GB 64 AFURAHIA Usajili wa DEBORA FERNANDEZ / KWA HASIRA AFUNGUKA UCHAWI UPO YANGA wanaloga WACHEZAJI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 44

  • @user-qw9zu3ly8m
    @user-qw9zu3ly8m 5 днів тому +3

    Wazindikwe wachezaji na moo Alena ikazindikwe visomo viwe vingi bro SIMBA NGUVU MOJA❤❤❤

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 5 днів тому +1

    Kaka GB64 Maisha marefu mungu azidi kukupa nguvu 💪
    Hongera Sana kwa kulitambua hilo uchawi upo bro..ONANA yule kwel siku ya Simba day kafunga mbele ya mama samia bonge la goal..😢😢 Yanga wachawi sana. Ila kwa kuwa hilo mumelitambua jambo lakheriiii sana..
    ✍️ Mabetu &Co

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m День тому

    Safi sana gb64 matola atuache

  • @OmarJoho
    @OmarJoho День тому

    Tatizo yanga mnaimandi sana sima

  • @MamboMbuli
    @MamboMbuli 6 днів тому

    Kabda ya rigi kuanza wafanyiwe kisomo,,mapema sana,,na watuzwe na wale wanaofua JEZI za wachezaji watolewe nao wanatumika

  • @user-xq8oo1qz3p
    @user-xq8oo1qz3p 5 днів тому

    Gb Leo sio uongozi Tena imekuwa misumali Tena mbona ulikuwa unalia na uongozi

  • @mwinjilistielibarikismarar1480
    @mwinjilistielibarikismarar1480 5 днів тому

    Ni kweli kabisa G64 uko sahihi

  • @user-lt2wb6hb9h
    @user-lt2wb6hb9h 5 днів тому

    Wanasimba matola naye wanini kama kocha kaja na benchi lote la ufundi tunaomba aondoke,

  • @RashidiAlly-et1sg
    @RashidiAlly-et1sg 6 днів тому

    Number 9 timu ya taifa uganda 🇺🇬 mukwala GB anaunguluma

  • @user-kn7bo6iz4n
    @user-kn7bo6iz4n 6 днів тому

    GB nakukubali sana

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 5 днів тому

    Nakuona bado upo unalia lia tu

  • @barakajamalis776
    @barakajamalis776 6 днів тому

    Kaka sema,wachezaji wa simba,wanafaniwa ushenz

  • @arthurmwakalukwa9471
    @arthurmwakalukwa9471 3 дні тому

    GB64 naomba tuongee nje ya mtandao umeongea vtu muhimu Nina la kukupa

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 5 днів тому

    MH! KAZI IPO......FIKRA ZA KITUMWA

  • @RashidKaoneka-bj8mm
    @RashidKaoneka-bj8mm 5 днів тому

    Anakunja uso kama anavuta bangi utawakataa hawa ligi ikianza

  • @HamzaMduda
    @HamzaMduda 6 днів тому

    Wachezaji tumewaona klab bingwa na shilikisho tumewaacha awa ni ware ware ikianza ligi tutawatukana

  • @upendofreddy6431
    @upendofreddy6431 9 годин тому

    Waache waendelee kutuita makoro .Ila hawajui .wamuulize Haji manara maanayake Sisi wajombazao ak.a mama zako tunawalea

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 6 днів тому

    Ata miraji Alishaongea kuwa kuna vitu wachezaji wanafanyiwa sasa ongeeni na kiongozi wetu Ajue cha kufanya wasije wakawa kama Aubini kramo kaja huku wamemzimisha

  • @user-qw9zu3ly8m
    @user-qw9zu3ly8m 5 днів тому

    😊😊NSSF FC

  • @HamzaMduda
    @HamzaMduda 6 днів тому

    Wachezaji tunawaacha krabu bingwa na shilikisho ambao tumewaona awa wote ware ware

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w 6 днів тому

    Sisitiza sana Hili la dua

  • @KatongeOmari
    @KatongeOmari 5 днів тому

    😅😅😅😅mtu bad tunakukubali brother

  • @andrewcharles2038
    @andrewcharles2038 6 днів тому

    Kikokotoo FC

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 6 днів тому

    Kwann wanachukua wa chezaji we2 tulio waacha? Kuna ki2 ndan yake

  • @iddally1021
    @iddally1021 6 днів тому

    Wewe Gb wewe sasa kama sio wabovu mmeawaacha kwanini, nabunasema mmestuka why usifanye mpango hiyo misumari wanayo pigwa wasipigwe tenaaaa!!

  • @user-dy7pc4tm6u
    @user-dy7pc4tm6u 5 днів тому

    Nilikua nakuamini sana lakini leo nimekuona chizi.karoge wewe tuone kama timu itakuwa mzuli

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 6 днів тому

    Unasemaje mwenzio mchawi kama wewe siyo mchawi alijaribu kuloga akashindwa ndiyo maana anahangaika sana makolo mtateseka sana

  • @AndreaAliseni
    @AndreaAliseni 6 днів тому

    Gb uxhapewa ela ili uwe chawa

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 6 днів тому

    Alafu mchome mwangalieni vizuri yule shabiki mandazi ndio mchawi wa wachezaji simba bwege yule mchawi mkubwa sijuhi kwa nini mnaruhusu Avae hile jezi mchawi wa simba wa kwanza mchome

  • @user-lt2wb6hb9h
    @user-lt2wb6hb9h 5 днів тому

    Uto walozi fc,

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 6 днів тому

    Wewe tumia muda huu kufurahi, karibu furaha yako itatamatishwa ligi ikianza😂😂😂 We zobo kweli!

  • @OmarJoho
    @OmarJoho День тому

    Simba hatuna ushamba kama yanga

  • @JafariKanju
    @JafariKanju 5 днів тому

    Mawazo mgando

  • @jumanneshego3308
    @jumanneshego3308 5 днів тому

    nyinyi wandishi amna kazi mnawaoji mpaka warevi uyo gb 1akiri ya mpira ana anajuwa majungu ana anachokijuwa wachezaji wa mchongo unataka ubingwa wa wapi ndiyo maana wenye akiri timam warikuweka rokap usije kureta maafa uwanjani

  • @AndreaAliseni
    @AndreaAliseni 6 днів тому

    GB muongo uxhapewa sukari ili uchawa viongoz

  • @barakajamalis776
    @barakajamalis776 6 днів тому

    Kamati ya ufundi,iwe makin

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 6 днів тому

    Subili Ligi ainze usije kana hiii clip yako. Ogopa Mungu na Technologia

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 6 днів тому

    Baleke Kwa mkopo

  • @RashidSaid-v8n
    @RashidSaid-v8n 6 днів тому

    Ukosawabroo matola shobo

  • @eugeniuslugangira7899
    @eugeniuslugangira7899 6 днів тому

    Kwani mchezaji akiwa MVP ni kwamba anaweza kuwa bora kwenye kila falsafa?
    Kuropoka kumbe nacho kipaji.

  • @OmaryAllykumba
    @OmaryAllykumba 6 днів тому

    😂😂 NSSF. fc

  • @HamzaMduda
    @HamzaMduda 6 днів тому

    Wachezaji tumewaona klab bingwa na shilikisho tumewaacha awa ni ware ware ikianza ligi tutawatukana