😂😂😂😂mbona hii simulizi ni km filamu moja ya kishua,yani drama si km drama acha nicheke maana mm nimebakia kuwa mtazamaji wa mapenzi, anyway shukran simulizi kwa simulizi nzuri tena yenye mafunzo,afu nimekumbuka mlituahidi kutuwekea movie ya SOL
Ikiwa Majid atakubali kumuua mwanawe atakuwa nimjinga kuliko hata kauthali maan ukweli upo wazi kwamba Sandra sio mtu sahihi lakin yy yupo tu kama kondoo mlemavu ,jinga kabisa
Fahali umenishangaza..kautali huo wako ni uchawi..thanks Felix
Asanti kwa star nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masikini remi mungu ampandilishe kauthari
Tamu sana mwendelezo please 🎉🎉🎉
Yap yap safi sana simulizi mix
Present sir thank ones again ❤
Shukran Musimuliaji🎉🎉🎉🎉🎉🎉 dusamehe tunayikumbuka Gobol Felx unadutamanisha arafu tunaishiya njiani inauma tuhangariye basimaumuvu tunayo wasimuliaji munatambiya imeshatoka yote ilatunasubiri mwisho tunadayi hatuoni kwahiyi usudufanyie ivo💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Duh hiki kiswahili cha wapi asee
Wakwanza likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Shenzi kabisa huyu kauthali jamani anatia aibu sana katika jamii ya wanawake daaah 😮😮😮😮
❤❤🎉
Ivi kweli mapenzi ya kauthari yapo apa duniani
Gobole jaman sijui limeixha risasi??naomba mungu lipone tuendelee😢😢
😂😂😂 kabisa
😢😢😢😢
Kwakeli mimi lilipoishia lisasi sipajui jamani nataman ata tuchange tuongezee ela xikanunuliwe
kausali fala sana duuu
Usiku mwanana jmosi tulivu❤❤❤🎉
Kheee kwaiyo baba angu Majid ndio unataka kuniuwa kweli😮😢
Kauthar ni tahira kweli
Malipo ni hapa duniani Sandra na Magd mtalipa
Niukweli thauthali
🔥🔥🔥💃
Asante kaka felix
Dah😢😢
Nice
Niukweli kauthari olewa na remi juu anakupenda
Majid anaenda kujuta kwa kuamisha mapenzi kwa mke wake,,tayari kaz imeisha na sandra ataanza kumuonyesha picha kamili
Mbn mwendelezo siuon
😂😂😂😂mbona hii simulizi ni km filamu moja ya kishua,yani drama si km drama acha nicheke maana mm nimebakia kuwa mtazamaji wa mapenzi, anyway shukran simulizi kwa simulizi nzuri tena yenye mafunzo,afu nimekumbuka mlituahidi kutuwekea movie ya SOL
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤🎉
No one to comment ..... 🎉
Yaani hii stor ingeitwa machizi wa mapenz ingezidi kupendeza ha cjawahi ona wallahi tena
Sio machizi wa mapenzi, ni chizi wa mapenzi, nae ni Kauthar
@@sharifamassud8187 na uyo majid hadi kumuua mwanae kama sio uchiz wa mapenz kitu gan😀
Gobore jamani
Sema kuwapita Leo. Mumezoea nikiwa wa mwisho. Nko chonjo Sana
Mmmmhhh fahani 😢😢😢😢😢 mungu anakuonaa kwa kweli
Hii simulizi ni ngumu kuisikiliza..inatia Hasira kinoma,
😂😂Umeona eeh yaan nakerekwa hadi natamani niingie nikapige mtu
Asante sana ❤❤❤🎉🎉
Kama taahira uyo kauthali
Safi sanaa
Ikiwa Majid atakubali kumuua mwanawe atakuwa nimjinga kuliko hata kauthali maan ukweli upo wazi kwamba Sandra sio mtu sahihi lakin yy yupo tu kama kondoo mlemavu ,jinga kabisa
Kah 😮nyieee kwn Sandra na mamake wana undugu na Lucifer? 🤔kuuwa tena kiumbe kisicho na hatia ee Mungu binadamu km hawa qweli hawafai 🤮😞
❤❤❤
Asanti kwa star nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤