HAYA NDIYO MAISHA HALISI YA BABA MLEZI WA MATHA MWAIPAJA NA BEATRICE MWAIPAJA,,HII NI KIFURU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 193

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 18 днів тому +11

    Safi sana mzee mungu anipe maisha kama yako nimeipenda iyo life❤

  • @margaretkinyanjui497
    @margaretkinyanjui497 5 днів тому +1

    This is wonderful. He's a rich man and very organized

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 19 днів тому +17

    Huyu baba Ana ndoto zangu jamani nataka haya maisha ya kufuga

  • @vincej9275
    @vincej9275 18 днів тому +6

    Hongera rana Baba kwa kazi nzuri. Good plan for retirement.

  • @PeninaMwali-rf5bm
    @PeninaMwali-rf5bm 18 днів тому +6

    Huyu Mzee niwakipekee hekima nyingi anayo pia ushauri pongezi, atakuwa mfano kwa watu wengi 🎉🎉🎉

  • @JudithAdonis
    @JudithAdonis 18 днів тому +5

    Mungu atusamehe kwa namna yoyote kama tunakosea......
    Ninachokiona kuna shida kati ya Martha na mdogo wake ambayo sisi wa nje hatuijui........ na bahati mbaya sana haya yanayoendelea kwenye mitandao ndiyo yatazidi kuwaweka mbali kwa sababu Martha its like anadhalilishwa sasa
    Lkn kwa upande wa Mama naweza kusema ametumia nguvu kubwa mno ya kujieleza na kuonyesha mwanaye hamjali na anaishi kwa shida 🤔🤔🤔 may be angeongea kwa namna nyingine...... coz tunavyoangalia Baba anavyojieleza ni kwamba maisha yako vzr kbs na ni Baba wa watoto wote tuna iman kama anavyooshesha kuwapenda watoto ndivyo na Mama anapendwa
    MUNGU ATUSAMEHE 🙁🙁🙁

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 16 днів тому +1

    Hongera Sana Baba Mlezi wa Martha Ina maana wanajilisha vizuri mashamba wanayo. Ila basi mama Martha asiendelee kulalamika zaidi mtoto riziki yake itazibwa, atapata faida gani mtoto asipoinuliwa kwa ajili mungu aweza kumsikiliza mama kibano kikaongezeka . Mungu hadhihakiwi atakurudi vibaya.😊

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 16 днів тому +3

    Mungu nifundishe kunyamaza 😢😢😢

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 15 днів тому +2

    Ni baba bora sana mama Martha ana mume bwana 🎉

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 18 днів тому +6

    Aksante baba umetuheshimisha Watanzania

  • @mmichaeleletricet4554
    @mmichaeleletricet4554 16 днів тому +2

    Pia watoto wanakuwaga na.wivu na wazazi wao!!mmoja akifariki wanataka waishi na huyo aliebaki asiolewe wala asiowe! Na nafikiri martha hakufurahia mama yake kuolewa tena ukizingatia mzee ana watoto wengine 4 hii inaletaga shida tuu 16:33

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 14 днів тому

      Heri uolewe tena kuliko kuwaka moto, mtoto asiingililie maisha ya mama

  • @petermabale4320
    @petermabale4320 18 днів тому +3

    Eye opener. Mama Martha hana shida ki hivyo kama anavyojiliza.
    Kutaka upendo wa mtoto ni sawa lakini kulia maisha magumu ni kumkufuru Mungu

    • @jadetoto
      @jadetoto 18 днів тому +1

      Huyo baba ana watoto wake 7 Mama martha kaenda hapo kama nke tu jua watoto wa kwa za kwa mke wa kwanza macho ni hapo

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 19 днів тому +13

    Huyu baba ana hekima pia mpiganaji sana

  • @MamaSamKK
    @MamaSamKK 16 днів тому +1

    Mungu na aitwe Mungu! Hata na iweeje, kushinda atashinda. God protect Martha. Hii ndio maisha mamake anaishi huku anapiga nduru akimdhalalisha mwanaye! I knew it was hatred from Beatrice and her mother.

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 18 днів тому +8

    Ninachokiona mimi ni kwamba aijalishi huyu baba ana uwezo gani ila kikubwa Martha anatakiwa awe na mapenzi na mama yake ila Mimi ningekuwa mama yake Martha wala nisinge mlilia akinisaidia sawa na asiponisaidia pia sawa duniani malipo yapo unamuachia Mungu pia mama Martha anatakiwa asaidiane na mume wake ktk hizo kazi za shambani hawatokosa kula vinzuri

  • @mariej6962
    @mariej6962 17 днів тому +2

    Akili kubwa sana mzee wetu. Mnaomsema mama analia lia, analilia kuwa karibu na mwanaye, hana njaa, ni watu wanaoheshimu kazi na wajibu wa kulea watoto. Alikuwa na mke wake akafariki ndo wakaoana na mama Martha. Wamefanikiwa kuzaa mtoto mmoja katika ndoa yao lakini waliunganisha nguvu kuwalea watoto wao wengine wa kufikia pande zote 2. Ila nyie waandishi, katika documentary zenu msisahau kuainisha time, place and person. Haya huyu mzee anaishi mji gani?

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 18 днів тому +8

    Jamani nikwambie ukweri hata kama wanamaisha ya kawaida chamuhimu mama anahitaji upendo kutoka Kwa mwanae Martha awe nae karibu na familiya ya watotowake

    • @TulysterJofrey
      @TulysterJofrey 17 днів тому

      Nikwambie kitu Kuna mengi sana kwenye hiz familia za watu kila mtu apambane na familia yake, huwez kumlazimisha wao ndo wanaujua ukweli

  • @lovek6593
    @lovek6593 17 днів тому +2

    Huyu baba ana akili sana.hongera babaangu.hekima pia uko juu❤

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 18 днів тому +3

    Huyu ni baba Bora na anawawazia watoto vizuri. Japo ni baba mlezi lakini huyu angestahili kuwa Baba mzazi kwa Martha .Martha tafadhali nakujulisha tu huyu ni baba mwema.

  • @furahantamanwa5511
    @furahantamanwa5511 18 днів тому +2

    Mama martha hana shida ila wanachofanya ni kumchafua martha. Hii hali ya kumkosoa mitandaoni na kuonyesha anashisa huu ndio ukweli halisi. Hapa ndio ukwelikqamba kuna jambo limefichika. Muda utafika tutawaelewa mchezo wao. Hii familia inashida kubwa nahisi kuna vita ya kiroho baina yao. Martha atubu na akae na Mungu vizuri.

  • @jadetoto
    @jadetoto 18 днів тому +3

    Watu wanaosema.mumewe anajiweza ni sawa...unajua kuolewa na .tu tayari ana watoto zaidi ya 6 u aweza kuta hapo urithi kwa watoto wake kwa hiyo mama naye anatakiwa apambane na vyake kwani tayari huyo baba ana watoto wengine na inatege.eqna wanavyoishi

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 18 днів тому +2

    Mama anatamani mali za mather zowe za bite cos anampenda zaidi bite so ni mpango tu wa kumuangusha mtoto wake mkubwa,nashukuru mather upo kimya waliokupiga mawe wanajibiwa na mungu Ameen,mume wa mama yako yupo very good ila ni chuki kwako na roho mbaya ya wewe kukaa na joany,hawajui kupenda watu wengine,wanyakyusa nawajua vzr

    • @jadetoto
      @jadetoto 18 днів тому

      Huyo mama wala.sio mnyakyusa. I mtu wa Iringa mumewe ndo alikuwa Mnyakyusa na pia huyu hapo ni kwa mke wa kwanza ku a watoto yeye ana mtoto wake alimzaa why asimlilie

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 16 днів тому +2

    Safi sana mzee ni tajiri hadi raha Sasa mama Martha analia Nini wakati wako vizuri hivi jamani

  • @AcelineNyoni
    @AcelineNyoni 16 днів тому +1

    Mama.martha.unataka maisha gani mbona upon Slamannan sema uchotaka kwa mwanao

  • @vero57
    @vero57 18 днів тому +15

    Sasa huyo mama yake mather ana lia nini kuwa anashida ?? Mbona huyo baba anaishi vizuri tuu

    • @AnethJoseph-x6t
      @AnethJoseph-x6t 18 днів тому +1

      Kutegana na mwanao huwezi kulia?

    • @gracemkumbwa6539
      @gracemkumbwa6539 18 днів тому +1

      Analia yeye ana maisha magumu hadi anauza juice kama wanawake wengine 😂😂... eti wanawake wengine sijui wamekosa nini wakiuza juice nyieee

    • @MargaretOmondi-pf3uz
      @MargaretOmondi-pf3uz 18 днів тому +1

      Ni uchungu kwa Mama ju mtoto wake ni STAR na Shetani amamgeuza akili. Ataacha kulia Joan atakapo acha Martha. Mungu amfute machozi amrudishie mwanaye furaha irudi moyoni mwake.

    • @YustinaMorris
      @YustinaMorris 18 днів тому

      M shamba wewe analilia mtoto wake

    • @Nancy-z8h
      @Nancy-z8h 18 днів тому

      ​@@MargaretOmondi-pf3uzangekuwa na uchungu asingekuja kumdhalilisha mitandaoni hao wamekuja kumkomoa na watashindwa

  • @baliSkk
    @baliSkk 17 днів тому +2

    Huyu mzee ako na hekima sana.Yeye ni baba mlezi wa martha na beatrice lakini aliwalea na kuwapenda.Aliwapeleka studio kwa hela zake kurecord nyimbo zao za kwanza na sasa wamefika hapo walipo.martha na beatrice wasisahau na huyu baba pia amechangia pakubwa kwa usanii wao.

  • @jeniphagabriel7262
    @jeniphagabriel7262 4 дні тому +1

    Wawooooo maisha mema

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 18 днів тому +3

    Ila mama matha amealibu sna kumvunjia eshima mwanaye, ata kama mtoto akutunzi aina haja ya kutumia nguvu kiasi hiki kwenye media, wewe ni mzazi ungekaaa tu ukatulia huyo math ni mtoto wako angejiludi yeye mwenyewe anajuwa amezaliwa, wewe ungemwachia mungu alie kupa mtoto huyo sio kutumia nguvu, mungu angekujibu kwa halaka sana, sio huku uliko kulupuka mama yentu, alafu ata shida huna, sijuwi mishetani gani anayetumika katika moyo wako ambao amejinyenyuwa na kujifanya wewe unashida kumbe ata shida huna mama yetu huyo ni pepo mama likemee, wewe ni mzazi usimvuwe nguo mwnao unamualibia mama, wewe ni mzazi, kama uliweza kubeba mimba miezi tisa au kumi ukazaa, bs hata hili nilikuwa nakuomba ungelimeza tu, wala usingetowa inje, kiitwa mama sio mchezo, nikuvumilia hata hizi changamoto za watoto mungu awezi kukupa vyonte, lazima uwe na kitu cha kukuumiza wewe ungesali, tu na kumshukulu mungu kwa kila jambo

    • @ArdickSimurudi
      @ArdickSimurudi 18 днів тому

      Kweli mama hana ekima ana vuwa Nguo manaye awowote wanakuja kumuuriza maneno iri aayibishe mwanaye hawatamusaidiya cocote

    • @cibalonzasifa5603
      @cibalonzasifa5603 4 дні тому

      Nafikiri mâchozi ya huyu mama ni kuokowa maisha ya mwanaye ila sio tu mussaada.

  • @AselinaMlinga-eu1vu
    @AselinaMlinga-eu1vu 18 днів тому +2

    Mimi ninaona , Mungu kumtumia Beatrice kufanyika baraka kwa familia Yao, maana Martha Kama ni kweli huko alikokuwa anaelekea ni kwenye laana, mama ni mama hata awe na kila kitu cha hapa duniani lakini anatamani kusikia mtoto wake anamjali walao kwa salamu. Na tujue mtoto hakui kwa mzazi. Mungu wa Mbinguni aingilie Kati swala hili ni afanyike ukombozi kwa nafsi yoyote iliyokuwa inaibiwa na adui 🙏🙏🙏

    • @JosephLoy-k2g
      @JosephLoy-k2g 17 днів тому +1

      Ni sawa, ila kuna shida kati ya bitrace na martha, ila ukweli ni kwamba bitrace anamwonea dada yake wivu sana,

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 17 днів тому +2

    Mzee yuko vizuri kiuchumi. Maza sijji kwa nn kaamua kuungana kum dhalilisha mwanae

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 17 днів тому +2

      Hata wewe huwezi kufurahia ukiona mwanao anapotea halafu huyo mume ukumbuke ana Watt wengine

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 18 днів тому +3

    Mzee ni tajiri hakika

    • @lovek6593
      @lovek6593 17 днів тому

      Yaa na wala Hana nyobo haringii

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 18 днів тому +2

    Kuna Mimi nawa a Kama Huyu mama siyo mama yake Martha kwa sababu Hana njaa lakini anamuzaririsha Martha angekuwa mama yake asinge ongea hivyo mama huwa anafichia Aibu ya mtoto wake walipanga tuu kumuchafuwa Martha yeye na Beatrice ili Martha aanguke Ila Mungu yupo naye atamupigania Martha

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 16 днів тому +2

    Mimi sielewi hata kidogo,mama Martha anasema ana Hali ngumu,mbona maisha hapa yanaonekana mazuri anavyoonesha mume.

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 14 днів тому

      Huyu si baba kumzaa.....mama aliolewa tena huezi jua kati ya hawa watoto na akina Martha iko aje?

  • @WilliamLubongo-eu6fi
    @WilliamLubongo-eu6fi 18 днів тому +1

    Mbona Mzee yupo vizuri,ni mpambanaji

  • @rithamkude1656
    @rithamkude1656 18 днів тому +2

    Mi bad namshangaa yule mama kujiliza hovyo anatumika vibaya sana .hajui km anazidi kuweka uadui na mwanae au kunalaziada Kati yamama na mtt?? Tuwemakini tusimchukie mtu tu kunakitu ndani yake

  • @BarakaMsukuma-g1q
    @BarakaMsukuma-g1q 17 днів тому +1

    Wise Dad

  • @justineandisi2930
    @justineandisi2930 19 днів тому +6

    I see...
    Shida ya mama ni Joan kuondoka katika maisha ya Martha but hizo story za kuokota makopo ni porojo tu...saidia mzee kuchunga boma unywe maziwa, ule samaki, kuku na hilo boma lina utajiri mwingi saaaana...

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono 18 днів тому

      Mwenza siku hizi kila mtu na chake kumbuka baba anawatoto wengine

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 18 днів тому +2

    Ndio maana Martha mwaipaji anahepa,,mamake Martha ameoleka na mzee ana watoto wanata Martha abebe mzigo haumfai,,uyu mzee ana mali kube,,,mamake Martha ni Tamaaa Tu

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 15 днів тому +1

    Mie nahisi mama hana shida ila anajua mtoto wake kaingiliwa na shetani anataka amuokoe. Kifamilia imeshindikana kusuluhisha.

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 15 днів тому +1

    Hata kama ana maisha ila kwa mana Inauma unasikia mtoto wako kamnunulia msichana wa kazi gari halafu wewe hakujali 😮😢

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 16 днів тому +1

    Nilisema mbna mama ananguvu kwann aokote makopo ?? Kumbe anamume anayesaidiana naye??

  • @user-qq7pg6jk
    @user-qq7pg6jk 17 днів тому +1

    Yule mama Yuko wapi, wewe mama matha weweee mambo Gani ilikua unawaeleza watanzania?? Mungu akusaidi, Sasa ndio nimeamini ilikua kiki, ila ni tabia mbaya sana wambaji wa nyimbo za injili???, mtajua Mungu hazihakiwi!!

  • @Jane-h1f6s
    @Jane-h1f6s 18 днів тому +12

    Kumbukeni huyu baba ana watoto wengine huyu mama kujiliza kwa mtoto wake ni lazima amsaidie mambo ya ndani ni magumu

    • @AbigailGlory-p4k
      @AbigailGlory-p4k 18 днів тому

      Umeongea kweli,

    • @Nancy-z8h
      @Nancy-z8h 18 днів тому

      Wanalazimisha kusaidiwa kwa kutumia nguvu hawa ndio wazazi ambao kila unachopata upeleke kwako na watoto wao ambao pia wanaweza kufanya kazi kuhusu wewe na maisha yako ya mbeleni utajua mwenyewe

  • @Asha-s9u8p
    @Asha-s9u8p 18 днів тому +1

    Dah, nimetoka kujifungua juzi tu trh 23, nilipokuwa mjamzito nilikuwa silali usingizi nilikosa Sasa natamani kulala kachanga kananisumbua. Alafu bado akue aje anilize tena? Eeh mungu tusaidie sisi wakina mama

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 16 днів тому +1

    Mnamlaumu mama hayo anayo yaonesha baba mkumbuke anao watoto watatu huo msaada anao utoa siyo mdogo hivi uwe na watoto wasikusaidie mpaka anapo ishi hukujui utweza kujaa kimya kuokota makopo anaye mjukuu hivyo ni njia yakuongeza kipato

  • @OscarFrancis-mx7iy
    @OscarFrancis-mx7iy 18 днів тому +3

    Mara oooooo mama anashida mara analala njaa mara analilia mtandaoni...na kumbe ana watoto wengine duu aka kamama ni kachawi anamzlilisha mme wake

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 14 днів тому

      Kabla ya kuitana mchawi umefuatilia kila kitu vizuri?
      Huyu ni baba kumlea.....huezi elewa maisha ya hawa watoto na akina Martha unajua watu weusi hawaezi pea wasimamizi mali kwanza ni mabinti wa nje

  • @EMMANUELCHARO-cu9dd
    @EMMANUELCHARO-cu9dd 16 днів тому +1

    Mama martha muongo eti anaishi maisha magumu

  • @FurahaZedson
    @FurahaZedson 18 днів тому +2

    Duh!Mzee ana busara Sana

  • @jordanmwamlima7579
    @jordanmwamlima7579 18 днів тому +2

    Sasa huyu mama anaokota makopo ya nini!? Yule mama mshenzi tu hana lolote

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 17 днів тому +1

    Mzee huyu ni safi sana na ana busara mno

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 18 днів тому +2

    Weeeh hii ndio maisha wanaishi then wanatafuta nn kwa Martha jamani mama Martha mungu anakuona😢

    • @LydiakokindoOTIENO
      @LydiakokindoOTIENO 18 днів тому

      Mzazi lazima asaidiwa .. no matter ..how the parents are rich ok

    • @zamzanimakundi2546
      @zamzanimakundi2546 18 днів тому

      Anamuona nini lea wakwako asikusalimie asikuhuduie uone raha yake au wewe mgumba?alee watoto wakue peke yake wakue leo mama anauza juisi mtoto anafungulia mambwa maduka nakuwajenge pumbavu

    • @gloriaamase9764
      @gloriaamase9764 18 днів тому

      Mama huyo ataki kitu kutoka kwa Martha but mama anataka upendo wa mwanaye na ukaribu sijuwi kama unaelewa

    • @esthermosses9903
      @esthermosses9903 18 днів тому

      Tumeishia haya maisha magumu Sana my dear . Hakuna kitu wanapata . Kula watakula kusomesha kazi

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq 17 днів тому +1

    Lazima alie ata uwe tajiri vp lazima ule matunda ya mwanao ni mwanao tu umezaa mtoto hata anako kaa ukujui miezi sita uonani nae roho inauma mwacheni amulilie mwanae nidamu yake

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 16 днів тому +1

    Yaan mzee anafuga samak jaman mmh hii familia cjaielew

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 18 днів тому +1

    Safi baba najua huna kikubwa,lakini nakusifu unatunza heshima yako.Hawa watu wa media wao wanataka umbea tu .Umewaonyesha wao na mimi wewe ni baba bora.

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c 18 днів тому +5

    Sasa mzeee baada ya kumshauri Mke wake awavuruge wanae sasa anaanza kutumia fursa kutangaza biashara zake hili nililisema toka siku ya Kwanza Muda sio mrefu mama Martha atajua kosa lake atamuomba mtoto wake na watanzania msamaha huyu Mzee ndo anajukumu la kumtunza mke wake Kwa Maisha haya anamuachaje mke wake aokote makopo inaingia akilini kweli kama hata kukamua maziwa wamemuajiri mtu duuu ila Dunia hii Mungu tusaidie na familia zetu

    • @veronicathomas89
      @veronicathomas89 18 днів тому +1

      Kabisaa ndugu,hawa wababa wa kambo huwa wanawivu sana baadhi na huwatumia wake zao kuhatibu maisha ya watoto wao wenyewe haswa wenye vimafanikio😢

    • @gracemkumbwa6539
      @gracemkumbwa6539 18 днів тому +1

      Imagine ndio watu wanakazana mama Martha ana maisha magumu, achangiwe sijui watanzania wamsupport😢 yaani kuna yatima na wajane huko wana shida hata juice hawawezi kutengeneza aanze kuchangiwa mtu mwenye akili zake anayejua kujieleza kwa waandishi wa habari vizuri kabisa... huo muda wa kujieleza si angeendelea kuboresha biashara

  • @RizikiRebeka-e9v
    @RizikiRebeka-e9v 17 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @EmmanuelSeti-z8q
    @EmmanuelSeti-z8q 17 днів тому +1

    Kumbukeni huyo mzee anawatoto wakwake wanaiangalia hiyo mimali mathar aaje upumbavu amsaidie mama yake bila yeye asingekuwepo huyo nimungu wapili anajali watu baki unamsahau mama yako nahako nahako kashetani kalaaniwe kabisa.

  • @SikituYusuph-fr7rj
    @SikituYusuph-fr7rj 18 днів тому +1

    ww unaweza kulima hali yakuwa watoto wameishakuwa vzr na ww nenda kalime mshamba nn

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh 19 днів тому +1

    Jama huu mumea unaitagwa MATEBERE NDIO HUPI?

  • @Mayambi-u5z
    @Mayambi-u5z 19 днів тому +1

    Baba mulezi congratulation muze iyo njo akili ya muana ume uyo martha a na fasi muzuri yakula samaki

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 18 днів тому +1

    Huyu bint kigoma simuelewi kila kitu

  • @dlmofficialtv6492
    @dlmofficialtv6492 18 днів тому +5

    Hili tatizo la Martha siyo ndogo
    Joan inavyo onekana ana picha mbaya zautupu pia duka limeankwa kwajina lake pia inaonekana kila kitu pale yeye ndiye Mumiliki sasa Martha anaogopa kuumbuka juu inaonekana kutokana na Msemo wa Joan Martha akimukana au akikiuka Masharit Joan ataweka wazi kila kitu
    MARTHA AWEMAKINI SANA KWA HILI:
    Jana kanisani ilionekana watu hawamwamini juu alifosi watu kusema Amen
    Iposiku Moja asipo yamaliza atapigwa mawe akiwa Madhabahuni au dukani nivema akalimalize aachane nahao waliyo shindwa asijifunze kwao.

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 18 днів тому +2

      Acha upuuzi mambo yapo wazi sasa maisha anayoishi huyu mzee na ndiye mumme wa huyo mama yao alafu mkewe anaokota makopo kweli tusidanganyane hapa mama anazingua

    • @dodogilly1590
      @dodogilly1590 18 днів тому +3

      Mtazamo wako, ila Mungu aliyempa kibali atabaki kuwa Mungu sio ww mwanadamu mjawa dhambi unayehukumu. Mungu akikupa kibali atakilinda mwenyewe

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 18 днів тому

      ​@@ubunifulifestyle3492ila ukumbuke kuwa baba nae anawatoto wake wakubwa na mama pia anamjukuu wa mtoto wake aliefariki ambae anasoma

    • @lovek6593
      @lovek6593 17 днів тому

      Yaa asicheze na mashabiki atapigwa mawe kama zuchu.na pia diamond kuzomewa kila steji juu ya ishu ya pididi

  • @saraoloo9251
    @saraoloo9251 18 днів тому +2

    Eiiiiiii from today have stopped minding other people's business, yaani hawa dynasty hivi😅😅😅

  • @rachelchebii7764
    @rachelchebii7764 18 днів тому +1

    alot of questions: Mama wa Martha anaishi na huyu Baba? if the Mom is suffering in poverty, why cant she go back.

    • @gracemkumbwa6539
      @gracemkumbwa6539 18 днів тому +1

      Mom is not poverty basi tu... unaona anapaka mafuta anang'aa anabana na nywele kuna mwenye shida anaonekana hivyo

    • @gabrielmoses6860
      @gabrielmoses6860 18 днів тому +1

      Hata uwe tajiri Kiasi gani,Mtoto wako unapoona anapote inauma

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 19 днів тому +1

    Endeleni kuihoji hii familia kwa utukufu wa MUNGU

  • @evamwakifulefule9073
    @evamwakifulefule9073 19 днів тому +7

    Baba mstaraabu sana.

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 18 днів тому +1

    Kwani huyu mama hana haki ya kuhudumiwa na mwanae? Mnajua uchungu wa mtoto nyie yasikie kwa mtu yasikukute

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 18 днів тому +1

    Ila wamama bwana sijui wanataka nini saa zingine labda wanataka ukaribu na watoto wake

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 19 днів тому +3

    Sasa shida iko wapi si atunze mkewe.Mbona waafrka tunatia aibu.

    • @FrankChacha-y3d
      @FrankChacha-y3d 19 днів тому +2

      Anatunza kadri ya uwezo wake
      Kwahy Martha kumjengea nyumba na kumnunulia gari Joan ndy sahihi sio??

    • @FemidaMaila
      @FemidaMaila 19 днів тому +1

      Shida hujaelewa story nzima

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 18 днів тому +1

      Usikulupuke kama ujaelewa, hizo ni mali za mzee na watoto wake mama nae anamjukuu yake unadhani jukumu la kumsomesha mtoto wa marehemu ni la huyo baba, Martha ilitakiwa amsomeshe mtoto wa dada yake

    • @dorothyannan8184
      @dorothyannan8184 18 днів тому

      Imagine

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 18 днів тому +1

    Mbona wana maisha mazuri tuu jamajani

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 18 днів тому

    Kwanza Martha angemushukuru huyu Mzee anajishughulisha sana harafu ana busara sana

  • @mabeyatv
    @mabeyatv 18 днів тому

    Sasa kwa nini asiuze ekari Moja akarabati nyumbani badala ya kulia Lia mitandaoni kuwa Martha hamsaidii?

  • @GreetyWillysiame
    @GreetyWillysiame 18 днів тому +1

    Wapendwa mnaonaaaaa.

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 19 днів тому +2

    Wanajizalalisha kumbe wanamaeneo makumbwa wanajikotesha makopo

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 18 днів тому

      Ningekuwa ni mimi Martha ningemuwekea mama mahouse boy 2 wakumsaidia kuhudumia mashamba na duka la kumuingizia vijisent na housegirl 1 basi ningeendelea kujirusha na Joan

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 18 днів тому

      Ningekuwa mimi Martha ningemuwekea mahouse boy 2 na house girl 1 halafu kijiduka halafu ningeendelea kujirusha na Joan

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh 19 днів тому +1

    BONA MZEE YUKO VIZURI OR MKE WA KWAZA YUPO NDIO MAMA YETU HAPATI MATUZO YAKUTOSHA MPAKA AOKOTE MAKOPO OR KUNA NINI ,SWALI TO,LAKINI ATA HIVYO JAMANI WATOTO TUWE NA USHIRIKIANO MZURI NA WATOTO.

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 19 днів тому +30

    Huyo mkewe anayejiliza maisha magumu eti anafanya kazi ya kuokota makopo si asaidiane na mzee kazi za shamba.Mbona yeye halaumu wanawe kwa nini martha tu.

    • @FrankChacha-y3d
      @FrankChacha-y3d 19 днів тому +1

      Wanawe wanamaisha magumu kama yeye tu sasa atawalaumu vp

    • @DanazonTv1
      @DanazonTv1 19 днів тому +5

      Kuna Siri iliofichika apa kuna watu wako n Maisha magumu sana hapa mama awezi lia anataka tu kuangusha mwanawe

    • @sikitunathing9429
      @sikitunathing9429 19 днів тому +10

      Nyie ku comments ujinga munajuwa uchungu wa mzazi kwa mtoto wake

    • @DanazonTv1
      @DanazonTv1 19 днів тому

      @@sikitunathing9429 there is an hidden agenda what made all those ????????

    • @michaelfaraday07
      @michaelfaraday07 19 днів тому +2

      Pumbavu kabisa,kama huna cha kucoment potezea kuliko kuandika pumba hizo😢😢😢😢

  • @oman-c7y
    @oman-c7y 19 днів тому +4

    Kwani uliambiwa hamtunzi.anatunza kadiri ya uwezo wake.na huyo mtoto wake atunze watu baking.sababu Ana mume?Martha kaombe masamaha mama yako.hakuna kama mama.

    • @veronicathomas89
      @veronicathomas89 18 днів тому +2

      Hata wewe una madhambi Yako hatuyajui kaombe msamaha uliowakosea,acha kuhukumu

    • @gracemkumbwa6539
      @gracemkumbwa6539 18 днів тому +1

      Mama hataki mwanae atunze watu wengine pia anatamani martha amchukue wakae naye saa sijui atamuacha mume akaishi kwa mwanae maana hela ya kupewa haijawahi tosha ukimpa laki 1 yeye anajua una 1m ila umempa kidogo

    • @AnneLumbe-f3q
      @AnneLumbe-f3q 18 днів тому

      Kweli watu wepesi sana kuukumu​@@veronicathomas89

  • @miriamdastan1699
    @miriamdastan1699 19 днів тому

    Kiswahili Cha bint kigoma mbavu Sina

  • @sikitunathing9429
    @sikitunathing9429 19 днів тому

    Hata ivio anaitaji kuwa karibu naye tu, njo raha ya kuzaa

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 18 днів тому

    Sasa mbona yule mama anasema anaokota makopo jaman kivip?

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 18 днів тому

      Ningekuwa mimi Martha ningemuwekea mama mahouse boy 2 na housegirl 1 na kuendelea kujirusha na Joan

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 18 днів тому

    Hawa watangazaji buana

  • @InnocentJohn-l5y
    @InnocentJohn-l5y 19 днів тому +1

    Huyu bint kigoma hiyo ni mekap usoni au ndo sula yako

  • @SikituYusuph-fr7rj
    @SikituYusuph-fr7rj 18 днів тому

    aliwazalia bure acha maneno ya kishez ww tokea uko tumbon mwa mama yako yy analima na yy afike mahali ale pesheni

  • @sikitunathing9429
    @sikitunathing9429 19 днів тому +1

    Martha ni mjinga sana, mama ana lilia ukaribu wake ndio wa lazina, hizo hela zake zamapepo atumie mwenye zika mumalize mwenyewe

    • @Madina-uw6ce
      @Madina-uw6ce 18 днів тому

      Mkunduo

    • @veronicathomas89
      @veronicathomas89 18 днів тому +1

      Una uhakika ndugu?Usihukumu usije ukahukumh

    • @ArdickSimurudi
      @ArdickSimurudi 18 днів тому

      Jamani aceni wivu mumu aciye mungu

    • @dorothyannan8184
      @dorothyannan8184 18 днів тому +1

      Ingekuwa analilia ukaribu ningemsapoti mama lakini mama anaonekana kulilia pesa na Mali hapo ndio mana nakua mbali kidogo.

  • @rachelchebii7764
    @rachelchebii7764 18 днів тому

    kwa ufupi: mzee is busy working, and has no time for drama/ vituko ya Mama with her daughters?

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 18 днів тому +1

      Ningekuwa ni mimi Martha ningemuwekea mama mahouse boy 2 na house girl 1 niendelee kuponda raha na Joan

  • @winfridaisack2608
    @winfridaisack2608 18 днів тому

    Iyo malela si ya toangoma au wap

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 18 днів тому

    Bint kigoma uko bize

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 18 днів тому

    Kula chuma hicho..hahah

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 19 днів тому +4

    SHIDA IKO WAPI MAMA MARTHA KAMA MUMEO HAKUTUNZI TOKA KWA MUMEO UJULIKANE HUNA MUME JUKUMU LA KUKUTUNZA LIBAKI KWA WANAO.UNAMTIA HUYU BABA KUSEMA UNAOKOTA MAKOPO MTAANI.😢😢😢

    • @AishaZuber-z6g
      @AishaZuber-z6g 19 днів тому +2

      😢😢kweli kabisa mume itakuwa Ana choyo ujue hatujui yandan kabisa

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 18 днів тому +1

      ​@@AishaZuber-z6gsio choyo wanawake ndo mlivyo hamriziki na mi naona kunasanaa hapa ya kumchafua huyu mwimbaji hawa hawaokoti makopo waongo wakubwa hawa, mwanzo nilihisi maths anazingua ila leo kuna kitu

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 18 днів тому

      Loo mtihani usiyoyajua ni usiku wa giza Mungu Atusamehe tuliomtusi Martha kwa kweli kama mume hamtunzi aondoke watoto wake watamtunza kwa kweli kwa video hii Martha atusamehe tuyaache

  • @NeemaDotto-d1b
    @NeemaDotto-d1b 18 днів тому

    Mm.naona ayo maisha ni wongo.labuda kunawatu wa mekaa wanatafuta njia.ya kutupumbaza kwasababu jisi walivyo na ayo.maisha.awaendani

  • @vero57
    @vero57 18 днів тому

    Sasa mbona baba ana mangombe shida ni nini????

  • @LovenessAlbert
    @LovenessAlbert 18 днів тому

    Nyie huyu mama anataka kua huru na mwanae jamani!!!!

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 18 днів тому

    Kwanza Martha angemushukuru huyu Mzee anajishughulisha sana harafu ana busara sana