Duuu hapo kwakukosa nguvu zakiume tena kujitakia haina pole mana ulikuwa ukigawa doz kama huna akili xuri pili masharti ya doctor ukayapuuza sasa sijui unalipa mwanaume mwezio iliakufichie siri apewe doz sasa hao watoto wapi watatoka wapi bora umwambie ukweli mzazi wako kuliko maumivu yasio namwisho
Wakwanza jamani nipeni like zangu 🎉🎉🎉 Shukran sana simulizi mix kazi iendelee sijutii kuijua simulizi mix ❤❤❤❤❤
I'm no.1 thanks smix Kwa muendelezo...❤❤
Asantee ❤❤❤❤🎉
Mko vizuri kaa😂
Asante director kwa mwendelezo from Kenya 🇰🇪
Shukran saanaaa❤❤❤❤🎉🎉
Hii kitu ni 🔥 jaman mpaka natamani kwa siku iwe vipande viwili kwa siku
Dah jamani watu nyie hamlali🙄🙄
Mambo ni faya kazi kazini
Japo nimechelewa😊😊😊❤ ahsante my wang d'oen
Dh watu nyie
Shukran sana Mr Director Oen kwa kutuletea muendelezo ❤
Ila oen unatukoaha wasikirizaji nasauti tam sana huchoki kusikiliza ahsante na mtunzi
Innocent killer jmn mm naikubali ino simulizi ni moto wakuotea mbali
🔥🔥🔥
Sim mx salut kwa Edgar Mbogo na muwandishi mubarkiwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ila D oen wewe kiboko mzee wa mahaba
Huyo ndio Johnson bwanaaaa😂😂😂😂
Nzuri sana😊
Nipo nanyi wadau
😂😂😂😂😂😂 D’oen wewe ni kiboko yao ulivyoelezea kwa hisia 😅😅😅😅
Mbona huyu askari anatusimulia kuhusu mauaji na anatutishia vile😂😂😂😂kama vile ni yeye aliyafanya vile ama basi
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mbona vipande vifupi jamani😔
Sikitu kwenye mapaja 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
🔥🔥🔥👌
😂😂😂Oen et bora hyo ktu nyieeee😅
💃💃💃💃
Na huyo ndiye Jayson yuaonyesha mambo yake sio ya kitoto haya 🔥🔥🔥🔥 uwashwe sisi tuko nyuma na zima moto thank my loved ones 💓😘❤️
❤❤❤❤