1.Sipangi bajeti....natuma pesa kiholela 2.Nina madeni lukuki 3.Sina mpango 4 pesa yangu ya active sijui kubadili kwenda passive 5.Sina kuridhika kwani hiyo ziada sioni! Msaada wako WA kitaalamu ni muhimu Ndugu Ahsante Kwa msaada Nategemea Muongozo wako, ili Nije kushuhudia tofauti.
Asante sana kwa kuandika hitaji lako. Ninaandaa masomo kwenye chaneli hii kulingana na mahitaji uliyoainisha na nina uhakika nitakujibu kwa kila hitaji lako uliloandika. Endelea kufuatilia chaneli hii. Pia, kama utakuwa na hitaji binafsi, tuwasiliane kwa 0752081669.
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
Asante sana, Mungu akubariki!
Barikiwa
Amina, barikiwa pia!
Very good Sustainable advice
Ok, thank you so much!
1.Sipangi bajeti....natuma pesa kiholela
2.Nina madeni lukuki
3.Sina mpango
4 pesa yangu ya active sijui kubadili kwenda passive
5.Sina kuridhika kwani hiyo ziada sioni!
Msaada wako WA kitaalamu ni muhimu Ndugu
Ahsante Kwa msaada
Nategemea Muongozo wako, ili Nije kushuhudia tofauti.