Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @omarykitua3843
    @omarykitua3843 Рік тому +5

    Ubarikiwe sana unatusaidia sana kutujenga kimawazo na kiakil ila me ulichoongea leo ndo kimeniingia sana man kiukwel Sina ujasir wa kila kit ambacho umekiorodhesh hapo na iyo inanipelekea hata kufungua biashar naogop man hat mwanzo nahofia itakuaj nan atanipw ushaul nm nifany niwez kuw km wengn😢

  • @halimamusa9497
    @halimamusa9497 3 роки тому +4

    Asantee,, m ni binti ambae niwachini sana pia mzazi ambae nilikuwa nikimtegemea hayupo tena katika dunia hii na aliniacha nipo kidato cha 1 lakn nilimaliza from 4 kiugumu na sikuendele mpk sasa nipo mtaani chcht lakn Nina malengo yakuwa mfanya biashara lakn nakuwa hafu at ujasili sina. Nakuomba kaka unisaidie kwa hili

  • @ibrahjr5210
    @ibrahjr5210 2 роки тому +6

    Listening to ur daily classes have changed alot in my life,,I was not confident but now I am,, thanks for ur learnings,, I really appreciate you bro..

  • @umojadaycare8441
    @umojadaycare8441 Рік тому +2

    Kwa ujasiri namshukuru Mungu nafuatilia Sana Masomo yako yananijengea ujasiri zaidi Ila napambana kumaliza madeni ndio niwe jasri zaidi. Ubarikiwe

  • @Lusimo
    @Lusimo Рік тому +3

    Mungu Akubariki Sana kupitia wewe najiona nimebadilika mno Asante Sana

  • @jescakabyemela2483
    @jescakabyemela2483 5 років тому +13

    atukuzwe Mungu aliyekuinua ili utufunze.
    Napata sana nguvu ya kujenga ujasuri. Ubarikiwe kaka JN

  • @steveofficial4074
    @steveofficial4074 3 роки тому +2

    Mi kweli nahitaji sana kuwa muimbaji napokuwa mwenyew nafanya ila kwa ndugu zangu na marafiki hawajui naogopa kuwambia .nifanyeje niwe strong

  • @MnyaluHassan-ic7iz
    @MnyaluHassan-ic7iz Рік тому +2

    Yaan sura Yako mda wote Inatabasam sijui hata unawezaje congrats brother

  • @magdalenamwapinga4847
    @magdalenamwapinga4847 5 років тому +24

    Iyo point ya mwisho kwangu ilifanikiwa ni siku ambayo niliweza kuongea mbele ya watu wengi.Maandalizi ya kile unachokipresent ni muhimu sana hasa kwa ambaye hujawah kuongea mbele za watu

  • @happylarry5520
    @happylarry5520 5 років тому +4

    Binafsi nlikuwa naogopa sana kutoa speech mbele za watu lakin baada ya kuanza Mara moja tuu nikaongeaza ujasiri ..thanks brother.

  • @ninaelrichard1800
    @ninaelrichard1800 Рік тому +4

    Mungu wa mbingu na nchi akupe kuona zaidi na zaidi yale yote anayotaka kupitisha kwako kwa ajili ya wengi,macho ya moyo wako yazidi kutiwa nuru,na akili zako Mungu azidi kuzihifadhi kwa ajili ya utukufu wake.namtukuza Mungu kwa ajili yako. Utukufu na heshima zimrudie Mungu.

  • @EmmanuelMoswala-pj4hu
    @EmmanuelMoswala-pj4hu Рік тому +2

    GOD BLESS YOU BROTHER
    MUNGU AKUBARIKI SANA AKUPE MIAKA MINGI KAMA NAMB ZA NIDA HAPA DUNIANI
    WATU WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
    ASANTE KWA KUNIPA MAARIFA

  • @joshuasimon4902
    @joshuasimon4902 4 роки тому +3

    Mungu akupe uwezo wa kuzidi kutufundisha kwan sasa mm nilipo nimesha naendea kutimiza ndoto zangu kweli umenifundisha sana na nimeona mabadiliko katka maisha yangu sasa.

  • @ammackdy1836
    @ammackdy1836 Рік тому +2

    I get you broo, Mimi upande wangu naweza kuwa nasema tuu kwa mdomo siogopi nguza za giza lakini huwa nahisi kuchanganyikiwa pale ninahisi labda kuna nguvu ya giza imenipata au ilishawahi kunipata, jamaan katika hili naomba msaada jinsi ya kubreak through , sababu nashindwa kufanya mambo yangu kabisa

  • @neemamigeto6710
    @neemamigeto6710 2 роки тому +6

    Kaka najikuta nainuka kila siku kwa jili yako 👏👏

  • @lucydaniel3456
    @lucydaniel3456 5 років тому +4

    Nmeanza kukuskiliza leotu na nahs unanispy maisha yangu mana unanizungumzia kwa asilimia mia

  • @joshuanatukai1737
    @joshuanatukai1737 3 роки тому +2

    Mungu akubariki kwa masomo na ukitaka kuvikisha malengo inataka uwena marafi Wana muna gani

  • @AllanAlex-wd2ju
    @AllanAlex-wd2ju 11 місяців тому +3

    Mungu akuweke sana kaka

  • @zuhrasaid3185
    @zuhrasaid3185 5 років тому +5

    Napenda sana uwepo wako coz unagusa maisha ya watu na unabadilisha maisha yao kupitia mafunzo yk ,Mungu akubarik

  • @adammsema6418
    @adammsema6418 5 років тому +2

    Mwalimu nashukuru sana tena sana kunavitu vingi umenisaidia.ongera na Mungu akubariki sana

  • @FilamuMax
    @FilamuMax 5 років тому +4

    ACHA NISEME AHSANTE SANA. hakika mungu akubaliki katika maisha yako yote
    Nimeweza kugundua vitu ving kupitia ww
    Nakushukulu sana umekua na mchango mkubwa sana katika kujitambua kwangu
    Nakushukulu kaka #NANAUKA
    I love you so much 😘😘😘😘😘😘

  • @amykhalifa2535
    @amykhalifa2535 4 роки тому +3

    Nataka amani na fulaha vitawale maisha yangu hofu siitaki tena

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 років тому +5

    JOEL wewe ni mwalimu mzuri,nimependa hiyo mada,be blessed kakaNanauka

  • @mwajumamwishehe3423
    @mwajumamwishehe3423 5 років тому +15

    Kujiamini kwako ndio mafanikio yako 💪💪na kukubali sana kakangu 🙏🙏

  • @hasanihamisi555
    @hasanihamisi555 4 роки тому +2

    Asante mungu akbariki umenisaidia tangunikujue

  • @steveofficial4074
    @steveofficial4074 3 роки тому +2

    Nashukulu sana kwa kujifunza ila bdo natatizo lingine Yani kuhusu kusoma nikitu nashindwa kuwa bize nacho

  • @judithrwegasira4023
    @judithrwegasira4023 10 місяців тому +2

    Mimi nina kigugumizi, nimezaliwa hivo, hii hali inanitesa sana kwenye maisha yangu, confidence ninayo ila hali ya kigugumizi, inanifanya nakua muoga ata kuongea na mtu, nimeshafanya therapy nyingi ila ndo kwanza nazidisha hali hii, nateseka sana kuna wakati namlaumu Mungu kwaninj aliniumba hivi kati ya wengi

    • @MetoIgotyou
      @MetoIgotyou Місяць тому

      😂😂😂nikikumbuka ni mwanamke nazidi kucheka😂😂😂😂😂😂

  • @MwajumaMaulid-g7k
    @MwajumaMaulid-g7k 4 місяці тому

    Kwanza Asante sana kwa upande wangu kwa yote uliyozungumza ninayo ninabiashara ambayo kila mtu anahitaji lakin kukiexploze kwa watu inakuwa ngumu sana kwa kutokuwa na ujasiri ila nitafanyia kazi

  • @esthermweteni1568
    @esthermweteni1568 5 років тому +7

    Nimejaribu kufuatilia ma Motivation speakers wengi wa TZ nimegundua JOEL NAUKA is the best kwa kuwa anasoma sana vitabu

    • @msafirikomba4673
      @msafirikomba4673 4 роки тому +1

      Kabisaaa yaani me ndio nimemjua leo nilikua namchukulia poa sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому

      msafiri komba tuendelee kujifunza

    • @thedon8467
      @thedon8467 Рік тому

      Namba Yako kaka naomba

  • @kindyuba8140
    @kindyuba8140 5 років тому +2

    Napenda xana maxomo yko mungu. Hakubarik ili uendelee kuelimmisha jjamii

  • @Mishaeligospel
    @Mishaeligospel Рік тому +2

    Asante sana mi nimejifunganza katka kitengo cha kwongea mbele za watu ili kua ni tatizo kwangu asante

  • @SophiaMohamed-t2s
    @SophiaMohamed-t2s Місяць тому

    Nashkulu sana maan changamoto zote izi nikonazo zinanitesa sana kilanikijalibu Bado naludi palepale

  • @editordominick6879
    @editordominick6879 5 років тому +12

    Asante sana even I nina tatzo hilo ila nashukulu ivi confidence inatokana na aibu au

  • @ukhtysuuvlog470
    @ukhtysuuvlog470 3 роки тому +1

    Unaelimisha Sana kakaangu.... Ila jitahidi uwe unatoa salam

  • @bakariabdallah8671
    @bakariabdallah8671 5 років тому +2

    Asante sana kwa somo zuri, naomba uandae somo la namna ya kuwa na Sauti nzuri ya kuzungumza mbele za watu

  • @euberthchedego1988
    @euberthchedego1988 4 роки тому +2

    Asante Sana brother. Umekua Msaada sana ktk mwenendo Wa maisha yangu.mungu akubariki sana.

  • @Mwamba67
    @Mwamba67 5 років тому +3

    Hapo kwenye mind reprogramming umenigusa teacher....!!!
    Asante sana mwalimu...!!

  • @nolascolwiva1648
    @nolascolwiva1648 3 роки тому +2

    Asante sana ngoja nianzie mazoezi

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 років тому +2

    Mimi nataka kuwa na confidence ya kuacha kazi ya kuajiriwa

  • @FrankMathius
    @FrankMathius Місяць тому

    Asante, naitaji kuwa na confidence kweny masom yangu mkuu na nitaa kweny kujiandaa

  • @miriamclemence3973
    @miriamclemence3973 3 роки тому +2

    Asante Kaka na Mimi nilikuwa Hali hiyo

  • @mo.kudrakambi9617
    @mo.kudrakambi9617 2 роки тому +2

    Nikweli kaka najikuta natamani kujua namna gani naweza kusimama jukuani nakutoa mawazo au pendekezo

  • @happynessruge9016
    @happynessruge9016 5 років тому +1

    asanteee sana bro umenibadili sana tangu nlivyokujua umenigusa kwenye practice wat u afraid

  • @salumsaid8515
    @salumsaid8515 Рік тому +1

    Nimekuwa nikishindwa kumwambia mwanamke nakupenda kupitia mdomo

  • @jenipherwenslaus9596
    @jenipherwenslaus9596 5 років тому +4

    Nashukuru sana kaka angu nimejifunza kitu ktk hilo somo...... Am strong 💪

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 4 роки тому

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra ua-cam.com/video/PY8aLdvh0CQ/v-deo.html

  • @edvesterdamas3061
    @edvesterdamas3061 4 роки тому +2

    Nitalifanyia kazi

  • @abdoulkarenzo3138
    @abdoulkarenzo3138 4 роки тому +2

    mimi najiandaaga vizuri kabisa zidi ya mitiyani lakini nikingiya katika mitiyani moyo unakuwa na stress kama mtuninakimbizwa saana adi pale vitu nilivyosoma amo nabijuwa vinanikimbiya kichwani sasa nifanye nini katika ilo tatizo

  • @exzaverymichale7673
    @exzaverymichale7673 5 років тому +5

    Mr.Joel nashukuru sana nimeamka kwakukusikiliza nimeongeza kitu ktk maisha yangu!

  • @arafasalim9948
    @arafasalim9948 2 місяці тому

    Kuna matatizo mengi nlikua nayaishi alafu skua nikijua natokaje na shida hii hasa hasa kuhusu nafsi yangu ila napata majibu kupitia wew thanxs sana kaka

  • @frankpatrick2293
    @frankpatrick2293 3 роки тому +6

    Respect kaka, you're more than teacher

  • @Bakari-fp3zr
    @Bakari-fp3zr Рік тому +3

    God bless you💪🏿🔥

  • @happinessgodfrey2087
    @happinessgodfrey2087 5 років тому +1

    Shalom Kaka Joel,
    Asante sana kwa mwangaza unaonipa siku hadi siku.
    Binafsi napenda sana kufanya kazi ya jamii ila nimekua na woga wa kuanza,Naogopa kuongea hata kanisani nikipewa nafasi nakimbia kabisa.
    Nina uwezo wa kiandika jambo ila ukinipa nafasi ya kulizungumzia mbele za watu nakosa kujiamini kabisa.

  • @manjalentugwa409
    @manjalentugwa409 2 роки тому +2

    Kwakwel brother umeupga mwingi Sana nabalikiwa Sana na ww na umechange mawazo yangu negative kuwa positive

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 5 років тому +14

    Thank you Very much my Brother JOEL actually you're my Best Mentor of all the time, god bless you 🙏🙏🙏

  • @lilianbenson5774
    @lilianbenson5774 5 років тому +1

    Asante sana Mr. Joel kwa somo nzuri .mada ya nne "practice what I afraid " kwa kweli nitalifanyia kazi .thanks

  • @chamlungemmnanuel4542
    @chamlungemmnanuel4542 Рік тому +2

    Kabisaaa SoMo nzur sana

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 5 років тому +3

    kwel kabisa Kaka kupitia ww nmekuwa mwenye mabadlko

  • @issakabogo4943
    @issakabogo4943 5 років тому +2

    Duh! Asante sana bro hiyo point ya pili ntaifanyia kaz 👏👏

  • @neckikikoti6256
    @neckikikoti6256 4 роки тому +1

    Ahsante Sana Mungu akubariki

  • @MathonoSeleman
    @MathonoSeleman Рік тому +2

    thanks teacher nimependa hii

  • @babapeace835
    @babapeace835 5 років тому +2

    Shukrani kiongozi kwa elimu bora zaidi hata class hawafii haya ulivyoyaelezea.Bigup

  • @WiniFrida-c6w
    @WiniFrida-c6w Місяць тому

    Yan Kaka mungu akulinde elim yako naimn itanisaidia mna ndo Leo naangalia elim yako

  • @julietmateru5789
    @julietmateru5789 2 роки тому +1

    Kaka una madini ya kutosha.hongera sana.

  • @habibadaudi8242
    @habibadaudi8242 2 роки тому +2

    Mungu akubariki kk

  • @asifiwekayolechaula5566
    @asifiwekayolechaula5566 2 роки тому +1

    Mungu akubaliki

  • @giftmathewlyamuya2752
    @giftmathewlyamuya2752 5 років тому +3

    ni kweli ukijilinganisha na wengine ambao wako juuu kuliko ww lazima ujishushe thaman

  • @hedachale8469
    @hedachale8469 2 роки тому +2

    Asante Kwa memtoring

  • @charlesmafumiko6027
    @charlesmafumiko6027 3 роки тому +3

    Umenigusa sana apo nitajitahidi kujiamini

  • @SinyinzaDavid
    @SinyinzaDavid 7 місяців тому

    Hatua ya tano ni muhimu sana kwani maandalizi ndoa kila kitu lazima uwe na ujasiri kwasababu unajiandaa mapema kwangu nitalifanyia ka,zi ilo asante sana tunakutegemea wakati mwingine kwa mwongozo

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 3 роки тому +1

    somo zuriiii.kumbe mimi sio wa kufeli nabadili mtazamo

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 років тому +5

    Asante sans kaka, mimi hii tabia yakujilinganisha inanisumbua sana nitajitahidi kuishinda ,ubarikiwe

  • @kasarambajuma270
    @kasarambajuma270 4 роки тому +3

    kasalamba juma Joel nakubaliyana naelimu unayoitowa nawezaje kupata kitabu chako

  • @anandemungure4435
    @anandemungure4435 4 роки тому +8

    Appreciated Mr Joel 🙏 your real a mentor,coacher and everything to whoever listens to your Talks. Keep on opening life of people course learning is ongoing. Big up Brother 🙏

  • @ndoomapaulo6189
    @ndoomapaulo6189 4 роки тому +2

    Asante sana kaka kwa somo nzuri

  • @nassirsalehmohd3775
    @nassirsalehmohd3775 2 роки тому +1

    Kaka hongera maneno yako juu ya mstar

  • @loycesamwel6169
    @loycesamwel6169 2 роки тому +1

    Natamani sana kuanzisha biashara, lakini naogopa nakuwa na hofu sana.

  • @yohanaayeko7869
    @yohanaayeko7869 4 роки тому +3

    Mimi nilisemaga siwez kabisa english na kweli nilifeli kabisa!🙏

  • @mavumbamusic1256
    @mavumbamusic1256 3 роки тому +1

    Nimekuelewa San hongera sna

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 3 роки тому

    Nashukuru Kaka somo zuri, mm nitajitahid kufanya maandalizi ya kutosha.

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 5 років тому

    Kaká nakubali darasa lako kwakweli Mungu azidi kukuongezea baraka. Ila mwenzako mimi nina tatizo lakuogopa kuongea mbele za watu. Mada nzuri mambo mazuri ninavyo ila kujenga huo ujasiri ndo shida aise hata ikofika kuongea mbele wakati wa interview ya kazi nakwambia mambo yote yarudi upside down aise.

  • @rolandpaul9465
    @rolandpaul9465 4 роки тому +2

    Mimi huwa ninakuwa na positive na negative thoughts, ila negative huwa zina dominate kwa kiasi kikubwa. But Leo nimwjifunza kitu kutoka kwako brother @Joel Nanauka Be blessed

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 4 роки тому

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra ua-cam.com/video/PY8aLdvh0CQ/v-deo.html

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 5 років тому +4

    Asante bro joel nipata kitu kikubwa

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 2 роки тому

    Kuoghea mbele za watukulinishinda sana .nashukuru kwaelimu yako

  • @DerickMayunga
    @DerickMayunga 6 місяців тому

    Asante Sana, elimi nzuri Sana nimeipata

  • @umojadaycare8441
    @umojadaycare8441 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana

  • @UmmyAbdallah-yv6ry
    @UmmyAbdallah-yv6ry 9 місяців тому +1

    Hello mm Katika. Hizo Tano. Ulosema mm ya tatu. Ndo inanisumbuwanga

  • @arbasynyembeke75
    @arbasynyembeke75 2 роки тому +1

    Mungu akubarik xan

  • @groupelescherubinsgoma
    @groupelescherubinsgoma 4 роки тому +1

    Asante mwalimu kwa mafundisho

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 5 років тому +7

    Thanks kaka 2019 kwangu mwaka wa mafanikio...... God bless you.....🙏🙏

    • @nevermind4789
      @nevermind4789 2 роки тому

      Self talk self fulfilling prophecy

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 2 роки тому +1

    Thank you so much
    appreciate

  • @jeremiamussa7910
    @jeremiamussa7910 5 років тому +4

    mungu na akubariki sana

  • @jafarilameck1
    @jafarilameck1 2 роки тому +1

    Nakukubali sana Joel

  • @stephahObimo
    @stephahObimo 5 років тому +3

    Nimejifunza brother mungu akubaliki

  • @sarahburetta8547
    @sarahburetta8547 7 місяців тому

    Asante kwa somo zuri

  • @linamatagi222
    @linamatagi222 5 років тому

    Unafundisha vizuri sana nimependa mungu akubarik.

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 роки тому +4

    HALLELUYAH Point 4.Natamani Sana kuongea KIINGELEZA(KING'ENG'E/English Language) Jambo linanisumbua Sana ASANTE I

  • @PeterPharles
    @PeterPharles Рік тому +2

    Great ideas

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 3 роки тому

    Nakuelewa Sana maana umekua ukigusa maisha yangu

  • @rosemasune8404
    @rosemasune8404 Рік тому +1

    thank you my brother

  • @watumnjangu8312
    @watumnjangu8312 3 роки тому +1

    Nimekuamini sana kaka.