❤😅 nimefurahi sana kiukweli coz katika tarehe uliyotaj na kazi nimeibuka kuwa miongoni mwao ten ni kazi iliyopo moyoni mwangu San ahsanteni sana am so happy.
Naomba msaada, sisi ambao hatina cheti cha Kuzaliwa, halafu jina la Ubatizo ni Harufi A, halfu jina la shule na ambalolinayumika sana ni herifi F, tunawezaje kujua nyota zetu? Mwezi hatujui wazazi Hawakusoma tutajuaje nuota zetu na mahisiano yetu maana tunahitaji sana ushauri wako
Ooh my God, kazi yangu inaambatana na nyota yangu waah. Glory be to God.
Wao nimezaliwa mwezi wa saba na nipo duka la dawa asante mtabili 😁😁groly yo god
Asante mungu nimezaliwa mwezi wa 12 tarehe 12 namshukuru mungu nafanya biashara na nafanikiwa Asante mungu 🙏🙏🙏
Jaman,waoooooo!!! itakuwa kwl eti maana mi naendana na hl kundi la saba 🙏🙏🙏🙏
Waooooh hakika umesema vyema namshukuru mungu kazi ninauofanya inaendana na nyota yangu
Your right 💯💯✅✅ hapo kwa December kijana Yangu anataka akiwa mkubwa awe Pilot in Jesus Name 🙏
Muombe mungu sio jesus pus weeeeeee
Mimi nimezaliwa mwezi wa 7/ tarehe 22, no nurse Nina bahati sana alhamdulillah ❤, asante
habar zen
Kumbe tumezaliwq tarehe moja ❤
Hongera
Eeee!! Umezaliwa sawa nami tarehe had MWezi ni sawaa
Naaaam
❤😅 nimefurahi sana kiukweli coz katika tarehe uliyotaj na kazi nimeibuka kuwa miongoni mwao ten ni kazi iliyopo moyoni mwangu San ahsanteni sana am so happy.
Yoooooooo. Vimefanana na tabia zangu na nilichokisoma na ninavyovipenda. Mungu naomba baraka zangu
Asante sana kwa upendo na Ushauri kwa kweli unatufungua mno, unariliwe sana
Asante Kwa mafunzo yako
Wallah nikweli nimeamni ..hpo 30.9...hpo mambo n ushauri waurembo nikweli kabsa nandio mambo yng❤
Nashukuru mm n mwekezaji yaan n mfanyabiashara na kweli nilitoboa nlitereza tu ila najua ntarudi poa
Kweli kabisa kiongozi haujaongopa Mimi ni mwanasheria na nimezaliwa tarehe hizo
Mm 29/12 mbona ipo pambe yangu kote kote masha Allah
Hata no saba ni kundi la Mr🥰🥰
Ahsante sana October
Aseante sn kk
Mim nimezaliwa mwez wa 3,22 naweza fanya biashara gani /kaz pls
Ukweli kabisa.....
Asante sana
uko vizur father
Mimi nimezaliwa tarh 14/10/1995
❤ubarikiwe
Asante sanda ndugu
Mbona ukatajatare 23/7---22/6 ukaruka ukatajatare handi ukatajatare 23/8----22/9
Kwa hakika tume elimika
Mm nimezaliwa 7/7
trh 24/06 kaz ipi nastahili🙌
Mimi nmezaliwa tarehe 15:9
Mimi nmezaliwa tarehe 15:9
habari mimi nimezaliwa 8 mwezi 12
Je mm vip nilizaliwa tarehe 8/10
Jamani mbona nyota yangu ya mbuzi kazi zao za kisomi somi ambao atujasoma atuna pa kuegemea
Je walio zaliwa 12/10
Pacha tupo kwenye kundi la MIZANI na tumezaliwa tarehe Moja 12/10
Nadhani anazingatia miezi kuliko tarehe. Kwa hvyo tujitafute humohumo😢
na yangu n Gani ju nmezaliwa October 5th
Mbona huumalizi tarehe au tarehe zingine hazina wazaliwa apa duniani
Ahsante kwa maoni yako..Kwamfano tarehe ngapi mpendwa
😂😂😂
Mbona hujataja mwezi wa kwanza..january
@@FAFANUOMEDIA tarehe 01 mwezi wa 01 mpaka tarehe19 mwezi 02
Kama hujui imezaliwa tarehe ngapi wala mwaka gani
😂😂😂😂😂😂
Ya kweli hayo??????
Sisi wa Mwezi wa kwanza vipi
Watu wa tarehe 8 mwezi wa pili inamaana hatuna nyota😢😢😢
Mimi hta cielew muda kwenye herufi niko kundi la samaki kwa tareh naingia kondoo jmn 😢
Hujaongelea tarehe 2-18 mwezi wa pili
Mimi nilizaliwa tarehe 24 mwezi September
huo mwez wa kuma🎉🎉
Mimi sijaona tarehe yangu yani mwez 2 umeanzia 19 naukaja kumalizia tarehe 19 mwez 1 sasa hapo katikati niwakinanani
😂
Ata mmi yangu siioni mm tarehe 6 mwez wa pili
Ulizaliwa mwezi wa 2, kuchanganya tarehe ni sehemu ya kukodi
Mmh nikweliii jamani umenilenga sana
Mm nimezaliwa tarehe 22/9
To some extent 💯🔥
Waliozaliwa tarehe 10/2
Mm nmezaliw tare8 mwez wa 9
Mimi nilixaliwa tarehe 6,mwezi januari
Mbona hujasem ttrh3 mwez10 hadi trh 23 mwz10?
Wongoooooo😂😂😂
Mimi nilizaliwa mwezi wa 1/tarehe 28
Mimi nimezaliw tareh 1/5 ni mtu gani nambie plz
Mim tar 3mwez 8 ila izi kaz mm hazmo kweny akili yang jmn
Sisi tuliozaliwa kuanzia tarehe mbili mwezi wa pili mbona hatuna nyota zetu
😂😂 hadi nimeshituka wafu Gan hatuna nyota
Kwaio vp waliozaliwa tarehe 24 mwez wa5 hawaingii apooo kwenye watarehe 20 na 22
Nimezaliwa sawa na wewe 24)5
Mm trh 06 / 10 ipi na stahili
Mimi nilizaliwa tarehe 2feb nimesimamia wapi plz nierezee
Mi nimezaliwa tatehe 3 mwez wa 4 nyota yangu ni hipi?
Mimi nime zaliwa sikuya 29/9
Hey kaka hujataja watu walozaliwa kuanzia trh 18/2had 18 /1
Kweli,date 18/2 tuko wapi?
Asnte sana
Mm nimezaliwa tarehe 14.02 hujaaja wanatakiwa kufanya Kaz gan
Naomba msaada, sisi ambao hatina cheti cha Kuzaliwa, halafu jina la Ubatizo ni Harufi A, halfu jina la shule na ambalolinayumika sana ni herifi F, tunawezaje kujua nyota zetu? Mwezi hatujui wazazi Hawakusoma tutajuaje nuota zetu na mahisiano yetu maana tunahitaji sana ushauri wako
Je kama nime za liwa tarehe 1-2 je nifanye kazi gani
Jaman we kaka walio zawaliwa trh8.2 je?mbona hauja wataja
Jaman weeh kaka mbona ujataja mwezi wa pili tarehe 2
Jamaani ujasema tarehe 2 mwezi wa pili na mwezi wa nane
Tarehe 29.3 plz
Wapiii tarehe saba mwezi wa pili!
Mm sikaona ya mwexi wakumi tar1
Na Tarehe 3 je?
Tar 20 October sijaisikia
12 mwez 7 mbon hawajasema
Wale wa tarehe mbili mwezi wa pili mpaka tarehe ishirin na mbili mwezi wa pili hamna nyota😂😂😂😂poleni
Yaani unasema ukweli
🔥🔥🔥
Me nimezaliwa tarehe 30 mwezi wa kumi na mbili nafanya Kazi gani
05mwezi11hiyi nayo ikoje?
Hawa wa tareh 3 mwez wa 10 ad 23 mwez wa 10 wapo katka kund gan sja ona hapo
Humu sijaona treh yangu mm tatzo unarukaruka ww😢
Mimi ' nili zaliwa mwezi 4/3/2003nyota yangu ningani
Me june 30
Mm nimezaliwa 12 m9 niko kwenye sanaa
Mimi nilizaliwa July 7 7
Mimi tarehe 7/12
12/12
16/3
Mbona mwezi wa 1 na 2 hatujajiona?
Mbn wengne ni mwez wa pili af hujasem
1 octobre naye
Mwezi wa 10 kuanzia 18 hujataja
Mim sija sikua taleh yangu 1 mwezi wankanza😢😢😢
Je sisi ambao tumezaliwa 2 hadi 23 mwezi wa 10 mbona umeturuka
Mbona talehe yenye nilizakiwa hamo sikuhisikia uliluka
😅😅😅unatakiwa ule na ulale
😮😮😮😮😮😮😮
Mbona nyingine huzitaji
Mimi 31 mwezi wa kwanza
Mbona kuanzia trh 03/10-20/10 hakuna
Zingatia tarehe ya mwez anayo Anza kuitaja Hadi tarehe ya mwezi mwingine anayo taja kwaiyo umo katikati unatafuta tarehe yako ndo utaipata
January 31
Mi mapacha