MUUAJI ASIYE NA HATIA/ KISASI ( INNOCENT KILLER/REVENGE)- 4/10 season 2 SIMULIZI ZA KIPELEZI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @annalouis2344
    @annalouis2344 Рік тому +10

    Team Jason tuonane humu

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 Рік тому +6

    Wa 3 namm jamani naomba like zangu 😂

  • @hopefulsabby4169
    @hopefulsabby4169 Рік тому +5

    😂😂nmechelewa kweli team T nmefika

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Рік тому +19

    Ni nini mbaya mie nikiwahi pia mkanipea like za upendo😂😂😂😂😂 nawapenda❤❤❤❤❤

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 Рік тому +2

      😂😂 awapi like ku view au kwenye coment

    • @zaytoona2215
      @zaytoona2215 Рік тому +1

      😂😂😂😂😂 kwendraaa

    • @theopisterjovent3483
      @theopisterjovent3483 Рік тому +1

      @@zaytoona2215 😂😂😂😂😂😂 ayaaaaa 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Рік тому +1

      @@theopisterjovent3483 sending love 💕🥰😂😂😂maana umeiomba sana

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Рік тому +2

    Jason ni mwamba unanipa raha Edgar ongera piga keeeeereeeee kwa Jason na Edigar Mbogo tuonane sijui munakunywa kinywaji gani kunyweni nakuja kuripa ila namutugaji sihaba bwana usibaki nyuma nawapenda sanaaaaaaa💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Рік тому +1

      Alooo hakuna Edgar yaonyesha unamfikiria sana Edgar hapa ni babuya na D oen na mwamba mwenyewe Jayson😅😅😅

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Рік тому +1

    Yup 🇨🇦🇨🇦we here 🔥👌

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 ilaa nampendaa bakari zarimo yy huwangaa anafanyaa 2 kila atakacho tumwaa akijuwa kimetoka kwa mkubwa wake😂😂😂😂😂

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Рік тому +1

    CDF now we're coming 4 you now 🥰🥰🥰 na huyo ndo Jayson mwenyewe

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Рік тому +3

    Kumekucha jamani Jason kazini ❤ simulizi mix 🎉🎉🎉🎉

  • @swabrarashidi1082
    @swabrarashidi1082 Рік тому +4

    Hii simulizi ingekuwa movie lazima ingechukua tuzo aise ni 🔥 na nusu

  • @zainabzwena3156
    @zainabzwena3156 Рік тому +1

    Mimi Jack son akipigwa najisikia vibaya jamani😢 ila najua nimshindi

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec Місяць тому

    Temu Jackson tunasubiri mpambanoo😂

  • @aminah9557
    @aminah9557 Рік тому +1

    Eeeee Bwaba weekend mambo ndio yanazidi kupamba moto huku

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 5 місяців тому

    ❤❤❤

  • @zubydazad7646
    @zubydazad7646 Рік тому +1

    God story 😘❤️❤️❤️

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 Рік тому +1

    Yani Asante sana

  • @zamzamyusuphukagemulo
    @zamzamyusuphukagemulo Рік тому +1

    Ata mm nimewai🎉🎉🎉😅

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 Рік тому +1

    Mambo ndio haya sasa

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 Рік тому +1

    Shukran saaaanaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @issabakar8470
    @issabakar8470 Рік тому +1

    Aaante

  • @jerrileelegrow6553
    @jerrileelegrow6553 Рік тому +1

    "Promosm"