ISHARA 5 KWAMBA WEWE SIO MTU WA KAWAIDA UNAYO NGUVU HII NDANI YAKO Fanya HIVI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @ivanyoggot1514
    @ivanyoggot1514 Місяць тому

    1nyakat16;11 neno la Mungu linasema,,, mtakeni Mungu na nguvu zake,,,,, neno hili likaishi, na kutimilika ndani yangu ktk jina la yesu ameen

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 місяців тому +15

    Mimi huwa nikiingia dukani tu,,,,huwa nashangaa wateja huja wengi,,,,,nilikuwa sijui kinbe mimi si mtu wa kawaida

    • @mrsFrd-m1u
      @mrsFrd-m1u 4 місяці тому

      Mhh au bachiiiiiiii 😅😭🤣🤣🤣

    • @mangijeu1284
      @mangijeu1284 4 місяці тому

      nikweliii hata mm

    • @kaingunashon-ph3wo
      @kaingunashon-ph3wo 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naona unajidanganyaa

    • @kaingunashon-ph3wo
      @kaingunashon-ph3wo 4 місяці тому

      ​@TroubleOwner😂😂😂😂😂😂😂 mueleze

    • @RUCKY_
      @RUCKY_ 4 місяці тому

      JAMANI hata mimi kwakweli niki ingia POPOTE ❤

  • @AGNESCHAUNGA
    @AGNESCHAUNGA 4 місяці тому +1

    Amina nashukur sana Mungu wangu

  • @AyubuMoses-o5t
    @AyubuMoses-o5t 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki

  • @bas2823
    @bas2823 4 місяці тому

    THANKS FOR SHATING🙏 GOD BLESS U AMIIN🤲.

  • @gracesamson3675
    @gracesamson3675 5 місяців тому +1

    Asante Sana Mungu akutangulie

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 4 місяці тому +3

    Nimejifunza kitu asante sanaa❤❤❤❤❤❤

  • @ClaudiaAlex-o6e
    @ClaudiaAlex-o6e 2 місяці тому

    Asante 💪💪💪

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 4 місяці тому +3

    Jamani mimi mpaka watu husema (natamani wewe ungekuwa mama yangu. )

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 4 місяці тому

    🥰🥰🥰🥰🥰 sijui ka najidanga au la! Ila hii naya kali hivyo mm sio normal person?

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 місяців тому

    Asante MUNGU sifa zote hizo ninazo aisee

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 4 місяці тому

    God bless you 😘

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 місяців тому

    Barikiwa sana Ancle J

  • @MamaAfrikaans
    @MamaAfrikaans 15 днів тому

    Ata Mimi nipo ivo nashukuru

  • @PatrickThomas-s5y
    @PatrickThomas-s5y 5 місяців тому

    Jmn asanteee mungu

  • @DinahJ-ln8pr
    @DinahJ-ln8pr Місяць тому

    Wanataka kuishi na mmi wakiniona wananiona kama mama yao bt siwapendi wanageukia kuwa my enemies wanadamu hawaaminiki tuheshimiane kwa umbali😂😂😂😂

  • @monirangerera7155
    @monirangerera7155 5 місяців тому

    Nataka nguvu kubwa ndani yangu niwe na pawa kubwa mwilini mwangu in Jesus name

  • @RemmyEmmanuel-g2k
    @RemmyEmmanuel-g2k 4 місяці тому

    Amina sana

  • @malindimasinde4830
    @malindimasinde4830 5 місяців тому

    Nikweli. Mm niko nahiyo energy.. Amina milele

  • @Lordrich-m7y
    @Lordrich-m7y 2 місяці тому

    Jaman mm kila nyumba nitakayopanga napendwa na wanawake yaan nitatembea nao wote nyumba nzima...hasa wake za watu kumbe ninanguvu nyingi za mvuto

  • @ElizabethCharles-l3f
    @ElizabethCharles-l3f 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 3 місяці тому

    Mm.huyo sjuh wateja uaga wanatoka wap

  • @NeemaRashid-l1y
    @NeemaRashid-l1y 2 місяці тому

    Sasa mbona uliyo yasema yote kwangu yako nikinyume chake nitakua nashida gan mimi

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 місяців тому

    Nataka nguvu kubwa ndani yangu kwa jina la mwenyezi MUNGU

  • @LizzoJerry
    @LizzoJerry 2 місяці тому

    Mimi mtupu🙈

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 місяців тому

    Namtaka MUNGU na nguvu zake

  • @AGNESCHAUNGA
    @AGNESCHAUNGA 4 місяці тому

    Amina nashukur sana Mungu wangu