Askofu Bagonza akiri makosa ya kutowatayarisha Viongozi thabiti wa kuiongoza Tanzania na Afrika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Sr.BasilisaPanga
    @Sr.BasilisaPanga 6 місяців тому

    Baba Askofu Bagonza, tukiri kutoandaa vijana wetu, wataalamu wetu, maadili na uzalendo kuhusu utawala wa haki, shirikishi, wazi kuhusu watu, rasilimali, maendeleo ya watu na ustawi wao. Viongozi wa imani wanategemewa wana uwezo wa malezi, uadil, hofu ya Mungu, kupenda watu, na kufikiria kizazi kijacho.

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 10 місяців тому

    Sasa mbona mmeweka kipande kifupi, wakati mnahojiana na watu tunaopenda kufatilia hoja zao