Mshukuru Mungu kwa kila Jambo...hii Ukisikia Mitihani ya Dunia ni pamoja na ili....Tulia kwa sababu Ulikuwa na Nia njema...Mungu Atakuongoza Atakupatia Mwingine..Ujui kakuepusha na nini..na Ujui kipi kingekutokea katika Maisha yenu ya Ndoa..Muombe Mungu Akuongoze Umpate Mke Mwema.
Mungu ni mwema hakika umeonesha ukomavu katika imani haswa nimependa pale uliposema "Tumshukuru Mungu kwa kila jambo" hakika Mungu huyu atakutendea makuu
Ninachojua pingamuzi la harusi huwa ni siku 90,ilikuwaje wa wagahilishe siku hiyo hiyo😢,Pole sana kaka Mungu ana kusudi na wewe,Just enjoy maisha tunaishi mara moja
Mungu amekuepusha na mengi na asije akaomba msamaha ukakubali kumsamehe mwache aje mtu amchukulie nguo zake ila Mungu amekuandalia mke mwingine pole na hongera.
Mchungaji mmoja alikuwa akialikwa misibani kutoa hubili alikuwa mara Nyingi akisema katka misiba tofauti tofauti Nashukuru Mungu amekufa huyu sijui ingekuwaje kama asinge kufa,ndg walikuwa wakikasilika sana kauli hii ya mchungaji huyo Siku Moja ukatokea msiba mwingine jirani na aliyekufa walikuwa mapacha ivyo alikufa mmoja akabaki mmoja Yule pacha mwingine aliandaa chakula maalum kwa ajili ya mchungaji yule ambacho aliweka Sumu,kwa bahati mbaya na nzuri mchungaji yule siku hiyo alipata dharula akufika msibani siku hiyo ndo ikawa pona pona yake Basi nyingine katka familia ya mchungaji ilikuwa Asubuh ndani taa ilizimika ghafla mtoto akaona Ile taa imezima akamwambia baba yake(mchungaji) Baba ake alikuwa nje na familia nyingine pia hivo yule mtoto akaenda kutoa Ile taa kumbe ilikuwa ni short ivo ilimpiga yule mtoto akafa pale pale na nyumba ikaungua yote Basi majirani walivyo sikia vile wakata kusikia mchungaji atasema Nini siku hiyo kwani wamezoea kumsikia akisema nashukuru Mungu amekufa huyu sijui ingekuwaje kama asinge kufa Basi siku hiyo ktk mazishi ya mwanae mchungaji akasema Ile kauli Nashukuru Mungu amekufa huyu mwanangu kama Mungu asingeruhusu huyu mtoto kufa Maana ake familia nzima ingekufa siku hiyo Somo nikwamba Mpango wa Mungu Huwa fumbo kwetu wanadam Tusiwe tuna lalamika Kila kitu tuwe wakushukuru Kila jambo
Huyu kaka yupo vzur sana mungu kakuepusha na jambo amini hivyo na utapata mwingine alie mwema kwako na wala usije kumpokea tena nimependa jinsi ulivyolipokea wewe ni mwanaume na nusu mungu ndie mpangaji wa kila kitu
Mshukuru sanaaaa Mungu. Huwezi jua ungeingia kwenye Familia yakijinga na hiyo Familia siooo kbsa... Umefanya vyema kumshukuru Mungu... Na Mungu watakuletea mtu (mwanamke) sahihi.... Usiogope hizo gharama Mungu atazirudishaaa. Acha na naye
Hongera sana broo Mungu anakupenda sana Mke wako wakuvaa shela hilo yupo ila sio huyo huyo ulichagua kwa akili zako ila Alie kuchagulia Mungu yupo ndomana imekua hivo umekomaa kiimani
Ilitokea kwa katekista wangu, ilikuwa kila anayeingia kanisani watu wanageuka wakijua bibi harusi anaingia,kwa vile kulikuwa na maarusi harusi ikkafungwa kwa wengine, baada ya hapo tukaenda kula kwa katekista wetu,
Huyu jamaa anahitaji msaada kiakili.. ni Vyema kulia Machozi yakatoka kuliko kulilia Moyoni huku unacheka.. kikubwa Mungu asimamenae Maumivu yake huyo mwanamke yatamlaani milele..
Familia sio hiyo oooo Tena acha akae na matoto yake.. Msiogope hizo gharama zitawatokea puani. Fimbo ya Musa itawachapa halooo.. Kaka Mungu amekuonyesha jambo hata msiwatafute kbsaaaa. Mungu kakutoa kwenye mdomo wa mambaaaa.
Ila wanawak wengin wana roho mbay mno hiv jaman angesem tyu mapem au angefung tyu kwanz kumsaidia mwezak kupunguz mawaz je angejiuw sasa hap jaman aon hat angefut then wangekaa kifamilia kutatua hiz changamot ndog ndog basi pia warudish mahar za watu walizolip watu wanatak ndoa yey kapat kachezea subir utalikut jamb utamkumbuk uyo kaka
Ndoa si lelemama ukitaka ku win kwenye ndoa uwe muombaji sana,mvumilivu,punguza mdomo zege,pika,kuwa msafi.punguza marafiki,usitoe siri nje.ku cheat kwa wanaume kupo pale pale.ukiachana na mwanaume kwasababu kaku cheat basi uliolewa huku huwajui wanaume vzr
Mshukuru Mungu kwa kila Jambo...hii Ukisikia Mitihani ya Dunia ni pamoja na ili....Tulia kwa sababu Ulikuwa na Nia njema...Mungu Atakuongoza Atakupatia Mwingine..Ujui kakuepusha na nini..na Ujui kipi kingekutokea katika Maisha yenu ya Ndoa..Muombe Mungu Akuongoze Umpate Mke Mwema.
Sema mwangu mstaarabu sana pia unahekima,good
Linalokuepuka siku zote hua na kheri.Shukuru Mungu kaka
@@x7hia apo kuna kitu mungu amemuepusha nacho kbx
Kabisa aisee
Sahihi
Pole kaka, Mungu ataendelea kukufanya imara utapata mke sahihi waache na laana zao hiyo familia ya binti. Kwanza Mungu amekuepusha mengi
Unabahati sana ndugu inawesekana alikuwa mchawi mungu amekuepusha utapata aliye sahii
😂😂😂😂uongooooo
Kuna kitu Mungu kakuepushia kaka . Mungu akupe alie sahihi 🙏
Mungu ni mwema hakika umeonesha ukomavu katika imani haswa nimependa pale uliposema "Tumshukuru Mungu kwa kila jambo" hakika Mungu huyu atakutendea makuu
Tafuta mwingine nenda nae kanisani, oa kimya kimya
Ninachojua pingamuzi la harusi huwa ni siku 90,ilikuwaje wa wagahilishe siku hiyo hiyo😢,Pole sana kaka Mungu ana kusudi na wewe,Just enjoy maisha tunaishi mara moja
Pole sana mwenyez Mungu akulipe mwingine mwema kwako kwa subraa ulionayo kaka
Mshukuru Mungu sana.Hakuwa chagua la Mungu kwako.
Huyo dada asubiri machozi badaeeeeeeeeeeeeeer sana atakumbushwa na Mungu ulaghai aliofanya
Mungu amekuepusha na mengi na asije akaomba msamaha ukakubali kumsamehe mwache aje mtu amchukulie nguo zake ila Mungu amekuandalia mke mwingine pole na hongera.
Mungu anamakusudi yake bro nmependa❤❤ ulich kifanya kufurahi wakati wa maumivu yako
Mshukru Mungu huenda amekuepusha na balaaa ,ple kaka hyo dda atajuta maisha yake yote
Kaka nimekupenda buuree sana pengine Mungu kakuepusha na ghalika
Big up broo duhh ningekuwa mm 😢😢😢
Mchungaji mmoja alikuwa akialikwa misibani kutoa hubili alikuwa mara Nyingi akisema katka misiba tofauti tofauti
Nashukuru Mungu amekufa huyu sijui ingekuwaje kama asinge
kufa,ndg walikuwa wakikasilika sana kauli hii ya mchungaji huyo
Siku Moja ukatokea msiba mwingine jirani na aliyekufa walikuwa mapacha ivyo alikufa mmoja akabaki mmoja
Yule pacha mwingine aliandaa chakula maalum kwa ajili ya mchungaji yule ambacho aliweka Sumu,kwa bahati mbaya na nzuri mchungaji yule siku hiyo alipata dharula akufika msibani siku hiyo ndo ikawa pona pona yake
Basi nyingine katka familia ya mchungaji ilikuwa Asubuh ndani taa ilizimika ghafla mtoto akaona Ile taa imezima akamwambia baba yake(mchungaji)
Baba ake alikuwa nje na familia nyingine pia hivo yule mtoto akaenda kutoa Ile taa kumbe ilikuwa ni short ivo ilimpiga yule mtoto akafa pale pale na nyumba ikaungua yote
Basi majirani walivyo sikia vile wakata kusikia mchungaji atasema Nini siku hiyo kwani wamezoea kumsikia akisema nashukuru Mungu amekufa huyu sijui ingekuwaje kama asinge kufa
Basi siku hiyo ktk mazishi ya mwanae mchungaji akasema Ile kauli
Nashukuru Mungu amekufa huyu mwanangu kama Mungu asingeruhusu huyu mtoto kufa
Maana ake familia nzima ingekufa siku hiyo
Somo nikwamba Mpango wa Mungu Huwa fumbo kwetu wanadam
Tusiwe tuna lalamika Kila kitu tuwe wakushukuru Kila jambo
HUYO MAMA ARUDISHE MAHARI WALIYOPOKEA.
Mshukuru mungu Kwa Kila jambo,mungu atakusimamia utapata make mwema na atakaekufaa pole mnoo inauma
Brother pengine mungu anamakusudi na wew kukuepusha huyo binti
Huyu kaka yupo vzur sana mungu kakuepusha na jambo amini hivyo na utapata mwingine alie mwema kwako na wala usije kumpokea tena nimependa jinsi ulivyolipokea wewe ni mwanaume na nusu mungu ndie mpangaji wa kila kitu
Usibase upande mmoja hujui yaliyojiri
Dhambii tu Mungu Mwenyezi akusimamie kaka muacheee huyooo Mwanamke atakuja anatambaaaa kukuombaaa umuoeee tenaaaa ngojaaaa akachuuundeee atakukumbukaasa
Mshukuru sanaaaa Mungu. Huwezi jua ungeingia kwenye Familia yakijinga na hiyo Familia siooo kbsa... Umefanya vyema kumshukuru Mungu... Na Mungu watakuletea mtu (mwanamke) sahihi.... Usiogope hizo gharama Mungu atazirudishaaa. Acha na naye
Yaan hawa family ni watu wa mungu kwa kweli mshurun kwa Kila jambo pole kaka utapata mwingine inshallah
USIMRUDIE TENA, HUYO MUNGU HAKUTAKA AWE MKE WAKO. MWENYEZI MUNGU AMEKUEPUSHIA KITU KIKUBWA SANA.
Pole sana kaka Dio kheri yako huyo Utampata mwengine zaidi yake Inshaallah
Wanandugu wala msisikitike mshukuruni Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mungu ni mwema utampata mwingine
Hongera sana broo Mungu anakupenda sana Mke wako wakuvaa shela hilo yupo ila sio huyo huyo ulichagua kwa akili zako ila Alie kuchagulia Mungu yupo ndomana imekua hivo umekomaa kiimani
Kweli aisee Mungu atampa mke wake
Mama kamtafutia mwanaume. Mwenye pesa mama anaonyesha ana njaa kitawakuta hao pia bwana harus amshukuru mungu kuna.jambo limemuepuka
Kabisa aisee
Huyu katumia akili saana akaona ngoja nikajichukulie zawadi zangu nisepe.sijui ni mchaga mwenzangu huyu?nimekuelewa saana bro.😂😂
😂🤣😆😆n kimaro mwenzoko
@@blackeagle4441😂😂😂😂😂😂
Mfipa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata Mimi nimemwelewa sana
Kaka mungu akusaidie sna kwa hili amekuepusha na mengi ila kiukwel hili suala omba lisikupitie
Ilitokea kwa katekista wangu, ilikuwa kila anayeingia kanisani watu wanageuka wakijua bibi harusi anaingia,kwa vile kulikuwa na maarusi harusi ikkafungwa kwa wengine, baada ya hapo tukaenda kula kwa katekista wetu,
Mshukuru mumu mdogo wangu haikuwa riziki Yako hauwezi jua kesho Yako imebeba nini
Kabisa aisee huyo hakuwa mkewe Mungu amemuepusha atampa wa kwake
InshaAllah.amiina@@1stladyafrica402
mshukuru mungu kwa kila jambo mungu kakuepusha na iko kitu pengine angekuliza maisha yako yote hongera kwa kujiamini
Mwenyezi mungu akupe nguvu kaka yan huyo dada alaaniwe
Mshukuru Mungu baba usijutie hata kidogo wala usiruhusu simanzi moyoni mwako mkeo yupo wakati ukifika baba utaoa na hutapata shida😊
Well done Mkuu,umeonyesha ukomavu kama Mwanaume
Huenda umeepushwa na izrael mtoa roho bro kuna mtu wa maisha yako anakuja 😊😊
Naam kaepushwa na shetani tu.
Shukuru kwa kila jana huwezi kujua mpango wa mungu uliopo mbele yako.
Mungu kakuepusha na Tatizo ambalo linge kugharimu maisha yako yote.
Mungu aku pe nguvu
Mungu akulinde Dana kaka
Pole kaka ila shukuru usilalamike mungu anajua nini kimefanyika
USIKUTE BIHARUSI KASHAANZA KUMSUMBUA JAMAA KWENYE SIMU NISAMEHE TUOANE TU ALIKUWA SHETANI YAISHE PLS MY LOVE PUMBAVU ZAKE 😂😂😂😂
❤❤❤❤❤mwamba hongera jipe moyo ilo lifamilia bora umeachama nalo sio mzuri
Diba angetakiwa kumfanyia hivi Anna🤣🙌
😂😂😂🙌
Bwana harusi alichangamka sana kwenye Send~Off😅😅😅
Inahusiana nn😅
wewe ni mwanaume wa nguvuu kwanza nijasir usiogope vitisho vyaadui mungu atakujaliq mke mwema
Usijali kakaangu yote maisha,😢😢
Sema nn😂😂😂 nafikiri bi arusi alitaka kubembelezwa Ila najua ataumia sana kuona bwana arusi kasheherekea arusi yake bola uwepo wake
Jamaa anajikaza tu lakini jambo kama hili lilkikukuta usiombe hauwez kukomaaa
Mke mwema anatoka kwa mungu kwaiy ninaimani mungu atakupa mke wako bb
Mshukuru Mungu kwa yote.
Mungu kakuepusha
Tuwe makini mazee😢😢
Huyo hakuwa chaguo lake. Huyo kijana atafute mwanamke mwingine. Achana nae utakuta mungu kamwepushia mengi.
Huyu jamaa anahitaji msaada kiakili.. ni Vyema kulia Machozi yakatoka kuliko kulilia Moyoni huku unacheka.. kikubwa Mungu asimamenae Maumivu yake huyo mwanamke yatamlaani milele..
hakua rizki yako Mungu atakupa mbadala
Sio Bure, nguvu za giza zinahusika hapo, sio Kwa akili yake huyo bi harusi.
Usikute mchepuko kafanya yake kuvunja hiyo ndoa.
Mungu amekuepushia mengi
Congratulations brother
Dah pole sana bro
Mungu kamuepusha na kitu kizito ashukur
Mmmmh jamani msimpe haki mwanaume tu muhukumu na msikilize na upande wa mwanamke sababu ya kumkataa mwanaume haiwezi kuwa bila sababu!
Mungu mi mwema akuwa wako huyo.mwache aendeee angekuua buree enjoyeee
😂😂😂😂😂😂 kwaiyo bwana harusi hakutakiwa kuchangamka😂😂
Sio kuchangamka huko, ukute upande wa bibi harusi walokole bwana harusi alienda amelewa
@gregory6165 😂😂😂😂😂😂
Nashangaa,walitaka anune,!Dunia hii ina mambo 🙌
Huyo mwanamke siyo wako kabisa rudi mwambie yesu asante kwani yesu ndiyo anajibu la mkeo alie kuandalia
Kama unasafiri ukikosa basi la kwanza la pili litakuja, Mungu anakupenda mno.
Eti kaja kachangamka hakumalizia mahari walitaka asichangamka Napo wagema kakuchangamka Ila shukuru mungu tafuta mwingine huyo hakufai
Yombo manumbu unatakiwa uje uisute hii falilia ta bibi harusi
Au wamemloga🤔🤔🤔 maana kuna mijitu aipend mtoto wamtu aolewe😭😭
FUNZO; Vijana mnapoenda kwenye sendoff ni marufuku kuchangamka 😅😅
Familia sio hiyo oooo Tena acha akae na matoto yake.. Msiogope hizo gharama zitawatokea puani. Fimbo ya Musa itawachapa halooo.. Kaka Mungu amekuonyesha jambo hata msiwatafute kbsaaaa. Mungu kakutoa kwenye mdomo wa mambaaaa.
Yani watoto wake walikuwa wapate wanaume wawabake mpaka mavi yawatoke
Duuh jamani pole kaka angu
Achana nayee utapata mwingine uyoo Dem mkosii ,sepaa mapemaa mademu kibaooo
Uyu ana nyongoqali..Hana tofauti na MGAMBO ALIE UA SIMBA🦁uyu jamaa hawez kufa mapema::Ilitakiwa na ALETE NA MA❌woote wacheze mziki mnono💥
😂😂😂😂😂😂we kiboko
Zingatia neno bwana harusi alikuja amechangamka
Dash jmn kaka pole Sana Ila tumekupenda Sana Kwa kua na Moyo mgum
Inahitaji moyo kiukweli ila ndio maisha.
Huyu kaka angekuwa muislamu mie kitamboo nishamkubalii😂😂😂😂😂 angeniowaa
😂
Badilisha din@@saidhussein6771
😂😂😂😂
Ila wanawak wengin wana roho mbay mno hiv jaman angesem tyu mapem au angefung tyu kwanz kumsaidia mwezak kupunguz mawaz je angejiuw sasa hap jaman aon hat angefut then wangekaa kifamilia kutatua hiz changamot ndog ndog basi pia warudish mahar za watu walizolip watu wanatak ndoa yey kapat kachezea subir utalikut jamb utamkumbuk uyo kaka
Mungu ndo mjuzi wa yote
Pole mwanaume mwenzangu .
Brother unamoyo mwema sana.
Good good 👍🏾
Huyo nae mjinga unaoa katika zama hizi utakuwa masikini, unaacha kutafuta ela unaangaika na ndoa
Huo ni.mtazamo wake, just imagine kila mtu akifanya kama unavyowaza
😂daaaah adi photographer wakatoka Dar na bibi harusi akagoma 🤣
Jaman watu wa media mtafuteni uyo mama tumsute
😂😂
Umeongea Kifipa.Tumsute
Yn tumsuuuze haswaaa😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Huyo bibi harusi na ndugu zake hawajielewi kbs haya wakae sasa na mtoto wao
huyo sio mwenzi wako endelea kumshukuru Mungu furahi tabasam mke wako yupo na Mungu atakukutanisha naye utamshukuru
njoo unioeee mimi tunaendana kabisa
Inahitaji moyo sana
Ndoa si lelemama ukitaka ku win kwenye ndoa uwe muombaji sana,mvumilivu,punguza mdomo zege,pika,kuwa msafi.punguza marafiki,usitoe siri nje.ku cheat kwa wanaume kupo pale pale.ukiachana na mwanaume kwasababu kaku cheat basi uliolewa huku huwajui wanaume vzr
Warudishe mahari yake😊
Kama ni kweli na sio maigizo, kijana furahi katika bwana kwa maana amekuandalia kilichochema zaidi
😂😂😂 niliyo wapa kadi kateni kwenye jina halima wekeni Alice ila tarehe ni ile ile
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣 side kama side mabadiriko ya kiufundi
Mungu akutoe nguvu
Mungu atakupatia furaha na huyo binti mshenzi wa tabia na familia yake. Warudishe mahari ya Watu na drama zao.
Tena huyo bint ataolewa tena kisha laaniwa
Nimefurahi kuona umevaa Rosari safi sana Mama Maria akuongoze 🎉🎉