IPO SIKU MTAJIKUTA MNAONGEA TU WENYEWE KAMA VICHAA. MTAKUWA HAMSIKILIZWI NA WATU. ACHENI UNAZI. SIMBA TUNAIPENDA. NDIYO TIMU NO 6 KWA UBORA AFRIKA. HAO NYUMA MWIKO NO NGAPI?
Nyie wajinga wa Yanga mnaogopa mapemaaaa, eti watu wameikatia tamaa.Sijui nianze kuwaanika maana kuna mambo ninayoyajua..Simba itashinda msimu ujao bila kufungwa hata mechi 1
SIMBA HATUJAKATA TAMAA. MTASHANGAZWA WENYEWE. OSCAR OSCAR UPO SAHIHI SANA.
oska uko vizur sana mpaka rahaa siraji arry hapa
Acha umbea wew dada Aliyo ikatia tamaa nani baba yako
Ndio maana hatusilizi vipindi vyenu siku hizi munaropoka tu
Mtangazaji rekebisha kauli. Hakuna aliyeikatia timu ya Simba. Usitulishe maneno
Yule msemaji WA yanga msg hii aipsye kuwa yanga ni vibonde ktk CAF
Uyo aliye ikatia tamaa nani sasa watangazaji wa bongo bwana timu inasajili we unasema inakatiwa tamaa
Nyinyi ni Watabiri??Kaeni Kimya, Muone kinachokuja.
Sis simba hatukat tamaa kitaelewek mwaka huuu
Kutokuwafahamu hakuturudishi nyuma Simba itawashangaza sana.
kwa Tafsiri ya osca yanga ni kibonde
Wewe huyo uhamiaji hapiti kwa libya
IPO SIKU MTAJIKUTA MNAONGEA TU WENYEWE KAMA VICHAA. MTAKUWA HAMSIKILIZWI NA WATU. ACHENI UNAZI. SIMBA TUNAIPENDA. NDIYO TIMU NO 6 KWA UBORA AFRIKA. HAO NYUMA MWIKO NO NGAPI?
Juzi tu hapa mmetulisha matangopori mkisema wachezaji wetu wazee Leo tumekata tamaa dada nnakueshimu
Ww dada ushindwe tumeikatia tamaa simba nani kakwambia tutake radhi
Simba wamesajiri tucha wataona mo katoa hela
Wewe huna akili, peleka huko utopolo wako.
Ivi wewe dada tumeikatia tamaa unatusemea wewe acha zako
Nani kukuambia tumekata tamaa wewe, kinachafanywa na viongozi wetu ndicho tulichokuwa tunakipigia kelele, tulikuwa tumechoka na wachezaji wazee
Kwenda wewe, bahati mbaya ! bahati mbaya, acha mahaba
😂😂😂yanga vibonde
Vibonde Vibonde Vibonde 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nyie wajinga wa Yanga mnaogopa mapemaaaa, eti watu wameikatia tamaa.Sijui nianze kuwaanika maana kuna mambo ninayoyajua..Simba itashinda msimu ujao bila kufungwa hata mechi 1