому +2

    Kibao kabigwa najma ila ata sisi wengine kimetuumiza....ila chado🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪