GESTI BUBU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лис 2022
  • Hii tabia wanaume itaendelea kututokea puani,Eti unaaga unakwenda kutazama mpira sasa unakutana na mpira wenyewe sasa..
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 355

  • @thesoundtvonline
    @thesoundtvonline Рік тому +103

    Jamaa anaweza ,kama unamkubali nishai mtombangile kitwango miguno ,mikazi ,hahomben like zenu jaman

  • @magaritanzania6540
    @magaritanzania6540 Рік тому +122

    Talented comedian mashabiki wa joti tujuane kwa like apa😄😄😄😄

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 Рік тому +10

    Ila kanyinyi he deserve always every character even boss or policeman congrats kanyinyi, congrats joti, congrats joti team

  • @realzeflin6433
    @realzeflin6433 Рік тому +2

    Ila nishai anakipaji natural sema bongo hatupendi vyanyumbani, natamani ingekua na subscribes million 10

  • @FelixJia1
    @FelixJia1 Рік тому +17

    Niko ndani mapemaaaaa kwa ndugu yangu JOTI mwambaaaa wa comedy... 😂

  • @judithmoses1116
    @judithmoses1116 Рік тому +10

    😂😂😂 huyu mdada mweusi anajua sana kufit katika character👏🏽👍🏽

  • @mary2615
    @mary2615 Рік тому +26

    Simply extraordinary 🔥❤️🔥

  • @carolbenny3302
    @carolbenny3302 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣dah Joti ungejua watu tuna stress but u making our day ubarikiwe

  • @robertkenyanchef
    @robertkenyanchef Рік тому +43

    Joti, please, you are so hilarious and you are always full of creativity. Please Afande let them get dressed😂😂 Thank you for making my night. Watching you from Ohio, USA.

    • @alisaidabdallah1480
      @alisaidabdallah1480 Рік тому +3

      Sasa kizungu yote hiyo kaka joti na kizungu wapi na wapi

    • @gloriousgal2001
      @gloriousgal2001 Рік тому

      Siku za mwizi ni arobainne leo Nishai kapatikana🤣🤣🤣

    • @asnaally2196
      @asnaally2196 Рік тому

      Zamwizi arubàini sasa imefika

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 Рік тому +5

    Wachane nichekee, God bless more brother CEO wa comedy TZ God bless more

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Рік тому +19

    Nishai love you from Burundi 🇧🇮!!
    I really like your script!!

  • @edenilyimoedenilyimo2589
    @edenilyimoedenilyimo2589 Рік тому +12

    Joti mungu akupe maisha marefu broo unatufanya tunakuwa na furha tukiangqlia vichekesho vyako

  • @BakariChumadongo
    @BakariChumadongo 2 місяці тому

    🎉unaweza sn comedy

  • @konamiboyfool
    @konamiboyfool Рік тому +2

    Manka (huyo dada mwenye amesuka) sijamuona kitambo sana. Mrudisheni please anajua huyo.

  • @harrymakongwa1147
    @harrymakongwa1147 Рік тому +11

    Joti hana akili kabisaaa naona kaona 1:15 😂😂😂😂😂😂

  • @issanaseeb7699
    @issanaseeb7699 Рік тому +1

    Hivi kuna mchekeshaji kwa hii east african nzima anamzidi mimi kiukweli sijawahi kumuona anaemuzidi Joti anajua bana 👊😂😂

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +4

    Mashaallah dorisi shepu og kabisa hadi rahaa tunalinga na mashepuu yetuu 🤣🥰🥰mliokuwa hamna uturiki kuna wahusu🤣🤣🤣🤣

  • @youngfella1008
    @youngfella1008 Рік тому +1

    Ijumaaa Yangu nimeianza vizuri na Joti Ahsante Shekhe Kitombangile

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 Рік тому +3

    Joti huyu demuuuu anajua man 🤣🤣🤣🤣uki mtrain sana mna share element na chemistry

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 місяців тому

    Nimecheka sana joti utauwa huna mpinzani😂😂😂😂

  • @alijunijohn8181
    @alijunijohn8181 Рік тому +2

    Duuuh😂😂😂🤣🤣nimecheka kwa sauti aisee et nimeshakula miti shamba vipi huko nitapata huduma

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb Місяць тому

    Mmetisha Sana Jama

  • @official-bg5298
    @official-bg5298 Рік тому +6

    Comediani hatari zaidi nakubali joti😂😂😂

  • @africanboyking1061
    @africanboyking1061 Рік тому +1

    Bro umetisha

  • @SalmaMohamed-ck3og
    @SalmaMohamed-ck3og Рік тому +13

    Jumma kareem....asante Joti kwa kutupa furaha na asubuhi

  • @joejux1380
    @joejux1380 Рік тому +1

    Ilisikika sauti kwa mbali ya muhudumu akisema lete taulo hilo wewe lete taulo la aftatu hilo wewe😂😂

  • @josephpaul4080
    @josephpaul4080 Рік тому +1

    🧐🧐🧐🧐 umetisha kinyama

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 Рік тому +2

    Ahsante mtombangile kwa burudaniiiiii 🥰❣️

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +4

    Joti unajua mpk unajua tenaaa 🤣🤣😂

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 Рік тому +3

    😂😂😂😂😂 daaah nimecheka kichizi yaaani

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Рік тому +9

    Jot you never disappoint 😂😂😂😂😂

  • @rashidimrang3463
    @rashidimrang3463 Рік тому +1

    Joti unajuwa kk ndy sifa yko dah😂🤣🤣🤣🤣

  • @japhetkarisa2897
    @japhetkarisa2897 Рік тому +1

    Kaz nkopeshwayo dorsi

  • @user-mg1pj5py4s
    @user-mg1pj5py4s 8 місяців тому

    Nataka kucheka sina mbavu❤...

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 Рік тому +4

    Siku yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😆😂

  • @msanyawilliam7499
    @msanyawilliam7499 Рік тому +3

    Dada kakopwa ety 🤣🤣🤣 nishai 🙌🙌

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Рік тому +1

    Daah ,nimecheka kifala sana yan

  • @vickicipata1365
    @vickicipata1365 Рік тому +1

    Oya joti wewe ni noma ndugu yangu yani hawajakosea kupuka tunzo ya comedian bora tanzaia mm nakukubali wewe ni mbunufi mzur nahuishiwi mbuni kaza buti mzee mwenzangu 😂

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b Рік тому +15

    Kama unamkubal huyu mwamba gonga like hapa
    Joti never disappoint 🤣🤣🤣 mbavu zangu

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial Рік тому +2

    aliyemkubali Askari kanyinyi Agonge like

  • @gilbertsimon373
    @gilbertsimon373 Рік тому +2

    Tuleteee staring ya babuu bnaaa 😁😁

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 Рік тому +3

    kaka unaona Mimi nasura ya ujambazi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @annatwelewile3498
    @annatwelewile3498 Рік тому

    Yaani huyo polisi kama kweli ,dah,fanya uombe KAZI ya upolisi umependeza SANA.

  • @ayubuissa2687
    @ayubuissa2687 Рік тому +1

    Sina utofaiti na mganga wa kienyeji😆

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +12

    Joti never disappoint nakubali Sana Bro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥

  • @jonasmongi7811
    @jonasmongi7811 Рік тому

    Sema uyo dada mwenye amesuka namkubalig kinyamaa..

  • @kayjuma2629
    @kayjuma2629 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂 huyo jamaa anakomaa na taulo lake daaaah

  • @damarisonsabwa1293
    @damarisonsabwa1293 Рік тому +8

    Best comedy ever 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mathiasshayo6348
    @mathiasshayo6348 Рік тому +2

    ana nywele fulani kama mpunga wa kisele😂

  • @ashfatkalokola7943
    @ashfatkalokola7943 Рік тому +1

    Big up joti broo 😂🙌🏽

  • @Ahmed-mt1pb
    @Ahmed-mt1pb Рік тому +1

    Kiboga yupo vizuri Zaid kuliko nishai

  • @getrudakalinga5832
    @getrudakalinga5832 Рік тому +1

    Doris mtraaa much love

  • @user-lk9rb2zw9s
    @user-lk9rb2zw9s 2 місяці тому +1

    Timu joti❤❤❤❤❤

  • @winnieseba2257
    @winnieseba2257 Рік тому +2

    😂😂😂 nimechekaaaa

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 Рік тому +5

    The Greatest content creator in Africa Joti😅🙌

  • @wasaficlassicshoes
    @wasaficlassicshoes Рік тому +2

    😂😂😂eti nakopwa

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 Рік тому +1

    nishai umekopa sambusa duuuh,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 Рік тому

    Mmetisha sana 🙌🙌🙌

  • @shukumtonya589
    @shukumtonya589 Рік тому +3

    Miuno ya nishai💥💥

  • @taifocuscompany9246
    @taifocuscompany9246 Рік тому +1

    Mtombangile kitwango😄😄😄

  • @zuzuutv8782
    @zuzuutv8782 Рік тому +1

    Mwamba anasema ntakupa mm ela mbuzi kafia kwa muuza supu

  • @AishaNassor-lm6eq
    @AishaNassor-lm6eq Місяць тому

    😂😂😂 miti shamba

  • @khatibaliy4738
    @khatibaliy4738 Рік тому

    Joti yani upo vizuri nakubali kazi zako

  • @lydiacharles5966
    @lydiacharles5966 Рік тому +4

    Leo wa kumi na tano🔥🔥🔥👍🤩😂😂😂♥️😂♥️🇹🇿

  • @sophiesadick5510
    @sophiesadick5510 Рік тому +3

    🤣🤣! Doriceee 🤣🤣! Happy to see Mwamba though he was "home alone' 😁. Kanyinyi na Mlewa hivyo visa kuwatoa watu ndani kwenda kuwaanika

  • @hamidumasoud4112
    @hamidumasoud4112 Рік тому

    Joti unajua xn 😀😀😀😀😀

  • @maisarayyan5913
    @maisarayyan5913 Рік тому +12

    Here from Doha l can't miss his vedio.. keep up Joti you put a smile on me always

    • @elineminja8074
      @elineminja8074 Рік тому

      Jot namim napenda kuwa msanii na kipsj ninacho nisaidie

  • @erastohayola6881
    @erastohayola6881 Рік тому

    Muhudumu wa guest ni maandaziiii

  • @rukiasultan716
    @rukiasultan716 Рік тому +1

    Joti kwa nini lkn🤣🤣🤣🤣🤣gonga like hapa

  • @lewiskombole2917
    @lewiskombole2917 Рік тому

    Kanyinyi yo way better than most of bongo movie Shrek's

  • @mohamedshah1700
    @mohamedshah1700 Рік тому +2

    Nimejifunza kitu kuhusu guest bubu

  • @mlekwamacheda6633
    @mlekwamacheda6633 Рік тому +1

    Mie mwenyew sieki tv ndan mpira ntakua naend kutizam njee😂😂😂😂😂

  • @marrymenas
    @marrymenas Рік тому

    Kwa hiyo Nishai, dem kamla, guest Bubu hajalipa, na kabakiza nguvu anaenda kumalizia kwa mke halali 😆

  • @jasminhussein3024
    @jasminhussein3024 Рік тому

    Napend Ako kamdundo😂✌️🔥

  • @joycedeogratius5534
    @joycedeogratius5534 Рік тому +3

    Genius actor from Tanzania

  • @dickinsonsadam6030
    @dickinsonsadam6030 Рік тому

    Aaa huy jamaa ninom san namkubal kinom yan

  • @TheZepporah
    @TheZepporah Рік тому

    Hahaha Umekopa na Taulo umeondokanalo pia..Nishai kweli wewe Nishai. 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zedanton7316
    @zedanton7316 Рік тому

    Umetisha san bro

  • @zakiamohamed9911
    @zakiamohamed9911 Рік тому +1

    Asali Tena 😂😂😂😂😂🤣

  • @khadijaayubu5474
    @khadijaayubu5474 Рік тому

    Napenda kazi zako joti

  • @mkariwanyota5222
    @mkariwanyota5222 9 місяців тому

    Joti bana😂😂😂😂😂😂😂

  • @mussaluther5571
    @mussaluther5571 Рік тому

    Joti atafia njian kwa mitishamba aliyoitafuna 😂😂😂

  • @sophiesadick5510
    @sophiesadick5510 Рік тому

    🤣🤣. Kumbe alikuwa anatafutwa Mwamba akamponza na Dorice.

  • @iddyabduly776
    @iddyabduly776 Рік тому +2

    Wa kwanzaaa kuanglia

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Missss you nishai🤣😆🤣😆🤣😴💋😘💃

  • @rafaelishirima8634
    @rafaelishirima8634 Рік тому

    Mkaliii✋✋✋

  • @josephmayoka3899
    @josephmayoka3899 Рік тому +1

    Talented jot from 🇦🇶🇦🇶

  • @thesoundtvonline
    @thesoundtvonline Рік тому +1

    Joti joti kwanini unahamuwa kunichekesha🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FelixJia1
    @FelixJia1 Рік тому +1

    Sasa huko tutapata hifadhi maana Nimeshakula miti shamba... 😂😂😂

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV Рік тому +2

    Joti mwehu kabisa😂😂

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 Рік тому

    Angalau leo kidg nmewah wahi

  • @linolee2819
    @linolee2819 Рік тому +1

    Leo hatukai😅😅🤣

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 Рік тому +1

    Jot talented pure

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому

    😂😂😂😂 Nishai ulikumbuka kuvua nguo kabla ya viatu mana umetoka nje viatu vipo miguuni

  • @jumanneshabeni2009
    @jumanneshabeni2009 Рік тому

    dah😄😄😄eti nishakula miti shamba nishai

  • @zurfapahenge8802
    @zurfapahenge8802 Рік тому

    Unaasali kwanza🤣💞

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 Рік тому

    Kaka nitapate hifadhi kwl maan nimekul Miti shamba na Una asali kwl natak kuwangia mtto 🤣🤣😀

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 Рік тому +1

    Haha Talented One

  • @rebanuszananiasz1248
    @rebanuszananiasz1248 Рік тому

    Joti bimkubwa ako asingekuzaa angeumwa sana tumbo wallah

  • @khadijakassim4361
    @khadijakassim4361 Рік тому +2

    joti wani umiza mbavu zangu😂😂😂