ISHARA 5 KWAMBA ULIZALIWA UJE KUIKOMBOA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 189

  • @MosesOtien0-y6i
    @MosesOtien0-y6i Місяць тому +6

    Ni kweli nimepitia ishara zote ulizozitaja naomba mungu anisaidie ili niweze kuinua familia yangu Amina 🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @Vailethkobali
    @Vailethkobali 5 місяців тому +4

    Asante mtumishi Kwa kunipa somo ambalo linanigusa maisha yangu ya ndani❤ ulivyosema ndivyo nilivyo kabsa

  • @RazaanOmar
    @RazaanOmar Місяць тому +5

    Nikama uli kuwepoo huyo ndio mimi kabisaa munguu ani saidie jamanii🤲🤲Asante sana kwa somo la leo kakaa

  • @TehsHdhdh-lm3ow
    @TehsHdhdh-lm3ow 5 місяців тому +8

    Amen somo nzuri kabisa be blessed ❤❤❤❤❤❤

  • @InamahoroJuliette
    @InamahoroJuliette 19 днів тому +2

    Napenda Sana mafundisho yenu Nami napenda kutumia Hilo Asante sana

  • @SalumAdam-wh9vp
    @SalumAdam-wh9vp 5 місяців тому +15

    Nikweli lakini Mimi na penda wote hata wanao niumiza je Mimi nani?,🤕👏✍️

  • @FarajaMayuta-y1p
    @FarajaMayuta-y1p 2 місяці тому +2

    Ahsante sana kwasomo lako nimejifunza na linanigusa mungu anipe uwezo mkubwa maana mi ni mdogo kuliko wote

  • @pascalmurhula6074
    @pascalmurhula6074 5 місяців тому +3

    Asante mwalimu
    Mungu Aendelee kutubariki ili familia zetu zipate msaada wetu siku fulani

  • @malkialinah
    @malkialinah 6 днів тому +1

    Asante Mungu najiona kabisa nikipambana kwa ajili ya family yangu 🙏😢

  • @wanzakisyungu9094
    @wanzakisyungu9094 2 місяці тому

    Asante mtumishi wa mungu umenifuza nzaidi juu imenips nguvu ya kuzidi kupambana hili nokomboe familia yangu bula kinyogo❤❤

  • @JelyvineYvonne
    @JelyvineYvonne 5 місяців тому +17

    I have been experiencing the signs that u are saying I hope i will be the one to break the chain of poverty in my family 🙏🙏🙏🙏

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 5 місяців тому +6

    Najiona mm kupitia hii picha🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @RoseNyotumba-kx6tb
    @RoseNyotumba-kx6tb 5 місяців тому +3

    Haya yote ni ya kweli kwani tumeyashuhudia!!!🙏❤

  • @FaridaRajabu-y8e
    @FaridaRajabu-y8e 5 місяців тому +4

    Allah azidi kukujaza kheri , na ukawe miongoni mwa watakaopata mwisho mwema

  • @SemanzaSaidaty
    @SemanzaSaidaty Місяць тому

    Asante sana mwalimu kwa darsa n'a mimi niivo mwenyezi mungu anijalie heri nifikie malengo yangu kwa famillia yangu

  • @LovenessLovenessmikael
    @LovenessLovenessmikael Місяць тому

    Aminaaa sana ubalikiwe MUNGU atusaidie sote💞💞💕💗🙏🙏💓🙏🙏🌹🌹🌹

  • @MugiranezaSabrina
    @MugiranezaSabrina 5 місяців тому +12

    Subhana Allah Mungu wangu niinue nizidi kusaidia

  • @CheedyBenz
    @CheedyBenz 16 днів тому +1

    Nimeamin rizki yangu hipo one
    One day mungu atanipa hata hichelewe hata kama kwasasa
    Napitia magumu kiasi gani?? Asante sana kwaufumbuzi

  • @Loice-k6w
    @Loice-k6w 2 місяці тому

    Asante sana kwa kunijuza hizi zote maana niko nazo kila mara ninamwomba mungu anisaidie

    • @janety1933
      @janety1933 2 місяці тому

      Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M

  • @PrticaPmm
    @PrticaPmm 4 місяці тому +4

    Yan hizi karbu zote niko nazo jmn ,Mungu anisaidie mm familia inanihitaji kwa kweli 😒🙏🙏

  • @salmaprice9100
    @salmaprice9100 3 години тому

    Aminaa Asante sana

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 5 місяців тому +2

    AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa Kwamafundishi 🙏

  • @EliminaNtandu
    @EliminaNtandu 3 місяці тому

    Mungu atutuongoze na kutulinda daima kweli huu ni wito ,,,nimeguswa sana

  • @HajiAbdul-n1d
    @HajiAbdul-n1d 5 місяців тому +5

    Ubalikiwe,, nausika❤ katika halakati zote,❤

  • @mwanahamisiivambi2958
    @mwanahamisiivambi2958 19 годин тому

    Barkiwa sana kwa masomo mazir

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 22 дні тому +1

    Tatizo watu wa leo wakisaidiwa.hawajishiki.yani mtu anajiweka kila.siku hana hata kama unacho yy ni mtu wa.kutaka kusaidiwa tu wakati.unamsqidia ili na yy aje.kusaidia wengine lakini unaemsqidia anagugandq kamq ngozi yani hasemi Al hamdulillah hatimae.ww unafilisika kabisa na ukiwa unashida wao hawakusaidii hata wanakuona unacho au wanakucheka ujinga watakwita anajifanya yy ndio jumba la msaada sqsa kashakwisha anatusumbuwa.

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 5 місяців тому +2

    Amen amen God bless you ❤❤❤❤

  • @Akisami-yo7ic
    @Akisami-yo7ic 3 місяці тому

    Asante 🙏🙏🙏kunipa imani ya kila jambo na nguvu ya kubambana

  • @damianosikapili2917
    @damianosikapili2917 3 місяці тому

    Tumsifu yesu kristo asanteeeee Kwa kunijulisha Kila ULILOSEMA KWANGU ni kweli TU

  • @GentilBamporikiEmmanuel
    @GentilBamporikiEmmanuel 26 днів тому

    Asante Sana mtumishi wa mungu

  • @MariamMlata
    @MariamMlata 3 місяці тому

    Upewe mauwa yako 🎉🎉 brother so pow naipend San family Yang mungu Ani zidishie amen 🙏🙏

    • @janety1933
      @janety1933 2 місяці тому

      Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M

  • @RamboMcMzawa
    @RamboMcMzawa 5 місяців тому +2

    Somo tamu sanaaaa🎉🎉 kulenii mauwa yenu😂😂❤❤

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 5 місяців тому +4

    Huyu ni mm kabisaaa Subha

  • @Maokoto-yd4ok
    @Maokoto-yd4ok 5 місяців тому +4

    Kweli kabisa ❤❤❤

  • @TINAMSIGWA
    @TINAMSIGWA 5 місяців тому +2

    Eeee Mungu uonaye ndani ya Moyo chunguza Moyo wangu ,

  • @PriscarGodrick
    @PriscarGodrick 3 місяці тому

    Ameen 🙏 🙏 somo zuri God bless you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu 5 місяців тому +2

    Barikiwa sana mtumishi

  • @AmadeusNgarama
    @AmadeusNgarama 2 дні тому

    ❤❤🙏 Nimekubali ulichosema

  • @godriverbishangabaisha4098
    @godriverbishangabaisha4098 Місяць тому

    Kweli kabisa❤❤🙏🙏🙏 nami napokea🙏🙏🙏

  • @JacobernestMlula
    @JacobernestMlula Місяць тому

    Ee Mwenyezi Mungu nisaidie

  • @BravoTanganyika
    @BravoTanganyika Місяць тому

    Ahsante saaaana munguwangu

  • @EliminaNtandu
    @EliminaNtandu 3 місяці тому

    Simo limenigusa sana mungu atusaidie watu wa aina hii ili tuulinde wito wetu

  • @UmmyAbdul-sc4sf
    @UmmyAbdul-sc4sf 12 днів тому

    Shukrn🙏

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 5 місяців тому +2

    Shukrani kwa mafunzo yako

  • @MerianaAjida
    @MerianaAjida 4 місяці тому +9

    Nina ,,majukum makubwa kw familia japo ni mdg kulik ndg zang wot,,Mungu azid nisaidia

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 5 місяців тому +2

    Sijachelewa sanaa❤❤❤❤❤

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 5 місяців тому

      Umejifunz nin mana kuwahi sio kupata punguzeni ujinga

  • @mamaziada134
    @mamaziada134 5 місяців тому +2

    Asante huyu mimi kabisaa

  • @HappyJohn-jo8im
    @HappyJohn-jo8im 4 місяці тому

    Mungu bariki kilichondan yangu

  • @Lulu-wt9dd
    @Lulu-wt9dd 3 місяці тому

    Kwer kabisaa❤❤❤❤❤

  • @vincentokore1770
    @vincentokore1770 5 місяців тому +2

    Hiii inanihusu mimi kabisa 😢😢😢

  • @MariamSikabwe
    @MariamSikabwe 5 місяців тому +3

    Kabisa nikiwaza kitu ao Nikita kitu nakuona hapo hapo

  • @leilaekesa3394
    @leilaekesa3394 4 місяці тому

    Hapo ni kweli kabisa brother umesema kweli

  • @fellst4159
    @fellst4159 4 місяці тому +4

    Asante sana napitia magum kwa kweli nafanya kaz lakini sieke hata shilingi nduguzangu walifutwa kazi wote2 ninawalipia rent chakula mama naye ansniangalia eemungu nisaidie 😭😭

    • @AzizahAlly-lh7jl
      @AzizahAlly-lh7jl 3 місяці тому +2

      Wape mitaji wafanye biashara ukiwa pesa kila siku hatapata akili ya kisimama tena kutafuta

    • @janety1933
      @janety1933 2 місяці тому +1

      Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M

  • @HTanzania
    @HTanzania 4 місяці тому

    daah nimefurahi sana mungu akubariki

  • @shanti-hd7zy
    @shanti-hd7zy 5 місяців тому +11

    Nimechoka kusaidiya juu ndugu yangu 🇩🇪 kanipokonya haki yangu Ndugu Familie nimechoka Mungu nipe Roho mbaya 😭

    • @MugiranezaSabrina
      @MugiranezaSabrina 5 місяців тому +1

      Mi pia moyo wangu unalia juu ya familia

    • @Alicemsafiri
      @Alicemsafiri 4 місяці тому

      Kweli kabisa maana sasa ivi ndugu yako ndio anakumalizana umemsaidia

    • @rosemsafiri7568
      @rosemsafiri7568 4 місяці тому +1

      😅😅uwezi acha mm natamn hata nisisikie shida zao lkn nawaulizaga na natia Tena siwexi 😅 kwahiyo hata wewe huwez moyo utakuhukumu

    • @ElizabethLiz-e4n
      @ElizabethLiz-e4n 4 місяці тому +1

      Pole jaman

    • @Misswinnie-j8x
      @Misswinnie-j8x 4 місяці тому +1

      Kwanini uombe roho mbaya usijali Mungu n mwema atakupa zaidi ya hicho alichochukua siku zote kitu cha dhuruma hakidumu

  • @piscaskazingufu9848
    @piscaskazingufu9848 3 місяці тому

    Kweli kabsaa🎉

  • @HellenmyasaWaswa
    @HellenmyasaWaswa 3 місяці тому

    Wow ....
    Eeh mwenyesi ni saidie

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 5 місяців тому +2

    😂😂❤❤❤mungu ani linde

    • @janety1933
      @janety1933 2 місяці тому

      Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M

  • @lydiamose
    @lydiamose 4 місяці тому

    ❤❤❤ be blessed 🙌

  • @SerahMutuku-o5t
    @SerahMutuku-o5t 23 дні тому

    Hiii ni mimi kabisa mungu ni mwema

  • @beatricemathew1768
    @beatricemathew1768 3 місяці тому

    God bless you

  • @JescaJemsi
    @JescaJemsi 5 місяців тому +2

    Amenii

  • @Luvas-bm8cl
    @Luvas-bm8cl 5 місяців тому +2

    Waoooo❤❤❤❤

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 5 місяців тому +3

    Huyo ni mimi kweli

  • @JoshuaPasca-e6t
    @JoshuaPasca-e6t 4 місяці тому +1

    Ongeza sana kutufundisha

    • @MwanavitaKasu
      @MwanavitaKasu 29 днів тому

      Kweli kabisa huyo ndye mmi sasa moyo wangu hauwezi kuona family inateseka

  • @LuhanyaMipawantobi-pj1iu
    @LuhanyaMipawantobi-pj1iu 3 місяці тому +1

    Tuliopatiwa tujuane😊😊😊

  • @stellammasi
    @stellammasi 4 місяці тому

    Mimi huyo kabisaaa❤

  • @wixtonhanzam1607
    @wixtonhanzam1607 4 місяці тому +1

    One day king I will be Rich bro

  • @Simba-doKipamba
    @Simba-doKipamba 5 місяців тому +2

    Mbona nikama unanifahamu broo, mhmhmh

  • @Phinvan_tz
    @Phinvan_tz 4 місяці тому

    Shukran 🙏🏿

  • @ClevinaJoseph
    @ClevinaJoseph 5 місяців тому +3

    Mmh kwahyo wote inawahusu!???😅😅😅😅

    • @AzizahAlly-lh7jl
      @AzizahAlly-lh7jl 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂 ambawo aiwahusu si ndo sisi

  • @RuthZighani
    @RuthZighani 3 місяці тому

    N Mimi huyo be blessed

  • @Farida-mz4so
    @Farida-mz4so 5 місяців тому

    Asante bro ni mimi

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 Місяць тому

    Sijui niandike nini 🤣 Asante 🙏🏽

  • @BintSeif-g5p
    @BintSeif-g5p 2 місяці тому

    🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my blease is Good

  • @Priscamathias-b8b
    @Priscamathias-b8b 5 місяців тому +5

    Hii inanihusu mimi duh 😢😢

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj 5 місяців тому +2

    Asante

  • @AverinaFumbuka
    @AverinaFumbuka 5 місяців тому

    Ameen mtumishi

  • @JamilaalliyAlliy
    @JamilaalliyAlliy 2 місяці тому

    Kabisa inaniusu sana

  • @AishaSalum-v1u
    @AishaSalum-v1u 5 місяців тому +2

    Inanihusu mimi kabisaaaaa🤔

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 4 місяці тому

    Ubarikiwe sana juu hii video ni yangu

  • @gracesidika6912
    @gracesidika6912 5 місяців тому +2

    Huyo ni mm kabisaaa

  • @BeckyMwei
    @BeckyMwei 5 днів тому

    Mimi ni mmoja wao

  • @asiaomary5239
    @asiaomary5239 8 днів тому

    😢😢😢🥹 nimezaliwa kuwa mkombozi wa familia yangu na nitafanya hvy

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 5 місяців тому

    Nashukulu jamaa yangu yetu maana bila mafunzo unahisi unsonewa

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 4 місяці тому

    mungu wangu ninajua utazidi kunibariki

    • @janety1933
      @janety1933 2 місяці тому

      Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M

  • @RediasMwaihola
    @RediasMwaihola 5 місяців тому +2

    😮😮 somo zuri ila watu wote humu eti niwao😂

  • @JohnEglesias
    @JohnEglesias 4 місяці тому

    Uko juste kabisa hata chakula kunamuda situmiye

  • @MagrethBernad-dv7xo
    @MagrethBernad-dv7xo 4 місяці тому

    Nimejifunza sana

  • @EVERLINEMoraa-zo2vi
    @EVERLINEMoraa-zo2vi 2 місяці тому

    Naomba number yako mtumishi

  • @latifakasicha9803
    @latifakasicha9803 4 місяці тому

    Waaaaah na vyenye mimi niwamwisho

  • @aishamapenzi
    @aishamapenzi 4 місяці тому

    Hizi zote zinanihusu mim jamen mungu zidi kunisaidia😢

  • @enosmwangondaofficial8589
    @enosmwangondaofficial8589 4 місяці тому

    Nisaidie MUNGU wangu

  • @RosemaryMatilda
    @RosemaryMatilda 5 місяців тому +2

    ❤❤🙏🏽

  • @tekashichannel
    @tekashichannel 4 місяці тому

    Mm kabisaa😢😢😢 why

  • @MariamSikabwe
    @MariamSikabwe 5 місяців тому +2

    Nasaidiya watu ila mimi nikiamwaambiya mtu tatizo langu hawasaidiyi ni kwanini

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 4 місяці тому

    Amina

  • @FaudhiaRajabu-u8p
    @FaudhiaRajabu-u8p 5 місяців тому

    Dah mungu anibariki mana huyo ni mimi kabisa

  • @MariamSikabwe
    @MariamSikabwe 5 місяців тому +2

    Nikweli mimi bora nikose ilawakunililiya shida yake asikise kwanini?

  • @LoiceMwaringa
    @LoiceMwaringa 5 місяців тому

    Amen hata nikama umeniongea mimi