Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kama unaamin miraji ni mtu wa ball gonga like
Mimi uwa simpendi kumsikiliza uyu kisugu
Miraji Uwaga Anatema Fact Tu❤🎉🔥🇹🇿👊
Miraji unajua sio kwangu mimi tu kila mtu analijua ilo
Mimi nampenda sana miraji Uko mkweli
Miraji huwa anaujua sana mpira
Kisugu ni bure kabisa 😂. Miraji big up sana bro
Miraji unajua sana mpira. Ila huyu kisugu na msema hovyooo tu
Huuyo kisugu ana nongwa mbaya! Anashindana na ukweli mwambieni sio msimu huu tu ata msimu ujao yanga bingwa tena.
Yanga bigwa
Miraji awe na redio yake , jamaa anajua sana kuongea point
Nilichogunduwa miraji sio mlevi kisugu mlevi
Kisugu Ndiyo huwa simuelewi kabisa anabisha hata kinacho onekana
Nimependa hii debate
Miraji nomaaa
Mr tenge
Miraji
Miraji big up bro
miraji jembe
hao washabiki azam wote nwashaniki wa simba
kipindi bora sana
Kabla ajaendelea ataje timu yake mwenzake tayali😂😂😂
ndo uzuri wa amani ya Tanzania na mpira wake tumeinjoy sana
God yanga mropokaji
kisugu ajui soka ila ni mshabiki maandazi
Safiii
ila Dodi
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Huyu jamaa Miraji si shabiki tu! Miraji anaujua mpira!!!
Kisugu nakuelewa sana wengi hapo hawajui hoja
Miraj ni mchambuzi wa mpira hakuna wa kumfikia apooo
Ila kweli nimeamini Yanga ni mambumbu. Katika huo mjadara ukisikiliza unagundua Yanga wana tatizo kubwa kwenye ufahamu wa soka...
Kisugu hajiwi mupira musiwe munamuhoji hajuwi chochote
mitahira ya yanga utaijuwa tu hayajui kuongea
Simba haiwezi kuendelea ikiwa nawatu kama kisugu
Broo miraji mkimnya san
😂😂kisugu ameumbuka kwa miraji miraji anajua sana mpira kisugu mpiga kelele tu
Michezo ni urafiki
Milaji nimwana michezo c mshabiki
😂😂😂😂😂kisugu akilizake ndogo sana
hao Azam wamefata nn hapo😂😂
Duh. kumbe god yanga nae alikuwepo😂😂😂😂
Mchome anasemaga jamaa ajasoma naamini ss😀😀
Miraji ukosawa kabisa
😂 bongo raha sana
Kisugu chawa huyo haongei fact mda wote anabadilikabadilika
Kisugu kila cku unazalilika
Yani nimewasikiliza chakushangaza akuna cha maana mlichokiongea.
Xavi mtupu
Chama ni msaliti na jezi yake ichomwe moto hadharani
Kisigu kinachomsumbua ni education na hekima.
Kuna jamaa limetipika apo san
KISUGU UNATAKA KUWAFUNDISHA NN WATU KWAMBA TIMU 9 ZIMEPIGWA GOLI 5 IKIWEMO SIMBA ZIMEPIGWA NA YANGA...BADO AIAMINI HIYO YANGA ?
Iki kipnd kirembo kama mobeto
ANGALIENI VIZURI MKONO WA KUSHOTO WA KIPRE AKIMSHIKA BEGA BEKI WA MTIBWA ANGALIENI KWA MAKINI
hahahahahha
Huyu kisugu anatakiwa afungiwe kwenye pipa anaiharibu simba. Mitaj anaongea ukwel kuijenga simba
HILO JAMAA LENYE KIPARA LINAONA AIBU SASA ,LIMEZODOLEWA VIZURI SANA.
😅😅😅😅😅 et sisi simba wakat amevaa jez ya AZAM.,.DAH😅😅
Bonge la brudani
Kama unaamin miraji ni mtu wa ball gonga like
Mimi uwa simpendi kumsikiliza uyu kisugu
Miraji Uwaga Anatema Fact Tu❤🎉🔥🇹🇿👊
Miraji unajua sio kwangu mimi tu kila mtu analijua ilo
Mimi nampenda sana miraji
Uko mkweli