"Kusistiza kuwa hakuna uhuru wenye mipaka" "Kusistiza zaidi amani kuliko haki" "Kusistiza zaidi wajibu kuliko haki" Hakika kauli hizo hapo juu zimetumiwa vibaya na watawala; na kwa ujumla na kiasi kikubwa zinatumiwa kwa kuwakandamiza watu na kuwanyima watu kuwa na uhuru zaidi! Hongera Askofu Bagonza kwa wasilisho lako lenye hoja nzuri na muhimu kwa uhuru na Maendeleo ya Watu, Uutu wao na Maendeleo ya taifa kwa ujumla!
Asante sana Baba kwa elimu murua sana
Ahsante sana Baba Askofu Bagonza kwa somo lako zuri na jadidi
Askofu Bagonza ubarikiwe
"Kusistiza kuwa hakuna uhuru wenye mipaka"
"Kusistiza zaidi amani kuliko haki"
"Kusistiza zaidi wajibu kuliko haki"
Hakika kauli hizo hapo juu zimetumiwa vibaya na watawala; na kwa ujumla na kiasi kikubwa zinatumiwa kwa kuwakandamiza watu na kuwanyima watu kuwa na uhuru zaidi!
Hongera Askofu Bagonza kwa wasilisho lako lenye hoja nzuri na muhimu kwa uhuru na Maendeleo ya Watu, Uutu wao na Maendeleo ya taifa kwa ujumla!
Uyu askofu Bagonza ana sifa zote za kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania