HII NDIO SABABU PEKEE INAYOFANYA MWANAUME AONGEZE MKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 22

  • @i1_830
    @i1_830 8 місяців тому

    Lakini ukhty Mashallah umzuri unapendeza sana ivo mbele ya wanaume na hinna hiyo

  • @user-oi5oj5vf1k
    @user-oi5oj5vf1k Рік тому +3

    Mashaa Allah tabaraka Allah Allah .lkn na wanaume wapeni darsa zao sabb ndoa ni mashirikiano baina ya mke na mume

  • @MwanajumaShaban-z2x
    @MwanajumaShaban-z2x Місяць тому

    Maa shaa Allah ❤❤❤❤

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 Рік тому +1

    إنَّ اللهَ لا يقبضُ العلمَ انتزاعًا ينتزعُهُ منَ النَّاسِ ، ولَكن يقبضُ العلمَ بقبضِ العُلماءِ ، حتَّى إذا لم يترُك عالمًا اتَّخذَ النَّاسُ رؤوسًا جُهَّالًا ، فسُئلوا فأفتوا بغيرِ عِلمٍ فضلُّوا وأضلُّوا

  • @umisiluman3799
    @umisiluman3799 Рік тому

    Allah awafanikishe ktk maisha yenu yote.shukran Kwa muongozo wenu

  • @samharalwardy6711
    @samharalwardy6711 6 місяців тому

    Mashallahhh❤❤❤

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 Рік тому +1

    Kifua icho na mapambo nakumbusha mashekhe zetu

  • @aminanahimana8759
    @aminanahimana8759 Рік тому

    Shukran kwa nasaha nzuri Allah Akubaarikini

  • @umisiluman3799
    @umisiluman3799 Рік тому

    Hubbul halal mashaallah 💯💯

  • @umisiluman3799
    @umisiluman3799 Рік тому

    Barakallah fiihu

  • @bibahhadith
    @bibahhadith Рік тому

    Dada jistiri unampa shida sheikh dimoso
    Maudhui ya hiki kipindi hakikustahili jinsia mbili tofauti

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому +1

    Mi nakuone nyote mupo kwenye makosa, mna uyo mwanamke ana mapambo tena ypo wazi kma piko, 2. uyo anaeitwa sheikh kwann yye hajamkemea? nidhamu zenu ni mbaya.

  • @jamilachihonde7410
    @jamilachihonde7410 Рік тому +1

    Hiki kipindi ni kizuri sana ila muda mdogo mliotuwekea

  • @alihamadi3026
    @alihamadi3026 Рік тому +1

    Nanyinyi mashekhe muliokaanae hamuoni hilo?

  • @omanmuscatmus2155
    @omanmuscatmus2155 Рік тому

    Manshaallah 😊

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 Рік тому

    Mashaallah

  • @alihamadi3026
    @alihamadi3026 Рік тому

    Dada unaelimisha lakini umeharibu kwa kudhihirisha mapamboyako, tunakuangalia wengi na ayomambo wengine tunayapendasana, naomba urekebishe tafadhali.

  • @mohamedali-ur6ri
    @mohamedali-ur6ri Рік тому

    Apate kichefukichefu aweze kutapika...😂😂😂

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Рік тому

    Ha ha nimecheka apo Dada atia alipo taja point ya kuwa hata ukiwa kwenye period Unaweza kumkamilishia mume haja zake😂😂😂Alivoirukia poin sasa yaaan ameipenda😂😂🙈Dah Jaman Sina lakusema Mola wangu atusaidie Ndoa yaan wanaume no wagonjwa tu nikama watoto 😁🙈Mwanaume mtakosana kila kitu atakusameh lkn sijambo hilo mhh utajua hujui🙄😜😂

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому

    Jee uyo mwanamme ameomba rukhsa kwa mumewe? mm wangu cimruhusu kufanya upumbavu uyo.

  • @fihimmohd5432
    @fihimmohd5432 Рік тому +1

    Tunaipata

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 Рік тому

    Hubul halali swadakat