Nimekupenda Mzee Shayo... Mungu akubariki kwa kipaji Hujapewa na wanadamu umepewa na Mungu ... na kuwakumbusha Watumishi wake wasilale... hizi ni nyakati mbaya... amka, amka nafsi yako imtukuze Mungu wetu. Happy New Year... kika aliyecheka ajitafakari. Asante Kaka yangu Makonda kwa hili, umecheka weww ni binadamu ila moyo wako unamweshimu Mungu.. Pastor Kapora kunena kwa lugha kila mtu anaweza hata kwa. Kiigiza... watakatifu wajazwe na Roho Mtakatifu kama ilivyokuwa ktk kanisa la Kwanza.... Ishara na miujiza... wati waponywe... mwaka huu anzeni mahospitalini, magerezani... tusijisahau Mungu yupo na watu wanamhitajiMungu.. Tazama shamba limeiva kwa mavuno ila watenda kazi ni wachache... mm nawaona wengi hapo Arusha.... Mungu apeleke watendakazi shambani kuujenga Mwili wa Kristo. Nimefurahi kwa kuwa Mungu anatukumbusha kufanya mema na kutimiza maagizo aliyotupa... tusijisahau, tusizimie mioyo. Yeye yuko pamoja nasi. Nakumbuka miaka ya nyuma ushuhuda wa Reinhad Bonnke. Alianza kanisa kwenye club ya mziki... Mungu yupo tendeni kazi yake, msiogope kushutumiwa ni sehemu ya Injili. HERI YA MWAKA MPYA... YESU AWALINDE❤

Huyo mzee kwa kweli ako sawa ❤❤❤❤❤ from 🇰🇪
One of the best😅😅😅
.....😂😂😂😂😂😂😂😂 Ubarikiwe Sanaa mzeee shayayo kwa kipaji kizur sana
Mr shayo nakukubali mpaka basi🙌❤️🤣
Baba unatuvunja mbavu kweli mungu akupe maisha marefuuu
Number one ❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤
Much love to you mzee shayooo❤🎉
Aaah ahsante hiii imeenda. Wachagga ni wambea hadi harusini.
Jamaa anajua kinomaaa ..churchl show to the wold
Shayoo we mzee wangu kweli. Nimependa hii from 🇰🇪
Habariiiii ni MAUA KWA BABY video ncheki UA-cam Boi bill oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeee ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
You rocked it 🙌 Uko vizuri
I love this
Uyu jamaa anakipaji Cha mc sana hongera
😂😂 Mzee shayo anajua 🎉
From Burundi ❤❤
🤣🤣🤣🤣 mzee umetisha vibayavibaya🔥🔥🔥🔥🔥
Unafurahia Kichekesho na familia Huku ukimalizwa Helaa
Mzee anapendwa tu ❤
mzee shayooo kauwaaa😂😂😂❤❤
Jamaaa anajua
Umetisha mzee Shayo 😂🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Umetisha mzee Shayo😅😅😅
Umetishaaaa 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Hapo kwenye kubalance huyo ni mimi kabisa 😅😅😅
😂😂😂
Mzee Shayo anajua aiseeee
Katisha sana shadow...namkubali
Nimecheka jmn Huyu baba
Hahaaaaaaa... Eti, "kwahiiiyooooo.....""
kusema ukweli Sisi wamasai Wana Arusha kwenye sherehe bila hii nyimbo kupigwa hatuoni kama Ni sherehe 😁
Shayo ❤❤
Shangazi Dotnata 😅😅😅
Daaah 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Sisi maskini ndo tunaowasumbua vinyozi, mara hapa weka hivi, mara chonga😂😂😂😂
mm nimerudi mpk bando limekata apo mwishon roman vs walokole😂😂😂😂😂❤
Apa walokole ndo ametixha
Duuh kumbuka kutoa Zaka Mchekeshaji Uko Vizuri SHAYO
Huyu fala anajua hahaaa😂😂😂😂
Huyu Jamaa Anajua Sasa Kuchekesha😂😂😂😂
Kutoka 254 huyu ako sawa 😂😂😂😂
Maria Makonda cha upole mwenyewe
Sana
Mkuu wa Mkoa Makonda anampinzani katika wa Kuu wamikoa yote Tanzania
😂😂😂😂 ninoooma aisee!!!
But why Mrosso ?
Nimelia sana 😄😄😄😄
😂😂😂
Kenya endeleeni kuandamana si tunakula bata tuh huku
Umetiaha😂😂
Maskini UNATESA VINYOZI sio poaa Mr Shayo
Mzee Bahalia 4:37
Mzee Shayo ndo alitisha sana Arusha
Jamaa atengwe
Yaani nimekufurahia mno
😂😂😂😂😂I like the way una uhalisia
😂😂 chetii chàkulala nae bilanguoo
🎉🎉🎉
MC tricky, look for this guy. He sounds like you, 🇰🇪
Umeuwa😂😂😂😂
Wew shayo ovyoo kabisa
Mzee shayo
You deserve to be a mc big up bro
Hataree
Shayo mjinga sana 😂😂😂
Kaka umeweza,
Mbona huyo Kasongo yeye amekaa katikati ya Simba. Kasongoyeye
Kazi yenu ni njema
Nimemuona kasongo
❤
Watu wa r chuga ni noma sana
Mzee Bahalia
Yaan wewe Mungu anakuona
Kiboko😅😅😅
Shayo nikikukamata nakuvunja kiuno chako kwanini unanitaja taka jina langu dotnata
Mzee shayo heshima yake sana
Shangazi Dotinata dah!😂😂😂😂😂
Mxenge kaua sana😂😂😂😂
Shayo kaua shoo🤣🤣
Penda cna wewe kaka maana si kwa vtuko hvo,mungu azidi kukutunzaaa
Katisha sana
Tulio LUDIA kuona tena tujuanee
Umeua
Si tujue tu kama ni wa bss
😮
Shayowell
Wambie hao wakatorik
Nimecheka kama mpumbavu
Kwa nn dotinata lkn...😂😂😂😂
Huyu alikua show
Yan wabongo walitisha
😄😃😀
Utawalaaaa
😂😂😂Hahaha haha hahaha haha hahaha haha hahaha
Collabo ya vipaji tupu
Umeuaaa
Huyu mzeee ana kitu sio mchezo
Tundulisu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shayoooo love uuuuu😂😂😂😂
Mambo ya kujamba ya nini bwana eee😂
😅😅
Mecheka hadi mecheka tena
😂😆